@ezekiel_kamwaga Avatar @ezekiel_kamwaga Ezekiel ‘The Wolf’ Kamwaga

Ezekiel ‘The Wolf’ Kamwaga posts on X about tanzania, kwanza, leo, nia the most. They currently have [------] followers and [---] posts still getting attention that total [------] engagements in the last [--] hours.

Engagements: [------] #

Engagements Line Chart

Mentions: [--] #

Mentions Line Chart

Followers: [------] #

Followers Line Chart

CreatorRank: [-------] #

CreatorRank Line Chart

Social Influence

Social category influence countries 10% currencies #3363 celebrities 4% us election 4% technology brands 2% travel destinations 2% finance 1% musicians 1% social networks 1%

Social topic influence tanzania #143, kwanza #34, leo #886, nia #354, public 4%, hii #76, okt #45, ezekiel #9, amiri #39, kamala harris 2%

Top accounts mentioned or mentioned by @ezekielkamwaga @sharb84 @edutalktz @ccmtanzania @rkishaija81715 @simbasctanzania @ahmedrajab @azamtvtz @bhudulila @youngafricanssc @exmayorubungo @vp @itskamala @thomasjkibwana @johnkataisa @felixsanka @magoigas @cw_pedro @jambotv_ @kinwillys

Top assets mentioned Mambo (MAMBO) Alphabet Inc Class A (GOOGL) Roost (ROOST) RAFIKI (RAFIKI)

Top Social Posts

Top posts by engagements in the last [--] hours

"Tanzania vyama vya siasa ni viwili tu; CCM na PPT. Vilivyobaki vyote ni pressure groups. Dkt. Aleck Humphrey Chemponda Circa 1996"
X Link 2026-02-10T05:11Z 29.1K followers, [----] engagements

"@cw_pedro Ishu za endapo mwaka [----] kulikuwa na uchaguzi au la ni za kupoteza muda tu. Hii ni picha ya Rais wa Tanzania akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa UN. Uchaguzi ulifanyika na mshindi anatambulika na AU na UN pia. Yapo ya kujadiliana hili limeisha. Kaka @ezekiel_kamwaga na @MayalaPaschal3 mnaamini kabisa toka ndani ya mioyo yenu kilichofanyika October [--] ni uchaguzi Kwamba Samia alipata kura karibu milioni [--] almost 98% Paschal haukuwa wa hivo. Kaka @ezekiel_kamwaga na @MayalaPaschal3 mnaamini kabisa toka ndani ya mioyo yenu kilichofanyika October [--] ni uchaguzi Kwamba Samia alipata kura"
X Link 2026-02-15T11:28Z 29.1K followers, [----] engagements

"Suala la kuufyata halipo. Tatizo ni STRATEGY. Suala la uchaguzi ni la kisheria na kisiasa. Ni uamuzi wa players. Kama strategy ni kususia uchaguzi wa [----] kwa sababu wa [----] haukwenda vema its fine. We want a better election in [----] Lets strategize. Lets organize. Kumbe Ndio sababu madhila haya yanaendelea KUJIRUDIA kwa sababu yakishapita tunaufyata. Mwaka [----] nako kulikuwa na 'uchaguzi' kama huu au unaofanana na huu. Ukapita tukanyamaza. Mwaka [----] ukajirudia na damu ikamwagika ya kutosha ya WATANZANIA. Napo unasisitiza tunyamaze. Kumbe Ndio sababu madhila haya yanaendelea KUJIRUDIA kwa"
X Link 2026-02-15T11:52Z 29.1K followers, [----] engagements

"Amini amini nakuambia @Sharb84 @ccm_tanzania wako vizuri. Tatizo wakikosea wanashughulikiwa mara [----]. Wakipatia hawana watu wa ku amplify kwa ukubwa wa wakosoaji. Siku CCM wakiweza kutengeneza jeshi imara la sifa upinzani watapata taabu @ezekiel_kamwaga Taasisi hizo hizo zinazolipwa kupika data au zipi😂😂 Hizo zilizo onyeshaga Hilary Clinton ana mshinda Trump mchana kweupe au zipi CCM kama inajiamini iruhusu uchaguzi Huru na wa haki. Wenyewe wanajitapa na goli la mkonondo hao unawatetea. Walishinda kwa 98%😂😂😂😂 @ezekiel_kamwaga Taasisi hizo hizo zinazolipwa kupika data au zipi😂😂 Hizo"
X Link 2026-02-15T13:02Z 29.1K followers, [----] engagements

"Kama tafsiri yako ya uchaguzi halali huru na wa haki ni kwa chama tawala kushindwa uchaguzi basi ni tafsiri finyu. IPO mifano ya nchi ambazo chaguzi hazikuwa huru wala za haki na bado upinzani ULISHINDA. STRATEGY. Narudia POLITICAL STRATEGY Ambacho pengine hautaandika ni kwamba CCM na DOLA havitaruhusu uchaguzi huru haki na halali kufanyika. Kwa maana nyingine hilo litakuwa ni tiketi ya wao kuondoka madarakani. STRATEGY sio kususa. Kwa upande wangu strategy ni DOLA yetu kusimama na KATIBA ya Jamhuri hii iliyopo. Ambacho pengine hautaandika ni kwamba CCM na DOLA havitaruhusu uchaguzi huru haki"
X Link 2026-02-15T12:03Z 29.1K followers, [----] engagements

"Ninachojua kuhusu Tanzania ni kwamba hadi leo - uchaguzi ukiwa huo huru na wa haki CCM itapata ushindi wa zaidi ya asilimia [--]. Utafiti wa taasisi ya kimataifa ulionyesha hivyo Agosti mwaka jana. CCM ina watu wa kutosha. Hawana kelele tu🤣 Dunia yenye DEMOCRASIA ya KWELI sio haya MAIGIZO tunayofanya vyombo vyote vya DOLA ambavyo huundwa na KATIBA zao husimama na KATIBA hizo wakati wote kwa yote zikiwemo CHAGUZI zao. Wewe umetoka nje ya nchi mara nyingi unayaona haya ya kwetu huko nje Dunia yenye DEMOCRASIA ya KWELI sio haya MAIGIZO tunayofanya vyombo vyote vya DOLA ambavyo huundwa na KATIBA"
X Link 2026-02-15T12:32Z 29.1K followers, 15.8K engagements

