@tourism_heritag Ministry of Tourism and HeritageMinistry of Tourism and Heritage posts on X about zanzibar, kwa, tanzania, investment the most. They currently have [---] followers and [--] posts still getting attention that total [---] engagements in the last [--] hours.
Social category influence travel destinations countries finance premier league champions league celebrities currencies
Social topic influence zanzibar, kwa #450, tanzania #1012, investment, mambo, oman, bent, mancity, chacha, surfing
Top accounts mentioned or mentioned by @aboudjumbe @drhmwinyi @abdallazanzibar @suluhusamia @mancity @wemazanzibar @iitmzanzibar @uncdf @undptz @uhamiajitz @crystalcruises @japanambtz @unescodar @alimwadini @ecaofficial @elonmusk @mudricksoraga @dronezanzibar @omanzanzibar
Top assets mentioned Mambo (MAMBO)
Top posts by engagements in the last [--] hours
"Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga ameongoza Kikao cha Mashirikiano kati ya Wizara hiyo na Ujumbe kutoka Qatar Foundation ambao umefatana na Mr. Richard Griffiths (Advisor) na Houriya Ahmed ( Director ). @aboudjumbe @elonmusk @MudrickSoraga"
X Link 2024-08-02T13:23Z [--] followers, [--] engagements
"Zanzibar ipo katika Upeo wa Ongezeko la Uwekezaji kutokana na Urithi wa kipekee wa Kitamaduni na Mvuto wa Asili Onesho hili linatoa Fursa ya Dhahabu kwa Wawekezaji kutumia Uwezo uliofichika wa Sekta ya Utalii"
X Link 2024-10-03T17:00Z [--] followers, [--] engagements
"Balozi wa Heshima wa Tanzania nchini Ureno Mr. Rui Carlos Estrela de Sa Pessoa akutana na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga leo tarehe 04Oct [----] wakati alipofika Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar kwa Mazungumzo na Utambulisho"
X Link 2024-10-04T17:31Z [--] followers, [--] engagements
"Maonesho ya Utalii wa Halal Tarehe [--] Oktoba [----] Hotel Verde yanatoa Fursa nzuri kwa Zanzibar kungaara kama Kivutio Kikuu cha Utalii wa Halal. Pia kutakuwa na Warsha itakayowaleta pamoja Wajumbe [--] na kujadili kuhusu Mustakabali wa Utalii wa Halal"
X Link 2024-10-05T20:57Z [--] followers, [--] engagements
"Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga ameongoza kikao cha Kamati ya Uongozi Wizara ya Utalli na Mambo ya Kale Zanzibar kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara iliyopo Kikwajuni - Unguja "
X Link 2024-10-09T08:20Z [--] followers, [--] engagements
"Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaendelea kushirikiana na Wadau tofauti katika Kuyalinda Kuyatunza na Kuyahifadhi Majengo ya Kale na kuwaUrithi kwa Vizazi vya sasa na Vijavyo. Ameyasema hayo Mhe. Mudrick R. Soraga wakati akizindua Jengo la Old Custom HouseForodhani Zanzibar"
X Link 2024-10-10T10:21Z [--] followers, [--] engagements
"Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inahitaji wadau zaidi kuungamkono juhudi za kuutunza kuuhifadhi na kuendeleza Mji Mkongwe wa Zanzibar kutokana na umuhimu wake kwa Uchumi wa nchi"
X Link 2024-10-11T22:24Z [--] followers, [--] engagements
"Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi atakuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Kimataifa la "Light Upon Light" litakalofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex tarehe [--] Oktoba [----] kuanzia saa 1:00 asubuhi"
X Link 2024-10-11T22:55Z [--] followers, [--] engagements
"Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza mafanikio makubwa yaliyopatikana nchini kupitia sekta ya utalii yanayoitangaza Tanzania kimataifa na kuitambulisha duniani kuwa nchi ya kwanza Afrika inayofanya vizuri kwa utalii na ya sita Dunia nzima"
X Link 2024-10-12T18:37Z [--] followers, [--] engagements
"Maonesho ya Utalii wa Halal Zanzibar katika Hotel Verde yaliyowaleta pamoja wajumbe [--] kutoka mataifa mbalimbali na kuongelea kuhusu Mustakabali wa Utalii wa Halal"
