@Iamfelixtz Avatar @Iamfelixtz FELIX JASON

FELIX JASON posts on X about tanzania, caf, zanzibar, bora the most. They currently have [------] followers and [---] posts still getting attention that total [------] engagements in the last [--] hours.

Engagements: [------] #

Engagements Line Chart

Mentions: [--] #

Mentions Line Chart

Followers: [------] #

Followers Line Chart

CreatorRank: [-------] #

CreatorRank Line Chart

Social Influence

Social category influence countries 22.13% travel destinations 8.2% currencies #3389 finance 4.1% musicians 3.28% stocks 0.82% automotive brands 0.82% luxury brands 0.82% fashion brands 0.82%

Social topic influence tanzania 9.84%, caf #222, zanzibar #89, bora 5.74%, leo 4.92%, kwanza 4.92%, stars 4.1%, kama 4.1%, al ahly #27, afcon 3.28%

Top accounts mentioned or mentioned by @shibobo___ @samakionline @mahumbi9 @mtalian0 @taita_tz @stevenjonas888 @arobogastmrosso @libogile @musakats3 @edwardmbisha @cavachujr @tbway7 @africana_bway @issakitunda2 @jess_atuha @moshikwetu @mbamba_stephano @javismode256 @youngmkude @yaswai666

Top Social Posts

Top posts by engagements in the last [--] hours

"🚨 UPDATES ✍ Emam Ashour (27) ➑ Jana alipewa adhabu ya kusimamishwa wiki [--] + faini ya EGP 1.5m (Tshs 82m) kwa kushindwa kusafiri kuja Tanzania ❌ Leo hajatokea kwenye mazoezi licha ya kuelekezwa kuwa anatakiwa kufanya mazoezi ya peke yake kwenye viwanja vya mazoezi vya Ahly"
X Link 2026-01-30T11:43Z 29.9K followers, 30.2K engagements

""Wakati naingia Simba bajeti ilikuwa ni Bilioni [---] kwasasa ni Bilioni [--] kwenye club rankings za CAF tulikuwa nafasi ya [--] na sasa tupo nafasi ya [--] jiulize mtu ambaye ana underperform kiuongozi anaweza kufikia hayo mafanikio πŸŽ™Murtaza Mangungu"
X Link 2026-02-05T15:32Z 29.9K followers, 21.9K engagements

"MECHI ZA LEO ZA CAF CL & CAF CC - FEB [--] [----] 16:00 Power Dynamos Berkane 19:00 Petro De Luanda Simba 19:00 Azam Maniema 22:00 AS FAR Yanga 22:00 Kabylie Al Ahly Mechi gani hujapanga kuikosa"
X Link 2026-02-07T06:20Z 29.9K followers, [----] engagements

"FT: Azam [--] βž– [--] Maniema ⚽ Kanoute Wydad - Pts [--] (Mechi 4) Maniema - Pts [--] (Mechi 5) Azam Fc - Pts [--] (Mechi 5) Nairobi Utd - Pts [--] (Mechi 4) Azam Fc itamaliza na Wydad pale Morocco"
X Link 2026-02-07T18:08Z 29.9K followers, 14.2K engagements

"FT: AS FAR 1-0 Yanga FT: Kabylie 0-0 Ahly Ahly - Pts [--] AS FAR - Pts [--] Yanga - Pts [--] Kabylie - Pts [--] Yanga atapaswa kushinda kwa idadi nzuri ya mabao dhidi ya Kabylie na AS FAR afungwe na Ahly ili aende robo fainali"
X Link 2026-02-07T21:11Z 29.9K followers, [----] engagements

"Yanga tutafuzu kwa kishindo pale Zanzibar tutaenda kuionyesha Afrika maajabu ya Yanga yanafananaje anapolitaka jambo lake kwasasa acha wapige mahesabu hiyo sio shughuli yetu sisi shughuli yetu ni kwenda kufuzu πŸŽ™ Ally Kamwe kuhusu kufuzu robo fainali ya CAF CL"
X Link 2026-02-07T23:07Z 29.9K followers, 18K engagements

"HALF TIME #TotalEnergiesCAFCL St Eloi Lupopo [--] βž– [--] Mamelodi #TotalEnergiesCAFCC Kaizer Chiefs [--] βž– [--] Al Masry Nairobi Utd [--] βž– [--] Wydad Otoho d'Oyo [--] βž– [--] Stellenbosch Zesco Utd [--] βž– [--] Zamalek"
X Link 2026-02-08T13:57Z 29.9K followers, [----] engagements

"FULL TIME St Eloi Lupopo [--] βž– [--] Mamelodi Al Hilal - Pts [--] Mc Alger - Pts [--] Mamelodi - Pts [--] St Eloi Lupopo - Pts [--] Mechi za mwisho Al Hilal Lupopo Mamelodi Mc Alger"
X Link 2026-02-08T16:13Z 29.9K followers, [----] engagements

"🚨 DEAL DONE ✍ ➑ Beki wa kushoto Disan Galiwango (27) amejiunga na URA FC akitokea Dodoma Jiji. Galiwango amesaini mkataba wa miaka miwili ya kuwatumikia wakusanya kodi wa Uganda. βœ… It's all Done & Sealed πŸ”’"
X Link 2026-02-09T21:45Z 29.9K followers, [----] engagements

""Hatuhitaji mtuamini sisi Yanga wenyewe tunajiamini na tunajua tutakachoenda kukifanya mmeshapiga hesabu zenu na mmeshamaliza maneno. Tumekuja wakali wa hizi kazi Yanga itakuwa timu pekee kutoka Tanzania itakayocheza robo fainali ya michuano ya CAF msimu huu" πŸŽ™ Ally Kamwe"
X Link 2026-02-10T00:57Z 29.9K followers, [----] engagements

