@airtel_tanzania Avatar @airtel_tanzania Airtel Tanzania

Airtel Tanzania posts on YouTube about kwa, tanzania, money, mazda the most. They currently have [------] followers and [--] posts still getting attention that total [-------] engagements in the last [--] hours.

Engagements: [-------] #

Engagements Line Chart

Mentions: [--] #

Mentions Line Chart

Followers: [------] #

Followers Line Chart

CreatorRank: [-------] #

CreatorRank Line Chart

Social Influence

Social category influence countries finance #4585 automotive brands #2055 currencies travel destinations

Social topic influence kwa, tanzania #44, money #1235, mazda #13, link, pay, leo, kwanza, cha, dar

Top accounts mentioned or mentioned by @callypapppy @wizarahmth @fallyipupa01 @diamondplatnumz @symplysimi @jotiofficial @jerry

Top assets mentioned Flex Ltd. Ordinary Shares (FLEX)

Top Social Posts

Top posts by engagements in the last [--] hours

"Furaha ya Mama Mwanae Ashinda Mazda CX-5 Kupitia MyAirtel App πŸš—βœ¨ #MwakaUmenyooka Hakuna furaha kama ya mama anayeona mwanawe anafanikiwa Bi. Magreth Mtei hakuamini macho yake kuona gari jipya la Mazda CX-5 likiingia uani kwake Ubungo-Msewe. Huu ni ushahidi tosha kuwa Airtel Money inabadilisha maisha ya familia za Kitanzania. #AirtelTanzania #MwakaUmenyooka #AirtelMoney #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-02-16T09:33Z 24.2K followers, [--] engagements

"Airtel Yatosha TV show episode [--] 1st House winner of Airtel Yatosha SHINDA NYUMBA CAMPAIGN receiving an official hand over from Airtel"
YouTube Link 2013-09-03T12:05Z 21.1K followers, [----] engagements

"#sitapeliki NAMBA YA MAWASILIANO YA AIRTEL NI [---] Ukiibiwa simu fanya ifuatavyo kwa haraka Piga [---] zuia laini yako mara moja na ufuate maelekezo kupata laini mpya kwa usalama zaidi. Ni vyema kujenga utamaduni wa kuhakiki usajili wako ili kujiepusha na hatari ya matapeli kutumia namba yako vibaya. Hakikisha taarifa zako ziko sahihi. #Sitapeliki #AirtelTanzania #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-04-09T12:30Z 24.2K followers, [---] engagements

"Kuza Kipaji Chako Lipa Kozi Mtandaoni kwa Urahisi na Airtel Money Global Pay Card πŸŽ“πŸ’³ πŸ‘‰ Unataka kuongeza maarifa na ubunifu wako Lipia kozi mbalimbali mtandaoni kupitia Airtel Money Global Pay Card ni salama haraka na papo kwa hapo πŸŒπŸ“² Jinsi ya kutumia: [--] Ingia kwenye MyAirtel App [--] Fungua Airtel Money [--] Bofya logo ya #AirtelMoneyGlobalPayCard [--] Weka pesa na lipa kiurahisi πŸ“² Pakua MyAirtel App kupitia link: https://shorturl.at/jaX1C #AirtelMoneyGlobalPayCard #AirtelTanzania #OnlineLearning #DigitalPayments #GlobalPay #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-08-20T08:34Z 24.2K followers, [---] engagements

"Ukiupiga mwingi mpaka Afcon mbwembwe na shangwe ni lazima ✈ 🏟⚽ Shinda tiketi kushuhudia michuono ya soka Afrika AFCON nchini Ivory Coast pamoja na zawadi kabambe zikiwemo Simu janja ya Tecno Spark [--] Friji TV bodaboda na vifurushi vya Data Dakika na SMS. Tumia Airtel Nunua bando au fanya miamala kwa Airtel Money ushinde. #UpigeMwingiMpakaAfcon #KilaMmojaNiMshindi"
YouTube Link 2024-01-18T06:57Z 20.4K followers, [--] engagements

"Airtel Yatosha Airtel has broken down telecommunication barriers with Airtel Yatosha From the local business owner to teen dreaming of a great future to the Masaai in the North - AIRTEL YATOSHA"
YouTube Link 2013-05-09T17:11Z 21.1K followers, [----] engagements

"Turn up Press play flex your data and enjoy this banger Turn up The mega collab with @fallyipupa01 @diamondplatnumz @symplysimi is here Press play flex your data and enjoy this banger #SmartaWithData"
YouTube Link 2025-02-13T08:27Z 21K followers, [--] engagements

"Uzinduzi wa duka la Airtel ndani ya stesheni ya SGR Morogoro 17:37 25/10/2024 Nessah: hapo vipi 17:43 25/10/2024 Nessah: Tumefungua rasmi duka letu jipya la Airtel kwenye kituo cha Reli ya Kisasa ya Morogoro (SGR) tukitizama kama hatua nyingine katika jitihada zetu za kupanua wigo kwa wateja wetu. Duka letu la Airtel lililopo kwenye stesheni ya SGR litawahudumia wasafiri wafamyabiashara na wakazi pamoja na wageni likitoa huduma zote kuanzia usajili wa laini hadi huduma za Airtel Money n.k. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Balozi wetu @jotiofficial pamoja Meya wa Manispaa ya Morogoro Pascal Kihanga"
YouTube Link 2024-10-25T14:51Z 23.2K followers, [--] engagements

