@Royal_Tv_Tz ROYAL TELEVISIONROYAL TELEVISION posts on X about tanzania, leo, bara, dar the most. They currently have [-------] followers and [---] posts still getting attention that total [------] engagements in the last [--] hours.
Social category influence countries 80.67% travel destinations 2.67% currencies 2% technology brands 1.33% social networks 0.67% musicians 0.67%
Social topic influence tanzania #73, leo #596, bara #954, dar #201, wa 2.67%, kwanza 2%, bora #689, serengeti 2%, ethiopia #458, cha 1.33%
Top accounts mentioned or mentioned by @jonmrema @jjmnyika @tundualissu @freemanmbowetz
Top posts by engagements in the last [--] hours
"Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha Elisa Mungure amesema mwanachama wa chama hicho anayetuhumiwa kuhusika na wizi wa fedha za michango iliyokuwa ikikusanywa kwa ajili ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu aliyeko gerezani anapaswa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria bila upendeleo wowote. Akizungumza na waandishi wa habari leo Januari [--] [----] Mungure ameeleza kuwa mtu aliyekamatwa Fredrick Mbwambo ni mwanachama wa CHADEMA lakini hilo halipaswi kuwa kizuizi kwa vyombo vya dola kuchukua hatua stahiki za kisheria dhidi yake endapo tuhuma zinazomkabili"
X Link 2026-01-29T19:14Z 782.6K followers, [----] engagements
"Dakika ya [--] bado mchezo wa AL Ahly vs as far hakuna alieona lango la mwenzake"
X Link 2026-02-15T18:03Z 782.6K followers, [----] engagements
"Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) Habibu Mchange ameibuka na madai mazito dhidi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwatuhumu kuhusika katika vitendo vya utekaji mateso na mauaji ya vijana wasio na hatia pamoja na kupanga matukio mbalimbali ya kisiasa tangu mwaka [----] kwa lengo la kuipotosha jamii na kuichafua taswira ya Serikali. Kwa mujibu wa Mchange matukio hayo yanajumuisha vurugu za Arusha tukio la Morogoro alikofariki mwanahabari Arizona kifo cha Daud Mwangosi Iringa madai ya kutekwa na kuteswa kwa Yona Temeke"
X Link 2026-02-03T16:47Z 782.7K followers, 14.4K engagements
"Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC Murtaza Mangungu ameweka wazi msimamo wake kuhusu madai ya kuwepo kwa makundi ndani ya uongozi na timu ya klabu hiyo. Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV Mangungu amesema kuwa Haiwezekani watu wenye akili timamu wakakaa katika eneo moja halafu wakawa na mawazo yanayofanana kabisa. Tofauti za mawazo zipo lakini hilo halimaanishi kuwa kuna makundi"
X Link 2026-02-05T21:18Z 782.7K followers, [----] engagements
"Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini inayoendelea kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Jumatatu Februari [-------] amewaeleza Majaji watatu (3) wanaosikiliza kesi hiyo wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru mambo kadhaa anayoona hatendewi haki akiwa gerezani Katika maelezo yake Lissu amelalamikia haki yake ya kuzungumza na Mawakili wake bila kusikilizwa na maafisa wa Magereza akidai kuwa kwasasa Mawakili wake wakifika gerezani wanapelekwa kwenye chumba cha Mkuu wa Usalama wa gereza na kwamba wakiwa"
X Link 2026-02-09T09:41Z 782.7K followers, [----] engagements
"Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wote walioapishwa wakafanye kazi ya kuwatumikia wananchi. Hafla ya uapisho wa viongozi hao imefanyika Ikulu ya Magogoni jijini Dar es Salaam. hii leo Februari [--] 2026"
X Link 2026-02-09T10:13Z 782.7K followers, [---] engagements
"Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo chini ya maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan imezindua mpango wa kimkakati wa kukuza vipaji vya watoto nchini kupitia ujenzi wa shule za mfano [--]. Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amesema "Mkakati wa wizara chini ya maelekezo ya Dkt.Samia kwanza tunaanza ujenzi wa shule za mfano [--] ambazo hizo kwa awamu ya kwanza tunakwenda kujenga shule [--] na shule hizi zitakuwa maalumu kwaajili ya kukuza na kutengeneza fursa kwa watoto wenye vipaji kuandaliwa katika umri mdogo ili waje wakidhi vigezo na"
X Link 2026-02-09T15:54Z 782.7K followers, [---] engagements
"Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo chini ya maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan imezindua mpango wa kimkakati wa kukuza vipaji vya watoto nchini kupitia ujenzi wa shule za mfano [--]. Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amesema "Mkakati wa wizara chini ya maelekezo ya Dkt.Samia kwanza tunaanza ujenzi wa shule za mfano [--] ambazo hizo kwa awamu ya kwanza tunakwenda kujenga shule [--] na shule hizi zitakuwa maalumu kwaajili ya kukuza na kutengeneza fursa kwa watoto wenye vipaji kuandaliwa katika umri mdogo ili waje wakidhi vigezo na"
X Link 2026-02-09T16:00Z 782.7K followers, [---] engagements
"Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema limeanza kufanya uchunguzi kuhusiana na picha mjengeo inayosambazwa kupitia mitandao ya kijamii wakionekana wanawake wawili wakimpiga mwanamke mmoja kwa kutumia mwiko na kumshambulia kwa maneno kwa madai ya kudhalilishwa na mhanga wa tukio hilo kupitia mtandao Facebook. Taarifa ya Polisi iliyotolewa leo Jumatatu Februari [--] [----] na Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini (DCP) David Misime imeeleza kuwa katika Picha hiyo mjongeo wanawake hao wamesikika wakihoji sababu za mmoja wao kudhalilishwa kwenye Mitandao ya kijamii kuwa amekuwa akiiba mabwana (Waume)"
X Link 2026-02-09T17:10Z 782.7K followers, [----] engagements
"Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Gerson Msigwa amewahakikishia Watanzania kuwa nchi inaendelea kuwa salama yenye amani na umoja mkubwa katika kipindi cha siku [---] tangu kuhitimishwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba [--] [----] uliompa ushindi Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza na BBC Swahili leo Februari [--] [----] Msigwa amesema kuwa licha ya changamoto na ghasia chache zilizojitokeza mara baada ya uchaguzi serikali imefanikiwa kurejesha utulivu na kuhakikisha wananchi wanaendelea na shughuli zao za kila siku bila hofu. Kwa ujumla taifa liko salama katika siku hizi [---]. Kwa mara nyingine Tanzania"
X Link 2026-02-10T08:14Z 782.7K followers, [----] engagements
"Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Joseph Paul maarufu kama Chuga anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka [--] hadi [--] mkazi wa Mtaa wa Simu C Kata ya Mji Mpya Manispaa ya Morogoro amefariki dunia baada ya kujinyonga tukio linalodaiwa kusababishwa na migogoro ya kifamilia. Kwa mujibu wa Mwanahamisi mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo marehemu amekuwa na migogoro ya mara kwa mara na mke wake kwa siku za hivi karibuni. Inadaiwa kuwa migogoro hiyo ilimfanya hadi kuacha kazi kufuatia tuhuma kutoka kwa mke wake kwamba alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mwingine. Jitihada za kuwasiliana"
X Link 2026-02-10T14:19Z 782.7K followers, [----] engagements
"Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCRMageuzi Joseph Selasini amevishutumu vyombo vya habari vya sasa kwa kupoteza weledi na kushindwa kutimiza wajibu wake wa kuwatetea wananchi akidai kuwa vingi vimegeuka kuwa machawa badala ya kuwa sauti ya umma kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. Akizungumza hayo na Jambo TV leo Jumanne Selasini amesema waandishi wa habari wa kizazi cha sasa wamekumbwa na hofu pamoja na changamoto za kiuchumi hali inayowafanya washindwe kuikosoa serikali pale inapokosea"
X Link 2026-02-10T14:57Z 782.7K followers, [----] engagements
"Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga amesema wanamshikilia Bw. Charles Oden Mwakasege (32) fundi simu Mkazi wa Meta Jijini Mbeya na Bw. Isack Charles 'Bebwa' mkazi wa Shewa kwa tuhuma za kuingilia mdumo wa kibiashara wa makampuni ya ukopeshaji wa simu. Kulingana na Kamanda Kuzaga katika taarifa yake ya leo Jumanne Februari [--] [----] kwa Vyombo vya habari watuhumiwa hao walikamatwa katika msako uliofanyika kuanzia Januari [--] [----] katika maeneo mbalimbali Mkoani humo ambapo watuhumiwa wanadaiwa kubadili simu zilizokopwa na watu mbalimbali"
X Link 2026-02-10T16:06Z 782.7K followers, [----] engagements
"Kwa mujibu wa taarifa za Shirika la Mawasiliano Duniani (ITU) Tanzania imeendelea kuongoza katika viwango vya usimamizi wa usalama mtandaoni miongoni mwa nchi za Afrika Mashariki na Kati na kutambuliwa kuwa miongoni mwa nchi [--] bora duniani katika utekelezaji wa viwango vya usalama wa mtandaoni. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Usalama Mtandaoni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nicolaus Mkapa amesema serikali inaendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha wananchi wanatumia mtandao kwa usalama ikiwemo kuimarisha mifumo ya kiusalama na kutoa elimu"
X Link 2026-02-11T07:42Z 782.7K followers, [---] engagements
"Mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Patrick Assenga amekemea vikali kauli zinazotolewa na baadhi ya wanachama wa chama hicho dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu pamoja na chama hicho kwa ujumla akizitaja kuwa ni kauli zisizofaa na zisizo na staha. Assenga ametoa kauli hiyo leo nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam mara baada ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Lissu. Lugha ya makada wa CHAUMMA wanayozungumza kuhusu Lissu au viongozi wa CHADEMA ni maneno ya hovyo kabisa. Hayakupaswa hata kuzungumzwa na viongozi wa kisiasa amesema"
X Link 2026-02-11T11:16Z 782.7K followers, [----] engagements
"Mwenyekiti wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT) Askofu Dkt. Vernon Fernandes amesisitiza kuwa umoja huo utashirikiana na serikali na kutoa baraka pale ambapo itafanya vizuri na kukemea pale itakapokosea. Kauli hiyo ilitolewa wakati wa hafla ya usimikaji na uzinduzi wa uongozi wa Awamu ya Tano wa CPCT iliyofanyika katika Ukumbi wa Agape Life Church Mbezi Jogoo. https://twitter.com/i/web/status/2021560333819580433 https://twitter.com/i/web/status/2021560333819580433"
X Link 2026-02-11T12:21Z 782.7K followers, [---] engagements
"Mtangazaji wa Jambo TV Paschal Mayala ameelezea kuhusu umuhimu wa kuheshimu uraia wa Tanzania akisema kuwa ukiukana uraia mtu hawezi kuendelea kuitwa raia halali wa nchi hii. Video JAMBO TV"
X Link 2026-02-11T13:19Z 782.7K followers, [----] engagements
"Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Dkt. Erasmus Kipesha leo Februari [--] [----] amewasilisha taarifa kuhusu majukumu na utendaji wa mamlaka hiyo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu Utamaduni na Michezo. Wasilisho hilo limefanyika katika muktadha wa mafunzo yaliyotolewa kwa wajumbe wa kamati hiyo yakilenga kuwajengea uelewa wa kina kuhusu majukumu muundo na utendaji wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia. Akiwasilisha taarifa hiyo Dkt. Kipesha ameeleza majukumu ya TEA hususan katika usimamizi na uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Elimu akifafanua"
X Link 2026-02-11T16:06Z 782.7K followers, [---] engagements
"Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewaonya vijana wa jijini humo kutumia fursa zinazotolewa na miradi ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami badala ya kuhusika na majungu au lawama zisizo na tija. Kauli hiyo ameitoa leo Februari [--] [----] wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Kinondoni akiwa amembeba Mkuu wa Wilaya hiyo Saad Mtambule. Chalamila amesisitiza kuwa miradi hiyo inapaswa kuwa chanzo cha ajira na maendeleo ya kiuchumi kwa vijana na wakazi wa maeneo husika. Mara nyingi vijana wanakosa kutumia fursa zilizopo wakijiingiza katika tabia zisizo"
X Link 2026-02-11T22:07Z 782.7K followers, [---] engagements
"Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewaonya vijana wa jijini humo kutumia fursa zinazotolewa na miradi ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami badala ya kuhusika na majungu au lawama zisizo na tija. Kauli hiyo ameitoa leo Februari [--] [----] wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Kinondoni akiwa amembeba Mkuu wa Wilaya hiyo Saad Mtambule. Chalamila amesisitiza kuwa miradi hiyo inapaswa kuwa chanzo cha ajira na maendeleo ya kiuchumi kwa vijana na wakazi wa maeneo husika. Mara nyingi vijana wanakosa kutumia fursa zilizopo wakijiingiza katika tabia zisizo"
X Link 2026-02-11T22:12Z 782.7K followers, [----] engagements
"Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewaonya vijana wa jijini humo kutumia fursa zinazotolewa na miradi ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami badala ya kuhusika na majungu au lawama zisizo na tija. Kauli hiyo ameitoa leo Februari [--] [----] wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Kinondoni akiwa amembeba Mkuu wa Wilaya hiyo Saad Mtambule. Chalamila amesisitiza kuwa miradi hiyo inapaswa kuwa chanzo cha ajira na maendeleo ya kiuchumi kwa vijana na wakazi wa maeneo husika. Mara nyingi vijana wanakosa kutumia fursa zilizopo wakijiingiza katika tabia zisizo"
X Link 2026-02-11T22:16Z 782.7K followers, [---] engagements
"Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Alhamisi Februari [--] [----] inaendelea kusikiliza kesi ya uhaini Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu. Kesi hiyo inasikilizwa mbele ya jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru. Katika hatua ya jana Februari [--] [----] Mahakama ilitoa uamuzi wa mapingamizi matano yaliyowasilishwa na mshtakiwa ambaye anajitetea mwenyewe. Kati ya mapingamizi hayo manne yalitupiliwa mbali huku moja likikubaliwa na Mahakama. Pingamizi lililokubaliwa linahusu uwepo wa kizimba"
X Link 2026-02-12T07:02Z 782.7K followers, [---] engagements
"Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania IGP Camillus wambura akiambatana na maafisa wengine wa Polisi Makao Makuu Dodoma wamefanya ukaguzi wa maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba za wakufunzi na familia zao pamoja na ujenzi wa mabweni ya wanafunzi kwenye shule ya Polisi Moshi Mkoani Kilimanjaro. Ujenzi huo unatekelezwa na serikali ya awamu ya sita chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha na kuboresha upatikanaji wa miundombinu ya ujenzi wa miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa ndani ya Chombo hicho cha ulinzi na"
X Link 2026-02-12T09:04Z 782.7K followers, [----] engagements
"Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limethibitisha tukio la mauaji ya watoto wawili wa familia moja yaliyotokea katika Kijiji cha Rungabure Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara yakihusishwa na imani potofu za kishirikina. Watoto hao wamefahamika kwa majina ya Mwikwabe Saina (10) mwanafunzi wa darasa la tatu pamoja na mdogo wake Joseph Saina (4). Tukio hilo lilitokea Februari [--] [----] majira ya saa [--] alfajiri katika Kitongoji cha Getasamo Kata ya Rungabure. Kwa mujibu wa taarifa za awali za polisi watoto hao walichomwa na kitu chenye ncha kali na mtuhumiwa aliyefahamika kwa jina la Joseph Marwa (18)"
X Link 2026-02-12T09:10Z 782.7K followers, [----] engagements
"Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania IGP Camillus wambura akiambatana na maafisa wengine wa Polisi Makao Makuu Dodoma wamefanya ukaguzi wa maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba za wakufunzi na familia zao pamoja na ujenzi wa mabweni ya wanafunzi kwenye shule ya Polisi Moshi Mkoani Kilimanjaro. Ujenzi huo unatekelezwa na serikali ya awamu ya sita chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha na kuboresha upatikanaji wa miundombinu ya ujenzi wa miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa ndani ya Chombo hicho cha ulinzi na"
X Link 2026-02-12T09:24Z 782.7K followers, [---] engagements
"Shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu limeahirishwa mpaka jumatatu kwa ajili ya kuendelea kutolewa kwa ushahidi. Ambapo leo katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam mbele ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru mashahidi wawili walitoa ushahidi wao. Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Dkt. Rugemeleza Nshala akiwa nje ya Mahakama ameeleza kusikitishwa na ushahidi unaotolewa katika keshi hiyo akisema 'intaia hasira na uchungu' huku akieleza kuwa rasilimali za nchi hazitumiki vizuri kwa kuendesha mashauri ambayo mashahidi wanaenda kusema"
X Link 2026-02-13T19:58Z 782.6K followers, [----] engagements
"Baada ya Chama cha chadema kutoshiriki UCHAGUZI wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa tanzania [----] Hali iliyopelekea chama hichi kukosa ruzuku kutokana na kutokua na mwakilishi ndani ya bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Mchambuzi wa maswala ya kisiasa na mwansishi wa habari Ezekiel kamwaga ametoa maoni yake na kusema kua uenda hii Ndo ikawa Chanzo cha anguko la chama ichi Amesema kua mbowe alikua na FEDHA Pamoja na wafadhili ndio maana iliwasaidia kuendesha chama icho lakini tundu LISSU Hana pesa na wala Hana wadhamini ambao wataweza kukisaidia chama icho kusimama"
X Link 2026-02-13T20:01Z 782.6K followers, [----] engagements
"Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekamilisha siku [---] za utekelezaji wa ahadi ikitoa matokeo thabiti katika sekta za afya elimu uchumi maji na utawala bora huku takwimu rasmi zikionyesha mafanikio ya kipekee. Afya: Mfumo wa Taifa wa Bima ya Afya kwa Wote umeanza kutumika tarehe 26.01.2026 kwa makundi [-------] ya wananchi wasio na uwezo pamoja na wazee [---] na watoto [---]. Sh48.8 bilioni zimetolewa kufanikisha huduma katika vituo [-----] vya afya. Hadi sasa wananchi [------] (9% ya awamu ya kwanza) wamesajiliwa kuashiria hatua ya kwanza yenye mafanikio makubwa. Elimu: Ushirikiano kati ya"
X Link 2026-02-14T09:04Z 782.6K followers, [----] engagements
"Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amewatahadharisha Watanzania kuepuka kuingiza ufa wa kubaguana kutokana na majukumu waliyonayo akisema kuwa kufanya hivyo kunaweza kuharibu misingi ya taifa. Akizungumza mkoani Tanga Waziri Mkuu alieleza kuwa idadi ya watu na mifugo inaongezeka kwa kasi huku ardhi ikibaki ileile jambo linalofanya upangaji bora wa matumizi ya ardhi kuwa suala lisiloepukika. Idadi ya watu inaongezeka kila siku idadi ya mifugo inaongezeka lakini ardhi haiongezeki. Hivyo suala la kupanga matumizi bora ya ardhi haliepukiki. Tusiingize ufa wa kubaguana kwa kazi zetu hiyo"
X Link 2026-02-14T13:52Z 782.6K followers, [----] engagements
"Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akitimiza siku [---] ofisini katika muhula wake wa pili CHADEMA imesema haikuitambua mamlaka ya viongozi waliopo na kudai uchaguzi mkuu mpya. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara John Heche amesema mchakato wa Oktoba [--] [----] haukuwa uchaguzi halali na chama hakitahesabu au kuitambua kalenda ya siku [---]. Viongozi walioko madarakani wamejipachika kinyume cha Katiba hatutambui amesema. Kuhusu uwezekano wa maridhiano au mchakato wa Katiba Mpya Heche amesema mazingira sasa hayaruhusu mazungumzo. Hatuwezi kufanya maridhiano wakati Mwenyekiti wetu Tundu Lissu yupo gerezani"