""Nazungumza kwa Confidence sina mashaka kabisa Jumapili Yanga inaenda kufuzu Robo Fainali kama kuna hesabu piga wewe jimalize mimi sina mahesabu. Saa moja nitaenda kumshona mtu pale Amaan Complex saa tatu tutaanza sherehe ya kwenda robo fainali" πŸŽ™ Ally Kamwe"
X Link 2026-02-10T01:08Z 29.9K followers, [----] engagements

"🚨 UPDATES ✍ ➑ JS Kabylie wataingia Zanzibar keshokutwa Ijumaa usiku (Februari 13) kwaajili ya mechi ya CAF CL dhidi ya Yanga itakayopigwa Jumapili Februari [--] ndani ya Amaan Stadium βœ…Kabylie watafanya mazoezi siku moja tu (Jumamosi) wakiwa Tanzania kabla ya mechi hiyo"
X Link 2026-02-11T13:08Z 29.9K followers, 12.1K engagements

""Mechi dhidi ya Stade Malien ni mechi maalumu ya kurudisha dhana ya tunaenda kurejesha imani kwa mashabiki wetu uwanja wa tunauweza na tunaumudu kweli kweli" πŸŽ™ Ahmed Ally"
X Link 2026-02-12T09:12Z 29.9K followers, [----] engagements

"🚨 UPDATES ✍ ➑ Winga mpya wa Al Nasser Kibu Denis atasafiri leo Februari [--] kuelekea Libya kwaajili ya kuanza kuitumikia klabu hiyo akitokea Simba Sc. βœ… Kibu atakuwa analipwa zaidi ya Tshs Milioni [--] kama mshahara wake kwa mwezi"
X Link 2026-02-12T13:14Z 29.9K followers, 20.2K engagements

"🚨 UPDATES ✍ ➑ AS FAR wamewasili Egypt kwaajili ya mechi ya mwisho ya hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi ya wenyeji wao Al Ahly Sc Jumapili hii Februari [--]. βœ… AS FAR wanatafuta sare tu ili wafuzu hatua ya robo fainali"
X Link 2026-02-12T17:45Z 29.9K followers, [----] engagements

"🚨UPDATES ✍ ➑ Dimitar Pantev (49) raia wa Bulgaria ni kocha mpya wa Jwaneng Galaxy ya Botswana hadi mwishoni mwa msimu huu. βœ… Pantev amerejea Botswana baada ya kufutwa kazi Simba Sc"
X Link 2026-02-12T20:04Z 29.9K followers, 14.1K engagements

"🚨UPDATES ✍ ➑ Al Ahly imezishukuru mamlaka za usalama nchini Misri kwa kuruhusu kujaza uwanja kwenye mechi yao ya CAF CL dhidi ya AS FAR Jumapili hii Februari [--] Awali Al Ahly waliruhusiwa kuingiza mashabiki [-----] tu βœ… Mechi itapigwa Cairo International Stadium 🏟"
X Link 2026-02-12T21:59Z 29.9K followers, 16.7K engagements

"🚨 UPDATES ✍ ➑ Winga Ecua Celestin amefunga mabao mawili kwenye ushindi wa mabao 5-0 ambao timu ya U20 ya JS Kabylie imeupata hii leo dhidi ya JS BORDJ MNAIEL. ❌ Ecua hajasafiri kwenda Zanzibar kwasababu ya makubaliano ya mkopo kati ya Yanga na Kabylie"
X Link 2026-02-13T20:39Z 29.9K followers, 13.6K engagements

"Azam Fc XI Wydad [--]. Aishi Manula [--]. Mwaikenda (C) [--]. Pascal Msindo [--]. Fuentes [--]. Yoro Diaby [--]. Himid Mao [--]. Zidane [--]. Akaminko [--]. Kitambala [--]. Feisal Salum [--]. Idd Nado"
X Link 2026-02-15T13:23Z 29.9K followers, [----] engagements

"πŸ“Έ JS Kabylie wameanza safari ya kuelekea Zanzibar kwaajili ya mechi ya CAF CL dhidi ya Young Africans βœ… Kabylie watafika Zanzibar leo usiku na watafanya mazoezi mara moja (kesho) kabla ya mechi hiyo itakayopigwa Jumapili Februari [--] ndani ya Amaan Stadium"
X Link 2026-02-13T07:37Z 29.9K followers, [----] engagements

"Simba ni timu bora sana barani Afrika sijui imekuwaje tupo juu yao Matarajio yangu yalikuwa ni Simba kumaliza nafasi ya kwanza na sisi nafasi ya pili πŸŽ™ Mauril Njoya- Kocha wa Stade Malien"
X Link 2026-02-13T08:46Z 29.9K followers, 16.1K engagements

"🚨 UPDATES ✍ ➑ Winga wa Simba Sc Libasse Gueye ataikosa mechi ya kesho ya CAF CL dhidi ya Stade Malien kutokana na kutumikia adhabu ya kadi nyekundu. ❌ Kapombe & Libasse wote walionyeshwa kadi nyekundu kwenye mechi dhidi ya Petro De Luanda"
X Link 2026-02-13T09:14Z 29.9K followers, 18.9K engagements

"Timu zilizofuzu Robo Fainali CAF CL Pyramids Fc RS Berkane Ahly Sc Al Hilal Mamelodi Stade Malien Esprance Bado timu moja AS FAR au YANGA"
X Link 2026-02-15T08:41Z 29.9K followers, [----] engagements

"Yanga XI JS Kabylie [--]. Djigui Diarra [--]. Israel Mwenda [--]. Mohamed Hussein [--]. Ibrahim Bacca [--]. Dickson Job [--]. Duke Abuya [--]. Maxi Nzengeli [--]. Allan Okello [--]. Depu [--]. Prince Dube [--]. Pacme Zouzoua"
X Link 2026-02-15T14:58Z 29.9K followers, [----] engagements