"Ni wakati wako wa kuupiga mwingi mpaka AFCON ⚽ Nunua bando au tumia Airtel Money kufanya miamala ujishindie tiketi za kushuhudia mashindano ya AFCON nchini Ivory Coast pamoja na zawadi kabambe ikiwemo Simu janja ya Tecno Spark [--] Friji TV bodaboda pamoja na vifurushi vya Data Dakika na SMS. #UpigeMwingiMpakaAfcon #KilaMmojaNiMshindi"
YouTube Link 2024-01-15T09:54Z 20.4K followers, [---] engagements

"Airtel X Trace Music Awards [----] Stay Tuned Airtel hatujawahi kuwa na dogo"
YouTube Link 2025-02-25T01:32Z 21K followers, [--] engagements

"WESE NI BURE Mwaka umenyooka na My Airtel Money App WESE NI BURE Mwaka umenyooka na My Airtel Money App. Kwa kutumia Airtel Lipa Namba wateja wanaonunua mafuta katika zaidi ya vituo [--] nchi nzima wanapata nafasi ya kushinda lita [--] za mafuta bure kila wiki"
YouTube Link 2026-01-14T15:21Z 24.2K followers, [--] engagements

"Airtel VoLTE: Simu kukatakataSasa Baaasiiiii This is the Official Airtel Tanzania Switch On TVC #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-01-07T16:07Z 24.2K followers, [---] engagements

"My Airtel App has made buying data bundle much more easy see how in the video. Download my Airtel App via http://bit.ly/3sM1dwh and enjoy seamless experience"
YouTube Link 2023-10-18T17:21Z 23.4K followers, 21.7K engagements

"How to Buy Airtime with My Airtel App. Download my Airtel App via http://bit.ly/3sM1dwh and enjoy seamless experience"
YouTube Link 2023-10-18T17:08Z 23.4K followers, 16.2K engagements

"Dereva Taxi wa Kimara Ashinda Mazda CX-5 Mpya Kupitia MyAirtel App πŸš—πŸ”₯ Mwaka Umenyooka Kutoka Kimara-Temboni hadi mitaa ya Ubungo-Msewe Shuhudia furaha ya Shakuu Joshua @cally_papppy dereva taxi aliyejishindia Mazda CX-5 mpya kabisa kupitia kampeni ya Mwaka Umenyooka na My Airtel Money App. Kwa muamala wa TZS [----] tu wa luku maisha yake yamebadilika Bado gari mbili zaidi zinatafuta wenyewe. Je utakuwa wewe #AirtelMoney #MwakaUmenyooka #MyAirtelApp #AirtelTanzania - YT Tittle #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-02-16T09:30Z 24.2K followers, 155.9K engagements

"Airtel Tumewasha Mbalamaziwa Mkoani Njombe Wakazi wa Mbalamaziwa Mkoani Njombe wamesema mtandao wa Airtel ni mkombozi kwenye shuguli zao za kila siku na umekuwa ukiwarahisishia kufanya huduma za miamala ya fedha na kuperezi kwenye mitandao ya kijamii. #Airtel Tumewasha #Mbalamaziwa"
YouTube Link 2026-02-10T09:45Z 24.2K followers, [--] engagements

"#Airtel tumewasha Lumbiro Mkoani Morogoro Wananchi zaidi ya elfu thelathini wakiwemo jamii ya wafufugaji katika kijiji cha Lumbiro Mkoani Morogoro wameonesha matumaini makubwa ya kuleta mageuzi ya kiuchumi baada ya Airtel Tanzania kuendelea kuwasha minara mingine katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo ili kurahisha huduma za mawasiliano kwa wananchi na kujenga uchumi wao. #Airtel tumewasha #Lumbiro"
YouTube Link 2026-02-10T08:36Z 24.2K followers, [--] engagements

"Mshindi wa MAZDA CX5 na #MwakaUmenyooka na #MyAirtelMoneyApp Airtel Tanzania imempata mshindi wa Mazda CX-5 mpya kabisa kupitia kampeni ya Mwaka Umenyooka na MyAirtel Money App. Hongera Bw. Shakuu Joshua (@cally_papppy) mkazi wa Kimara Dar es Salaam aliyefanikiwa kushinda baada ya droo rasmi iliyosimamiwa na Gaming Board pamoja na vyombo vya habari. Pakua na Utumie MyAirtel Money App kufanya miamala yako ya kila siku mshindi anayefuata unaweza kuwa wewe #MwakaUmenyooka #MyAirtelMoneyApp #AirtelInatoaZaidi #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-01-29T10:04Z 24.2K followers, [--] engagements

"Airtel Tumewasha Kibaoni Airtel Tumewasha Kibaoni Airtel haina jambo dogo ikiweka nia inafanya kwa vitendo Airtel tupo KILA KONA Wakazi wa Kibaoni Mkoani Dodoma wanaeleza namna ambavyo Airtel inavyoendelea kubadilisha maisha Mtanzania mmoja mmoja #AirtelTumewasha #Kibaoni #TupoKilaKona #Dodoma"
YouTube Link 2026-02-10T08:32Z 24.2K followers, [--] engagements