X Link 2024-10-13T13:29Z [--] followers, [--] engagements
"Zanzibar Tourism and Investment Show . Join us at the Zanzibar Exihibition Center in Fumba for the Premier Event in Tourism and Investment on the 25th and 26th October 2024"
X Link 2024-10-16T09:31Z [--] followers, [---] engagements
"Get ready for Zanzibar's biggest event of the year The Zanzibar Tourism and Investment Show [----] (ZTIS) is coming and this video gives you an exclusive sneak peek"
X Link 2024-10-21T18:54Z [--] followers, [---] engagements
"Exclusive Interview on Clouds Fm with the Minister of Tourism and Heritage about the First ever Zanzibar Tourism and Investment Show to be held on 25th and 26th October [----] at the Zanzibar Exihibition Center in Fumba"
X Link 2024-10-23T09:56Z [--] followers, [---] engagements
"It's Official We're thrilled to launch the 6th Pemba Tourisport & Cultural Bonanza [----] (PTCB) Date: November 8th [----] Time: [--] AM Venue: Hotel Verde Zanzibar - Azam Luxury Resort & Spa. Don't miss this exciting celebration of Pemba's culture sport and vibrant community"
X Link 2024-11-07T19:15Z [--] followers, [--] engagements
"It's Official We're thrilled to launch the 6th Pemba Tourisport & Cultural Bonanza [----] (PTCB) Date: November 8th [----] Time: [--] AM Venue: Hotel Verde Zanzibar - Azam Luxury Resort & Spa. Don't miss this exciting celebration of Pemba's culture sport and vibrant community"
X Link 2024-11-07T19:18Z [--] followers, [---] engagements
"Hon.Mudrik Soraga Minister of Tourism and Cultural Heritage along with Arif Abass Executive Secretary of Zanzibar Commission for Tourism have officially launched the 6th Annual Pemba Tourisport & Cultural Bonanza Happening November 27-30 [----] in Pemba"
X Link 2024-11-08T16:32Z [--] followers, [---] engagements
"Serikali ya Zanzibar imeanzisha kikosi maalumu cha Utalii Diplomasia ambacho jukumu la msingi la kikosi ni kuhakikisha usalama wa watalii na mali zao wanapokua nchini. Kwa sasa kikosi kina jumla maafisa [---] maafisa hao wanatoka katika vikosi mbali mbali vya ulinzi na usalama"
X Link 2024-11-12T09:22Z [--] followers, [---] engagements
"Viongozi na Watendaji mbalimbali kutoka Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar wakiongozwa na Waziri Mudrik Soraga kwa pamoja na Kamati ya Kilimo Biashara na Utalii Zanzibar inayoongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Mtumwa Peya Yussuf wamefanya Ziara ya Kutembelea Mji wa Bagamoyo"
X Link 2024-11-12T21:25Z [--] followers, [---] engagements
"The Ministry of Tourism and Heritage is honored to have had the opportunity to welcome you to Zanzibar and share with you the beauty and rich cultural heritage of Zanzibar. We look forward to continued collaboration in promoting Zanzibar as a premier destination for Tourism and Heritage"
X Link 2024-12-06T11:08Z [--] followers, [--] engagements
""The Zanzibar Tourism & Investment Show is more than just an event it's a platform for connection collaboration and opportunity🌍 In a recent address one of Zanzibar's key tourism leaders emphasized the importance of partnerships across the sector - from hoteliers to tour operators and called on everyone to play their part in building a stronger more inclusive industry. 💡'There's enough opportunity in tourism to go around and it grows when we work together Let's build. Let's share. Let's grow the tourism economy together. #ZTIS2025 #ZTIS #Zanzibar #VisitZanzibar #Tourism #Investment"
X Link 2025-06-03T21:42Z [---] followers, [---] engagements
"Zanzibar Tourism & Investment Show [----] 📆17 20-21 June [----] 📍Fumba Exhibition Center - Dimani Zanzibar Join us at the premier forum uniting tourism investment and sustainable growth in Zanzibar and East Africa. Under the patronage of H.E. Dr. Hussein Ali Mwinyi this 2nd-edition expo will bring together: ✅200+ top-tier exhibitors-from hotels tour operators & eco-tourism developers ✅Key investors government officials real estate & infrastructure experts ✅Exclusive seminars networking opportunities & high-impact investment deals 🔑Why Attend Connect with stakeholders shaping Zanzibar's tourism"