""Tutawakosa Libasse na Kapombe kwasababu ya kadi nyekundu walizopata kwenye mechi ya Petro De Luanda lakini hakuna Matata Simba hii hata akosekane nani hakuna pengo litakaloonekana Simba yetu imekamilika kweli kweli waliopo watafanya kazi kwa usahihi na ufasaha" πŸŽ™Ahmed Ally"
X Link 2026-02-13T10:32Z 29.9K followers, [----] engagements

"🚨 UPDATES ✍ ➑ Kiungo wa Al Ahly Emam Ashour anafanya mazoezi na timu baada ya kumaliza adhabu yake ya kusimamishwa kwa muda wa wiki mbili faini ya EGP 1.5m (Tshs 82m) kwa kushindwa kusafiri kwaajili ya kuwakabili Yanga βœ… Yupo tayari kuwakabili AS FAR Februari 15"
X Link 2026-02-13T17:36Z 29.9K followers, 13.2K engagements

"Timu zote nne za Tanzania zimetolewa katika hatua ya makundi ya CAF CL & CAF CC ❌ Young Africans ❌ Simba Sc ❌ Azam Fc ❌ Singida Black Stars Next: NBC PL & CRDB Federation Cup"
X Link 2026-02-15T18:11Z 29.9K followers, [----] engagements

"MECHI ZIJAZO NI CRDB FEDERATION CUP: Simba Sc Greenland πŸ—“ Feb [--] 19:00 Isamuhyo Yanga Sc Cosmopolitan πŸ—“ Feb [--] 19:00 KMC Complex Singida BS Copco πŸ—“ Feb [--] 16:00 Airtel Stadium Azam Fc Endumenti Fc πŸ—“ Feb [--] 21:00 Azam Complex"
X Link 2026-02-15T18:30Z 29.9K followers, [----] engagements

"Updates πŸ‘‡ Official & Confirmed βœ… Farid Mussa (28) ameongeza mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia Young Africans hadi mwaka 2026"
X Link 2024-07-01T21:08Z 29.9K followers, 50.5K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Kama nilivyoripoti siku ya jana Simba imefanya kila liwezekanalo kuhakikisha inampata Feisal Salum kutoka Azam Fc ➑ Kikao cha jana kilikuwa na mazungumzo chanya kwa pande zote mbili. ➑ I know its almost done βšͺπŸ”΄ 🦁"
X Link 2024-07-02T07:42Z 29.9K followers, 125K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ MVP kutoka Ivory Coast Jean Ahoua (22) ni mnyama 🦁 πŸ”΄ βšͺ akitokea Stella Club d'Adjam βœ… Done Sealed & Dusted"
X Link 2024-07-03T12:55Z 29.9K followers, 88.5K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Kama nilivyoripoti jana Jean Baleke ni mchezaji mpya wa Young Africans ➑ Kila kitu kipo tayari anajiandaa na kuripoti kambini kwaajili ya msimu mpya. βœ… Done Sealed & Dusted"
X Link 2024-07-05T05:56Z 29.9K followers, 208.7K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ No Worries Kiungo mkabaji Augustine Okejepha (20) atajiunga na Simba Sc πŸ¦πŸ”΄ akitokea Rivers Utd. ➑ Mkataba wake ni wa miaka mitatu. βœ… Atakuwa akilipwa kiasi cha $6000 (Tshs 15.9m) kwa mwezi"
X Link 2024-07-05T06:12Z 29.9K followers, 49.4K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Augustine Okejepha (20) ni kiungo mkabaji (DM) kutoka Rivers Utd ➑ Kwenye maisha yake amepita timu mbili tu Warri Wolves Fc na Rivers. βœ… Simba wamemchomoa Key Player ndani ya Rivers βœ… Done Sealed & Dusted"
X Link 2024-07-06T09:15Z 29.9K followers, 40.5K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ No Worries Mlinzi wa kati CHAMOU KARABOUE (23) kutoka RC Abidjan amekamilisha taratibu za kujiunga na Simba Sc ➑ Beki wa kushoto Valentin Nouma (24) & Kiungo Debora Fernandez Mavambo (24) nao watakuwa sehemu ya Simba Sc βœ… Done Sealed & Dusted"
X Link 2024-07-06T11:27Z 29.9K followers, 51.6K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ No Worries Viungo wa kati Yusuph Kagoma na Awesu Awesu wote wamesaini mikataba ya kuitumikia Simba Sc ➑ I know Yusuph Kagoma anaitaka Simba hana mpango wa kwenda timu nyingine. βœ… Done Sealed & Dusted"
X Link 2024-07-07T23:00Z 29.9K followers, 64.2K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Kiungo wa klabu ya Young Africans Stephane Aziz KI anatarajia kuingia Tanzania alfajiri ya kuamkia kesho Jumatano Julai [--] kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya. ➑ No Worries He is here to Stay"
X Link 2024-07-09T15:48Z 29.9K followers, 111.4K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Klabu ya Simba Sc imekamilisha usajili wa mlinzi wa kulia Kelvin Kijili (24) akitokea Fountain Gate Fc. βœ… Done Sealed & Dusted"
X Link 2024-07-09T18:51Z 29.9K followers, 89.2K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Kama nilivyoripoti ukiachana na mechi dhidi ya Kaizer Chiefs Young Africans wamealikwa kwenye Mpumalanga Premier's International Cup itayochezwa Julai 20-27 Afrika Kusini βœ… Timu shiriki TS Galaxy Augsburg Young Africans Mbabane Swallows"
X Link 2024-07-10T18:10Z 29.9K followers, 57.9K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ No Worries Beki wa kulia Kelvin Kijili (24) ni mchezaji mpya wa Simba Sc kama nilivyoripoti. ➑ I know Hii leo Alhamisi amesafiri kuelekea Egypt kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya. Utambulisho wake πŸ”œ"
X Link 2024-07-11T08:19Z 29.9K followers, 39.4K engagements