"HAKATWI MTU HAPA - Petrol Station Send and Withdraw Money for FREE with Airtel Money. AIRTEL MONEY YATOSHA airtel money tanzania airtelmoney airtel money hakatwi mtu hapa hakatwi mtu hapa television commercial hakatwi mtu hapa ad petrol station ad airtel money tanzania airtelmoney airtel money hakatwi mtu hapa hakatwi mtu hapa television commercial hakatwi mtu hapa ad petrol station ad"
YouTube Link 2013-08-29T07:43Z 24.2K followers, 15.4K engagements

"Nilidhani sio kweli Shakuu Joshua Ashinda Mazda CX-5 Kupitia MyAirtel App #MwakaUmenyooka Nilidhani sio kweli lakini leo gari lipo mbele ya macho yangu Shakuu Joshua @cally_papppy hakuamini kuwa muamala wake wa kawaida wa Airtel Money ungemletea Mazda CX-5. Akiwa na mtoto mchanga nyumbani zawadi hii imekuja wakati muafaka kabisa kwa familia yake. Hongera sana Shakuu kwa kucheza na kushinda #AirtelMoney #AirtelTanzania #MwakaUmenyooka #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-02-16T09:37Z 24.2K followers, [--] engagements

"Mazda CX-5 ilivyopelekwa kwa mshindi wa kwanza Shakuu Joshua kupitia kampeni ya Mwaka Umenyooka Kutoka Kimara-Temboni hadi mitaa ya Ubungo-Msewe Shuhudia furaha ya Shakuu Joshua @cally_papppy dereva taxi aliyejishindia Mazda CX-5 mpya kabisa kupitia kampeni ya Mwaka Umenyooka na My Airtel Money App. Kwa muamala wa TZS [----] tu wa luku maisha yake yamebadilika Bado gari mbili zaidi zinatafuta wenyewe. Je utakuwa wewe #AirtelMoney #MwakaUmenyooka #MyAirtelApp #AirtelTanzania"
YouTube Link 2026-02-14T18:57Z 24.2K followers, [--] engagements

"Nilidhani sio kweli Shakuu Joshua Ashinda Mazda CX-5 Kupitia MyAirtel App #MwakaUmenyooka Nilidhani sio kweli lakini leo gari lipo mbele ya macho yangu Shakuu Joshua @cally_papppy hakuamini kuwa muamala wake wa kawaida wa Airtel Money ungemletea Mazda CX-5. Akiwa na mtoto mchanga nyumbani zawadi hii imekuja wakati muafaka kabisa kwa familia yake. Hongera sana Shakuu kwa kucheza na kushinda #AirtelMoney #AirtelTanzania #MwakaUmenyooka #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-02-16T09:37Z 24.2K followers, [--] engagements

"Furaha ya Mama Mwanae Ashinda Mazda CX-5 Kupitia MyAirtel App πŸš—βœ¨ #MwakaUmenyooka Hakuna furaha kama ya mama anayeona mwanawe anafanikiwa Bi. Magreth Mtei hakuamini macho yake kuona gari jipya la Mazda CX-5 likiingia uani kwake Ubungo-Msewe. Huu ni ushahidi tosha kuwa Airtel Money inabadilisha maisha ya familia za Kitanzania. #AirtelTanzania #MwakaUmenyooka #AirtelMoney #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-02-16T09:33Z 24.2K followers, [--] engagements

"Dereva Taxi wa Kimara Ashinda Mazda CX-5 Mpya Kupitia MyAirtel App πŸš—πŸ”₯ Mwaka Umenyooka Kutoka Kimara-Temboni hadi mitaa ya Ubungo-Msewe Shuhudia furaha ya Shakuu Joshua @cally_papppy dereva taxi aliyejishindia Mazda CX-5 mpya kabisa kupitia kampeni ya Mwaka Umenyooka na My Airtel Money App. Kwa muamala wa TZS [----] tu wa luku maisha yake yamebadilika Bado gari mbili zaidi zinatafuta wenyewe. Je utakuwa wewe #AirtelMoney #MwakaUmenyooka #MyAirtelApp #AirtelTanzania - YT Tittle #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-02-16T09:30Z 24.2K followers, 155.9K engagements

"Mazda CX-5 ilivyopelekwa kwa mshindi wa kwanza Shakuu Joshua kupitia kampeni ya Mwaka Umenyooka Kutoka Kimara-Temboni hadi mitaa ya Ubungo-Msewe Shuhudia furaha ya Shakuu Joshua @cally_papppy dereva taxi aliyejishindia Mazda CX-5 mpya kabisa kupitia kampeni ya Mwaka Umenyooka na My Airtel Money App. Kwa muamala wa TZS [----] tu wa luku maisha yake yamebadilika Bado gari mbili zaidi zinatafuta wenyewe. Je utakuwa wewe #AirtelMoney #MwakaUmenyooka #MyAirtelApp #AirtelTanzania"
YouTube Link 2026-02-14T18:57Z 24.2K followers, [--] engagements

