@MudiMabiriani Avatar @MudiMabiriani MUDI FOOD FACTORY

MUDI FOOD FACTORY posts on X about tanzania, ipo, kwanza, leo the most. They currently have [------] followers and [---] posts still getting attention that total [-------] engagements in the last [--] hours.

Engagements: [-------] #

Engagements Line Chart

Mentions: [--] #

Mentions Line Chart

Followers: [------] #

Followers Line Chart

CreatorRank: [-------] #

CreatorRank Line Chart

Social Influence

Social category influence countries finance travel destinations technology brands currencies social networks celebrities musicians fashion brands automotive brands

Social topic influence tanzania, ipo, kwanza, leo #1808, mali #1154, kama #28, mambo, hii, brand, whatsapp

Top accounts mentioned or mentioned by @thomasyona @kimanidawa @skyflygains @cargo1911 @alugandu @tonymaster01 @rasoulhk @mondinhodiallo @ambele_young @dullahtheking2 @traviskitengo @luvandalugano47 @heisnabeel @filmingsite @misschelsea1221 @asajiledaniel @udsmfinest @kingvannytz @salamisev @startony01

Top assets mentioned Mambo (MAMBO) Bitcoin (BTC) BODA (BODAV2) StarLink (STARL) Alphabet Inc Class A (GOOGL) WAPE (WAPE) Kava (KAVA)

Top Social Posts

Top posts by engagements in the last [--] hours

"Mpe Salamu J Cole Mdau Wetu Wa Biriani Jembe Sana"
X Link 2020-07-29T03:54Z 62.3K followers, [--] engagements

"$ [----] Tsh [-----] Exchange Rate of the Day 17.04.2022 Dar es SalaamTanzania Dial & Text Us +255719068333 #Tanzania #Biryan #Biriani #sokoletu #food #kilimoNiAjira #Nipedili #TwitterGulio"
X Link 2022-04-16T23:36Z 62.3K followers, [--] engagements

"Exchange Rate of The Day β˜‘ Exchange Rates for 18/10/2022 https://t.co/oxUOgtOLg1 https://t.co/PSk39PbAF4 Exchange Rates for 18/10/2022 https://t.co/oxUOgtOLg1 https://t.co/PSk39PbAF4"
X Link 2022-10-18T06:48Z 62.4K followers, [--] engagements

"Somewhere in Tanzania Ku Conquer Soko unahitaji Muda"
X Link 2023-03-29T22:43Z 62.5K followers, [---] engagements

"Brand well known Mudi Mabiriani Tanzania"
X Link 2023-03-29T22:46Z 62.3K followers, [---] engagements

"Sinza mori Outlet Mudi Mabiriani Tanzania"
X Link 2023-04-15T23:10Z 62.3K followers, [----] engagements

"Wydad atakachofanywa pale South Africa na MaMELodi ndo atakachofanywa mu algeria na Yanga Bingwa πŸ˜‚ Anyway Biriani ya Nyama Tsh 6000/="
X Link 2023-05-18T18:33Z 60.3K followers, [----] engagements

"Ukiingia USIKU Sinza Mori inakuwa Kama NEW YORK CITY πŸ“ KITAMBAA Cheupe Jumatatu inanoga Kuliko Jumamosi Amapiano Mwanzo mwisho Dj Hata Haongei Sana πŸ“Œ ngoma Juu Ya ngoma TOTOZ za Chuo wanacheza juu ya Meza Sisi kama Brand well Known Mudi Mabiriani Sinza Branch we are close"
X Link 2023-05-29T11:25Z 60.2K followers, [--] engagements

"Wengi wenye kujifanya KUONGEA Sana Wenye midomo mirefu kama Chuchunge wengi wanakuwa WEUPE Hawajui Kitu Mandondocha TU Usijaji Kitabu kwa Kava lake Maisha yana mafumbo Kama Hujui KITU FUNGA Domo lako Biriani Kuku Tsh 7000/="
X Link 2023-08-11T20:17Z 60.1K followers, [--] engagements

"Miliki Mercedez Benz kama Michael Carter Mlingwa aka @MxCarter ile ya Orange inayoonekana kwenye kila Video kali ya Muziki East Africa halafu Tafuta connection uwe unakodisha kwenye vioo vionekanavyo vinavovuma Anyway Biriani Kuku Tsh 7000/="
X Link 2023-09-02T14:31Z 57.6K followers, [---] engagements

"Biashara inahitaji UVUMILIVU sana na ujipe muda its Process kuwa BORA Mafanikio hayana Short CUT Sema ukikutana na Short CUT unasema nayo πŸ“Œ Siku hizi Tabata Tunapatikana Tabata Segerea mwisho Stand Mtaa wa Kanisa la KKKT pale pale maeneo ya Makaburi ya segerea 0747068333"
X Link 2023-09-18T14:29Z 57.2K followers, [--] engagements

"Serengeti National Park"
X Link 2023-10-04T11:43Z 57.2K followers, [---] engagements

"MUDI FOOD FACTORY East Africa"
X Link 2023-10-08T13:29Z 57.6K followers, [----] engagements

"@I_am_Jorge__ Mirongo hapa home sweet home ofisi iko Town pale close na Polyclinic opposite na Jengo la Garda Mwanza like Table Mountain πŸ€šπŸΏπŸ˜‚"
X Link 2023-10-26T15:49Z 56.5K followers, [--] engagements

"Kidonge kimoja cha P2 Dubai ni zaidi ya Dirham [---] sawa na $90 miaka ya [----] ndo ilikuwa KAZI yangu kubwaa ya kuuza vidonge hivi Maisha Sometime 😫 Hakuna Mwanamke wa ki africa Dubai aliacha kunijua wakishacheza match zao Peku. Ukishika mimba na umeajiriwa Dubai miyeyu"
X Link 2023-10-28T10:21Z 68.5K followers, 146.9K engagements

"@dokta_suley P2 ni haram nchi za kiarabu P2 ni kama Cocaine Dubai Kutoa mimba au kuzuia mimba kwao hawajui ni haram na kosa la Jinai So basicali ukipata Ajira Dubai una bidi u skip issue ya kuzaa ovyo ovyo ndo P2 ikaja kwenye ramani Wakati naishi kule"
X Link 2023-10-28T18:41Z 56.5K followers, [---] engagements

"Kenyatta RoadMwanza Namba za Kutupata [----] [---] [---] Leo Jumamosi Biriani +Pilau Basmati ipo β˜‘"
X Link 2023-11-04T08:34Z 56.8K followers, [----] engagements

"@Idan255 Nikitoka nna Outlet Tatu za kufungua [----] πŸ“Kampala Uganda πŸ“Dodoma Tanzania πŸ“KimaraMbezi Tanzania Kwa Sasa mwanza nipo kidogo nakula Sato na Sangara alhamdulilah Mungu aendelee kuwa Mwema πŸ™πŸΏ"
X Link 2023-11-04T22:34Z 57.4K followers, [--] engagements

"Jumatatu Biriani Mwanza ipo β˜‘ Delivery ipo β˜‘ Tarehe 06.11.2023 ☎ [----] [---] 333"
X Link 2023-11-05T18:08Z 56.8K followers, [---] engagements