X Link 2026-02-10T12:16Z 782.6K followers, [----] engagements
"Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) imeanza ujenzi wa vituo maalumu vya mafunzo ya ufundi kwa vijana waliokosa elimu ya msingi (IPOSA) katika mikoa ya Dodoma Dar es Salaam Tabora Kigoma na Songwe. Ujenzi wa vituo hivyo ni sehemu ya juhudi za kuunga mkono mkakati wa Serikali wa kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata haki ya elimu bora na yenye usawa bila kujali changamoto za kimazingira. Akizungumza wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho katika Shule ya Msingi Kaliua mkoani Tabora"
X Link 2026-02-14T21:00Z 782.6K followers, [----] engagements
"Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na mwandishi wa habari Ezekiel Kamwaga amesema kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walipaswa kushiriki uchaguzi hata kama hakukuwa na reforms walizokuwa wakizidai. Akizungumza kupitia kipindi cha Jambo Asubuhi cha Jambo TV Kamwaga alieleza kuwa kushiriki uchaguzi ni jukumu la kisiasa ambalo chama kikuu cha upinzani kilipaswa kulitimiza. Tukumbuke kuwa mwaka [----] chini ya sheria hizi hizi za uchaguzi za Tanzania CHADEMA walishiriki uchaguzi licha ya changamoto zilizokuwepo. "Kwa mtazamo wangu kama mfuatiliaji wa siasa za Afrika kushiriki uchaguzi ni"
X Link 2026-02-15T08:09Z 782.6K followers, [----] engagements
"Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime leo Jumapili Februari [--] [----] amesema Jeshi la Polisi limeanza uchunguzi na kuwafuatilia watu ambao wamesikika kwenye Kipande cha Video kilichosambaa kwenye Mitandao ya Kijamii wakimuhamasisha mtoto mdogo wa kiume kuvuta sigara kwani kitendo hicho ni kinyume na sheria kanuni na taratibu za kijamii. Taarifa iliyotolewa kwa Vyombo vya habari na Msemaji huyo wa Polisi imesema uchunguzi utakapokamilika hatua za kisheria zitachukuliwa akitoa wito kwa yeyote anayewafahamu watu hao au mtoto huyo kulisaidia Jeshi la Polisi"
X Link 2026-02-15T17:02Z 782.6K followers, [----] engagements
"Dakika [--] zimekamilika Yanga yupo Mbele kwa bao [--] kwa [--] dhidi ya JS Kabylie"
X Link 2026-02-15T17:05Z 782.6K followers, [---] engagements
"Ikiwa mwendelezo wa mchezo wa Yanga SC dhidi ya JS Kabylie Yanga yupo mbele kwa bao [--] kwa 0"
X Link 2026-02-15T17:41Z 782.6K followers, [----] engagements
"Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu inaendelea leo Jumatatu Februari [--] [----] katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Shauri hilo linasikilizwa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru ambapo mahakama inatarajia kuanza kusikiliza ushahidi wa shahidi wa saba kuanzia saa tatu kamili asubuhi. Ijumaa iliyopita mahakama ilisikia ushahidi wa mashahidi wawili. Shahidi wa kwanza anayelindwa kwa utambulisho wa P6 (24) ambaye ni dereva bodaboda na mwanachama wa CHADEMA alidai mbele ya mahakama kuwa alishawishiwa na mshtakiwa"
X Link 2026-02-16T07:27Z 782.6K followers, [----] engagements
"Baada ya kuibuka na ushindi katika pambano lake la hivi karibuni bondia wa ngumi za kulipwa Ibrahim Mafia amesema kuwa kwa sasa hajioni kama ndiye bondia namba moja nchini Tanzania. Akizungumza mara baada ya pambano hilo Mafia alisema kuwa kwa mujibu wa takwimu rasmi zilizotolewa hivi karibuni bondia anayetambulika kushika nafasi ya kwanza kwa sasa ni Fadhili Majiha. Siwezi kusema kua me ni tanzania one kwasababu linked azijajificha linked zinaonekana kwamba Tanzania one ni Fadhili https://twitter.com/i/web/status/2023317639183917190 https://twitter.com/i/web/status/2023317639183917190"
X Link 2026-02-16T08:44Z 782.6K followers, [----] engagements
"Kocha Mkuu mpya wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Miguel ngel Gamondi ameahidi kufanya kazi kwa bidii na kuisaidia Tanzania kuwa miongoni mwa mataifa yenye nguvu kubwa kisoka barani Afrika baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuinoa timu hiyo. Akizungumza mara baada ya kusaini mkataba huo Gamondi alieleza kufurahishwa na imani aliyopewa akiahidi kujitoa kwa hali na mali kuhakikisha Taifa Stars inapiga hatua kubwa katika ushindani wa kimataifa. Kocha huyo raia wa Argentina aliishukuru Serikali ya Tanzania kupitia Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mkuu wa Mkoa wa Dar es"
X Link 2026-02-16T09:27Z 782.6K followers, [----] engagements
"Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amemuagiza Msajili wa Vyama vya Michezo kutoa mwongozo rasmi kwa Simba Sports Club kuhusu mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa klabu hiyo ikiwemo marekebisho ya Katiba yake. Agizo hilo limekuja wakati Simba ikiwa kwenye hatua muhimu ya mageuzi ya kiutawala huku wadau na wanachama wakisubiri kwa hamu mwelekeo wa mabadiliko hayo. Waziri Makonda amesisitiza kuwa ni lazima taratibu zote zifuatwe kwa kuzingatia sheria kanuni na miongozo iliyowekwa ili kuhakikisha uwazi uhalali na ulinzi wa maslahi ya wanachama. Ni muhimu Msajili"
X Link 2026-02-16T09:47Z 782.6K followers, 10.8K engagements
"Mwanaharakati maarufu kutoka Kenya Mwabili Mwagodi amekamatwa na kushikiliwa katika Kituo cha Polisi cha mpakani baada ya kuzuiwa kuondoka nchini Jumapili Februari [--] [----]. Alikamatwa akiwa njiani kuelekea Dar es Salaam Tanzania kutokana na Red Notice iliyowekwa kwenye pasipoti yake mapema mwaka jana na ofisa wa Directorate of Criminal Investigations (DCI). Mwagodi amesema kuwa hati ya kukamatwa haikueleza kosa lolote lililomkabili na katika kituo cha mpaka wanasubiri maagizo zaidi kutoka DCI kuhusu hatua ya kuchukua dhidi yake. "Nimekabidhiwa kwa DCI katika Kituo cha Polisi cha mpaka"
X Link 2026-02-16T09:54Z 782.6K followers, 11.2K engagements
"Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii zikimhusu mwanaume mmoja anayejinasibu kuhusika katika tukio la mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Tawi la Itumbi Elia Richard Sambala (53) mkazi wa Itumbi Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya tukio hilo lilitokea Februari [--] [----] majira ya saa [--] mchana katika Kijiji cha Itumbi. Marehemu Elia Richard Sambala alikutwa shambani kwake akiwa amejeruhiwa kichwani kwa kukatwa na kitu chenye makali na watu wasiojulikana."