"La kwanza kabisa. Jana umeposti picha za watu waliokufa Tanzania wakati wa Oktoba [--] na kuhoji kuhusu maridhiano. Je huamini kuwa Maridhiano ya Kitaifa ndiyo njia pekee inayojulikana kuzuia kwa muda mrefu ujao matukio kama ya Oktoba [--] yasitokee tena Twende kazi mzee @ezekiel_kamwaga Twende kazi mzee @ezekiel_kamwaga"
X Link 2026-02-15T16:17Z 29.1K followers, 13K engagements

"@RKishaija81715 Karibu🤣. Lakini unatakiwa uwe unanisapoti mimi na @EduTalkTz tunampiga spana tu🤣🤣. Naunga mkono hoja"
X Link 2026-02-15T16:22Z 29.1K followers, [---] engagements

"Maridhiano ni ile hali ya pande hasimu kukubaliana kwamba kuna matatizo na kwa mustakabali mpana wa taifa wanatakiwa kuzungumza. Kiwango cha juu kabisa cha kuona kama maridhiano yanafaa au la ni pale unapoona kuna uadui uhasama au kutoaminiana kwa elites wa political class Tunaweza kuanza kwanza kwa kutafsiri maridhiano Nadhani kuamini au kutokuamini kutatokana na namna tunavyotafsiri concept ya maridhiano. So kwako kaka mkubwa @ezekiel_kamwaga maridhiano ni nini Huwa yana sifa gani Tunaweza kuanza kwanza kwa kutafsiri maridhiano Nadhani kuamini au kutokuamini kutatokana na namna"
X Link 2026-02-15T16:24Z 29.1K followers, [----] engagements

"@EduTalkTz @YoungAfricansSC @SimbaSCTanzania Lets say mpaka saa mbili - mbili na nusu - ish; tupate time ya kulaza watoto"
X Link 2026-02-16T14:35Z 29.1K followers, [---] engagements

"Rais kwa wadhifa wake kama Amiri Jeshi Mkuu anapokea taarifa kwa vyombo vyake na alichozungumza ni kwa mujibu wa taarifa alizopewa wakati huo. Kama angekuwa hana nia njema angebaki na taarifa hizo na asingeunda tume ya uchunguzi. Kitendo cha kuunda tume kinaonyesha nia njema @ezekiel_kamwaga Unaunda tume katika msingi gani wakati aliyeunda tume tayari ana majibu ya kila kitu Hiyo tume inachunguza nini ikiwa tayari Rais aliyeiunda ameshasema aliuwa watu kwa sababu walitaka kumpindua Inachunguza nini wakati Rais aliyeiunda alishasema waliouawa ni watu kutoka nje @ezekiel_kamwaga Unaunda tume"
X Link 2026-02-16T17:48Z 29.1K followers, [----] engagements

"Katiba Mpya ni muhimu. Lakini inatakiwa itokane na maridhiano ambayo yatajenga Ukatiba (Constitutionalism). Katiba Mpya si mwarobaini pekee. Lakini itakuwa ni hatua nzuri kutaka kufika mbali @ezekiel_kamwaga Katiba mpya ndiowarubaini wala si hayo maridhiano kila mtu anajua source ni ubovu wa katiba @ezekiel_kamwaga Katiba mpya ndiowarubaini wala si hayo maridhiano kila mtu anajua source ni ubovu wa katiba"
X Link 2026-02-15T17:01Z 29.1K followers, [---] engagements

"Unafosi hoja. Polisi akikutwa na hatia ya mauaji atahukumiwa kama akina Zombe walivyohukumiwa baada ya Uchunguzi wa Jaji Kipenka. Ndiyo maana ya Tume ya Uchunguzi. Hiyo obsession yenu na Rais Samia inawafanya mjielekeze vibaya kwenye hili jambo. Unless tumeamua kujidanganya hivyo. Hivi inakuingia akilini kabisa kwamba tume iliyoundwa na Samia kuchunguza mauaji ya Samia ambayo Samia ameshayatolea majibu ni tofauti na Samia na hivyo itakuja na chochote kinachodiscomfirm matakwa ya Samia🤔 Inakuingia akilini🤔 Unless tumeamua kujidanganya hivyo. Hivi inakuingia akilini kabisa kwamba tume"
X Link 2026-02-16T18:56Z 29.1K followers, [----] engagements

"Sasa UCHAGUZI KWELI utaletwa na dola kama mana ilivyoshushwa kwa Waisrael Jangwani Au utakuja kwa vyama kususia kila uchaguzi kuanzia mpaka dawamu mpaka uchaguzi kweli uletwe. You are naive mdogo wangu Hiyo tafsiri ni yako pia. Rejea swali langu la kwanza kwako. Kama ungelilijibu vizuri usingefikia kwenye tafsiri hiyo fyongo ya kuwafurahisha watawala. Ukifanyika uchaguzi KWELI na DOLA yetu ikasimama na KATIBA ya Jamhuri kesho mbali. Tutaongea mengine. Hiyo tafsiri ni yako pia. Rejea swali langu la kwanza kwako. Kama ungelilijibu vizuri usingefikia kwenye tafsiri hiyo fyongo ya kuwafurahisha"
X Link 2026-02-15T12:10Z 29.1K followers, [----] engagements

"Kwenye siasa za Tz mahasimu ni CCM na CDM. ACT Waz pia wanatakiwa kuwa kwenye picha kwa sababu ya influence yao Zbar. Uhasimu wao unatokana na ukweli kwamba taifa halijawahi kuwa na maridhiano ya kitaifa ya kisiasa na mabadiliko ya kikatiba na kitaasisi tangu tuingie vyama vingi Tafsiri nzuri sana. Kwenye yale yaliyofanywa Tarehe 29/10 (ingawa baadae nitarejea hapa) pande mahasimu zilikuwa zipi ambazo zinapaswa kuzungumza Itakuwa vyema pia tukielewa uhasimu wao ulisababishwa na nini haswa Tafsiri nzuri sana. Kwenye yale yaliyofanywa Tarehe 29/10 (ingawa baadae nitarejea hapa) pande mahasimu"
X Link 2026-02-15T16:59Z 29.1K followers, [----] engagements