"Mwanza Jumatatu Biriani ipoβ˜‘ Namba ya kuweka Order 0756068333"
X Link 2023-11-05T18:12Z 56.8K followers, [---] engagements

"@fire_255 @Gestonmarc @rollymsouth Yes Delivery ipo karibu sana kesho jumatatu biriani ipo inshallah"
X Link 2023-11-05T18:30Z 56.8K followers, [--] engagements

"BUGANDO wanakula Biriani Delivery ipo β˜‘ Mudi Mabiriani yuko Mwanza We are located Kenyatta Road [----] [---] 333"
X Link 2023-11-05T18:32Z 56.8K followers, [---] engagements

"Mwanza Jumatatu Biriani ipo Namba za kutupata [----] [---] [---] Karibu sana"
X Link 2023-11-05T18:41Z 56.8K followers, [---] engagements

"Kenyatta RoadMwanza Delivery ipo β˜‘ ☎ [----] [---] [---] Karibuni Sana"
X Link 2023-11-05T18:51Z 56.8K followers, [---] engagements

"Mwanza Huduma Week Nzima kasoro Jumapili Tu β˜‘ Biriani ipo Mandi ipo Pilau Basmati ipo ☎ [----] [---] 333"
X Link 2023-11-05T18:53Z 56.8K followers, [---] engagements

"@masanja___ Tuko Kenyatta Road hapa Opposite na Total Energies Petro Station karibu sana Jumatatu Biriani ipo namba ya kutupata [----] [---] 333"
X Link 2023-11-05T22:12Z 56.8K followers, [--] engagements

"Kama ushawahi Kufika Cape Town South Africa au KampalaUganda Basi Mwanza iko the same same Table Mountain City 🀝"
X Link 2023-11-06T11:20Z 60.3K followers, [----] engagements

"nilikuwa sijafika Mwanza muda mrefu iko kama Table Mountain kama Cape Town kama Kampala Uganda πŸ˜‚"
X Link 2023-11-12T10:35Z 57K followers, [---] engagements

"nda nda ndaaa ndaa nda ndaaa ❀"
X Link 2023-11-17T14:05Z 59.9K followers, [--] engagements

"7000 [----] [----] 10000/= 15000/= My nakhodimsya Moskva Rossiya Mudi Mabiriani Tanzania"
X Link 2023-11-19T19:36Z 57.1K followers, [---] engagements

"@enamalisa @DrMeku @Lvnch4breakfast Ameen Ena GENIUS kwenye Biashara akituliza Akili kidogo ana piga hela nyingi sana Piga Kazi Salamu Toka Mwanza Branch Tanzania Mudi Mabiriani Tanzania"
X Link 2023-11-20T20:02Z 57.1K followers, [--] engagements

"@MecksTz Tunafanya Delivery ipo [----] [---] 333"
X Link 2023-11-22T18:25Z 57.1K followers, [--] engagements

"Up Coming Branches Mudi Mabiriani πŸ“Kisenyi Kampala Uganda πŸ“Mbezi Ya Kimara Dar es Salaam πŸ“Mbagala Mwisho Stand DSM πŸ“Dodoma Tanzania☎0744 [---] [---] Ongoing πŸ“Muhimbili Branch Dar es Salaam Mwanza Kenyatta Road Branch ☎ [----] [---] 333"
X Link 2023-11-22T19:40Z 57.1K followers, [---] engagements

"Repost Vijana Walio Mwanza Wapate Ajira πŸ’― Wastue madogo walio mtaani wasio na ajira watume CV kazi imechanganya huku alhamdulilah"
X Link 2023-11-23T20:31Z 57.1K followers, [---] engagements

"@SalmaIddy8 @RahmaMwita Naombeni Repost zenu madada tuwapate vijana walio sahihi"
X Link 2023-11-23T20:32Z 57.1K followers, [--] engagements

"Repost Yako πŸ™πŸΏ"
X Link 2023-11-24T05:19Z 57.1K followers, [---] engagements

"Tunaomba Repost Yako πŸ™πŸΏ"
X Link 2023-11-24T05:19Z 57.1K followers, [--] engagements

"Repost yako Tunaiomba Hapa πŸ™πŸΏ"
X Link 2023-11-24T05:20Z 57.1K followers, [---] engagements

"Tunaomba repost yako wengi wajue"
X Link 2023-11-24T05:24Z 57.1K followers, [--] engagements

"@SirFerrary πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ mdomo koma"
X Link 2023-11-24T18:52Z 57.2K followers, [--] engagements

"@SafariMlevi Video na Picha zinakuja Nimemmunga kwenye oda maalum ya kesho leo alivyoondoka Hakurudi halafu jioni lilipiga mvua la kutosha Biriani yake ipo anytime tegemea Video na Picha Taarifa anazo na kashukuru sana kesho simu zitaenda hewani inshallah"
X Link 2023-11-24T18:59Z 57.2K followers, [---] engagements

"@Mute_listen πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚"
X Link 2023-11-25T11:58Z 57.2K followers, [--] engagements

"Mass Recruitment on Tuesday Tunaomba Repost Yako Hapa"
X Link 2023-11-26T12:52Z 57.2K followers, [---] engagements

"Breaking News Mudi Mabiriani kupatikana USA pia kama haumini subiri picha za Kwenye Ndege niki connect flight Sikulazimishi uamini"
X Link 2023-11-28T10:16Z 57.3K followers, [--] engagements

"So far Mudi Mabiriani Kupatikana pia majiji haya yafuatayo πŸ“KampalaUganda πŸ“Washington Marekani πŸ“Dodoma Repost yako wengi wajue wapate huduma zetu πŸ™πŸΏ Mungu aendelee kuwa Mwema AmeenπŸ™πŸΏ"
X Link 2023-11-28T10:22Z 57.3K followers, [--] engagements

"@_zolendronics @choprausedcars Gaza bado πŸ˜‚πŸ˜‚ kwanza tuanze USA maandishi matatu"
X Link 2023-11-28T10:23Z 57.3K followers, [---] engagements

"Jamvi Lounge Worldwide Mudi Mabiriani Tanzania Mudi Food Factory East Africa"
X Link 2023-11-29T18:20Z 57.3K followers, [---] engagements

"Namba Sita Bora Haijawahi Kutokea Tanzania"
X Link 2023-12-02T16:37Z 57.4K followers, [---] engagements

"Mudi Mabiriani siku hizi ni Tanzania sio Sinza Dar es Salaam pekee Ipo Siku LUNCH [--] Breakfast nao watakuwa kama sisi Walio kwenye mjumuio ule unaounda ile TEAM wanapiga kazi sio Poa πŸ”₯πŸ”₯Keep Pushing kuna siku mtakuwa wakubwa kama BRAND yetu Positive vibes ONLY ❀"
X Link 2023-12-02T20:31Z 57.4K followers, [---] engagements