X Link 2026-02-16T12:50Z 782.6K followers, [----] engagements
"Vurugu zilizotokea Oktoba [--] wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania zimekuwa mada muhimu katika Mkutano wa [--] wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika Addis Ababa Ethiopia. Waziri wa Mambo ya Nje Mohamed Thabit Kombo amesema Rais Samia Suluhu Hassan aliwapa viongozi wenzake taarifa kamili kuhusu hatua zinazochukuliwa na serikali kudhibiti machafuko hayo. Miongoni mwa hatua zilizochukuliwa ni kuundwa kwa tume huru ya kuchunguza vurugu na kuanzishwa kwa wizara mpya za vijana pamoja na mahusiano ya jamii. Balozi Kombo alisisitiza kuwa vurugu zilizotokea nchini ni ndogo ikilinganishwa na"
X Link 2026-02-16T13:44Z 782.6K followers, [---] engagements
"Vurugu zilizotokea Oktoba [--] wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania zimekuwa mada muhimu katika Mkutano wa [--] wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika Addis Ababa Ethiopia. Waziri wa Mambo ya Nje Mohamed Thabit Kombo amesema Rais Samia Suluhu Hassan aliwapa viongozi wenzake taarifa kamili kuhusu hatua zinazochukuliwa na serikali kudhibiti machafuko hayo. Miongoni mwa hatua zilizochukuliwa ni kuundwa kwa tume huru ya kuchunguza vurugu na kuanzishwa kwa wizara mpya za vijana pamoja na mahusiano ya jamii. Balozi Kombo alisisitiza kuwa vurugu zilizotokea nchini ni ndogo ikilinganishwa na"
X Link 2026-02-16T13:44Z 782.6K followers, [----] engagements
"Baada ya kuondoshwa katika michuano ya kimataifa ya CAF Champions League Kocha Mkuu wa Yanga SC amesema kuwa kwa sasa timu hiyo inaelekeza nguvu zake zote katika mashindano ya Ligi Kuu Tanzania Bara ili kuhakikisha inafanya vyema na kutetea heshima yake. Akizungumza leo mara baada ya kuwasili kutoka Zanzibar ambako timu hiyo ilikuwa imecheza mchezo wake wa kimataifa kocha huyo alisema kuwa licha ya matokeo yasiyoridhisha katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika bado wana imani na kikosi chao na malengo yao ya msimu bado yapo wazi. https://twitter.com/i/web/status/2023395276833136875"
X Link 2026-02-16T13:53Z 782.6K followers, [----] engagements
"Vyama [--] vya siasa vinaendelea kunadi sera zao katika kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Peramiho unaotarajiwa kufanyika Februari [--] [----]. Kampeni hizo zimekuwa zikifanyika katika kata mbalimbali za jimbo hilo huku wagombea wakijinadi kwa ahadi mbalimbali zinazolenga kuboresha maisha ya wananchi. Mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia tiketi ya Alliance for Democratic Change (ADC) ndugu Said Ismail Mkopi amesema endapo wananchi wa Peramiho watampa ridhaa ya kuwa mbunge wao atahakikisha anasimamia na kutetea maslahi ya watumishi wa serikali wanaokumbwa na changamoto ya mikopo umiza maarufu"
X Link 2026-02-15T10:42Z 782.6K followers, [----] engagements
"RASMI Yanga wameungana na Simba Azam FC na Singida Black Stars kurejea nyumbani baada ya kuondoshwa katika michuano ya kimataifa hii leo wakiwatandika JS Kabylie 3-0 ushindi uliofunikwa na sare ya FAR Rabat dhidi ya Al Ahly"
X Link 2026-02-15T18:54Z 782.6K followers, [----] engagements
"Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limefanikiwa kumkamata mwanamke aliyekuwa akitafuta hifadhi ya muda kwa kumtelekeza mtoto wake mchanga ndani ya ofisi za kukatia tiketi za kampuni ya Superfeo mjini Njombe. Tukio hilo lilitokea juzi tarehe [--] Februari [----] majira ya saa [--] jioni katika mtaa wa Kibena Kata ya Ramadhani ambapo mtoto huyo aliachawe bila kuwepo kwa wafanyakazi wa ofisi hiyo. Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na wananchi wema liliendesha operesheni ya kumtafuta mtuhumiwa ili hatua stahiki za kisheria zichukuliwe amesema RPC wa Njombe Banga. Februari [--] [----] mtuhumiwa huyo Zainabu"
X Link 2026-02-16T11:47Z 782.6K followers, [----] engagements
"Vurugu zilizotokea Oktoba [--] wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania zimekuwa mada muhimu katika Mkutano wa [--] wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika Addis Ababa Ethiopia. Waziri wa Mambo ya Nje Mohamed Thabit Kombo amesema Rais Samia Suluhu Hassan aliwapa viongozi wenzake taarifa kamili kuhusu hatua zinazochukuliwa na serikali kudhibiti machafuko hayo. Miongoni mwa hatua zilizochukuliwa ni kuundwa kwa tume huru ya kuchunguza vurugu na kuanzishwa kwa wizara mpya za vijana pamoja na mahusiano ya jamii. Balozi Kombo alisisitiza kuwa vurugu zilizotokea nchini ni ndogo ikilinganishwa na"
X Link 2026-02-16T13:53Z 782.6K followers, [---] engagements
"Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Kenani Kihongosi amesema chama hicho kina historia ya takribani miaka [--] ya uongozi iliyoambatana na utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo katika sekta muhimu kama afya elimu na kilimo. Kihongosi ameeleza kuwa katika kipindi hicho CCM imekuwa mstari wa mbele kuanzisha na kusimamia sera zilizochochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi huku akisisitiza kuwa chama hicho ndicho kilichoruhusu kurejea kwa mfumo wa vyama vingi nchini mwaka [----] hatua aliyodai imeimarisha demokrasia na ushindani wa kisiasa. Kauli hiyo"
X Link 2026-02-16T20:17Z 782.6K followers, [---] engagements
""Waandikishaji kutotoa idadi ya siku ya watu walioandikishwa kwa mawakala wa vyama hili limejitokeza Jimbo la Nyamagana Kata ya Mhandu ofisi ya Serikali za Mtaa wa Chigunga mwandikishaji amekataa kuwapa mawakala wa Vyama vya Siasa idadi ya watu walioandikishwa siku nzima." Mhe. @JonMrema"
X Link 2024-10-15T12:16Z 781.3K followers, [--] engagements
""Vituo vya uandikishaji kuwekwa katika kambi za vyombo vya ulinzi na usalama hii imetokea Chita JKT ambapo wameweka vituo viwili vya uandikishaji ndani ya kambi kinyume kabisa na kanuni." Mhe. @JonMrema"
X Link 2024-10-15T12:20Z 781.3K followers, [--] engagements
""Waandikishaji kuacha vituo na kwenda kuandikisha mtaani hili limetokea Wilaya ya Serengeti 1.kata ya Rungabure kituo cha Senta kati. 2.Kata ya Kisangura kituo cha serikali za mtaa Kisangura 3.Kata ya Nyamoko kituo cha serikali za mtaa Nyamoko 4.Kata ya Mbalibali kitongoji cha Tabora kituo cha Chekechea" Mhe. @JonMrema"
X Link 2024-10-15T12:22Z 781.4K followers, [--] engagements
""Wanachadema wapigwa wakizuia uandikishaji nje ya kituo. Hii imetokea Kata ya msongola mtaa Yangeyange kituo cha kwa Mussa. Wanachama wa CCM walikuwa wamekaa jirani na kituo cha uandikishaji na kuwaita kila anayekuja kujiandikisha na kuchukua taarifa zao na kuwaambia kuwa wataingiza kwenye daftari. Baada ya viongozi wetu wa kata kubaini walifika eneo la tukio na kuwataka kuwanyanya daftari zao uandikishaji ikatokea mzozo uliopelekea mwananchama wetu anaiyeitwa Izrael Ngatunga kupigwa na kitu Kizito kisogoni na kudondokea uso na kupelekea kuzimia. Wananchama wengine walijeruhiwa; mmoja jicho"
X Link 2024-10-15T12:26Z 781.4K followers, [--] engagements
""Wazazi wazuie walimu makada wa CCM ambao wanaandikisha watoto wadogo ambao umri haujafika." Mhe. @JonMrema"
X Link 2024-10-15T12:27Z 781.3K followers, [--] engagements
"Katibu Mkuu wa Chama Mhe. @jjmnyika atazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari kesho tarehe [--] Oktoba [----] saa tano asubuhi Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam. Waandishi wote wa habari mnakaribishwa"
X Link 2024-10-16T14:47Z 781.3K followers, [--] engagements
""Kama hujajiandikisha kupiga kura tafadhali nakuomba nakuomba hakikisha umejiandikisha kupiga kura kwa sababu usipojiandikisha hautakuwa na msaada wowote katika haya mapambano yanayokuja." Mhe. @TunduALissu Makamu Mwenyekiti Bara"
X Link 2024-10-16T16:56Z 781.3K followers, [--] engagements
""Wapenzi na wafuasi wa Chadema na wananchi kwa ujumla kwamba sasa ratiba ya ndani ya uteuzi wa wagombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji inapaswa iharakishwe zaidi. Michakato ya uteuzi ndani ya Chama inapaswa ianze mara moja na wale walioanza waendelee. Wajitahidi kwa kadiri iwezekanavyo sasa michataokato ya uteuzi ndani ya Chama ikamilike ifikapo tarehe [--] mwezi Oktoba [----] siku chache kutoka leo." Mhe. @jjmnyika"
X Link 2024-10-17T11:02Z 781.4K followers, [--] engagements
""Mwongozo wa Uchaguzi unakinzana na Kanuni za uchaguzi. Mwongozo umeleta masharti mapya ambayo yanasema mgombea adhaminiwe na ngazi ya chini kabisa ya Chama ambayo hayapo popote kabisa katika kanuni ni masharti ambayo yameingizwa kwenye mwongozo." Mhe. @jjmnyika"
X Link 2024-10-17T11:22Z 781.4K followers, [--] engagements
""Tumeandika barua kwenda kwa wasimamizi wote wa uchaguzi yenye kicha cha habari; (). Nakala ya barua hii tumeipeleka kwa; [--]. Rais kwa taarifa. [--]. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kwa taarifa na ufuatiliaji. [--]. Ngazi zetu zote za Chama." Mhe. @jjmnyika"
X Link 2024-10-17T11:45Z 781.4K followers, [--] engagements
""Katika eneo lolote ambalo linapengo kwenye ngazi ya tawi Katiba ya Chadema imeweka utaratibu kwamba ngazi ya Kata inaweza kuunda Kamati za muda ya Tawi kushughulika na masuala yote ambayo yanapaswa kushughulikiwa na uongozi wa kawaida ukiochaguliwa kikatiba." Mhe. @jjmnyika"
X Link 2024-10-17T11:51Z 781.3K followers, [--] engagements
"https://www.youtube.com/live/OBd1e5yg0Jksi=nw-YGY-3MNvo8ATQ https://www.youtube.com/live/OBd1e5yg0Jksi=nw-YGY-3MNvo8ATQ"
X Link 2024-11-01T13:36Z 782.1K followers, [----] engagements
"Salaam za pole na rambirambi"
X Link 2024-11-04T11:52Z 783.1K followers, 11.1K engagements
"https://www.youtube.com/live/ELiZW0Fm5y4si=7AF_tp-qCKWMQ9Or https://www.youtube.com/live/ELiZW0Fm5y4si=7AF_tp-qCKWMQ9Or"
X Link 2024-11-08T11:16Z 783.1K followers, [----] engagements