"Mechi ya jana ya @YoungAfricansSC kidogo ilinitoa kwenye reli😜. Unajua jana walitupa raha sana sisi watu wa @SimbaSCTanzania 😜. Ila leo kuanzia [----] saa za bongo tunaweza kuendelea tulipoishia jana. I will have all the time for you leo. Deal Kaka mkubwa @ezekiel_kamwaga jana nilidhani tutajadili mada mpaka itakapofika mwisho ila bahati mbaya ukatokomea.😎 Baada ya kuset context nilitamani kule mbele mbele nikuulize unaiona nia ya dhati ya hicho kinachoitwa maridhiano Kwa vielelezo vipi Bahati mbaya https://t.co/pYTwkpOGFe Kaka mkubwa @ezekiel_kamwaga jana nilidhani tutajadili mada mpaka"
X Link 2026-02-16T14:26Z 29.1K followers, [----] engagements

"Hoja yangu ni rahisi sana. Hakuna mtu ambaye amekuja na ushahidi unaoonyesha polisi wakipiga risasi watu kwenye kibanda cha mpira. Matarajio yangu ni kwamba huenda Tume ya Jaji Chande inaliangalia jambo hilo na ikaja na majibu yake. Ukweli utajulikana wakati huo. @ezekiel_kamwaga Top penumesema waliouwa watu Kibanda cha mpira siyo Police. Labda kweli. Sasa kwa nini Police hawajafungua jadala kutafuta waliouwa wale Vijana kwenye banda la mpira. Au wale vijana hawawahusu🤔 Unaweza zungumza Maridhiano bila accountability🤔 Tunahitaji pragmatic approach. @ezekiel_kamwaga Top penumesema waliouwa"
X Link 2026-02-16T16:54Z 29.1K followers, [----] engagements

"Leo nipo sana😂. Niko kwenye simu tu @Sharb84 @ezekiel_kamwaga Ashanikimbia kaka mkubwa😎 @Sharb84 @ezekiel_kamwaga Ashanikimbia kaka mkubwa😎"
X Link 2026-02-16T17:18Z 29.1K followers, [---] engagements

"Hapa ndiyo sasa twende kazi. Huwezi kujadili tukio la Okt [--] kwa kuangalia lenzi moja tu ya ukatili wa vyombo vya dola. Lazima tuangalie masuala ya uchumi kijamii kiteknolojia na kisiasa. Na forum pekee ni mwafaka wa kitaifa. Utakao guide mambo yote hayo. Maridhiano @Sharb84 @ezekiel_kamwaga Unawezaje kujadili tukio la Oct [--] pasipo kuchambua genealogy yake Yani tujadili tukio la kuzama kwa MV Bukoba pasipo kujadili hali ya meli kabla ya tukio @Sharb84 @ezekiel_kamwaga Unawezaje kujadili tukio la Oct [--] pasipo kuchambua genealogy yake Yani tujadili tukio la kuzama kwa MV Bukoba pasipo"
X Link 2026-02-16T17:28Z 29.1K followers, [---] engagements

"Vyombo vilichomwa. Watu walipoteza maisha. Wakiwemo Polisi. Unapozungumzia kuwajibika unataka nani amwajibishe nani Polisi wajiwajibishe Waliochomewa mali wawajibishe waliowachomea Ni lazima itafutwe namna ya watu kukaa na kukubaliana kuhusu kuwajibishana. Kama taifa @ezekiel_kamwaga @ezekiel_kamwaga kwaiyo kama police hawakuhusika nani kahusika Je watu walikufa ama hawakufa Oct [--] Jukumu la msingi kikatiba la police ni kwa raia na mali zao ni lipi Je vituo na mali za watu hazikuchomwa Oct [--] Je Kuna kiongozi wa police aliwajibika @ezekiel_kamwaga @ezekiel_kamwaga kwaiyo kama police"
X Link 2026-02-16T17:34Z 29.1K followers, [----] engagements

"Fanya utafiti kidogo. Utajua kwamba waandishi wa habari pia ni wahanga wa matukio ya Okt [--]. Tofauti na wewe uliyejifungia ndani wakati wa curfew wenzako waliumizwa kunusurika kufa na wengine kupoteza maisha kwenye matukio hayo. Fanya utafiti kabla ya kuja hapa. @ezekiel_kamwaga Ili kuondoa huu UPOTOSHAJI wewe na wengine mnajinasibu kwa taaluma ya uandishi wa habari yupi kati yenu aliyediriki hata kwenda kupata huo UKWELI Na waandishi wote mnasubiri ripoti ya tume ili mpate habari Wewe na waandishi wengine wote ni WADHALIMU. @ezekiel_kamwaga Ili kuondoa huu UPOTOSHAJI wewe na wengine"
X Link 2026-02-16T17:38Z 29.1K followers, [---] engagements

"Fanya utafiti kidogo. Utajua kwamba waandishi wa habari pia ni wahanga wa matukio ya Okt [--]. Tofauti na wewe uliyejifungia ndani wakati wa curfew wenzako waliumizwa kunusurika kufa na wengine kupoteza maisha kwenye matukio hayo. Fanya utafiti kabla ya kuja hapa. @ezekiel_kamwaga Ili kuondoa huu UPOTOSHAJI wewe na wengine mnajinasibu kwa taaluma ya uandishi wa habari yupi kati yenu aliyediriki hata kwenda kupata huo UKWELI Na waandishi wote mnasubiri ripoti ya tume ili mpate habari Wewe na waandishi wengine wote ni WADHALIMU. @ezekiel_kamwaga Ili kuondoa huu UPOTOSHAJI wewe na wengine"
X Link 2026-02-16T17:40Z 29.1K followers, [---] engagements