"Ratiba ya Mpumalanga Premier's International Cup βœ… Julai [--] [----] Augsburg Young Africans Ts Galaxy Mbabane Swallows βœ… Julai [--] Ts Galaxy Augsburg Mechi zitakuwa Live SABC 1"
X Link 2024-07-11T11:00Z 29.9K followers, 50K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Klabu ya Simba Sc imepanga kucheza mechi [--] wakiwa Egypt kabla ya kurejea kwenye Simba Day. ➑ Mechi zitaanza kuchezwa wiki ijayo. Timu watakazocheza nazo πŸ”œ"
X Link 2024-07-11T21:52Z 29.9K followers, 57.4K engagements

"More Updates πŸ‘‡ ➑ Mkataba wa Jean Baleke (23) na Young Africans utakuwa ni wa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Tp Mazembe. βœ… Timu zote mbili zimeshakubaliana na tayari Baleke ameanza mazoezi na Young Africans Avic Town. ➑ Possibly anaweza kutangazwa leo"
X Link 2024-07-12T07:07Z 29.9K followers, 45.2K engagements

"πŸ“Έ Jean Baleke akiwa kwenye Mazoezi ya maandalizi ya msimu mpya na Young Africans #TransferUpdates"
X Link 2024-07-12T09:20Z 29.9K followers, 46.4K engagements

"Updates πŸ‘‡ Its Over ➑ Simba Sc na Moses Phiri wamekubaliana kusitisha mkataba wa mwaka mmoja uliobaki. ➑ Moses Phiri ni mchezaji huru"
X Link 2024-07-12T12:21Z 29.9K followers, 50.8K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Sadio Kanout amejiunga na JS Kabylie ya Algeria kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Simba Sc ➑ Kanoute anaungana na kocha Abdelhak Benchikha klabuni hapo"
X Link 2024-07-12T20:53Z 29.9K followers, 39.6K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Kiungo mkabaji wa Young Africans Khalid Aucho (30) tayari amerejea jijini Dar Es Salaam kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya. ➑ Leo Jumapili ilikuwa ni siku ya mapumziko kwa wachezaji wote wa klabu. βœ… Kesho Jumatatu watarejea mazoezini"
X Link 2024-07-14T15:52Z 29.9K followers, 58.4K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ As Maniema Union wameanza safari ya kuja jijini Dar Es Salaam kwaajili ya Pre Season. ➑ Maandalizi yao ya msimu mpya watafanyia Avic Town (Nyumbani kwa mabingwa Young Africans)"
X Link 2024-07-15T09:05Z 29.9K followers, 53.4K engagements

"βœ… Djigui Diarra is Back in Training"
X Link 2024-07-15T15:10Z 29.9K followers, 19.2K engagements

"Updates πŸ‘‡ Official & Confirmed ➑ Klabu ya Gor Mahia FC imethibitisha kuwa Sheria Ngowi ndiye Designer wa jezi zao za msimu ujao wa 2024-25"
X Link 2024-07-15T19:38Z 29.9K followers, 36.7K engagements

"Pre Season ya Young Africans ➑ Kesho Julai [--] inaenda Afrika Kusini ➑ Julai [--] inacheza Augsburg ➑ Julai [--] inacheza Ts Galaxy (Closed Door) ➑ Julai [--] inacheza Kaizer Chiefs ➑ Alfajiri ya Julai [--] inawasili Dar Es Salaam"
X Link 2024-07-17T12:08Z 29.9K followers, 31.9K engagements

"RATIBA YA NGAO YA JAMII [----] Azam Fc Coastal Union 🏟 New Amaan Stadium - Agosti [--] Saa 10:00 Jioni Young Africans Simba Sc - Agosti [--] 🏟 Benjamin Mkapa Saa 1:00 usiku Mechi za mshindi wa tatu na Fainali zitapigwa Benjamin Mkapa saa 9:00 Alasiri na 1:00 usiku"
X Link 2024-07-18T06:34Z 29.9K followers, 22.1K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Aliyekuwa CEO wa Kagera Sugar Ibrahim Mohamed Said amejiunga na Young Africans ➑ Ibrahim atakuwa kwenye idara ya Mashindano ya klabu hiyo. βœ… Tayari yupo Afrika Kusini na timu"
X Link 2024-07-18T18:56Z 29.9K followers, 47.9K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Kaizer Chiefs wamepanga kuzindua jezi zao mpya Alhamisi hii Julai [--] [----] ➑ Kwa mara ya kwanza jezi hizo zitatumika kwenye mechi ya Toyota Cup dhidi ya Young Africans siku ya Jumapili Julai 28"
X Link 2024-07-21T20:11Z 29.9K followers, 28.1K engagements

""Namshukuru sana Ghalib licha ya kufungiwa nilikuwa naendelea kulipwa mshahara" "Cha ajabu mwaka jana niliongezewa mshahara na Mkataba wangu ulikuwa unamalizika [----] lakini nimeongezewa hadi 2026" ➑ Haji Manara"
X Link 2024-07-22T09:57Z 29.9K followers, 30.5K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Kiungo mshambuliaji wa Young Africans Pacome Zouzoua (27) amesafiri hii leo kuelekea Afrika Kusini kuungana na timu yake kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya. ➑ I know anafika jioni na hatokuwa sehemu ya mechi ya kesho dhidi ya Ts Galaxy"
X Link 2024-07-23T13:26Z 29.9K followers, 42.9K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ According to iDiski Times Young Africans have rejected a $300000 (Tshs 804m) and $500 [---] (Tshs 1.3B) offer from Wydad Ac for Stephane Aziz KI (28) ➑ They want $1 million (Tshs 2.7B) βœ… Aziz KI already signed a new two-year deal with Young Africans"
X Link 2024-07-23T13:56Z 29.9K followers, 34.4K engagements

"Updates πŸ‘‡ Official & Confirmed βœ… Djuma Shabani (31) amejiunga na Namungo Fc kama mchezaji huru"
X Link 2024-07-26T22:23Z 29.9K followers, 38.1K engagements