"Bado tunaendelea kuwepo kila kona. Sekta ya Makachu pia tukoseeeee Ah wapiiii. Bado tunaendelea kuwepo kila kona. #TupoKilaKona"
YouTube Link 2026-02-10T14:55Z 24.2K followers, [---] engagements

"Airtel Tumewasha Mbalamaziwa Mkoani Njombe Wakazi wa Mbalamaziwa Mkoani Njombe wamesema mtandao wa Airtel ni mkombozi kwenye shuguli zao za kila siku na umekuwa ukiwarahisishia kufanya huduma za miamala ya fedha na kuperezi kwenye mitandao ya kijamii. #Airtel Tumewasha #Mbalamaziwa"
YouTube Link 2026-02-10T09:45Z 24.2K followers, [--] engagements

"#Airtel tumewasha Lumbiro Mkoani Morogoro Wananchi zaidi ya elfu thelathini wakiwemo jamii ya wafufugaji katika kijiji cha Lumbiro Mkoani Morogoro wameonesha matumaini makubwa ya kuleta mageuzi ya kiuchumi baada ya Airtel Tanzania kuendelea kuwasha minara mingine katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo ili kurahisha huduma za mawasiliano kwa wananchi na kujenga uchumi wao. #Airtel tumewasha #Lumbiro"
YouTube Link 2026-02-10T08:36Z 24.2K followers, [--] engagements

"Airtel Tumewasha Kibaoni Airtel Tumewasha Kibaoni Airtel haina jambo dogo ikiweka nia inafanya kwa vitendo Airtel tupo KILA KONA Wakazi wa Kibaoni Mkoani Dodoma wanaeleza namna ambavyo Airtel inavyoendelea kubadilisha maisha Mtanzania mmoja mmoja #AirtelTumewasha #Kibaoni #TupoKilaKona #Dodoma"
YouTube Link 2026-02-10T08:32Z 24.2K followers, [--] engagements

"Shamrashamra za uzinduzi wa maduka mapya [--] ya Airtel Shamrashamra za uzinduzi wa maduka mapya [--] ya Airtel zilikuwa na mvuto wa aina yake ndani ya viunga vya Dodoma siku ya leo. Huu ni mwanzo tu tumejipanga kufika katika kila kona ya Tanzania.Kaa tayari kujua kituo kinachofuata #AirtelKilaKona #AirtelSmartShop #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-02-06T20:29Z 24.2K followers, [---] engagements

"Airtel tupo tayari tumekiwasha. Muda ndio huu wakati ndio sasa. Airtel tupo tayari tumekiwasha. #AirtelKilaKona #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-02-06T12:10Z 24.2K followers, [--] engagements

"Tumeanza na Mji Mkuu wa Dodoma hatujamaliza ndio kwanza tunaanza. Tumeanza na Mji Mkuu wa Dodoma hatujamaliza ndio kwanza tunaanza. Zanzibar Arusha Mwanza Dar mpo tayari #AirtelKilaKona #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-02-06T12:08Z 24.2K followers, [--] engagements

"Airtel tupo kila kona Maandalizi ya uzinduzi yanaendelea hapa Dodoma. Airtel tupo kila kona Maandalizi ya uzinduzi yanaendelea hapa mkoani Dodoma kuelekea tukio la kihistoria la uzinduzi wa maduka [--] ya Airtel Tanzania hapa nchini #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-02-05T19:52Z 24.2K followers, [---] engagements

"Mwalimu Marian sasa anamiliki Smart TVKupitia kufanya miamala na MyAirtel Money App. Kwa mara ya kwanza kabisa Mwalimu Marian sasa anamiliki Smart TV Kupitia kufanya miamala na MyAirtel Money App mwaka umenyooka kweli kweli na bado tunaendelea kuunyosha zaidi ukiwa MyAirtelMoneyApp Pakua na tumia MyAirtel Money App kwa miamala yako ya kila siku na nawe unaweza kuwa mshindi anayefuata. #MwakaUmenyooka #MyAirtelMoneyApp #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-01-29T10:12Z 24.2K followers, [--] engagements

"Mshindi wa MAZDA CX5 na #MwakaUmenyooka na #MyAirtelMoneyApp Airtel Tanzania imempata mshindi wa Mazda CX-5 mpya kabisa kupitia kampeni ya Mwaka Umenyooka na MyAirtel Money App. Hongera Bw. Shakuu Joshua (@cally_papppy) mkazi wa Kimara Dar es Salaam aliyefanikiwa kushinda baada ya droo rasmi iliyosimamiwa na Gaming Board pamoja na vyombo vya habari. Pakua na Utumie MyAirtel Money App kufanya miamala yako ya kila siku mshindi anayefuata unaweza kuwa wewe #MwakaUmenyooka #MyAirtelMoneyApp #AirtelInatoaZaidi #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-01-29T10:04Z 24.2K followers, [--] engagements

"Minara Mitano Mipya imewezekana na imewashwa na Airtel Minara Mitano Mipya imewezekana na imewashwa na Airtel maeneo ya Kilindi Tanga Mbalamaziwa Njombe Ruanda Songea Miombo Sumbawanga na Buhongwa Mwanza. Sasa upatikanaji wa mtandao umeimarika na huduma sa simu na intaneti shwari kabisa. #Tumewasha #Airtel #AirtelTanzania #SiteLaunch #AirtelTumewasha"
YouTube Link 2026-01-22T17:20Z 24.2K followers, [--] engagements