"Mitandao ina faida sana Macho yamefanya kujua Mars kuna Maji Elon Musk atakuja kutujulisha Mtandao siku hizi unakufanya unafika London while uko Mwanza VPN noma sana Mtandao umetuondoa UPOFU kujua vingi vizuri Mungu aliumba Mtandao umetufanya kujua Biriani na Pilau ni DEAL"
X Link 2023-12-02T20:51Z 57.4K followers, [---] engagements

"Sio kama zamani πŸ™πŸΏ Siku hizi sio Sinza Peke yake Siku Tunapatikana in Tanzania kesho yake iwe East Africa"
X Link 2023-12-02T21:04Z 57.4K followers, [---] engagements

"MbeyaTanzania"
X Link 2023-12-02T21:16Z 57.4K followers, [---] engagements

"Hiii ni mara ya Tatu Sasa nanyimwa Kibali cha kumiliki SILAHA nimeomba mara tatu wananizungusha TU πŸ₯Ή Naombeni msaada nipitie njia zipi au procedure zipi niweke Bastola Kiunoni kama Shabaha nnazo Mi mfanyabiashara mkubwa East Africa nna mali za kujilindia Sio Haki"
X Link 2023-12-03T11:09Z 68.5K followers, 117.2K engagements

"Mwanza ni mwendo wa Mvua kama Kampala kama Cape Town its Table Mountain city"
X Link 2023-12-03T15:56Z 57.4K followers, [---] engagements

"my favourite rapper across the world"
X Link 2023-12-03T15:59Z 57.4K followers, [---] engagements

"Kenyatta RoadMwanza Tanzania"
X Link 2023-12-04T14:39Z 57.4K followers, [---] engagements

"Ukiwa na Milioni [--] Canada inakuita wanahitajika watu wakapige kazi Ukifikia Usijilipue Ishi na Viza yako Ubalozini hawana longolongo vitu vimenyooka $20 kwa Lisaa ndo kazi mbovu kabisa Na Ukiwa Handsome boy Kupata Toto la Kizungu easy Tu Kale Biriani kwa Mrija kwa Kina Drake"
X Link 2023-12-05T12:45Z 68.5K followers, 87.7K engagements

"BEBERU Declaration πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Repost Wengi wajue Wakazi ana Album mpya Sokoni na inapatikana Online Pia πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ My favourite Mceee Spit lyrical"
X Link 2023-12-05T13:00Z 57.4K followers, [---] engagements

"Huu ndo muonekano wa huko Space akifika Mr.Elon Musk atakachojionea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ malaika wa kule kwenye Solar System wanamsubiria kwa hamu"
X Link 2023-12-05T16:34Z 57.5K followers, [---] engagements

"Malembo amekomaa na KILIMO mpka kuwa mfano Kama Mudi Mabiriani alivyokomaa na Biriani its process kuwa Bora Chagua unachoweza kufanya kifanye kwa muda mrefu matunda yake huwa ni mengi"
X Link 2023-12-05T17:27Z 57.5K followers, [----] engagements

"Unahitaji MUDA Jipe MUDA its Process kuwa Bora njia za Panya zitakukosesha mengi Fanya kimoja uwe bora kesho Yake Hata ukicheki Mama Samia alianzia kule Zanzibar leo Raisi Kasota sana Uraisi wenyewe siunakumbuka alivyoupata mpaka Kadanja Mkubwa To Be Greatness its Process"
X Link 2023-12-05T20:50Z 57.5K followers, [---] engagements

"@Deefrontliner Labda jilipue mji mmoja Tu ukienda state nyingine ukijilipua utakuwa na Kesi mbili zinazoendelea kwa Sura yako so mbeleni utajipiga Block Ukose hata hayo makaratasi Kujilipua inapendeza ukishapata Dodo la kizungu ndo unajilipua Maisha ya mbele mbele akili mtu wangu"
X Link 2023-12-05T20:58Z 57.5K followers, [---] engagements

"Tennis in Serengeti πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯"
X Link 2023-12-05T21:00Z 57.5K followers, [---] engagements

"Baby Keem Mdogo wake Kendrick Lamar humu kaua sana @pgLang Shukran kwa Taarifa πŸ”₯πŸ”₯"
X Link 2023-12-05T21:10Z 57.5K followers, [---] engagements

"@Ruqaiyyah__ unasemaje man city afanye nini"
X Link 2023-12-05T21:46Z 57.5K followers, [--] engagements

"Kwa Mabaharia wanakwambia hii cha Mtoto ngomaa bahari ndefu huko pacific Ocean mitaa ya Mariana Trench kwenye Kina Kirefu cha Dunia Beach unaitafuta Canada na marekani huko Papa unayemuona size ya nissan patrol hii cha mtoto Ma Baharia wa Mwanza hapa wamesema hii cha mtoto"
X Link 2023-12-05T21:58Z 57.5K followers, [---] engagements

"Siku hizi niko makini na Magari ya namna hii walio ndani na mabaibui πŸ˜‚"
X Link 2023-12-05T22:07Z 57.5K followers, [---] engagements

"@Ntwhali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ niungane na kina @tassaa98 na @airtel_tanzania"
X Link 2023-12-06T12:35Z 57.5K followers, [--] engagements

"Unapofanya Biashara Tanzania na akili yako nawe iwe ya Kitanzania Tanzania Punguza U Canada au Umarekani"
X Link 2023-12-06T12:50Z 57.5K followers, [----] engagements

"Nahitaji WANASHERIA 2-3 waandae mikataba ya Multi milioni Dollar Food Factory in East Africa itayoendesha Brand kadhaa za Chakula TanzaniaKenyaUganda Tuonane Tuzungumze Mshahara tulipane vipi πŸ“Œ kazi ianze Miongozo na misingi Tutakupa ☎0756068333 WAWEKEZAJI WAPO 🀝"
X Link 2023-12-10T08:55Z 57.6K followers, [----] engagements

"AIR TANZANIA kuchelewa kwenu Mnatuharibia Biashara zetu Tumejiajiri kwenye mikutano na wawekezaji Hatufiki ONTIME jana Dar ilikuwa tuingie saa Sita hivi nilale asubuhi niende kwenye appointment ya kuikuza BRAND nimejikuta naingia nyumbani Sinza home sweet saa kumi kasoro fajr"
X Link 2024-03-13T05:25Z 58.2K followers, [--] engagements

"@nasry_nassor Happy Birthday πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚"
X Link 2024-03-14T21:50Z 58.1K followers, [---] engagements

"PAY BIRIANI na BITCOIN Kwa Mudi Mabiriani Tanzania Repost Wengi Wajue πŸ™πŸΏ"
X Link 2024-03-15T15:09Z 58.1K followers, [--] engagements

"PAY BIRIANI na BITCOIN [----] Brand Well Known Mudi Mabiriani Repost Wengi Wajue πŸ™πŸΏ"
X Link 2024-03-15T17:21Z 61.3K followers, [----] engagements

"Mwenye Degree anaomba kazi ya Kupost picha za Biriani online alipwe POSHO Chini ya kapeti mambo ni magumu sana Elimu inatoa Ujinga Mtaa unahitaji mawazo mbadala uliye CHUO leo usilale sikuhizi SKILLS ndo mfumo rahisi wa kuanza nao kuleta pesa mezani Usidharau skills zako"
X Link 2024-03-19T19:46Z 58.2K followers, [--] engagements