"πŸ“Έ Ellie Mpanzu akishangilia bao lake ndani ya timu ya akiba ya KRC GENK hapo jana. #TransferUpdates"
X Link 2024-08-01T17:05Z 29.9K followers, 26.9K engagements

"Fadlu Davids πŸ—£ "Hawatujui vizuri kwasababu tuna timu mpya nina uhakika 100% hawawezi kutabiri kikosi mbinu na namna tunavyoingia hii itakuwa faida kwetu" Miguel Gamondi πŸ—£ "Ni kweli hatuwajui vizuri kwasababu mechi hazijaonyeshwa kwenye Tv ila mpira hauna siri""
X Link 2024-08-07T09:28Z 29.9K followers, 46.8K engagements

"OFFICIAL: Klabu ya Simba Sc itautumia uwanja wa KMC Complex Mwenge kwaajili ya mechi zao za nyumbani za Ligi Kuu ya NBC 2024-25 Mechi yao ya kwanza ni dhidi ya Tabora Utd Agosti 18"
X Link 2024-08-09T09:37Z 29.9K followers, 33.4K engagements

"Updates πŸ‘‡ ❌ Yanga wamekataa ofa ya Wydad kuhusu uhamisho wa Clement Mzize (20) ➑ $100k (Tsh 270m) na kipengele cha kuongeza hadi kufika 400m kutokana na Performance yake ➑ Mzize ameonyesha nia ya kuondoka Yanga wanataka $1m (Tsh 2.7B) Wydad wanaandaa ofa mpya"
X Link 2024-08-21T10:04Z 29.9K followers, 46.7K engagements

"Vinara wa Assists katika Ligi Kuu ya NBC 2024-25 hadi sasa. ➑ Jean Charles Ahoua [--] ➑ Mohamed Hussein [--] #NBCPL"
X Link 2024-08-25T15:10Z 29.9K followers, 20.3K engagements

"Updates "Clement Mzize atakuwa mshambuliaji namba moja wa timu ya Taifa ya Tanzania miaka miwili inayokuja watu watashangaa huyu kijana hawezi kumalizia mpira wake Tanzania atacheza ulaya na sio yeye tu kuna Charles Semfuko ni kiungo mzuri sana" πŸ—£ Mwinyi Zahera"
X Link 2024-08-29T06:07Z 29.9K followers, 33.2K engagements

""Nawapenda sana Wananchi naipenda sana Yanga nipo hapa hadi Eng Hersi atakaposema basi" πŸ—£ Khalid Aucho via Insta Live"
X Link 2024-09-02T10:21Z 29.9K followers, 36K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Prince Dube na Duke Abuya wote wameanza kwenye vikosi vya kwanza kwenye mechi ya leo ya Kufuzu AFCON [----]. Kenya Zimbabwe"
X Link 2024-09-06T12:41Z 29.9K followers, 23.7K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Kati ya wachezaji [--] wa Yanga Sc walioitwa timu za Taifa mwezi huu Septemba kwaajili ya mechi mbili za Kufuzu AFCON [----] ni wachezaji wawili tu ndio hawajapata dakika yoyote ya kucheza ❌ Ni Aziz KI na Aboutwalib Mshery βœ… Wachezaji [--] wametumika"
X Link 2024-09-11T06:58Z 29.9K followers, 33.6K engagements

"Updates πŸ‘‡ Teacher Mukoko Tonombe (28) alipoitembelea klabu yake ya zamani ya Young Africans ambayo aliitumikia kutoka [----] hadi 2022"
X Link 2024-09-11T10:58Z 29.9K followers, 32.8K engagements

"KAGOMA YANGA πŸ”ΊMarch [--] alitumiwa tiketi ya Ndege πŸ”Ί March [--] alisaini mkataba wa miaka [--] πŸ”Ί Aprili [--] Yanga iliwalipa Fountain Gate Tshs 30m πŸ”Ί July [--] FG walituma barua kuomba malipo ya Kagoma yawe ya Kibabage siku hiyo hiyo Yanga walituma 30m nyingine kwaajili ya Kibabage"
X Link 2024-09-12T10:48Z 29.9K followers, 126.7K engagements

"Ndio Natamani kucheza na Wachezaji wakubwa. Unapokuwa Mchezaji mzuri ukicheza timu kubwa na Wachezaji wazuri maana yake kazi yako inakuwa rahisi. Kwahiyo ni ndoto yangu πŸ—£ Gibril Silla kuhusu kucheza na Aziz KI na Chama kwenye timu moja"
X Link 2024-09-17T09:55Z 29.9K followers, 32.1K engagements

""Ni kweli nilitafutwa na Simba lakini naamini kila kitu kina muda wake muda wangu wa kwenda labda ulikuwa haujafika Klabu yangu ilikuwa inanihitaji lazima niwape kipaumbele na nilipe fadhila kwasababu wamenilea. Nina furaha hapa Azam napata muda wa kucheza" πŸ—£ Pascal Msindo"
X Link 2024-09-17T11:04Z 29.9K followers, 33.2K engagements

""Kombe la Shirikisho ni zuri vibaya mno inategemea ni nani anashiriki Kama unacheza na Marumo linakuwa ni baya lakini kama unacheza na Ahly Tripoli Simba Zamalek linakuwa kombe bora. Niwahakikishie mwaka huu litakuwa kombe lenye mvuto na kufuatiliwa zaidi" πŸ—£ Ahmed Ally"
X Link 2024-09-18T08:41Z 29.9K followers, 37.1K engagements

"More Updates πŸ‘‡ ➑ Ellie Mpanzu ameshawasili Tanzania kwaajili ya Simba Sc na sio timu nyingine yoyote. βœ… Sehemu kubwa ya Mazungumzo yao yalishakamilika. Leo watajadili baadhi ya vipengele kabla ya kusaini mkataba"
X Link 2024-09-20T07:14Z 29.9K followers, 33.7K engagements