"Maridhiano ni ishara ya kukubali kwamba kuna tatizo. Hata sasa tunajadiliana kwa sababu sote tunajua kama taifa hatuko sawa. Sisi Watanzania wenyewe ndiyo tunajua kipele kinapowasha na namna ya kukikuna. Nia njema imeonyeshwa kwa kukubali kuna tatizo na kuunda tume. Hatua muhimu Nina maswali madogo sana kwako mkubwa @ezekiel_kamwaga : [--]. Haya maridhiano yanahusu nini ikiwa hakuna anayekiri kutekeleza yaliyotokea [--]. Kuna kipi genuine kilichooneshwa na watawala kama nia ya dhati ya kutafuta maridhiano assuming yapo🤔 https://t.co/8CcnHS2rtQ Nina maswali madogo sana kwako mkubwa @ezekiel_kamwaga"
X Link 2026-02-16T17:51Z 29.1K followers, [----] engagements

"Actually Tanzania hali ni tofauti na inavyoelezwa humu. Ukitaka kupewa nafasi na serikali unatakiwa uipige mawe kisawasawa🤣🤣. Kusifia hakujawahi kulipa. Wewe angalia bungeni na kwingine. Nyie mnaopiga spana ndiyo actually mnaotafuta uteuzi🤣🤣 @ezekiel_kamwaga We Bonge nyanya. Wakufikirie kwenye nafasi zao unawapambania sana hata Kwa vitu vyeusi tiiiii. Ww unavifanya kuwa vyeupe. Kifupi unauza UTU wako ili uwafurahishe @ezekiel_kamwaga We Bonge nyanya. Wakufikirie kwenye nafasi zao unawapambania sana hata Kwa vitu vyeusi tiiiii. Ww unavifanya kuwa vyeupe. Kifupi unauza UTU wako ili"
X Link 2026-02-16T18:12Z 29.1K followers, [---] engagements

"Tz uzoefu wetu wa tume ni wa kipekee. Tume ya Katiba ya Warioba ilipigwa vita na watu kama wewe humu kiasi cha CDM kumzuia Prof. Baregu asiingie. Majibu yakawa tofauti. Ya Nyalali hivyo hivyo. Na ya Jaji Kipenka. Na ya Jaji Kisanga. Zote ziliundwa na Marais na zikawa SUPER Anachunguza nini wakati tayari alishapokea taarifa za vyombo vyake akajirishisha navyo na hatimaye akisimama public kusema conclusively Hivi hata kwa akili ya kawaida kabisa ya kuvukia barabara hiyo tume iliyoteuliwa na Rais mwenyewe (mhusika mkuu wa mauwaji) kesho itaweza Anachunguza nini wakati tayari alishapokea taarifa"
X Link 2026-02-16T18:16Z 29.1K followers, [----] engagements

"Rais ana majukumu yake ya kirais. Tume ina majukumu yake tofauti. Rais anaendelea kuwa Rais wakati tume ikiendelea na kazi zake. Tume itatumia vyanzo na taarifa zake. Tume na Urais ni vitu viwili tofauti na vyenye mandate tofauti Anachunguza nini wakati tayari alishapokea taarifa za vyombo vyake akajirishisha navyo na hatimaye akisimama public kusema conclusively Hivi hata kwa akili ya kawaida kabisa ya kuvukia barabara hiyo tume iliyoteuliwa na Rais mwenyewe (mhusika mkuu wa mauwaji) kesho itaweza Anachunguza nini wakati tayari alishapokea taarifa za vyombo vyake akajirishisha navyo na"
X Link 2026-02-16T18:19Z 29.1K followers, [---] engagements

"Rais ana majukumu yake ya kirais. Tume ina majukumu yake tofauti. Rais anaendelea kuwa Rais wakati tume ikiendelea na kazi zake. Tume itatumia vyanzo na taarifa zake. Tume na Urais ni vitu viwili tofauti na vyenye mandate tofauti Anachunguza nini wakati tayari alishapokea taarifa za vyombo vyake akajirishisha navyo na hatimaye akisimama public kusema conclusively Hivi hata kwa akili ya kawaida kabisa ya kuvukia barabara hiyo tume iliyoteuliwa na Rais mwenyewe (mhusika mkuu wa mauwaji) kesho itaweza Anachunguza nini wakati tayari alishapokea taarifa za vyombo vyake akajirishisha navyo na"
X Link 2026-02-16T18:21Z 29.1K followers, [----] engagements

"Kwa leo inatosha. Kesho"
X Link 2026-02-16T18:45Z 29.1K followers, [---] engagements

"Hiyo data ya maelfu ya watu umeipata wapi @EduTalkTz Unaweza kuthibitisha Unahusianisha vitu viwili tofauti kabisa hapa. Tume tunayoijadili hapa ni tume iliyoundwa na Rais kuchunguza mauaji ya maelfu ya watu yaliyotekelezwa na Rais katika muktadha ambao Rais ameshasimama public na kusema aliuwa maelfu ya watu waliotumwa na mataifa kutoka nje kuja Unahusianisha vitu viwili tofauti kabisa hapa. Tume tunayoijadili hapa ni tume iliyoundwa na Rais kuchunguza mauaji ya maelfu ya watu yaliyotekelezwa na Rais katika muktadha ambao Rais ameshasimama public na kusema aliuwa maelfu ya watu waliotumwa na"
X Link 2026-02-16T18:47Z 29.1K followers, [----] engagements

"Tume zote nilizotaja ziliundwa na Rais. Na for the record ya Jaji Kipenka ilihusu mauaji yaliyofanywa na Polisi. Na waliohusika wote walifikishwa mahakamani. Hoja yako kwamba Tume ikiundwa na Rais na ikiwa inaripoti kwake haiwezi kufanya kazi haina nguvu kwa Tanzania. Iko mifano ya kuku prove wrong. Unahusianisha vitu viwili tofauti kabisa hapa. Tume tunayoijadili hapa ni tume iliyoundwa na Rais kuchunguza mauaji ya maelfu ya watu yaliyotekelezwa na Rais katika muktadha ambao Rais ameshasimama public na kusema aliuwa maelfu ya watu waliotumwa na mataifa kutoka nje kuja Unahusianisha vitu"
X Link 2026-02-16T18:49Z 29.1K followers, [----] engagements