""Walioenguliwa kinyume na kanuni wakate rufaa. Wakati wagombea wanaendelea na mchakato wa rufaa wanachama na viongozi wetu wachukue hatua wanazoziona zinafaa kulingana na mazingira yao ikiwemo kuwataka watendaji wa wawaeleze sababu za kuwaengua wagombea wetu." Mhe. @JonMrema"
X Link 2024-11-08T12:48Z 783.8K followers, 12.8K engagements
""Kujitoa siyo sehemu ya msamiati wetu kwenye uchaguzi huu." Mhe. @JonMrema"
X Link 2024-11-08T13:12Z 783.7K followers, 10.3K engagements
""Mwaka [----] wagombea wetu walienguliwa 90% tukabaki na 10% tulipofanya tathmini tukaamua kujitoa. Mwaka huu tunasisitiza kuendelea kushiriki pamoja na kuwa na mapungufu yote haya kwa sababu tunataka dunia ione tofauti ya mwaka [----] na [----] ni nini." Mhe. @JonMrema"
X Link 2024-11-08T14:17Z 783.7K followers, [----] engagements
"TAARIFA KWA UMMA"
X Link 2024-11-09T08:04Z 783.8K followers, 21.2K engagements
""Wagombea wa Chadema ambao walikuwa wameteuliwa awali wameanza kuenguliwa na wasimamizi wa Uchaguzi." Mhe. @JonMrema"
X Link 2024-11-11T11:48Z 783.7K followers, 26.7K engagements
"TAARIFA KWA UMMA"
X Link 2024-11-13T08:31Z 783.8K followers, 13.1K engagements
""Chadema tulisimamisha wagombea wa Serikali za Mitaa asilimia [--] Vijiji asilimia [--] na Vitongoji asilimia 75." Mhe. @JonMrema"
X Link 2024-11-13T13:45Z 783.7K followers, 10.9K engagements
""Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi awe Mwanachadema awe MwanaCCM awe hana Chama ana shida kati ya hizi mbili mosi; hakuwepo wakati wote wa zoezi hili hivyo hajui anachokizungumza au pili; anafanya kazi ya CCM kwa makusudi kabisa." Mhe. Benson Kigaila Naibu Katibu Mkuu Bara"
X Link 2024-11-13T16:15Z 783.8K followers, 24.9K engagements
""Kanda ya Pwani ina mitaa [---] tulitakiwa kuwa na wagombea wenyeviti na wajumbe [----]. Wanachama wa Chadema waliofanikiwa kuchukua fomu na kurejesha fomu [----] sawa na asilimia 92." Mhe. Benson Kigaila Naibu Katibu Mkuu Bara"
X Link 2024-11-13T16:55Z 783.8K followers, [----] engagements
""Kanda ya Serengeti ina mitaa [---] mitaa iliyochukua na kurejesha fomu ni [---] sawa na asilimia 90." Mhe. Benson Kigaila Naibu Katibu Mkuu Bara"
X Link 2024-11-13T17:11Z 783.7K followers, [----] engagements
""Kanda ya Nyasa ina vijiji [----] kati ya hivyo vijiji [----] sawa na asilimia [--] vilichukua na kurejesha fomu. Vitongoji vipo [----] vitongoji [----] sawa na asilimia [--] vilichukuwa na kurejesha fomu." Mhe. Benson Kigaila Naibu Katibu Mkuu Bara"
X Link 2024-11-13T17:56Z 783.7K followers, [----] engagements
""CCM wamepeleka vijana kambini kwa ajili ya kuumiza watu wetu Mfano wilaya ya Kilombero kuna vijana [---] wapo kambini." Mhe. Benson Kigaila"
X Link 2024-11-13T18:36Z 783.8K followers, 16.1K engagements
"TAARIFA KWA UMMA Hivi karibuni kumeibuka tena wimbi la hoja mbalimbali ambazo zilishawahi kuibuka siku za nyuma na ambazo zimesababisha wanachama wapenzi wa Chadema na Wananchi kwa ujumla kutaka ufafanuzi rasmi wa Chama"
X Link 2024-11-14T11:17Z 783.7K followers, 171.4K engagements
"Wagombea wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji wilaya ya Karatu kupitia Chadema wakiwa kwa Mkuu wilaya usiku huu wakisubiri hatma ya rufaa zao"
X Link 2024-11-15T18:05Z 783.8K followers, 11.1K engagements
"Wagombea wa Serikali za Mitaa kupitia Chadema kutoka jimbo la Kibamba wakiwa kwa Mkuu wilaya ya Ubungo usiku huu wakisubiri hatma ya rufaa zao"
X Link 2024-11-15T18:07Z 783.7K followers, 18.3K engagements
"Tunatoa pole kwa wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo kwa ajali ya jengo kuanguka na kusababisha maafa makubwa"
X Link 2024-11-16T15:06Z 783.8K followers, 13.4K engagements
"https://www.youtube.com/live/9kQEVPB0RAksi=zps-qTZ3BAYW6RWu https://www.youtube.com/live/9kQEVPB0RAksi=zps-qTZ3BAYW6RWu"
X Link 2024-11-19T09:13Z 784.2K followers, [----] engagements
"#WatakeWasitake"
X Link 2024-11-20T16:00Z 784.6K followers, 17.4K engagements
"https://www.youtube.com/live/VGnlkxHyqZksi=iEVA9a5Et2YJeY2H https://www.youtube.com/live/VGnlkxHyqZksi=iEVA9a5Et2YJeY2H"
X Link 2024-11-21T15:13Z 784.5K followers, [----] engagements
"#WatakeWasitake"
X Link 2024-11-22T06:02Z 784.7K followers, [----] engagements
"#WatakeWasitake"
X Link 2024-11-24T06:14Z 784.9K followers, [----] engagements
"PUBLIC NOTICE"
X Link 2024-11-27T10:08Z 784.9K followers, 20.5K engagements
"Katibu wa Chama Wilaya ya Singida Mjini Hamis Nkua amechomwa kisu katika bega la mkono wa kushoto katika eneo la Unyankae kata ya Mandewa Manispaa ya Singida. Mavazi yake yamelowa damu. https://t.co/SVbmlaz8xp Katibu wa Chama Wilaya ya Singida Mjini Hamis Nkua amechomwa kisu katika bega la mkono wa kushoto katika eneo la Unyankae kata ya Mandewa Manispaa ya Singida. Mavazi yake yamelowa damu. https://t.co/SVbmlaz8xp"
X Link 2024-11-27T16:52Z 785.2K followers, [----] engagements
""No Reforms No Election 2025." Mhe. @freemanmbowetz"
X Link 2024-12-10T13:17Z 786K followers, 48.9K engagements