"@jjokocha797 @Millambo_ aje nimfundishe pia πŸ˜‚πŸ˜‚ huku kuna experience pia ntamcheki tujifunze kitu shukran sana"
X Link 2024-03-19T20:30Z 58.2K followers, [--] engagements

"Entreprenuer Ship Selling Online Marketing Philosophy Bachelor of Science of Food and Business nenga Purchasing and Finance Micro Parterniship Hivi ni course gani ukisoma inalipa mtaani Hivi ni course gani ukisoma inalipa mtaani"
X Link 2024-03-19T23:18Z 58.2K followers, [--] engagements

"Kuunda BRAND Tanzania inabidi usome SOKO ujue wateja wako umshukuru Mungu umeuza wengi wamepata kwa mauzo ya siku Huwezi Kulisha Dar es Salaam Nzima Brand inahitaji misingi ujenge imani upatikane huduma iwepo kwa Vision ya miaka [--] Sokoni Consistency itakupa picha na NJIA"
X Link 2024-03-20T19:50Z 58.2K followers, [--] engagements

"@UziBinUzi Mudi Mabiriani Tanzania"
X Link 2024-03-26T20:31Z 58.3K followers, [--] engagements

"Sinia chotara Tsh 15000/= mixer pilau na biriani πŸ˜‹ #biriani #pilau #x #brand #food #entrepreneurs #consistency #Diddy #DiddyDidIt #tanzania #Bongo #ghostkitchen #mudimabiriani"
X Link 2024-03-27T17:37Z 58.3K followers, [---] engagements

"Sinia kuku robo Tsh 10000/= #biriani #pilau #x #brand #food #entrepreneurs #consistency #Diddy #DiddyDidIt #tanzania #Bongo #ghostkitchen #mudimabiriani"
X Link 2024-03-27T17:41Z 58.3K followers, [---] engagements

"ZanzibarMudi Mabiriani"
X Link 2024-03-30T16:57Z 58.4K followers, [---] engagements

"Apologies kwa wote waliokosa Biriani Order zilikuwa nyingi mpaka Tukachanganyikiwa na Biriani tuliyooandaa tulijua nyingi kumbe Tulisahau sisi ni kama NYANGUMI baharini Papa hatufikii Asante Mungu na Wewe kwa Support Apologies kwa any inconvience iliyijitokeza Ijumaa ipo πŸ™πŸΏ"
X Link 2024-03-31T15:28Z 58.3K followers, [--] engagements

"Dar es SalaamTanzania"
X Link 2024-03-31T22:02Z 58.4K followers, [---] engagements

"Nilichojifunza Mzazi anaweza kukutunza au ukaweza kujihudumia na kisha kumuhudumia mkeo ni kujinyima Mambo mazuri yanahitaji Akili na Malengo ukiishi fancy lifestyle Dar au kutojibana hautoweza kutimiza malengo Tanzania GDP iko chini na kisha ukisha chenji [-----] hela inakatika"
X Link 2024-03-31T22:07Z 58.3K followers, [--] engagements

"@Hamisi_Mbaade Chatu wa Pori la Amazon kule America ya Kusini au Chatu wa Pori lenye gorilla ambao hawapatikani sehemu nyingine Duniani kule Congo Braziville kule kuna patikana Copper inayo fanya Kiwanda cha Tesla wazidishi kutengeneza magari ya kutotumia mafuta Elon akaongeza Utajiri Duniani"
X Link 2024-03-31T22:13Z 58.3K followers, [--] engagements

"πŸ“Gongo la Mboto Ghost Kitchen Dar es SalaamTanzania"
X Link 2024-03-31T22:16Z 58.4K followers, [---] engagements

"@Hamisi_Mbaade Chatu wa Sumbawanga hawana miba mingi sema Tukipata Chatu wa Sinza Mori karibu na Kwa πŸ“Mudi Mabiriani GHOST KITCHEN Tunao fanya Delivery ya Biriani kila Siku Tatu za Week Menu yetu ipo@Pikitz1 Online Platform in Tanzania Na Dulla Mbabe na Suleiman Kadunda Brand Ambassador"
X Link 2024-03-31T22:20Z 58.3K followers, [--] engagements

"πŸ“Tegeta Bagamoyo Pwani Ghost Kitchen Tanzania"
X Link 2024-03-31T22:26Z 58.4K followers, [---] engagements

"πŸ“Arusha & Moshi GHOST KITCHEN Tanzania"
X Link 2024-03-31T22:41Z 58.4K followers, [---] engagements

"Eid Biriani kuanzia 09:00am Tunaendelea kupokea Order yako πŸ™πŸΏ"
X Link 2024-04-09T08:45Z 58.4K followers, [--] engagements

"Eid Mubarak πŸ™πŸΏ Biriani kuanzia 09:00am"
X Link 2024-04-09T08:53Z 58.4K followers, [---] engagements

"Tunaendelea kupokea Miamala Eid Bakwata Biriani kuanzia 09:00am"
X Link 2024-04-09T09:35Z 58.4K followers, [--] engagements

"Biriani firigisi maini Tsh 6000/="
X Link 2024-04-09T10:05Z 58.4K followers, [----] engagements

"Mudi mabiriani kuuza Biriani Kinshasa Congo [----] Hakuna Vita siku hizi Congo sio kama zamani kuna Sky Scrapper na highways kama Chicago USA"
X Link 2024-04-09T10:37Z 58.4K followers, [--] engagements

"Sahani [--] ziende Mtoni Kijichi Eid Mubarak To All πŸ™πŸΏ"
X Link 2024-04-09T21:20Z 58.4K followers, [----] engagements

"Wakati Oprah Winfrey alipomuhoji Michael Jackson watu milioni [--] Dunia nzima walitazama show hiyo Alipofariki Wacko Jacko Watu Bilioni moja walikula Biriani dunia nzima na ku interact msiba wake Rekodi yake mpaka sasa haijavunjwa"
X Link 2024-05-30T09:52Z 58.6K followers, [--] engagements

"Tunaomba Repost yako hapa πŸ™πŸΏ"
X Link 2024-06-11T09:59Z 58.8K followers, [--] engagements

"@rastaclaaaat Zanzibar inshallah Tutafika mipango ipo Tukipata Share Holder Tuko tayari kufanya kazi πŸ™πŸΏ inshallah Franchise ruksa kwetu tupate wote ❀ ☎ +255 [---] [---] 333"
X Link 2024-06-11T10:43Z 58.8K followers, [--] engagements

"@zipporah_zealot Rayban πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯"
X Link 2024-06-11T11:34Z 58.8K followers, [--] engagements

"@AlphaxWaKwanza Mungu aendelee kuwa Mwema"
X Link 2024-06-11T12:26Z 58.8K followers, [--] engagements

"Sinia kuku robo Tsh 10000/= La nyama pia ipo β˜‘"
X Link 2024-06-11T13:59Z 58.9K followers, [----] engagements