"Mbeya iliamua Hakuna unyonge Mbeya iliamua Hakuna unyonge Tulinyoosha mwaka kwa madance na games kibao Washindi wakabeba zawadi na mazagazaga kibaoooo"
YouTube Link 2026-01-22T12:59Z 24.2K followers, [---] engagements

"Mustafa wa Mwanza ameondoka na TV Mwaka Umenyooka na MyAirtelApp Hongera Hashimu Mustafa wa Mwanza Ameshinda TV kupitia kampeni ya Mwaka Umenyooka na MyAirtelApp Mwanza imewaka zawadi zinaendelea kumwagika Pakua MyAirtelApp fanya miamala na nawe ushinde #MwakaUmenyookaNaMyAirtelApp #MyAirtelApp #AirtelMoney #Mwanza"
YouTube Link 2026-01-15T15:10Z 24.2K followers, 1.3M engagements

"Mwaka umenyooka na zawadi zinamwagika na MyAirtelApp Mwanza Mwabeja sana Mwanza Mwaka umenyooka na zawadi zinamwagika na MyAirtelApp #MwakaUmenyookaNaMyAirtelApp #MyAirtelApp #AirtelMoney #Mwanza"
YouTube Link 2026-01-15T14:51Z 24.2K followers, 374.6K engagements

"WESE NI BURE Mwaka umenyooka na My Airtel Money App WESE NI BURE Mwaka umenyooka na My Airtel Money App. Kwa kutumia Airtel Lipa Namba wateja wanaonunua mafuta katika zaidi ya vituo [--] nchi nzima wanapata nafasi ya kushinda lita [--] za mafuta bure kila wiki"
YouTube Link 2026-01-14T15:21Z 24.2K followers, [--] engagements

"Gurudumu lilizunguka na zawadi zilipatikana kwani mizawadi kibao ilibaki chugga Gurudumu lilizunguka na zawadi zilipatikana kwani mizawadi kibao ilibaki chugga. Bado MyAirtelApp inaendelea kuenjoy mwaka ulionyooka. #MwakaUmenyookaNaMyAirtelApp #MyAirtelApp #AirtelMoney"
YouTube Link 2026-01-13T13:07Z 24.2K followers, [--] engagements

"Airtel VoLTE haichagui haibagui Airtel VoLTE haichagui haibagui Ni kwa ajili yako uwe mjasiriamali mwanafunzi au mwalimu popote ulipo. Inapatikana kupitia mtandao wa Airtel 4G uliopo kila kona nchini. #WashaVoLTE #AirtelVoLTE #BilaChenga #MawasilianoKwaWote"
YouTube Link 2026-01-10T15:36Z 24.2K followers, [---] engagements

"MyAirtelApp imenyoosha mwaka mpaka Moshi paliwaka na zawadi kama zote. MyAirtelApp imenyoosha mwaka mpaka Moshi paliwaka na zawadi kama zote. Moshi imenyooka na mwaka umenyooka na MyAirtelApp. #MwakaUmenyookaNaMyAirtelApp #MyAirtelApp #AirtelMoney #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-01-09T20:13Z 24.2K followers, 624.4K engagements

"Mambo yalikua moto kama hivyo yani tulicheza na kuenjoy na wateja wetu Mambo yalikua moto kama hivyo yani tulicheza na kuenjoy na wateja wetu. Zawadi pia zilikuwepo. Moshi tulifika na kuliitika. Mwaka umenyooka ndani ya Moshi. #MwakaUmenyookaNaMyAirtelApp #MyAirtelApp #AirtelMoney #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-01-09T20:12Z 24.2K followers, [---] engagements

"Airtel VoLTE ni Kichocheo cha Uchumi VoLTE si tu inakupa mawasiliano yenye uhakika bali ni chachu ya kubadilisha maisha ya watanzania na kukuza shughuli za kiuchumi. Washa VoLTE kwenye simu yako leo na ufurahie mawasiliano Bila Chenga. #AirtelVoLTE #BilaChenga #MawasilianoKwaWote"
YouTube Link 2026-01-09T11:29Z 24.2K followers, [---] engagements

"Umeanza vipi mwaka [----] Umeanza vipi mwaka [----] Sisi Airtel tumeuanza mwaka kwa kutoa zawadi nono kwa wateja [--] wetu ambao wamejishindia TV na bodaboda kupitia kampeni yetu ya Airtel Sikukuu Imenyooka na Santa Mizawadi. Endelea kutumia My Airtel Appbado kuna Mazda CX 5"
YouTube Link 2026-01-09T11:24Z 24.2K followers, [--] engagements

"Mia tano tu ya bando imemuwezesha mteja wetu kujishindia bodaboda Mia tano tu ya bando imemuwezesha mteja wetu kujishindia bodaboda mwaka umenyooka mapema kabisa #MwakaUmenyookaNaMyAirtelApp #MyAirtelApp #AirtelMoney"
YouTube Link 2026-01-09T11:22Z 24.2K followers, [--] engagements