"https://www.youtube.com/live/Vsu4kFhseVssi=Ia7_aiMJBERPXb3P https://www.youtube.com/live/Vsu4kFhseVssi=Ia7_aiMJBERPXb3P"
X Link 2024-12-12T16:53Z 785.7K followers, 20.5K engagements
"https://www.youtube.com/live/cxOF4vMcwXQsi=ZuZ1hwOFxC_saAkP https://www.youtube.com/live/cxOF4vMcwXQsi=ZuZ1hwOFxC_saAkP"
X Link 2024-12-15T14:11Z 785.9K followers, [----] engagements
"https://www.youtube.com/live/toK4jk5NCAosi=JXj9QVquF0eSe4TK https://www.youtube.com/live/toK4jk5NCAosi=JXj9QVquF0eSe4TK"
X Link 2024-12-16T08:10Z 785.9K followers, [----] engagements
"#StrongerTogether"
X Link 2025-01-10T11:40Z 788.4K followers, 42.2K engagements
"#StrongerTogether"
X Link 2025-01-10T11:47Z 790K followers, 69.6K engagements
"#StrongerTogether"
X Link 2025-01-13T20:07Z 789K followers, 18.1K engagements
"#StongerTogether"
X Link 2025-01-13T20:36Z 788.6K followers, 23.1K engagements
"#StrongerTogether"
X Link 2025-01-13T20:37Z 789K followers, 19.1K engagements
"#StrongerTogether"
X Link 2025-01-13T20:38Z 788.8K followers, 13.4K engagements
"#StrongerTogether"
X Link 2025-01-13T20:42Z 788.4K followers, [----] engagements
"Bavicha. #StrongerTogether"
X Link 2025-01-15T16:09Z 788.6K followers, 15.5K engagements
"BAWACHA #StrongerTogether"
X Link 2025-01-15T16:12Z 788.6K followers, 11.8K engagements
"Bawacha #StrongerTogether"
X Link 2025-01-15T16:14Z 788.4K followers, 13.5K engagements
"#StrongerTogether"
X Link 2025-01-15T16:15Z 788.4K followers, 13.9K engagements
"#StrongerTogether"
X Link 2025-01-16T15:32Z 790K followers, 16.8K engagements
"#StrongerTogether"
X Link 2025-01-16T15:45Z 790K followers, 17.3K engagements
"#StrongerTogether"
X Link 2025-01-16T16:18Z 790K followers, 22K engagements
"#mkutanomkuuchadema2025 #StrongerTogether"
X Link 2025-01-17T16:55Z 790.2K followers, 31.1K engagements
"#StrongerTogether #MkutanoMkuuChadema2025"
X Link 2025-01-22T10:11Z 790.4K followers, 27.2K engagements
"https://www.youtube.com/live/LlTIAGqRrEosi=RtgNXy8lD3-X_NG1 https://www.youtube.com/live/LlTIAGqRrEosi=RtgNXy8lD3-X_NG1"
X Link 2025-01-22T15:15Z 790.4K followers, 10.9K engagements
"Wajumbe wateule wa Kamati Kuu ya Chama. [--]. Godbless Lema [--]. Dr Rugemeleza Nshala (Mwanasheria Mkuu wa Chama) [--]. Rose Mayemba [--]. SALMA MUSSA KASANZU [--]. HAFIDH ALI SALEH #StrongerTogether"
X Link 2025-01-22T16:51Z 790K followers, 50K engagements
"#StrongerTogether"
X Link 2025-01-23T09:42Z 790K followers, 31K engagements
"#StrongerTogether"
X Link 2025-01-23T09:42Z 790K followers, 33.1K engagements
"#StrongerTogether"
X Link 2025-01-23T09:43Z 790K followers, 49.2K engagements
"https://www.youtube.com/live/HsD4fai4evksi=6bWL_q5qDPjqlM3Z https://www.youtube.com/live/HsD4fai4evksi=6bWL_q5qDPjqlM3Z"
X Link 2025-02-27T16:48Z 791.7K followers, 73.5K engagements
"Public Statement"
X Link 2025-03-14T11:08Z 792.3K followers, 14.6K engagements
"https://www.youtube.com/live/hWREkCX8IvMsi=LE1Cc61yZQCszVfO https://www.youtube.com/live/hWREkCX8IvMsi=LE1Cc61yZQCszVfO"
X Link 2025-03-19T08:26Z 792.3K followers, [----] engagements
"#NoReformsNoElection"
X Link 2025-03-20T16:03Z 792.4K followers, [----] engagements
"PUBLIC STATEMENT"
X Link 2025-03-21T18:07Z 792.5K followers, 22.3K engagements
"#PeoplesPower Mbeya"
X Link 2025-03-23T13:43Z 792.6K followers, 24K engagements
"Asanteni Mbeya. #NoReformsNoElection"
X Link 2025-03-23T14:52Z 792.5K followers, 21.5K engagements
"#StrongerTogether"
X Link 2025-03-23T16:10Z 792.5K followers, 11.9K engagements
"Public release"
X Link 2025-03-25T18:48Z 792.6K followers, 110K engagements
"Asante Makambako. #NoReformsNoElection"
X Link 2025-03-26T15:55Z 792.6K followers, 12.6K engagements
"Asante Mlowo. #NoReformsNoElection"
X Link 2025-03-28T17:17Z 792.6K followers, 10.4K engagements
"Asante Mbalizi. #NoReformsNoElection"
X Link 2025-03-29T12:01Z 792.6K followers, [----] engagements
"#NoReformsNoElection"
X Link 2025-04-01T15:27Z 792.8K followers, 14.3K engagements
"#NoReformsNoElection"
X Link 2025-04-05T05:01Z 792.8K followers, [----] engagements
"#NoReformsNoElection"
X Link 2025-04-05T05:01Z 792.8K followers, [----] engagements
"Asante Masasi. #NoReformsNoElection"
X Link 2025-04-07T16:21Z 793.2K followers, 14.9K engagements
"http://t.co/LEHULAM4a0"
X Link 2015-06-22T12:29Z 781.9K followers, [--] engagements
"TUNASHAMBULIWA TUCHUKUE TAHADHARI TUJIHAMI #BONYEZA - https://youtu.be/nYddlE5if3k https://youtu.be/nYddlE5if3k"
X Link 2018-02-24T06:13Z 782.9K followers, [---] engagements
"TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA - https://m.facebook.com/story.phpstory_fbid=755805011278766&id=367233906802547 https://m.facebook.com/story.phpstory_fbid=755805011278766&id=367233906802547"
X Link 2018-04-04T19:01Z 781.8K followers, [--] engagements
Limited data mode. Full metrics available with subscription: lunarcrush.com/pricing