X Link 2025-06-20T01:05Z [---] followers, [--] engagements
"Enjoy the ultimate Indian Ocean experience with its historical Stone Town and magnificent beaches. You'll be mesmerized by the clear turquoise-blue water shallow sandbars and many other beautiful places. KARIBU ZANZIBAR 🌴🌎 Zanzibar https://t.co/DZngmDc7ek Zanzibar https://t.co/DZngmDc7ek"
X Link 2025-08-05T11:40Z [---] followers, [---] engagements
"Step into History at the Peace Memorial Museum - Beit Al Amani (House of Peace) 📸: @dronezanzibar A timeless treasure of Zanzibar opened in [----] by Sultan Seyyid Khalifa Bin Haroub the Sultan of Zanzibar from [----] to [----]. Designed by J.H. Sinclair this architectural masterpiece stands as a symbol of harmony and heritage. ✨A Sight to Behold - Striking whitewashed walls glowing under the Zanzibar sun. - Unique hexagonal design crowned by a grand central dome and six smaller domes at each corner. - Elegant Arabesque windows Walk through history feel the serenity and embrace the legacy of peace"
X Link 2025-08-14T09:27Z [---] followers, [---] engagements
"Welcome to the Peoples Palace Museum. Located in Stone Town along Mizingani road. It was once a palace of Sultan Seyyid Said now a museum dedicated to showcasing the history and Culture of the Sultans of Zanzibar. #VisitZanzibar #History #Heritage #Oman"
X Link 2025-08-16T23:04Z [---] followers, [----] engagements
"Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Dkt. Aboud Suleiman Jumbe amefanya kikao cha Muhimu na Wawekezaji kutoka China Powerlong Group kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara iliyopo Kikwajuni - Unguja. Katika kikao hicho Wawekezaji hao waliwasilisha mpango kazi wao wa kuwekeza katika Sekta ya Utalii nchini.Ujenzi wa Hoteli Maduka kumbi za Mikutano Ofisi Malls. Kama sehemu ya ziara yao ya kujionea maeneo Wawekezaji wa China Powerlong Group walitembelea maeneo ya Kimkakati yaliyopangwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Madhumuni ya kujionea hali halisi na kufahamu fursa"
X Link 2025-08-03T17:35Z [---] followers, [---] engagements
"Viongozi wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale wakiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Dkt Aboud Suleiman Jumbe @aboudjumbe tarehe [--] Januari [----] walimpokea kwa shangwe kubwa Mwanamtandao Maarufu wa Social Media kutoka Oman Ndugu Muhammad Al Mukheiny ambaye yupo nchini kushiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Uhifadhi wa Quran yatakayofanyika Zanzibar tarehe [--] Januari [----] katika Msikiti wa Jamii Zinjibar. Mgeni Rasmi wa Tukio hilo la Uhifadhi wa Quran anatarajiwa kuwa Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi. Ndugu"
X Link 2026-01-29T08:23Z [---] followers, [--] engagements
"Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Dkt Aboud Suleiman Jumbe @aboudjumbe akishiriki katika Kipindi cha Kigoda cha ZBC Radio Tarehe [--] Januari [----] kwa majadiliano kuhusiana na maendeleo na mafanikio ya Sekta ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar katika Kipindi cha Siku Mia cha Sehemu ya Pili ya Uongozi wa Awamu ya Nane ya Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi. Dkt Jumbe pia alijibu maswali kadhaa kutoka kwa wasikilizaji wa kipindi hicho ndani na nje ya nchi. #VisitZanzibar #Tourism #Heritage #Dktmwinyi #Tanzania"
X Link 2026-01-30T06:30Z [---] followers, [---] engagements