"Siogopi lakini naona ndiyo stori ya watu wanapigana ngumi unaona mkono umekuzidi unatoa bunduki😜 @ezekiel_kamwaga Hili ni swali genuine Nimekusanya video zenye maiti kwa maelfu unazitaka nikuwekee hapa au ndio unaogopa damu @ezekiel_kamwaga Hili ni swali genuine Nimekusanya video zenye maiti kwa maelfu unazitaka nikuwekee hapa au ndio unaogopa damu"
X Link 2026-02-16T18:58Z 29.1K followers, [---] engagements

"Jibu ni rahisi. Tume ya Jaji Kipenka ilikuwa inachunguza Polisi. Iliundwa na Rais Kikwete ambaye alikuwa Amiri Jeshi Mkuu na bado ikatenda kwa weledi. Kwanini unagoma kuwa haiwezekani wakati ukweli uko wazi Rais Samia si ni Amiri Jeshi Mkuu kama ilivyokuwa kwa Jakaya wakati ule What is the fuss about Angalau nitendee haki kwa kujibu maswali yangu ni ya common sense tu. Tunajadili hoja katika muktadha tukumbuke hilo. Swali ninalokuhoji hapa ni hili hii tume inareport kwa nani Kwa akili ya kawaida tume hii itamrejea tena huyo Rais (mhusika mkuu wa mauwaji ya kimbari) Angalau nitendee haki kwa"
X Link 2026-02-16T19:00Z 29.1K followers, [----] engagements

"Nimekwambia kauli ya Rais ilitokana na taarifa alizopewa awali na vyombo vyake. Yeye ana vyombo vya kumpa taarifa. Kwa nia yake njema kaunda pia tume ambayo itampa taarifa mbadala. Hapo shida ni nini Ingekuwa vema asingeunda tume Si ungekuja hapa kusema aunde tume Mimi nafosi hoja au wewe ndio unajisahaulisha kaka mkubwa Sio Rais Samia aliyesimama na kusema mnasema nilitumia nguvu kubwa nguvu kidogo ni ipi Mlitaka tuwaache mpaka wapindue serikali Huu sio msimamo wa Rais unayemzungumzia Ulishasikia hata siku moja Rais Mimi nafosi hoja au wewe ndio unajisahaulisha kaka mkubwa Sio Rais Samia"
X Link 2026-02-16T19:06Z 29.1K followers, [----] engagements

"Kama ulikuwa mdogo wakati wa Tume ya Jaji Kipenka naomba ukafanye mapitio halafu tuendelee kesho. Kwa leo inatosha. Au siyo mdogo wangu wa faida Tujiandae kulala Tume ya Jaji Kipenka iliundwa kuchunguza nini na hii ya sasa inachunguza nini Lets go this route kama unavyotaka Tume ya Jaji Kipenka iliundwa kuchunguza nini na hii ya sasa inachunguza nini Lets go this route kama unavyotaka"
X Link 2026-02-16T19:08Z 29.1K followers, [----] engagements

"Kama Dar es Salaam ingekuwa ni jimbo la uchaguzi unadhani nani anastahili kuitwa Mbunge wa Dar es Salaam Nani yeye mwenyewe - kwa hoja matendo na maono yake anawakilisha watu wa Dar es Salaam Anatakiwa kuwa mmoja wa wabunge waliopo sasa wa mkoa huu"
X Link 2024-07-16T13:01Z 28.7K followers, [--] engagements

"Retired but certainly not TIRED😂😂"
X Link 2024-07-17T10:56Z 28.7K followers, [----] engagements

"Kuna timu mbili Moja washabiki wake wanaingia uwanjani kwa kulipa viingilio na nyingine washabiki wanaingia bure🤪. Hongera kwa timu ambayo washabiki wake wa HERA - kwa lafudhi ya Kihaya😂😂😂"
X Link 2024-07-17T12:21Z 28.7K followers, [--] engagements

""Kilio hicho sasa kimelivuka jangwa la Sahara na kinagonga lango la Ruto. Jee atangoka madarakani au atasalimika" @ahmedrajab kwenye GD"
X Link 2024-07-18T07:25Z 28.7K followers, [--] engagements

""Mataifa ya Magharibi na taasisi zao za kifedha ndio hasa waliomponza Ruto kwa msisitizo wao kwamba lazima apandishe kodi ili kupata fedha za kulilipa deni la serikali linalofikia dola za Marekani bilioni 2.7." @ahmedrajab"
X Link 2024-07-18T07:33Z 28.7K followers, [--] engagements

"We kijana anza kufanyia lamination hii picha. Halafu ikae sebuleni kwako au pale mbele kabisa ya ofisi yako. Utaelewa ndani ya siku saba kutoka sasa. @GibsonKawago"
X Link 2024-07-19T13:46Z 28.7K followers, [--] engagements

"Natarajia Kamala Harris kuwa mgombea na Makamu wake atakuwa Josh Shapiro. Halafu muziki utaanzia hapo"
X Link 2024-07-19T14:12Z 28.7K followers, [--] engagements

"Naunga mkono hoja. Ningekuwa @WilliamsRuto Nisingewarudisha kwenye nafasi mawaziri walioongoza vyombo vya dola vilivyopambana na GEN Z kwenye maandamano. Siwaoni vijana wakikubali mabadiliko haya"
X Link 2024-07-19T14:18Z 28.7K followers, [--] engagements

"@Semkae @OnlineDentistTz Kamala is THE ticket. She was with Biden. Biden had one more term to serve. Biden has health problems. He can't continue. If you remove Kamala you kill THE ticket. You can't change the winning team with few months before the election. You keep half the team. That's Momala"
X Link 2024-07-19T15:20Z 28.8K followers, [--] engagements

"Kuna siku @ExMayorUbungo Utakuja kuwa mbunge na hii michezo utakutana nayo. Kwenye hii dunia katili ya husda na yenye teknolojia zote za uchafuzi kila kitu kinawezekana"
X Link 2024-07-21T16:14Z 28.8K followers, [--] engagements