"Kama alivyosema mteja wetu AFCON imekaa pahala pake na hivi anaondoka na TV Kama alivyosema mteja wetu AFCON imekaa pahala pake na hivi anaondoka na TV yake kwa urahisi kabisaaaa. #MwakaUmenyookaNaMyAirtelApp #MyAirtelApp #AirtelMoney"
YouTube Link 2026-01-09T11:11Z 24.2K followers, [--] engagements

"mshindi wetu wa bodaboda anafurahia kutoboa na MyAirtelApp. Namna hiyo Mwaka umenyooka vyema kwa mshindi wetu wa bodaboda anafurahia kutoboa na MyAirtelApp. #MwakaUmenyookaNaMyAirtelApp #MyAirtelApp #AirtelMoney"
YouTube Link 2026-01-09T11:08Z 24.2K followers, [--] engagements

"Airtel VoLTE: Simu kukatakataSasa Baaasiiiii This is the Official Airtel Tanzania Switch On TVC #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-01-07T16:07Z 24.2K followers, [---] engagements

"Simu kukatakataSasa Baaasiiiii Simu kukatakataSasa Baaasiiiii Airtel VoLTE inakupa uhuru wa kuwasiliana bila chenga kupitia mtandao wa Airtel 4G unaopatikana kote nchini. #WashaVoLTE #AirtelVoLTE #BilaChenga #MawasilianoKwaWote #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-01-07T16:05Z 24.2K followers, [---] engagements

"Mwaka Umenyooka na MyAirtel App πŸš€ Zawadi Bado Zinaendelea Moto bado upo pale pale fanya miamala kwa kutumia MyAirtelApp ujishindie zawadi kibao. Mwaka Umenyooka na My Airtel App #MwakaumenyookanaMyAirtelApp #MyAirtelApp #AirtelMoney #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2026-01-05T11:32Z 24.2K followers, 8.3M engagements

"Endelea kufanya miamala kupitia MyAirtel App na ushinde mizawadi #Santamizawadi #MyAirtelApp #AirtelMoney #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-12-23T07:38Z 24.2K followers, [---] engagements

"Sikukuu imenyooka na SantaMizawadi Fanya miamala yote kupitia MyAirtel App πŸ“² zungusha gurudumu 🎑 na ujipatie nafasi ya kushinda zawadi kibao 🎁 Pesa taslim πŸ“Ί TV 🏍 Pikipiki πŸš— Na uingie kwenye droo ya kushinda gari aina ya Mazda CX5 Usikose nafasi yako cheza leo ushinde leo πŸ”₯ Pakua MyAirtel App sasa na anza kushinda. πŸ‘‰ Subscribe kwa updates zaidi πŸ‘‰ Like & Share na marafiki zako #Santamizawadi #MyAirtelApp #AirtelMoney #ZungushaGurudumu #ShindaMazdaCX5 #Tanzania #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-12-22T14:45Z 24.2K followers, 1.2M engagements

"Santa Mizawadi Anakuja Mtaani Kwako πŸŽ…πŸŽ kuhakikisha Sikukuu imenyooka Fanya miamala yote kupitia MyAirtel App πŸ“² zungusha gurudumu 🎑 na ujipatie nafasi ya kushinda zawadi kibao 🎁 Pesa taslim πŸ“Ί TV 🏍 Pikipiki πŸš— Na uingie kwenye droo ya kushinda gari aina ya Mazda CX5 Usikose nafasi yako cheza leo ushinde leo πŸ”₯ Pakua MyAirtel App sasa na anza kushinda. πŸ‘‰ Subscribe kwa updates zaidi πŸ‘‰ Like & Share na marafiki zako #Santamizawadi #MyAirtelApp #AirtelMoney #ZungushaGurudumu #ShindaMazdaCX5 #Tanzania #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-12-22T14:17Z 24.2K followers, 2M engagements

"Msimu wa Mizawadi Umefunguliwa πŸŽ…πŸŽ Santa Mizawadi MyAirtel App πŸŽ„πŸŽ… Msimu wa mizawadi umefunguliwa rasmi SIKUKUU IMENYOOKA NA SANTA MIZAWADI 🎁πŸ”₯ Fanya miamala kupitia MyAirtel App πŸ“² zungusha gurudumu 🎑 na ujipatie nafasi ya kushinda mizawadi kibao: πŸ’° Pesa taslim πŸ“Ί TV 🏍 Pikipiki πŸš— Na kuingia kwenye droo ya kushinda gari aina ya Mazda CX5 Kadri unavyofanya miamala kupitia MyAirtelApp ndivyo unavyoongeza nafasi ya kushinda πŸ’₯ Usikose pakua na tumia MyAirtel App sasa πŸ‘‰ Subscribe kwa updates zaidi πŸ‘‰ Like & Share na marafiki zako #Santamizawadi #MyAirtelApp #AirtelMoney #ZungushaGurudumu"
YouTube Link 2025-12-22T14:08Z 24.2K followers, 1.2M engagements