"Benki ya CRDB kwa miaka kama [--] imepita imebadilika nilisimama kuifatilia siku hizi mpaka wana Dhamini mpira nimeona Zanzibar Kuna mapinduzi makubwa hata Ma staff wa CRDB walioanza kazi miaka kama [--] iliyopita siku hizi nawaona wameshiba Hela Bless and Grateful kwa maendeleo"
X Link 2024-06-11T14:07Z 58.8K followers, [--] engagements

"@TMnyama4_ ile yenye rangi ya orange logo yake inakupeka ICELAND inakuwa fasta sana πŸ˜‚πŸ˜‚"
X Link 2024-06-11T15:04Z 58.8K followers, [--] engagements

"@fbuyobe Mao Santiago siku hizi mara nyingi anakuwa Mtaa Tandamti Kariakoo tunachill nae sana Mtaani hapa Yupo πŸ™πŸΏ"
X Link 2024-06-11T15:09Z 58.8K followers, [--] engagements

"@EceJay Ameen kesho biriani ipo β˜‘"
X Link 2024-06-11T15:14Z 58.8K followers, [--] engagements

"@Santacia kesho inshallah ipo kuanzia 09:00am"
X Link 2024-06-11T15:22Z 58.8K followers, [--] engagements

"@babbiekabae @TrustedDr True story Twitter hakuna ONLYFANS lakini Tiktok ipo β˜‘"
X Link 2024-06-11T16:11Z 58.9K followers, [---] engagements

"Pilau yetu ipo PAISHA kwa Sasa"
X Link 2024-06-14T14:33Z 58.8K followers, [--] engagements

"@fivara_ Nataka kuacha LEGACY sio kutafuta nibadilishe mboga"
X Link 2024-06-15T21:17Z 58.9K followers, [--] engagements

"eeheee πŸ₯Ή EURO ishaanza πŸ˜ƒ Kweli maisha yanatupeleka mchakamchaka mpaka tunasahau events kubwa za Dunia Menu yetu ipo on Online platform PAISHA"
X Link 2024-06-15T21:20Z 58.9K followers, [--] engagements

"Eid Mubarak To All"
X Link 2024-06-16T13:58Z 58.9K followers, [---] engagements

"One Day nta TOUCH NEW YORK CITY kuna miji nilisemaga tangu utotoni nikatembee nipaone Kuna kama jiji la MOSCOW muhimu Kwenda kuna Historia kubwa sana kama Hapo New York City natamani nifike Queens au Broonkly niwaone marafiki zake 50cent na Fat Joe na ebony teens"
X Link 2024-06-16T18:24Z 58.9K followers, [--] engagements

"This is Morgan Freeman @pmcafrica If you watch most of his moviesyou will notice that his left hand is not normal.He never moves it @pmcafrica If you watch most of his moviesyou will notice that his left hand is not normal.He never moves it"
X Link 2024-06-16T18:30Z 58.9K followers, [---] engagements

"Movies zake nyingi Morgan Freeman huwa mkono wake wa kushoto hauonyeshwi au hauna kazi alipata Accident ya gari miaka ya [----] ukaenda ku parararalizii baadae"
X Link 2024-06-16T18:34Z 58.9K followers, [--] engagements

"Eid Mubarak To All πŸ™πŸΏ Biriani Tayari πŸ˜‹"
X Link 2024-06-17T07:54Z 58.9K followers, [----] engagements

"Hivi kweli Watu wakiamshe halafu wakamatwe wapelekwe STAKI SHARI au Obeyiii pale kuna Mwanasheria Kibongo bongo atakayekuja kukutoa kweli nimewaza mbali sana Selo namba sita Obey mkono wa kulia pale mhhhh acha tuendelee kuuza biriani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚"
X Link 2024-06-19T11:12Z 58.9K followers, [--] engagements

"@rastaclaaaat Daah Mungu tuokoe sisi Tanzania menπŸ₯Ί"
X Link 2024-06-19T11:16Z 58.9K followers, [--] engagements

"@bajabiri Bajabir ndugu yangu hatuko Sweden πŸ˜‚ hii Mvua imetokea labda ghafla tu"
X Link 2024-06-19T11:20Z 58.9K followers, [--] engagements

"Biriani sea foods πŸ˜‹ mambo ya pwani"
X Link 2024-06-19T12:03Z 59K followers, [---] engagements

"Tangu miaka hii mpaka Leo [----] Sijawahi kubadilisha bei ya biriani ya Kuku Tsh [----] na ya nyama Tsh [----] na biriani firigisi maini Tsh [----] Hata namba ya simu ya kuweka oda [----------] Sijawahi kubadilisha Wako Katika Ujenzi wa Taifa Mudi Mabiriani Tanzania"
X Link 2024-06-19T12:32Z 58.9K followers, [--] engagements

"@meetmelch Vijana wengi unaokutana nao wamekata Tamaa kwa mazingira yaliyopo wana ndoto kubwa lakini Elimu haina nafasi tena kwa kuamini walishapoteza matumaini kwa kusudio hilo wanajikuta katika mfumo mpya wa Skills Skills umebadilisha mambo mengi kimaisha kuanzia ajira etc"
X Link 2024-06-19T13:08Z 58.9K followers, [--] engagements

"@meetmelch Elimu ni fungu la nyongeza kuleta hela mezani unahitaji SKILLS na ujifunze ya Mtaa mbadiliko wa Dunia kuanzia Technologia umefanya mambo kuwa mepesi lakini U STARA unakuja uepuke kuminyana na Utamaduni wetu mfano ONLYFANS kwa mabinti ulaya wanaingiza Pesa nyingi MTANDAO πŸ₯Ί"
X Link 2024-06-19T13:30Z 58.9K followers, [--] engagements

"@bajabiri [--]. Tanzania Poor sababu Tuna Mgando wa mawazo yasiyo HAI 2.Elimu pia ni Tatizo kwa wengi 3.Mifumo ni ya kizamani kuanzia Elimu 4.Tuna ishi kwa Matabaka ili hali ni nchi ya Kiujamaa 5.Hatuna exposure kama wenzetu 6.Waoga 7.Kuongea ukweli ni Dhambi 8.Mali ya Jamii ni ya kuiba"
X Link 2024-06-19T13:34Z 59.1K followers, [--] engagements

"@mhdhamad @IbrahimSabuni @SuluhuSamia Wewe umeenda kuongea na Rais kwa heshima na adabu kaja kuleta mambo ya Siasa πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚ Daaah πŸ₯ΊπŸ₯Ί"
X Link 2024-06-19T13:49Z 58.9K followers, [--] engagements

"@VOASwahili South Africa πŸ”₯πŸ”₯"
X Link 2024-06-19T15:15Z 59K followers, [--] engagements

"@RahmaMwita In Kenya kuna kina Rahma kama wewe [---] wenye uthubutu wenye Elimu wenye ujasiri wa kufungua mdomo Kenya na Tanzani tofauti wakati nasoma Uganda na Kenya miaka ya 90s Kenya walikuwa tayari wana Flying overs Kenya Degree miaka ya [----] anauza Rolex barabarani Tuendelee kula Biriani"
X Link 2024-06-19T16:26Z 58.9K followers, [--] engagements

"@PresenterNoah Happy Birthday kaka"
X Link 2024-06-21T05:38Z 59K followers, [--] engagements