"@AllyUmpa @Hakingowi Kabisa. Wana muda mfupi sana wa mambo yasiyo ya kazi. Lakini naona pia yeye alikuwa generation tofauti. Wao waliamini zaidi kwenye word of mouth kwa sababu mitandao haikuwepo"
X Link 2024-07-23T06:29Z 28.8K followers, [--] engagements

"@VP first campaign ad👌. Freedom by @Beyonce as a soundtrack is a fantastic idea. Women are going to be decisive in the coming American election. In the land of the Free FREEDOM is King/Queen. BREAKING: The Kamala Harris campaign just released their first ad. Retweet to make sure every American knows who Kamala Harris is and what is at stake this November. https://t.co/d55aNDbYNZ BREAKING: The Kamala Harris campaign just released their first ad. Retweet to make sure every American knows who Kamala Harris is and what is at stake this November. https://t.co/d55aNDbYNZ"
X Link 2024-07-25T13:42Z 28.8K followers, [---] engagements

""Nina uhakika kama January angekuwa anafanya mikutano mitatu kwa siku na waandishi wakati wa ziara za Rais ughaibuni Balile angetumia hilo kama mfano wa namna waziri huyo wa zamani alivyokuwa anatumia ziara hizo kwa manufaa yake binafsi""
X Link 2024-07-27T16:50Z 28.8K followers, [--] engagements

"@huruma_msu95338 @Balambirwa1 Kumbe unajua kuandika Naona tangu uingie twitter kazi yako ni ku repost tu maandishi ya wengine. Endelea kuandika. Ku repost mwaka mzima ni kuonyesha kichwa chako kimejaa yaliyomo kwenye ndoo za profile yako. Andika"
X Link 2024-07-27T20:11Z 28.8K followers, [--] engagements

"@Msandashwa Uchawa ni mtu mzima - tena Mhaya kumaliza mwaka mzima akiwa ana repost tu vitu walivyoandika wenzako mitandaoni. Wewe huna kitu kabisa kichwani kwako Una boksi tu juu ya shingo yako"
X Link 2024-07-27T21:38Z 28.8K followers, [--] engagements

"The Last TRUE cadre Nyumbani kwa Cde Kinana mara baada ya kukubali kurejea tena @ccm_tanzania kama Makamu Mwenyekiti mwanafamilia yake mmoja aliniuliza; "Ni lini mtamwacha Mzee awe tu baba yetu" Leo familia yake italala usingizi wa amani. Mtu makini hodari. Askari"
X Link 2024-07-29T17:17Z 28.9K followers, [--] engagements

"@FreeData462 @ccm_tanzania Kwanza leo umekuwa muungwana sana. Nitukane tena kama ulivyotukana hapa chini😂😂😂. Leta matusi😂😂"
X Link 2024-07-29T19:14Z 28.9K followers, [--] engagements

"@fundo_baraka @enovelist1 @mbuzekongira @ccm_tanzania 😂"
X Link 2024-07-30T14:23Z 28.9K followers, [--] engagements

"It is the same situation in Bangladesh where the youths are rioting as well. The GDP itself does not tell the whole story. You have to factor in the trickle down cronyism corruption and the question of who really benefits. Africas combined GDP has increased over [--] TIMES in over two decades. Why then are so many Africans angry and complain that they have felt little or no benefit of this growth Africas combined GDP has increased over [--] TIMES in over two decades. Why then are so many Africans angry and complain that they have felt little or no benefit of this growth"
X Link 2024-07-31T07:13Z 28.9K followers, [---] engagements

"Nguli @ahmedrajab amedadavua kwa kina mauaji ya aliyekuwa Kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh kwenye toleo hili la Gazeti la Dunia. Unajua ilikuwa almanusura Ahmed akutane na kiongozi huyu takribani miaka [--] iliyopita"
X Link 2024-08-01T11:35Z 28.9K followers, [--] engagements

""Israel ilifanya umaluuni wa kusudi kumuulia Iran nchi yenye wafuasi wengi wa madhehebu ya Shia. Lengo ni kutaka kuchochea fitina baina ya Masunni na Mashia na pia kuifanya Iran ilaumiwe kwamba haina usalama ulio imara au kwamba ilihusika kumtosa.""
X Link 2024-08-01T11:41Z 28.9K followers, [--] engagements

"Kwenye mradi wa SGR Utaifa wetu ni muhimu kuliko tofauti zetu. Huu mradi ni LAZIMA ufaulu. Kwa sapoti yetu kwa dua zetu kwa kutokata tamaa kwetu kwa kupambana na changamoto na kwa kusema hili ni LETU sote. Hakuna kurudi nyuma. "Forward Ever Backward Never." Kwame Nkrumah"
X Link 2024-08-02T08:04Z 28.9K followers, [--] engagements

"@Sharb84 Very right"
X Link 2024-08-02T08:31Z 28.9K followers, [----] engagements

"Fly @Simone_Biles"
X Link 2024-08-02T10:12Z 29K followers, [---] engagements

"Msaada tutani Natafuta CV ya Wakili Boniface Mwabukusi wa TLS. Kwanza anayejua ninapoweza kupata nakala laini naomba asaidie"
X Link 2024-08-02T11:09Z 28.9K followers, [--] engagements

"@kizmakoye Are you suffering from mental health issues Get some help"
X Link 2024-08-02T14:15Z 29K followers, [---] engagements

"Well I wanted @GovernorShapiro on the ticket. Now that @VP has picked @GovTimWalz I hope they Waltz to the White House"
X Link 2024-08-06T15:36Z 29K followers, [---] engagements

"@JazinoAziz @abdulnondo2 @azamtvtz @edwini_77 @jossemwanri @Mussa_Lameck_ @Toni3gram @Deodravis A good leader is made"
X Link 2024-09-07T08:16Z 29K followers, [----] engagements

"@SadickFaraji @OKumwembe Ronaldo de Lima ilikuwa balaa"
X Link 2024-09-20T06:25Z 29K followers, [--] engagements