"Kuza Kipaji Chako Lipa Kozi Mtandaoni kwa Urahisi na Airtel Money Global Pay Card πŸŽ“πŸ’³ πŸ‘‰ Unataka kuongeza maarifa na ubunifu wako Lipia kozi mbalimbali mtandaoni kupitia Airtel Money Global Pay Card ni salama haraka na papo kwa hapo πŸŒπŸ“² Jinsi ya kutumia: [--] Ingia kwenye MyAirtel App [--] Fungua Airtel Money [--] Bofya logo ya #AirtelMoneyGlobalPayCard [--] Weka pesa na lipa kiurahisi πŸ“² Pakua MyAirtel App kupitia link: https://shorturl.at/jaX1C #AirtelMoneyGlobalPayCard #AirtelTanzania #OnlineLearning #DigitalPayments #GlobalPay #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-08-20T08:34Z 24.2K followers, [---] engagements

"Hakuna Mlolongo Lipia Kimataifa kwa Urahisi na Airtel Money Global Pay Card πŸ’³πŸŒ Umependa bidhaa online Usiwaze πŸ™Œ Sasa unaweza kufanya malipo ya kimataifa kwa urahisi haraka na salama kupitia Airtel Money Global Pay Card. πŸ‘‰ Hatua rahisi za kutumia: Ingia kwenye MyAirtel App Fungua Airtel Money Bofya logo ya #AirtelMoneyGlobalPayCard Weka pesa na lipa papo kwa hapo πŸ“² Pakua MyAirtel App kupitia link https://shorturl.at/jaX1C #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-08-18T14:03Z 24.2K followers, [---] engagements

"Kulipa Ada Sasa Rahisi na Salama Kupitia Airtel Money School Pay πŸ“²πŸŽ“ Airtel tupo viwanja vya Mlimani City Karibu ujifunze kuhusu huduma Yetu ya Airtel Money Lipa Ada. Sasa kulipa ada za shule ni haraka salama na papo kwa hapo kupitia Airtel Money School Pay #AirtelMoney #SchoolPay #ElimuKwaWote #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-08-16T10:38Z 24.2K followers, [---] engagements

"Airtel Chapakazi suluhisho la kidijitali kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati. Tumewaletea Airtel Chapakazi suluhisho la kidijitali kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati litakalowasaidia kukuza biashara zao na kufikia malengo yao. Kupitia huduma hii kila mjasiriamali ataweza kuunganishwa na vifurushi kabambe vya dakika SMS na data ili kufikia wateja wake kwa wepesi zaidi. Kwa maelezo zaidi fika kwenye maduka yetu kote nchini au piga simu namba [----] [---] [---]. #AirtelChapakazi #AReasonToImagine #AirtelTanzania #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-07-21T11:08Z 24.2K followers, [---] engagements

"Lipia majukwaa ya burudani mtandaoni na #AirtelMoneyGlobalPayCard Series yako kali imetoka aumsanii wako pendwa kaachia album au wana wanakusubiria uingie online kucheza gemu Tumia Airtel Money Global Pay Card kwa usalama zaidi hii ni kadi ambayo haiingiliani na akaunti yako ya Airtel Money. Jinsi ya kujisajili ingia MyAirtel App bofya logo/alama ya #AirtelMoneyGlobalPayCard na ufate maelekezo kisha utaiwekea pesa na kulipia online kiurahisi. Pakua App kupitia Link https://shorturl.at/jaX1C #AirtelMoneyGlobalPayCard #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-07-10T09:57Z 24.2K followers, 549.3K engagements

"Karibu katika ulimwengu wa AIRTEL MONEY GLOBAL PAY CARD. Njia rahisi na salama ya malipo mtandaoni. Tumia Airtel Money Global Pay Card kwa usalama zaidi hii ni kadi ambayo haiingiliani na akaunti yako ya Airtel Money. Jinsi ya kujisajili ingia MyAirtel App bofya logo/alama ya #AirtelMoneyGlobalPayCard na ufate maelekezo kisha utaiwekea pesa na kulipia online kiurahisi. Pakua App kupitia Link https://shorturl.at/jaX1C #AirtelMoneyGlobalPayCard #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-06-20T08:08Z 24.2K followers, 330.5K engagements

"Tumekusogezea njia salama ya malipo mtandaoni na #AirtelMoneyGlobalPayCard Tumekusogezea njia salama ya malipo mtandaoni Jisajili na #AirtelMoneyGlobalPayCard kadi ndani ya simu yako ambayo haiingiliani na akaunti yako ya Airtel Money uweze kufanya malipo ya kimataifa mtandaoni. Jinsi ya kujisajili ingia My Airtel App bofya logo ya #AirtelMoneyGlobalPayCard na ufate maelekezo kisha weka pesa anza kutumia online kiurahisi. Pakua App kupitia Link: http://bit.ly/AirtelAppTZ #AirtelMoneyGlobalPayCard #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-06-12T09:00Z 24.2K followers, [---] engagements