"Official & Confirmed πŸ”₯ ➑ Mechi ya Ligi Kuu ya NBC kati ya Azam Fc dhidi ya Simba Sc itachezwa katika uwanja wa New Amaan Stadium Zanzibar. βœ… Mechi itapigwa Septemba [--] [----] Saa 2:30 usiku. #NBCPL"
X Link 2024-09-21T11:42Z 29.9K followers, 111.9K engagements

"Wameingia Makundi Kibabe πŸ”₯ Esperance [--] βž– [--] Dekedda (AGG 12-1) Mamelodi [--] βž– [--] Mbabane (AGG 8-0) Yanga [--] βž– [--] CBE (AGG 7-0) Ahly [--] βž– [--] Gor Mahia (AGG 6-0) #TotalEnergiesCAFCL"
X Link 2024-09-21T20:10Z 29.9K followers, 32.4K engagements

"Wafungaji Bora wa Muda wote - CAF CL MohamedAboutreika: [--] - Amestaafu Trsor Mputu: [--] - Amestaafu Emad Meteb: [--] - Amestaafu Flvio: [--] - Amestaafu Clatous Chama: [--] Mbwana Samatta: [--] #TotalEnergiesCAFCL"
X Link 2024-09-21T23:24Z 29.9K followers, 41.4K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Kikosi cha Simba Sc kitaondoka Jumatano asubuhi kuelekea Zanzibar kwaajili ya mechi yao ya Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam Fc siku ya Alhamisi Septemba [--]. ➑ Mechi itapigwa saa 2:30 usiku"
X Link 2024-09-23T16:18Z 29.9K followers, 24.4K engagements

"Updates πŸ‘‡ βœ… Official & Confirmed DRC Tanzania πŸ—“ Oktoba [--] Kinshasa Tanzania DRC πŸ—“ Oktoba [--] Dar Es Salaam Kufuzu AFCON 2025"
X Link 2024-09-24T17:20Z 29.9K followers, 25.5K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Kiungo wa Yanga Stephane Aziz KI ameitwa kwenye kikosi Burkina Faso kwaajili ya mechi mbili za kufuzu AFCON [----] dhidi ya Burundi Okt. [--] & [--] ➑ Beki wa kushoto wa Simba Valentin Nouma hajaitwa moja kwa moja yupo kwenye Reserve yenye wachezaji watano"
X Link 2024-09-27T16:18Z 29.9K followers, 32.7K engagements

"πŸ“Έ Victorien Adebayor ameanza Mazoezi na timu yake mpya ya Singida Black Stars FC kwaajili ya mechi zijazo. #NBCPL"
X Link 2024-09-28T11:33Z 29.9K followers, 30.9K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Youssouph Dabo ni kocha mpya wa As Vita Club ya DRC ➑ Dabo amejiunga na klabu hiyo baada ya kufutwa kazi ndani ya Azam Fc"
X Link 2024-10-02T21:35Z 29.9K followers, 29.7K engagements

"Kipre Junior anarejea Tanzania kuwavaa Young Africans kwa mara nyingine akiwa na timu yake mpya ya Mc Alger βœ… Atakutana dimbani na rafiki zake wakubwa Attohoula Yao na Pacome Zouzoua "
X Link 2024-10-07T12:20Z 29.9K followers, 34.3K engagements

""Nataka kuwafunga Yanga Tar. [--] sitaki kujua wana mabeki wa aina gani sitaki kujua kama kuna Sergio Ramos anacheza Yanga sitaki kujua majina ya mabeki wa Yanga ninachohitaji ni kufunga" πŸ—£ Christian Lionel Ateba mbele ya waandishi wa Habari kwenye Simba Media Day"
X Link 2024-10-08T13:11Z 29.9K followers, 44.2K engagements

""Mchezaji wa nje ya Simba ambaye namkubali zaidi ni Maxi Nzengeli namkubali sana kuanzia uwanjani hadi maisha yake anayoyaishi" "Ni mchezaji ninayevutiwa nae sana kwa namna anavyocheza" πŸŽ™ Ladack Chasambi - Mchezaji wa Simba"
X Link 2024-10-11T08:37Z 29.9K followers, 27.2K engagements

""Nataka niwaambie watanzania kuna vitu wanapaswa kufanya mfano Msuva kwa upande wetu tulikuwa tunamhofia hata kocha wetu aliulizia sana kama ameitwa kama angekuwepo wangesaidiana na Samatta ingekuwa vizuri sana tulipata faida kwasababu Msuva hakuwepo" πŸŽ™ Fiston Mayele"
X Link 2024-10-15T17:57Z 29.9K followers, 40.7K engagements

""Mzize ni mchezaji mzuri mnapaswa kumpa moyo ili afike mbali huyu sio mgeni ni mchezaji wenu msipomuunga mkono ni nani atakuwa Samatta wa baadae Yanga anapata nafasi mbele ya wachezaji wakubwa kama Dube Baleke na Musonda maana yake uwezo wake ni mkubwa" πŸŽ™ Khalid Aucho"
X Link 2024-10-17T13:52Z 29.9K followers, 35.9K engagements

"Diarra alifika DSM masaa [--] kabla ya mechi ya Derby "Rais alinitengenezea mazingira mazuri ya usafiri sikuchoka na nilipata tiketi ya Business Class Nilivyotua Airport alituma mtu anifuate ili niwahi moja kwa moja uwanjani Kama kuna siku niliuwazia ushindi basi ni siku ile""
X Link 2024-10-22T09:39Z 29.9K followers, 51.2K engagements