"Congratulations to Hang Kang. Never heard of her before but a South Korean woman winning a Nobel Prize for literature says something about her. Will start reading her work soon. Thanks Thanks Thanks https://t.co/wRJ1aXcymj Thanks Thanks Thanks https://t.co/wRJ1aXcymj"
X Link 2024-10-10T16:09Z 29K followers, [---] engagements

"How will you celebrate winning Nobel Prize "Id like to have tea with my son. Ill celebrate it quietly." Surely the mother - son bond is very strong"
X Link 2024-10-11T11:10Z 29.1K followers, [---] engagements

"@rutaraka @ANSAFForum @temu_andy @ItsKamala Poleni sana"
X Link 2024-10-15T16:19Z 29K followers, [--] engagements

"Natazama kipindi cha VIWANJANI cha @azamtvtz muda huu. Kuna analysis ya kiwango cha juu sana inafanywa na wachambuzi. Kama una nafasi tune in"
X Link 2024-10-18T06:25Z 29.5K followers, [--] engagements

"Tanzanias version of Havana by Jesse Cook😂"
X Link 2024-10-24T06:02Z 29.5K followers, [---] engagements

"Joe Biden is a white man. Trump wins only against women and people of colour😂 TF brother Trump has been through enough much of which is based on witch-hunting hoaxes and smear campaigns. There is nothing like White Supremacy here. It is Americans electing a candidate who speak their language and understands them. Joe Biden aliposhinda haikuwa white TF brother Trump has been through enough much of which is based on witch-hunting hoaxes and smear campaigns. There is nothing like White Supremacy here. It is Americans electing a candidate who speak their language and understands them. Joe Biden"
X Link 2024-11-06T07:07Z 29K followers, [---] engagements

"A felony wins the White House😂😂. Let that sink in. I agree with @Tim_Walz he is weird. And I dont think the world is changing it has always been the same. They just got smart at hiding in plain sight. Them SUPREMACISTS. Why should they be blamed They made their choice not just once but twice. We must accept that the world is changing. Lets prepare ourselves for these new realities. Why should they be blamed They made their choice not just once but twice. We must accept that the world is changing. Lets prepare ourselves for these new realities"
X Link 2024-11-06T07:21Z 29K followers, [---] engagements

"@MATAGA_TZ Google and you will see many examples. From Tz to Zambia and South Africa"
X Link 2024-11-07T07:34Z 29K followers, [--] engagements

"Kash Patel. Remember the name"
X Link 2024-11-12T05:58Z 29.1K followers, [---] engagements

"Geez This is shocking. The minister is just saying "Let them die. She is playing tough. Seen to be tough win you elections nowadays. Make South Africa Great Again WATCH "We will smoke them out." Minister in the Presidency Khumbudzo Ntshavheni says the government will not be sending any help for scores of illegal miners trapped underground in Stilfontein North West. #Newzroom405 https://t.co/PHCpk6U8au WATCH "We will smoke them out." Minister in the Presidency Khumbudzo Ntshavheni says the government will not be sending any help for scores of illegal miners trapped underground in Stilfontein"
X Link 2024-11-15T05:58Z 29.1K followers, [---] engagements

"Jana nilipata bahati ya kujionea kwa macho yangu ni namna gani Rais anaweza kuwa futi elfu [--] kutoka usawa wa bahari na bado akawa akasaidia nchi kiuongozi katika wakati mgumu"
X Link 2024-11-17T13:34Z 29.5K followers, [--] engagements

"Kash Patel Kash Patel. Remember the name. https://t.co/S6KpvmPB83 Kash Patel. Remember the name. https://t.co/S6KpvmPB83"
X Link 2024-12-02T03:46Z 29.1K followers, [---] engagements

"Look at me - I am TIME itself and I must one day destroy your world. Bhagavad Gita"
X Link 2024-12-10T14:32Z 29.1K followers, [----] engagements

"@BarakaMaviatu Sio ku push bwana. Its a fact"
X Link 2024-12-11T13:11Z 29.2K followers, [----] engagements

"@thomasjkibwana @MartinNNgondya1 @theutdcode Acha woga😂😂"
X Link 2024-12-15T11:19Z 29.1K followers, [---] engagements

"@luv2rhyme Endelea😂"
X Link 2024-12-18T06:41Z 29.2K followers, [----] engagements

""A term limit is a legal restriction on the number of terms a person may serve in a particular elected office. When term limits are found in presidential and semi-presidential systems they act as a method of curbing the potential for monopoly." @ezekiel_kamwaga Kwani ukomo wa madaraka ni imani ya dini kila mtu anapaswakuwa nayo Mbona kama dishi limeyumba. Ubunge wa jimbo mbona hauna ukomo wa madaraka Kila mtu ana uhuru wa kuwa na political inclination yake mradi aheshimu uhuru wa wengine. @ezekiel_kamwaga Kwani ukomo wa madaraka ni imani ya dini kila mtu anapaswakuwa nayo Mbona kama dishi"
X Link 2024-12-18T07:01Z 29.2K followers, [---] engagements

"Chickens coming home to roost"
X Link 2024-12-20T16:19Z 29.2K followers, [---] engagements

"Ezekiel 25:17 by Samuel L Jackson in Pulp Fiction "And I will execute great vengeance upon them with furious rebukes; and they shall know that I am the Lord when I shall lay my vengeance upon them"
X Link 2024-12-21T19:32Z 29.3K followers, [---] engagements

"Arne Slot. Lalalaaaaaaa💪"
X Link 2024-12-23T07:47Z 29.2K followers, [---] engagements

"🙏 I have to write this down;the following are my most influential people in [----] [--] @SuluhuSamia [--] @zittokabwe [--] @ezekiel_kamwaga [--] @KennedyMmari [--] @thomasjkibwana [--] @TunduALissu [--] @freemanmbowetz [--] @fatma_karume [--] @ExMayorUbungo [--] @SimbaSCTanzania [--] @HKigwangalla I have to write this down;the following are my most influential people in [----] [--] @SuluhuSamia [--] @zittokabwe [--] @ezekiel_kamwaga [--] @KennedyMmari [--] @thomasjkibwana [--] @TunduALissu [--] @freemanmbowetz [--] @fatma_karume [--] @ExMayorUbungo [--] @SimbaSCTanzania [--] @HKigwangalla"
X Link 2025-01-01T10:44Z 29.3K followers, [---] engagements