"Tunatarajia kushiriki mkutano wa [--] wa jukwaa la utawala wa mtandao Afrika. #areasontoimagine Tunatarajia kushiriki mkutano wa [--] wa jukwaa la utawala wa mtandao Afrika ambao utawaleta kwa pamoja watunga sera wavumbuzi na wadau wa sekta ya mawasiliano kujadili na kuangalia namna bora kusimamia na kuendesha utoaji huduma usalama wa mtandao na maendeleo ya teknolojia suluhishi na zinazoibukia. Mkutano huu utafanyika Mei [--] [----] jijini Dar es Salaam na tunakukaribisha wewe uweze kufahamu na kujua njozi ya Afrika katika kuleta maendeleo ya wananchi kupitia utawala bora wa mtandao barani Afrika."
YouTube Link 2025-05-23T16:45Z 24.2K followers, [---] engagements

"Kataa Matapeli na #AIRTELSPAMALERT inayowezeshwa na Akili Mnemba (AI). Sasa unawezo wa kutambua ujumbe usiokuwa na nia njema(hatarishi/Utaplei) kwa urahisi. Airtel tumekuja na teknolojia inayowezeshwa na Akili Mnemba (AI) ili kukupa tahadhari ya papo hapo pindi unapo pokea ujumbe wenye viashiria vya utapeli kabla hata hujabonyeza link au kuchukua hatua yoyote. ⚠ Huitaji kujiunga wala kujisajili. #KataaMatapeli #Sitapeliki #AirtelSpamAlert #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-05-19T07:26Z 24.2K followers, 541.7K engagements

"Tunaadhimisha SIKU YA MAMA DUNIANI kwa kupiga story na Kina Mama wa Airtel. Tunaendelea kuadhimisha Siku ya Mama Duniani. Hapa Airtel tunaamini kuwa kila hadithi ya mama inastahili kusikika kuonekana na kuheshimiwa. Tulipata kusikia kutoka team Airtel na tuliguswa na kauli upendo na nguvu wanayobeba kama kina mama kila siku. #MothersDay2025 #AirtelTanzania #AReasonToImagine #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-05-12T10:19Z 24.2K followers, [---] engagements

"Airtel Spam Alert ya kwanza barani Afrika. Matapeli wamepata kiboko yao. #sitapeliki #kataaMatapeli Waziri wa mawasiliano na Teknolojia ya Habari @wizarahmth @Jerry Silaa amezindua huduma mpya ya kutambua jumbe za utapeli ya Airtel Spam Alert - Kataa Matapeli inayotumia Akili Mnemba. Huduma hii ni ya kwanza kuzinduliwa nchini Tanzania ambayo inaenda kuunga mkono jitihada za serikali kudhibiti utapeli kupitia kampeni ya #Sitapeliki. #KataaMatapeli #Sitapeliki #AirtelSpamAlert #AReasonToImagine #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-04-29T07:38Z 24.2K followers, [---] engagements

"#sitapeliki NAMBA YA MAWASILIANO YA AIRTEL NI [---] Ukiibiwa simu fanya ifuatavyo kwa haraka Piga [---] zuia laini yako mara moja na ufuate maelekezo kupata laini mpya kwa usalama zaidi. Ni vyema kujenga utamaduni wa kuhakiki usajili wako ili kujiepusha na hatari ya matapeli kutumia namba yako vibaya. Hakikisha taarifa zako ziko sahihi. #Sitapeliki #AirtelTanzania #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-04-09T12:30Z 24.2K followers, [---] engagements

"#sitapeliki USITUME PESA KABLA YA KUHAKIKI NAMBA ILIYOKUTUMIA SMS AU KUKUPIGIA Usitume pesa kabla ya kuhakiki namba iliyokutumia SMS au kukupigia Usiwe mwepesi wa kuamini ujumbe wa zawadi au dharura kutoka kwa namba usiyoifahamu. Hakikisha unathibitisha kabla ya kutuma pesa. Ukigundua ni utapeli toa taarifa kupitia [-----]. #Sitapeliki #AirtelTanzania #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-04-09T12:24Z 24.2K followers, [---] engagements

"#sitapeliki USITOE NAMBA ZAKO ZA SIRI ZINAZOTUMIKA KUFANYA MIAMALA. PIN na namba yako ya simu ni siri yako Ukiomba msaada wa kubadili PIN au laini mpya usitoe taarifa zaidi ya zile zinazohitajika. Kumbuka Airtel haiwezi kukuomba namba yako ya SIRI. Toa taarifa kwa Airtel kujilinda wewe na wateja wengine. #Sitapeliki #AirtelTanzania #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-04-09T12:18Z 24.2K followers, [---] engagements

"#SITAPELIKI USITOE TAARIFA ZAKO KWA YOYOTE TUTAKUPIGIA KUPITIA NAMBA [---]. #sitapeliki🫸🏾 Usitoe taarifa zako kwa mtu yoyote usiyemfahamu au hata unayemfahamu kwani taarifa zako zinaweza kupotea na kutumika vibaya pasipo wewe kujua. Pia hakikisha endapo utapoteza simu yako au kuibiwa TOA TAARIFA HARAKA kw awakati kituo cha polisi. Bila kusahau hakiki namba zako kupitia *106# lakini pia unaweza kutuma ujumbe mfupi kwenda [-----] kutoa taarifa za namba zinazofanya utapeli. #sitapeliki #elimukwaumma #tcratz #Switchon #Switchon"
YouTube Link 2025-04-09T07:23Z 24.2K followers, [---] engagements

Limited data mode. Full metrics available with subscription: lunarcrush.com/pricing