"SIKU HIZI SIO KAMA ZAMANI Siku hizi Mambo Live πŸ₯°πŸ˜πŸ₯°πŸ˜ Uwe Bless Elsa Out there πŸ™πŸΏ"
X Link 2024-06-24T18:21Z 59K followers, [--] engagements

"@Yuzomnene @PichaNzuri Nikijipost mimi una mind we ukijipost nikisema unatupa ndoano kwa watoto wakali una mind ukitaka kujua maana ya USWAHILI ndo huu Unataka nipost biriani hata sometime nisijipost Sema MUNGU Yupo malipo Duniani hapa hapa Mungu ataleta miujiza yake"
X Link 2024-06-24T19:20Z 59K followers, [--] engagements

"@Bright27738366 @IdrisSultan @davitheempire Hata mimi nimecheka hapi Twende wawili wawili akienda mmoja anaweza akabaki πŸ˜πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ Kasanua mapema Hii Tanzania sio Kenya"
X Link 2024-06-25T18:04Z 59K followers, [--] engagements

"@NobelNelson @Nyonyoma1 @saanane17675 Naskia yule SNIPER askari kule kenya wamemtoboa na jicho moja la kushoto na vidole vya miguu wamevikata vyote nipo kwenye group la Aj Jazeera la waandishi wa habari napata habari zote toka kenya si unajua mtu mkubwa ofisi yetu Nairobi iko pale C24 Central Park 😎"
X Link 2024-06-25T20:59Z 59K followers, [--] engagements

"Repost πŸ«ΆπŸ™πŸΏ"
X Link 2024-06-26T13:24Z 59.7K followers, [---] engagements

"J.COLE J. Cole is really out in public writing verses with pen and paper The Fall Off is going to be legendary 😭 https://t.co/JkFKRMv6kl J. Cole is really out in public writing verses with pen and paper The Fall Off is going to be legendary 😭 https://t.co/JkFKRMv6kl"
X Link 2024-06-26T15:03Z 59.5K followers, [---] engagements

"Lil Wayne & Le Bron Lil Wayne and LeBron James in the new Beats Pill commercial. πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯https://t.co/mcSjvxmvw7 Lil Wayne and LeBron James in the new Beats Pill commercial. πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯https://t.co/mcSjvxmvw7"
X Link 2024-06-26T16:14Z 59.4K followers, [---] engagements

"@dogefather_Twit @WatcherGuru Bitcoin is the game changer"
X Link 2024-06-26T16:19Z 59.7K followers, [---] engagements

"Jumla Tsh 60000/= Sinia [--] mnakula watu wengi ukiwa na marafiki zako kama ule umati waliondamana kuhusu RUTO must go kule Nairobi #biriani #Tanzania #ghostkitchen #mudimabiriani"
X Link 2024-06-26T17:10Z 59.1K followers, [--] engagements

"@iamFallacy Happy Birthday Brother"
X Link 2024-06-27T10:05Z 59.5K followers, [--] engagements

"@fumbokhanJr Fumbo wewe sio mtu wa Hash Tag mie wewe kila siku nakutana na Tweet zako London kule Mexico juzi nimeona na chat na Lil Baby mie nakutetea mwanangu We uko zako Ulaya Bongo wewe sio sana"
X Link 2024-06-27T12:26Z 59.2K followers, [--] engagements

"@bonichengula Hivi Boniface wewe hujawahi kupost HashTag Kweli 🀭 mbona kama ushawahi kupost hashtag kama nakumbuka ushawahi kupost Hashtag"
X Link 2024-06-27T12:56Z 59.1K followers, [--] engagements

"Kama unaona Tweet hii ujue wewe sio MTU wa Hashtag #"
X Link 2024-06-27T13:11Z 68.5K followers, 53.1K engagements

"@SharifaSabrina Finya BLOCK acha mambo mengi πŸ˜‚"
X Link 2024-06-27T13:17Z 59.1K followers, [--] engagements

"Nauliza tena πŸ”΄ Je Tuna UNFOLLOW pia wale wa mama kaupiga mwingi au Generation Z Kibongo Bongo naombeni majibu 🫢"
X Link 2024-06-27T15:12Z 68.5K followers, 46.9K engagements

"GENERATION Z πŸ”΄ Leo Tuna Deal na Yule Mbunge aliyejitoa kwenye Hashtag πŸ’” LEO HIP HOP TU Ukimuua NYANI hakuna kumuangalia USONI UMOJA ni WINGI kama Kenya 🫢"
X Link 2024-06-28T08:10Z 68.5K followers, 43.8K engagements

"@Ujuguhapa @NasNassinho Ujugu kuna kijiwe cha kahawa Awiri pale Dubai huyo Nassir analijua Bango lako mbona linaongelewa sasa huu mwaka wa [--] sijui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚"
X Link 2024-06-28T08:29Z 59.2K followers, [--] engagements

"@Ujuguhapa @NasNassinho Ntakutumia group chat za whatsaap ma group ya Wabongo walio ManamaBahrain Deira & Bur Dubai ma group ya madalali na watu wa cargo wabongo Ntakutumia pia magroup ya wabongo walio Canada as well Belgium na London wanaokuzungumzia UJUGU usichukulie Poa Dunia inajua ulicho innovate"
X Link 2024-06-28T08:49Z 59.2K followers, [--] engagements

"Georges kuna yule namba [--] mgongoni anayechezea NAPOLI soksi zake huwa anaziweka zinaonekana fupi miguuni Yule anaukusanya mtiti kuanzia kwenye box mpaka kumi na nane ya mpinzani anaitwa nani yule Ronaldo akatolewa ulimi nje pale kati kati"
X Link 2024-06-28T09:20Z 59.2K followers, [--] engagements

"Dada edna week iliyopita na siku zilizopita ulikuwa unapost POST [--] mpaka [--] kwa siku lakini siku hizi umekuwa unapost POST moja tu Jersey mzigo mpya 😣πŸ₯Ίimekuwaje Dada usione hatuangalii Una PUSH Biashara acha kujipost wewe kwa sasa post bidha Tunaangalia na Tuna Repost Bless ❀"
X Link 2024-06-28T14:49Z 59.4K followers, [--] engagements

"@elonmusk Tanzania we need as well Starlink πŸ™πŸΏ"
X Link 2024-06-28T18:05Z 59.6K followers, [--] engagements

"@Gordian_255 Happy Birthday Brother"
X Link 2024-06-29T09:01Z 59.6K followers, [--] engagements

"ipo siku inshallah πŸ™πŸΏ"
X Link 2024-06-29T18:31Z 59.8K followers, [----] engagements

"Kipapatio mambo mengine kabisa πŸ˜‹"
X Link 2024-06-29T22:06Z 59.8K followers, [--] engagements

"@ZephilineEze itakuwa inshallah πŸ™πŸΏ Mungu wa kwetu sote Ameen atatupa Itakuwa hakuna sitaki nataka ukitaka unapata ameen"
X Link 2024-06-29T22:08Z 59.6K followers, [--] engagements