"πŸŽ™ Aucho: "Nani amewaambia kuwa naondoka Yanga nimesema huu ni msimu wa mwisho kwenye mkataba wangu sijasema ni mwisho wangu wa kucheza Yanga Mimi bado nipo. Tutegemee utaongeza mkataba πŸŽ™ Aucho: " Inshallah ""
X Link 2024-10-24T15:40Z 29.9K followers, 31.2K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Uongozi wa Young Africans unatarajia kukaa kikao kizito usiku huu na kocha Miguel Gamondi kuhusu hatma yake. ➑ Uongozi haufurahishwi na mwenendo wa timu tangu kuanza kwa Ligi Kuu ya NBC 2024-25. Maamuzi ni baada ya kikao"
X Link 2024-11-07T17:54Z 29.9K followers, 93.5K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Maxi Nzengeli (24) hatoondoka Yanga Sc mwishoni mwa msimu huu. βœ… Proposal ya mkataba mpya iko tayari na pande zote mbili zipo tayari kuendelea na project Here to Stay πŸ”₯ it's just a matter of time 🟒 🟑"
X Link 2024-11-09T16:12Z 29.9K followers, 133.5K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Yanga itafanya mabadiliko muda wowote kuanzia sasa ❌ Kitengo cha Sheria kitaguswa na viongozi wengi hawajakubali maamuzi ya kumbakisha Gamondi wanataka afutwe kazi ➑ Pia imewaondoa waliohusika na uhujumu wa jezi mpya za CAF CL zitakazotoka wiki ijayo"
X Link 2024-11-15T07:14Z 29.9K followers, 143.6K engagements

"Wafungaji Bora wa muda wote katika timu ya Taifa ya Tanzania βœ… Mrisho Ngassa: [--] βœ… Simon Msuva: [--] βœ… Mbwana Samatta: [--] Simon Msuva anatafuta mabao [--] ili kufikia Rekodi ya Mrisho Ngassa"
X Link 2024-11-16T18:10Z 29.9K followers, 43.3K engagements

""Tunawaomba Pamba waje wacheze mpira wasije kucheza kama wametumwa wasije kucheza mpira wa hovyo ili kuwaumiza wachezaji wetu ili washindwe kucheza mechi ya Kimataifa tunaomba waamuzi wawe macho. Bado hatujasahau suala la Moses Phiri linatuuma mpaka leo" πŸŽ™ Ahmed Ally"
X Link 2024-11-21T05:45Z 29.9K followers, 48.3K engagements

"Rayon Sports chini ya Kocha Robertinho katika Ligi Kuu ya Rwanda [----] - [--] 🏟 Mechi: [--] βœ… Kushinda: [--] 🀝 Sare: [--] ❌ Kupoteza: [--] ⚽ Magoli ya kufunga: [--] ❌ Magoli waliyoruhusu: [--] 🧀 Clean Sheets: [--] This Man πŸ”₯"
X Link 2024-11-26T08:29Z 29.9K followers, 44.7K engagements

""Nimefurahishwa sana na Performance ya Mukwala alikuwa bora kwenye eneo la kutengeneza nafasi na mikimbio mizuri nyuma ya walinzi kama mshambuliaji hakufanikiwa kufunga lakini kiufundi alikuwa na mechi bora sana" πŸŽ™ Fadlu Davids (Kocha wa Simba)"
X Link 2024-11-27T15:32Z 29.9K followers, 40.2K engagements

"Ladack Chasambi dhidi ya Kagera Sugar: Dakika: [--] ⚑ Mashuti: [--] Assists: 3"
X Link 2024-12-21T15:23Z 29.9K followers, 44.4K engagements

"It's Aboutwalib Mshery Again πŸ”₯ βœ… Baada ya kiwango bora dhidi ya Tz Prisons Aboutwalib Mshery anatarajia kuendelea kukaa langoni dhidi ya Dodoma Jiji Fc hii leo. #NBCPL"
X Link 2024-12-25T11:52Z 29.9K followers, 34.2K engagements

"Again πŸ”₯ βœ… Aboutwalib Mshery βœ… Nickson Kibabage βœ… Kibwana Shomari βœ… Dickson Job Wote wameanza kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga dhidi ya Dodoma Jiji Fc"
X Link 2024-12-25T12:12Z 29.9K followers, 51.4K engagements

"NBC PL 2024-25 hadi sasa: [--] Simba Sc - Pts [--] [--] Yanga Sc - Pts [--] ➑ Mechi zijazo: Singida Bs Simba Sc (Dec 28) Yanga Sc Fountain Gate (Dec 29) Nani atafunga mwaka akiwa kileleni"
X Link 2024-12-25T16:24Z 29.9K followers, 59.9K engagements

"πŸ“Έ Muonekano mpya wa sehemu ya kukaa Benchi la Ufundi ndani ya uwanja wa Azam Complex unaomilikiwa na Azam Fc"
X Link 2024-12-27T09:14Z 29.9K followers, 74.2K engagements

"Uwezo wako ni mkubwa kuliko changamoto zako. Fanya mambo kwa upendo na utaona matokeo mazuri"
X Link 2024-12-30T08:23Z 29.9K followers, 526.9K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Bernard Morrison amejiunga na Kengold Fc kwa mkataba wa miezi sita kama mchezaji huru βœ… Done & Sealed πŸ” Official Announcements soon"
X Link 2024-12-31T16:09Z 29.9K followers, 59.8K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Young Africans imekamilisha usajili wa moja kwa moja wa Israel Mwenda (24) kutoka Singida Black Stars. βœ… Sasa ni mali halali ya Young Africans na sio kwa mkopo kama ilivyokuwa awali"
X Link 2025-01-13T13:55Z 29.9K followers, 85K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Klabu ya Kengold Fc ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili kiungo Mshambuliaji Luis Miquissone (29) kutoka UD Songo. ➑ Miquissone ameshatua jijini Mbeya na leo amefanya mazoezi na klabu hiyo"
X Link 2025-01-13T18:49Z 29.9K followers, 68K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Wachezaji watatu wa Singida Black Stars wamebadili uraia na kuwa watanzania. βœ… E. Keyekeh (27) ➑ βœ… Arthur Bada (22) ➑ βœ… Damaro Camara (21) ➑ Nani unatamani kumuona akiwa na jezi ya Taifa Stars"
X Link 2025-01-22T15:20Z 29.9K followers, 107.4K engagements