"BRAYDON BENT IN ZANZIBAR Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Dkt. Aboud Suleiman Jumbe @aboudjumbe tarehe [--] Februari [----] amempokea Shabiki Mashuhuri wa Klabu ya Manchester City @ManCity ya nchini England pamoja na Mtangazaji maarufu Braydon Bent aliyewasili katika Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume kwa ajili ya Ziara ya siku moja ambapo alipata nafasi ya kutembelea maeneo ya kihistoria na vivutio mbalimbali vya Utalii ikiwemo Eneo la Msitu wa Jozani-Chwaka bay Makumbusho ya Amani Kanisa la Mkunazini Makaburi ya Wafalme ( Peoples Palace) Salaam Cave na Eneo la"
X Link 2026-02-03T18:26Z [---] followers, [---] engagements
"Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Dkt Aboud Suleiman Jumbe @aboudjumbe pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali@wemazanzibar Khamis Abdullah Said walikutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Taasisi ya Indian Institute of Technology-Madras @IITMZanzibar (IIT-M) kuhusiana na fursa mbali mbali za kuzisaidia Sekta za Elimu na Utalii katika ukondoishaji wa mafunzo uundaji na matumizi ya mifumo ya kidijitali ikiwemo Akili Bandia au Artificial Intelligence katika sekta. Professor Raghunathan Rengaswamy Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Chuo cha IITM"
X Link 2026-02-06T08:49Z [---] followers, [---] engagements
"Tarehe [--] Januari [----]. Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Dkt Aboud Suleiman Jumbe @aboudjumbe aliupokea ujumbe wa wataalamu wa Mfuko wa Maendeleo ya Fedha wa Umoja wa Mataifa (UNCDF) @UNCDF . Ujumbe huu uliongozwa na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Tanzania @undptz Ndugu Shigeki Komatsubara ambaye aliambatana na wataalamu hao wa UNCDF. Wataalamu hao wapo Tanzania kwa ziara maalum ya kikazi ya kuangalia namna bora ya kufungua njia za kupatikana mitaji ya UNCDF katika uwekezaji wa kifedha katika miradi ya kimkakati ya maendeleo nchini. Wataalamu hawa pia walikaribishwa Wizara ya"
X Link 2026-01-30T06:44Z [---] followers, [--] engagements
"Menejimenti ya NACTVET ikiongozwa na Katibu Mtendaji Dkt. Mwajuma Lingwanda imefanya mazungumzo na ujumbe kutoka Wizara wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar katika ofisi za NACTVET Makao Makuu jijini Dodoma tarehe [--] Januari [----]. Ujumbe huo uliongozwa na Mkurugenzi wa Mipango Sera na Utafiti wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Ndg. Samora Chacha aliyeambatana na Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar (ZIToD) Dkt. Issa Ali. Mazungumzo hayo yalijikita katika masuala mbalimbali yanayolenga kuwezesha utoaji mafunzo katika sekta ya hoteli na utalii kwa lengo la kuzalisha nguvu"
X Link 2026-01-31T14:11Z [---] followers, [--] engagements
"Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Dkt. Aboud Suleiman Jumbe @aboudjumbe ameshiriki katika Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Marumaru Iliyopo Mji Mkongwe Unguja. Akitoa Maelezo katika Mkutano huo wa Waandishi wa Habari (Press Conference) kuhusu Mashindano ya Mchezo wa Kite Surfing ( Zanzibar Cup KUSI [----] ) unaotarajiwa kufanyika tarehe 07/02/2026 huko Kiwengwa - Unguja. Dkt. Aboud amesema kuwa Jumla ya Wachezaji (42) wanatarajiwa kushiriki katika Mchezo huo . Akiyataja baadhi ya Mataifa yatakayoshiriki katika Mashindano hayo ni"
X Link 2026-02-04T10:30Z [---] followers, [--] engagements
"Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya kale Zanzibar Dkt. Aboud Suleiman Jumbe @aboudjumbe akiwa ameambatana na Maafisa mbali mbali wa Serikali na Shirika la Bandari Zanzibar Idara ya Uhamiaji Tanzania @UhamiajiTz na Maafisa wengine wakiwa katika ziara na Mapokezi maalum ndani ya Meli ya Crystal Symphony @crystalcruises iliyotia nanga katika Tishali la Abiria Malindi Zanzibar . Meli hii aina ya Crystal Symphony inayoongozwa na Nahodha wake (Cpt) Tonci Hladilo ina Urefu wa Mita 238.01m na Uzito (GRT) 51068t ikiwa na Idadi ya Abiria [---] na Mabaharia [---] .Hizi zote ni Sehemu ya Jitihada za"