"@amprincess9 Sato na Sangara unaweza ukawa unaniletea toka Mwanza kwenye Menu nimeshaongeza Biriani rosti ya samaki 🫢 Halafu Mwanza nilikuja kugundua kuna kuna gerne flani ya ma binti wenye miguu minene na macho ya duara kama kwa mbali wasomali hivi all in all ntapata samaki"
X Link 2024-06-30T11:21Z 59.6K followers, [--] engagements

"Miaka [--] inayokuja ntakuwa mlipa kodi mkubwa @TRATanzania kama mfanya biashara mwenye kumiliki Food Chains nyingi kwenye soko la chakula na kuendesha Food Factory in Tanzania na Afrika Mashariki inshallah πŸ™πŸΏ"
X Link 2024-06-30T18:52Z 59.8K followers, [--] engagements

"2075 Ntakuwa na Miaka [--] Ntakuwa TajiriπŸ’° Mkubwa East Africa Binti yangu wa Kwanza atakuwa kashamaliza Chuo Harvard πŸŽ“ Kichwa 🧠 halafu Jeuri kama Mwamvita Makamba πŸ’°inshallah πŸ™πŸΏ Food Factory East Africa Brand kadhaa wa kadhaa ntajikita na ku mark soko la chakula"
X Link 2024-07-03T07:15Z 59.6K followers, [--] engagements

"We are NOT SAME πŸ”΄ Mimi naamini mpaka niwe nauza Sahani za Biriani [----] kwa Siku in different outlet DSM inabidi niweze kwanza kuwa Handle wateja walio kwenye range ya [---] kwa siku Mimi naamini huiwezi kuruka Stage its process kuwa MKUBWA Biashara haitaki watu vipera maziwa"
X Link 2024-07-03T07:52Z 59.6K followers, [--] engagements

"Kama Maisha yako FASTER Chagua kuwa QUICKER πŸ”΄"
X Link 2024-07-03T09:17Z 59.6K followers, [--] engagements

"Biriani kuku Tsh 7000/="
X Link 2024-07-03T09:59Z 59.7K followers, [----] engagements

"REPOST YAKO πŸ™πŸΏ Watoto waende Shule Tulipe Bill ya Umeme Tuishi 🫢 ☎ +255 [---] [---] [---] ☎ +255 [---] [---] 333"
X Link 2024-07-07T08:09Z 59.8K followers, [--] engagements

"Repost yako πŸ™πŸΏ"
X Link 2024-07-07T08:16Z 59.9K followers, [----] engagements

"@LuckyLu____ Happy Birthday Fundi Juma πŸŽ‚πŸŽ‚"
X Link 2024-07-07T09:39Z 59.8K followers, [--] engagements

"Sasa vitu kama hivi Ndo MOM anaupiga Mwingi tumeona mwenetu kalipwa kama Msanii kaitangaza Nchi yetu katumia Ubunifu wake na kipaji chake Sio mambo ya kutuzingua 😁 au sio πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜"
X Link 2024-07-07T11:05Z 59.8K followers, [--] engagements

"Sitoiongelea KATIBA MPYA mpaka nimalize kusoma KATIBA yenyewe kwanza na kuelewa vingi sikuwahi kuisoma wala kuifatilia kama mwananchi ni uzembe Lakini leo hii huwezi ukaniambia niache kupost Biriani nipost kuhusu kudai KATIBA MPYA πŸ₯Ί najua mama anaupiga mwingi πŸ˜… ☎0719068333"
X Link 2024-07-07T11:37Z 60K followers, [--] engagements

"Dar es SalaamTanzania Harbour of Peace kuna siku itakuwa kama NEW YORK CITY inshallahπŸ™πŸΏ New York City is living in the future Look at the Mayor announcing the city will now use trash bins instead of dumping their trash on the streets like barbarians. https://t.co/c49dAlWC26 New York City is living in the future Look at the Mayor announcing the city will now use trash bins instead of dumping their trash on the streets like barbarians. https://t.co/c49dAlWC26"
X Link 2024-07-08T22:20Z 59.9K followers, [---] engagements

"Ukiskia saa nane kasoro usiku ule Usiku mnene ndio mida hii πŸ˜‰"
X Link 2024-07-08T22:30Z 59.8K followers, [--] engagements

"Why are you still awake its 01:31am"
X Link 2024-07-08T22:31Z 59.9K followers, [---] engagements

"@Idan255 Nakuwa online 24hrs kuna muda wa ku reply Pekee even week nzima Halafu kuna mwezi wa Ku repost deeply kwa wafanya biashara wadogo wadogo Halafu kuna kupost Picha Hashtag itembee huwa online platform zote Parodi za Kutosha kuangalia nani ananisema πŸ˜…πŸ˜‚"
X Link 2024-07-09T00:43Z 59.8K followers, [--] engagements

"DONT MAKE PEOPLE FEEL STUPID πŸ”΄ wafanye wajione SMART Kukufikia ulipo unapofanya Biashara On Google Map πŸ”΄ Location Tag :MUDI MABIRIANI"
X Link 2024-07-09T00:54Z 59.9K followers, [--] engagements

"Nguvu ya GOOGLE MAP Location TAGπŸ”΄ Faida yake kubwa kama ukiweka muda ukaitumia google map UTAPATA wateja wengi bila shuruti πŸ”΄ Tuko kwenye Dunia ya Teknolojia kuna wateja wengine AMINI kwamba wanatumia mtandao kwenye mahitaji yao ya kila siku kwa asilimia 99% Jiongeze πŸ’―"
X Link 2024-07-09T01:01Z 59.8K followers, [--] engagements

"Happy Birthday Achani πŸŽ‚πŸŽ‚ Mungu akupe umri mrefu Ameen"
X Link 2024-07-09T08:19Z 59.9K followers, [---] engagements

"Lamine Yamal FIFA πŸ”΄"
X Link 2024-07-10T21:04Z 59.9K followers, [--] engagements

"Kama unaiona hii TWEET πŸ”΄ Tunaomba Repost yako πŸ™πŸΏ"
X Link 2024-07-11T08:11Z 59.9K followers, [--] engagements

"Tunasafirisha mpaka miji yote Europe mainly StockholmBrusels LondonMarekani miji yote kasoro Texas Middle East : UAEKuwaitOmanBahrainSaudi ArabiaYemen kashata za Karanga na maziwa Package Tsh 10000/= Tanzania mikoani Delivery ipo βœ” Whatsaap pia ☎0719068333"
X Link 2024-07-11T17:24Z 60.1K followers, [--] engagements

"Repost πŸ™πŸΏ"
X Link 2024-07-17T17:18Z 60.3K followers, [----] engagements

"@bajabiri Happy Birthday Mwalimu πŸŽ‚"
X Link 2024-07-18T21:16Z 62.2K followers, [--] engagements

"Kama unataka kuanza Biashara Bongo hapa ile Kibongo Bongo uende sawa na Culture husika ya Kibongo Diversity ya hili Jiji la Dar es salaam na Tanzania usiache kusoma Kitabu hiki πŸ”΄"
X Link 2024-07-22T10:35Z 60K followers, [--] engagements