"Soda ya kwanza😞"
X Link 2025-01-04T09:53Z 29.3K followers, [---] engagements

"Alex Isak looks like my son Meles😅"
X Link 2025-01-07T21:00Z 29.3K followers, [---] engagements

"Doing great stuffs. @ThatBoyKhalifax of the @TheChanzo @PKahemele of @azamtvtz John Marwa of @Jambotv_ and @chiefodemba of StarTv. They are really shaking things up👊💪💪💪💪"
X Link 2025-01-14T13:00Z 29.4K followers, [---] engagements

"Better lives than their countries could provide. My friend lived in England for more than half a century and now he will rest in peace there. UK was good to him and this thank you from me is from the deepest part of my heart. Rest in peace rafiki. Picture by @IdaHadjivayanis"
X Link 2025-02-12T10:05Z 29.5K followers, [---] engagements

"Mdogo wangu this is Realpolitik. Realpolitik is practical. What you are advocating is akin to gambling. So for you to advocate for something that has never been done and succeed anywhere in this round world is just gambling. You are the gambler. I am practical. Selectively marrying KE situation to TZ irrespective of the political economy analysis is pure gambling. Closing doors on novelty equals abandoning boundless potential of human capability. You are gambling. Tutangoja usimulie usahihi na tija ya kuridhia suicide Selectively marrying KE situation to TZ irrespective of the political"
X Link 2025-04-15T13:05Z 29.5K followers, [---] engagements

"Kwa wote wanaoimba nyimbo za kumpongeza Capt Ibrahim Traor kuwa ni mwana demokrasia and all that someni maneno yake mwenyewe. Sikilizeni simulizi za wana habari wanaokamatwa Were in a Revolution Not a Democracy President Traor - West Africa Weekly https://westafricaweekly.com/were-in-a-popular-progressive-revolution-not-a-democracy-burkina-fasos-president-traore/ https://westafricaweekly.com/were-in-a-popular-progressive-revolution-not-a-democracy-burkina-fasos-president-traore/"
X Link 2025-04-19T11:16Z 29.5K followers, [----] engagements

"Sometimes the TRUTH is not the most important thing. If I have to choose between my country and the truth I will pick my country. If I have to lie for my country I will do so. Happily. haujawahi kuwa wajibu wa mwandishi kuwa "mzalendo" siyo kwa serikali tu hata nchi. journalism's first obligation is to the TRUTH and the CITIZENS. siyo kwa serikali wala nchi. waandishi wajibu wao upo kwa wananchi na siyo kikundi kidogo cha wahuni kinachojiita "serikali." haujawahi kuwa wajibu wa mwandishi kuwa "mzalendo" siyo kwa serikali tu hata nchi. journalism's first obligation is to the TRUTH and the"
X Link 2025-05-08T10:21Z 29.5K followers, 41.1K engagements

"Check out this article: https://www.cnn.com/2025/10/01/europe/jane-goodall-death-latam-intl https://www.cnn.com/2025/10/01/europe/jane-goodall-death-latam-intl"
X Link 2025-10-02T06:35Z 29.5K followers, [---] engagements

"Ezekia Dibogo Wenje is officially GREEN"
X Link 2025-10-13T14:40Z 29.5K followers, [----] engagements

"Liberalism does not equate democracy. When applied internationally its fundamentally anti democratic." @DrSJaishankar - Indian Foreign Minister at Munich Security Conference yesterday. This is so important for the West to understand. India's foreign minister explains that liberalism doesn't equate democracy and that on the contrary when applied internationally it's fundamentally antidemocratic https://t.co/WZQhwjrxCQ As he explains "different societies have This is so important for the West to understand. India's foreign minister explains that liberalism doesn't equate democracy and that on"
X Link 2025-02-15T07:13Z 29.5K followers, [---] engagements

"Mimi sijui umri wako na naelewa ukisema hatuendelei. Mimi nimeshuhudia hatua kubwa sana ambazo tumepiga kwenye afya elimu miundombinu nishati na maji. Wewe nahisi umeyakuta yote haya na ni rahisi kuchukulia poa. Wengine tunajua tulikotoka You know why were still here its because of that culture of calling ourselves peaceful people and blah blah. Mwalimu managed to induce that ideology to people and succeeded. Why Because he loved a common mwananchi he preached justice despite of having a dictatorial You know why were still here its because of that culture of calling ourselves peaceful people"
X Link 2025-10-16T10:43Z 29.4K followers, 11.1K engagements

"You totally misunderstood my use of The Art of War and battles and vita. I find it hard to continue with this discussion. Reminds me of when Nyerere said I can not leave my country to the dogs halafu akina Mrema na Marando wakadai Nyerere kaita wapinzani mbwa VITA Kwanini kuchangia mawazo au kukosoa vitu visipoenda sawa iwe vita Ndo maana Africa hatutoki tulipo. Nimetembea nchi kadhaa ( mabara tofauti) lakini nimeona tofauti nyingi sana za kwanini sisi tupo hapa tulipo. The fact that unaona ni VITA ambapo ata vijana wadogo ambao VITA Kwanini kuchangia mawazo au kukosoa vitu visipoenda sawa"
X Link 2025-10-16T17:47Z 29.4K followers, [----] engagements

"Hiki ndiyo kichinjio cha Oktoba [--]. Now kwa wale ambao wamekuwa wana i underestimate CCM subirini muone a record number of turnout. Threshold ya kuvuka previous record iko chini na kama kuna kitu CCM inaweza ni ku mobilize. We wait"
X Link 2025-10-21T16:36Z 29.3K followers, 12K engagements

"Picture of the day"
X Link 2025-11-20T19:17Z 29.2K followers, 36K engagements

""The old world is dying and the new world struggles to be born: now is the time of MONSTERS" (Emphasis is mine). Antonio Gramsci Prison Notes"
X Link 2026-01-05T05:59Z 29.1K followers, [---] engagements

Limited data mode. Full metrics available with subscription: lunarcrush.com/pricing