"πŸ‘‡ ➑ Wydad na Singida Black Stars wamefikia makubaliano ya uhamisho wa mshambuliaji Seleman Mwalimu (19) Exclusive Details: βœ… Mkataba wa miaka [--] wenye thamani ya $350K (Tshs 891m) βœ… Mshahara $2.5k (Tshs 6.3m) βœ… Bonus ya kila magoli $300"
X Link 2025-01-31T13:46Z 29.9K followers, 90.7K engagements

"βœ… Ameingia dakika ya [--] akitokea benchi βœ… Amebeba tuzo ya mchezaji bora wa mechi. Maxi Nzengeli πŸ”₯ #NBCPL"
X Link 2025-02-01T15:29Z 29.9K followers, 30.8K engagements

"Vinara wa mabao - NBC PL 2024-25 hadi sasa Clement Mzize (Yanga): [--] Elvis Rupia (Singida Bs): [--] Prince Dube (Yanga): [--] Jean Ahoua (Simba): [--] Lionel Ateba (Simba): [--] Pacm Zouzoua (Yanga): [--] βœ… Hii vita πŸ”₯"
X Link 2025-02-05T15:09Z 29.9K followers, 43.2K engagements

"Mashabiki wa Pamba Jiji ndani ya uwanja wa CCM KIRUMBA jijini Mwanza mara baada ya kuifunga Azam Fc bao 1-0 #NBCPL"
X Link 2025-02-09T15:22Z 29.9K followers, 39.3K engagements

"Vinara wa mabao - NBC PL 2024-25 hadi sasa Clement Mzize (Yanga): [--] Prince Dube (Yanga): [--] Jean Ahoua (Simba): [--] Lionel Ateba (Simba): [--] Elvis Rupia (Singida Bs): [--] Pacm Zouzoua (Yanga): [--] βœ… Ushindani πŸ”₯"
X Link 2025-02-14T15:27Z 29.9K followers, 28.7K engagements

"Mechi zilizobaki [--] [--] Pts [--] Pts [--] Tabora Mashujaa Coastal JKT Azam Pamba Fountain Kmc Namungo Singida Prisons Kengold Dodoma Kagera Simba Yanga"
X Link 2025-03-14T16:25Z 29.9K followers, 92.5K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Shirikisho la soka la Guinea limewaambia Simba Sc kuwa watamfanyia vipimo Golikipa Moussa Camara na kuendelea kumtibu ili kuona uwezekano wa kumtumia kwenye mechi za kufuzu World Cup. βœ… Camara ameondoka Tanzania kuelekea Guinea"
X Link 2025-03-15T07:40Z 29.9K followers, 52.2K engagements

"FT: Simba Sc [--] βž– [--] KMC ⚽ Edwin Balua ⚽ Valentino Mashaka ⚽ ⚽ Lionel Ateba βœ… Mechi ya Kirafiki"
X Link 2025-03-22T15:07Z 29.9K followers, 43.5K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Simba Sc itacheza mechi yake ya kwanza ya nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Stellenbosch katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar Aprili [--]. βœ… Kuanzia kesho Jumatatu hamasa zitaanza kufanyika Zanzibar tayari kwa mechi hiyo"
X Link 2025-04-13T19:37Z 29.9K followers, 55.3K engagements

"Ahmed Ally baada ya kushinda kesi ya Kimaadili dhidi ya Yanga Sc"
X Link 2025-04-19T07:28Z 29.9K followers, 38.4K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Kmc Fc imeipeleka mechi yao ya Ligi Kuu ya Nbc dhidi ya Simba Sc katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora. βœ… Mechi hiyo itapigwa Mei [--] saa [--] jioni"
X Link 2025-04-25T04:50Z 29.9K followers, 43.6K engagements

"Ally Kamwe kuhusu Barua ya Young Africans kutoka CAS"
X Link 2025-05-02T05:48Z 29.9K followers, 94.9K engagements

"FT: Kaizer Chiefs 2-1 Orlando Pirates βœ… Kaizer Chiefs ni mabingwa wa Nedbank Cup 2024/25. Baada ya kupita kipindi cha miaka πŸ”Ÿ hatimae wameanza kubeba makombe"
X Link 2025-05-10T15:44Z 29.9K followers, 29.2K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Ellie Mpanzu (23) alisaini mkataba wa miaka miwili ya kuitumikia Simba Sc utakaomalizika [----]. ➑ As Vita Club walifanya biashara na Simba kwa dau la USD 180K (Tshs 484m) βœ… Ni mali halali ya Simba Sc"
X Link 2025-05-13T08:46Z 29.9K followers, 55.9K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Kiungo wa Yanga Stephane Aziz KI amevaa kitambaa cha unahodha katika mechi ya leo ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank dhidi ya JKT Tanzania. ➑ Yanga wanampa heshima za mwisho kabla hajaondoka klabuni hapo"
X Link 2025-05-18T13:10Z 29.9K followers, 32.3K engagements

"Updates πŸ‘‡ ➑ Aziz KI hajaondoka free Young Africans biashara ya mkataba wake wa mwaka mmoja uliosalia imefanyika. ➑ Wydad wametumia kiasi cha $1m (Tshs Bilioni 2+) kwaajili ya kumpata. βœ… Atasaini mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongeza mwingine"
X Link 2025-05-19T16:37Z 29.9K followers, 53.3K engagements

"Mwenyezi Mungu akawaangazie nuru na kuwapa nguvu familia zote zilizopoteza ndugu zao Eeh Mwenyezi Mungu tujaalie mwisho mwema πŸ™"
X Link 2025-11-04T15:03Z 29.9K followers, 74.4K engagements

Limited data mode. Full metrics available with subscription: lunarcrush.com/pricing