"Huyo DOGO unayemnyima REPOST ya Tangazo lake la biashara aliyoamua kuanzisha online kisa ALIKOSA kazi akaamua kujiajiri ndo unapofeli πŸ”΄ Umaskin unaondolewa na mapinduzi kuanzia Kwako Acha UNDUZA akipata repost [---] utafanya ataacha kupiga mizingaTL atauzaata sogea ONA kenyaπŸ₯Ί"
X Link 2024-07-22T10:48Z 60K followers, [--] engagements

"The STREET COLD πŸ”΄ Report inatuonyesha Tanzania Vijana wengi wamejiajiri kuliko Kuajiriwa πŸ”΄ Biriani ya kuku Tsh 7000/="
X Link 2024-07-22T11:43Z 60K followers, [--] engagements

"Camera za simu zinadanganya sana unaweza ukajua Madam Kika ni TALL kumbe wa kawaida Tu Hapa Tall namaanisha Biriani firigisi maini ya Tsh [----] kwa The Brand Well known Mudi Mabiriani GHOST KITCHEN Tanzania 😎 https://t.co/V9vFWt5RS3 😎 https://t.co/V9vFWt5RS3"
X Link 2024-07-22T11:53Z 60.1K followers, [---] engagements

"Utaniskiliza mimi unanijua nnafanya BIASHARA mtandaoni au Utamskiliza huyo anayejiita INFLUENCER hujamuona hata siku moja akiuza kitu kuanzia na Mtaji wa [------] ukawa na faida na mzunguko wa milioni [--] leo Tanzania We leta masikhara na biashara mie najuta kuna muda kuwa hivi"
X Link 2024-07-22T12:25Z 60K followers, [--] engagements

"Kwanza Wanaojiita INFLUNCER wengi hawaamini kuwa mkubwa ni PROCESS wengi ukipata changamoto kwenye Biashara wanakuona mzembe umefeliπŸ”΄ Ulishindwa Kuitumia Nafasi Ma Influencer wengi BONGO hawana ELIMU wanachofundisha wachache wanaosoma hata hivyo VITABU wanavyoongelea BOGUS Tu"
X Link 2024-07-22T12:36Z 60.4K followers, [--] engagements

"Interaction mtandaoni unahitaji ELIMU ukimuona mfanya Biashara yuko Tofauti basi ujue anajua anachofanya nini VISION ukijumlisha MISSION kwenye kujenga BRAND innovation na Creativity kisha implementation kesho yake iwe Fanaka Biashara inahitaji WATEJA kama Oxygen kwa binadamu"
X Link 2024-07-22T12:41Z 60.4K followers, [--] engagements

"Happy Birthday to You πŸŽ‚πŸŽ‚"
X Link 2024-07-22T13:11Z 60.1K followers, [--] engagements

"Masinia THREAD #biriani #pilau #basmati #biryani #msosi #foodporn #trademark #brand #BusinessEfficiency #mudimabiriani #Tanzania #ghostkitchen #daressalaam #delivery #entrepreneurs"
X Link 2024-07-22T13:20Z 60.1K followers, [---] engagements

"Kwanza kwenye Mtungo inakuwaje unaongea Kama unapiga Mtungo unahitaji u focus πŸ“Œ"
X Link 2024-07-22T13:36Z 60.4K followers, [--] engagements

"@UberEats Think about TanzaniaEast Africa πŸ™πŸΏ We need Uber Eats please πŸ™πŸΏ"
X Link 2024-07-22T16:28Z 60.1K followers, [--] engagements

"unaona kama pale Moscow mjini kuna Waafrika wengi kuanzia Red Square Kremlin kote mjini tunafanya Delivery ya Biriani Kama Ukiwa na Russian Ruble [------] unafungua mgahawa mmoja mkubwa kwa PUTIN kama KFC Tunakuwa tunapatikana Dunia nzima Hela zako zitumie vizuri kabla haujafa"
X Link 2024-07-22T19:43Z 60K followers, [--] engagements

"@Mshonaviatu Wasiliana na wanasheria hapa mpate msaada wa kisheria haya mambo yanataka utekelezaji na uwajibikaji kisheria ni kuchangamka"
X Link 2024-07-22T20:08Z 60.1K followers, [--] engagements

"@VOASwahili Taifa la ki Soviet la Ki Ujamaa bila Ubepari ukileta mzinguo lazima wakubadilikie wako serious sana itakuwa analeta Pigo za KI FBI au za Ki CIA Moscow Russia ukiwa unakula biriani unakula na adabu na stara kwa wenyeji na nchi yao usilete makeke mengi"
X Link 2024-07-22T20:11Z 60K followers, [--] engagements

"Kwanini haujalala mpaka saa hizi Sisi tuko online kazini tumejiajiri kupitia Mtandao wewe je kwanini unawanga"
X Link 2024-07-22T21:32Z 60.1K followers, [--] engagements

"@AicyStevens Aicy mambo 🫢"
X Link 2024-07-22T21:57Z 60.1K followers, [--] engagements

"Daaah imebidi nikae chini kwanza Irene mungu akutunze ameen πŸ™πŸΏβ€ Me and my truth we sit in silence.🌻✨ https://t.co/QWMGaC8OIQ Me and my truth we sit in silence.🌻✨ https://t.co/QWMGaC8OIQ"
X Link 2024-07-23T08:54Z 60.1K followers, [---] engagements

"@AicyStevens Leo umeenda ku protest Airport ❀ Be bless out there RUTO aondoke nije Kenya kutembea"
X Link 2024-07-23T09:03Z 60.1K followers, [--] engagements

"@DullahTheking2 Sasa mimi Dulla ndo ntakuwa na Hela nyingi Bilionea kabisa Ntakuwa na food chains East Africa Brand za Vyakula nyingi sana we ngoja uone Kwanza Dereva wangu atakuja ku enjoy sana akiniendesha kwenye Range Rover"
X Link 2024-07-23T09:09Z 60.1K followers, [--] engagements

"@TOTTechs Tangazo lolote la Biashara yako unatakiwa usimamie kile unachotaka kiwafikie wengi Usikilize kwanza mwenyewe kabla ya kuruka online Vision ikifanya kazi kwenye mission inakuwa mambo mazuri"
X Link 2024-07-23T09:11Z 60.1K followers, [--] engagements

"Museveni Generation Z akae nao chini amalizane nao Tofauti Maaana Vijana wa Uganda wamesoma mpaka AIBU πŸ˜…πŸ˜… Walikuwa wanasubiri waone wenzao wanaalianzisha tu Kama naiona OLD PARK leo Kampala"
X Link 2024-07-23T09:42Z 60.1K followers, [--] engagements

"@sonnino123 Tatizo kumkimbiza hivyo hawawezi Museveni Jeshi kalishika kisawasawa Kelele za Wananchi walikuwa wanaogopq Jeshi na Polisi Uganda ukikimbia Usiku kama Polisi wakikuita ukikiimbia Tu wanakupiga Risasi wako tofauti kiasi kuona Kifaru Kampala mjini kitu cha kawaida sana"
X Link 2024-07-23T09:45Z 60.1K followers, [--] engagements

Limited data mode. Full metrics available with subscription: lunarcrush.com/pricing