X Link 2026-02-09T08:23Z [---] followers, [---] engagements
"BALOZI WA JAPAN NA UJUMBE WA UNESCO WAFANYA ZIARA UNGUJA. Balozi wa #Japan nchini Tanzania Mhe. Yoichi Mikami @JapanAmb_TZ akiwa ameongozana na Ujumbe wa #UNESCO ukiongozwa na Mwakilishi Mkuu wa UNESCO nchini Tanzania @unescodar Bw. Michel Toto na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa ambae pia ni Balozi wa Kudumu wa Tanzania UNESCO Mhe. Ali Jabir Mwadini @AliMwadini wamekutana na Uongozi wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale #Zanzibar ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Aboud Suleiman Jumbe @aboudjumbe wakati walipofika ofisi za Wizara iliyopo Kikwajuni Unguja. Katika kikao Kifupi"
X Link 2026-02-11T23:14Z [---] followers, [--] engagements
"KATIBU MKUU WIZARA YA UTALII AZINDUA WARSHA YA TATHMINI YA FAIDA YA JUMLA YA SEKTA YA UTALII KWA TAIFA Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Dkt. Aboud Jumbe @aboudjumbe leo amefanya uzinduzi rasmi wa Warsha ya Uwezeshaji kwa wadau wa sekta ya utalii kupitia Programu ya Tathmini ya Faida ya Jumla ya Sekta ya Utalii kwa Taifa (Total Economic Impact of Tourism). Warsha hiyo imefanyika katika ukumbi wa Hotel Verde Zanzibar ikiwakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii wakiwemo wawakilishi wa taasisi za umma na binafsi wataalamu wa uchumi pamoja na washirika wa maendeleo."
X Link 2026-02-17T09:48Z [---] followers, [---] engagements
"Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Dkt. Aboud Jumbe @aboudjumbe ameshiriki katika Warsha ya Uwezeshaji kwa wadau wa sekta ya utalii kupitia Programu ya Total Economic Impact of Tourism inayoendelea kufanyika Ukumbi wa Hoteli ya Verde - Mtoni Unguja . Warsha hiyo imelenga kuimarisha uelewa wa wadau kuhusu mchango halisi wa sekta ya utalii katika uchumi wa taifa ikiwemo ajira mapato na mandeleo ya jamii. Serikali ya Dkt. Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi i inaendelea kushirikiana na wadau kuhakikisha Sekta ya Utalii inakuwa chachu ya ukuaji"
X Link 2026-02-18T07:08Z [---] followers, [--] engagements

"Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Ndg. Aboud Suleiman Jumbe amezungumzia mapinduzi na mafanikio makubwa katika Sekta ya Urithi wa Utalii na Mambo ya Kale ndani ya siku [---] za uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi"
X Link 2026-01-29T17:06Z [----] followers, [---] engagements
"Tarehe [--] Januari [----]. Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Dkt Aboud Suleiman Jumbe @aboudjumbe aliupokea ujumbe wa wataalamu wa Mfuko wa Maendeleo ya Fedha wa Umoja wa Mataifa (UNCDF) @UNCDF . Ujumbe huu uliongozwa na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Tanzania @undptz Ndugu Shigeki Komatsubara ambaye aliambatana na wataalamu hao wa UNCDF. Wataalamu hao wapo Tanzania kwa ziara maalum ya kikazi ya kuangalia namna bora ya kufungua njia za kupatikana mitaji ya UNCDF katika uwekezaji wa kifedha katika miradi ya kimkakati ya maendeleo nchini. Wataalamu hawa pia walikaribishwa Wizara ya"
X Link 2026-01-30T06:44Z [---] followers, [--] engagements
"Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Dkt Aboud Suleiman Jumbe @aboudjumbe akishiriki katika Kipindi cha Kigoda cha ZBC Radio Tarehe [--] Januari [----] kwa majadiliano kuhusiana na maendeleo na mafanikio ya Sekta ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar katika Kipindi cha Siku Mia cha Sehemu ya Pili ya Uongozi wa Awamu ya Nane ya Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi. Dkt Jumbe pia alijibu maswali kadhaa kutoka kwa wasikilizaji wa kipindi hicho ndani na nje ya nchi. #VisitZanzibar #Tourism #Heritage #Dktmwinyi #Tanzania"
X Link 2026-01-30T06:30Z [---] followers, [---] engagements
Limited data mode. Full metrics available with subscription: lunarcrush.com/pricing