@Maestrowafact CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZICHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI posts on X about tanzania, bali, kwanza, kenya the most. They currently have [-----] followers and [---] posts still getting attention that total [------] engagements in the last [--] hours.
Social category influence countries 10.68% travel destinations 7.77% technology brands 5.83% currencies #2393 social networks 2.91% finance 2.91% celebrities 0.97% stocks 0.97% automotive brands 0.97%
Social topic influence tanzania 3.88%, bali 3.88%, kwanza #28, kenya 2.91%, ipo 2.91%, ile #3811, the white 1.94%, maldives 1.94%, wa 1.94%, acha 1.94%
Top accounts mentioned or mentioned by @jaguar_455 @jaguar455 @mankinduwezo @blazadadee1 @ema_fundi_nguo @magoigas @excess300 @fluconazole32 @munyamambogo @traviskitengo @kishoka @yulerichbrazaa @traviture27 @kil0volti @mwinshehe07 @hereisjames98 @mtusioriginal @fumbokhanjr @mkemi4mkuu @turgutibey
Top posts by engagements in the last [--] hours
"Ila Fellaini Fighter kitambo yani hadi hela za Einstein yupo ndani Hizi alizibonya akiwa mratibu wa miss universe bongo😅😅😅"
X Link 2026-02-05T05:18Z [----] followers, 11.1K engagements
"Kuna safari za nchii hii basi tu umaskini na vipato duni Ila sio vya kusafiri kwa basi abadani asilani 1.Mwz-Mby 2.Mwz-Songea 3.Musoma-Dar [--] BKB - Dar [--] Kigoma - Dar Adventure achia wazungu hizi safari ni ndefu na zina chosha laana😅😅"
X Link 2026-02-05T06:30Z [----] followers, 19K engagements
".kwa mabinti hawa ili kuhalalisha safari zao kama ni za kimasomo. Hii inawapa kinga ya kisheria (legal cover) pale vyombo vya dola vinapohoji uhalali wa safari hizo za ghafla"
X Link 2026-02-06T10:20Z [----] followers, [----] engagements
"Mabinti hawapelekwi Marekani moja kwa moja. Ili kukwepa mifumo ya kiintelijensia ya INTERPOL wanapumzishwa kwa wiki mbili katika nyumba za siri (Safe Houses) zilizopo Diani (Kenya) au Zanzibar (Nungwi). Hapa ndipo The white butterfly anapofanya ukaguzi wa mwisho wa ubora"
X Link 2026-02-06T10:20Z [----] followers, [----] engagements
"Ukiachia tu kuwa ibara ya [--] inampa rais mamlaka ya kuteua yoyote lakini sio mikoa yote wanateuliwa kwenye mikoa kama Mtwara ni tactical deployment. Unahitaji kiongozi mwenye uelewa wa border security na intelligence coordination kuzuia uhalifu Ili uwe mkuu wa mkoa lazima uwe mwana ccm sasa hawa ma meja na makanali wanaoteuliwa KIHOLELA na samia ni ishara kuwa kuna MAKADA wengi kwenye JESHI ndio maana wanashidwa kudhibiti Matukio ya KIUTEKAJI na MAUAJI kwa sababau wananufaika na kuwawa kwa watu kupitia chama chao🚮 https://t.co/TjaXZDuYDS Ili uwe mkuu wa mkoa lazima uwe mwana ccm sasa hawa ma"
X Link 2026-02-08T05:48Z [----] followers, [----] engagements
"@nguchiro47 @Sun_tz_u20sj @grok with posted results does Yanga stand a chance of qualifying"
X Link 2026-02-08T05:52Z [----] followers, [--] engagements
"what business does uncle SL do Selling arms To whom Tanzania government or other legitimate governments or rebels for that matter Kuna lapse of information somewhere. There is kind of arrogance which he displays which brings alot of questions than answers"
X Link 2026-02-08T07:14Z [----] followers, [----] engagements
"@ema_fundi_nguo Vancouver"
X Link 2026-02-08T18:31Z [----] followers, [---] engagements
"Usalama wa wengi ndio sheria kuu Salus populi suprema lex esto achilia mbali sheria zenu hii ndo kanuni mama ya usalama"
X Link 2026-02-08T18:48Z [----] followers, [---] engagements
"Bullet haichukui nafasi ya mahakam bali inalinda uhai wa askari na raia pale mahakama isipoweza kufika katikati ya mapambano. Iko hivyo hata hapo Canada ukigoma kujisalimisha unaliwa nali kama MUNGU bado anakupenda utachapwa tether"
X Link 2026-02-08T18:48Z [----] followers, [---] engagements
"@TravisKitengo_ Mkali leo unajua hadi nimelala jikoni kwa mtu ndo kanipa hifadhi hapa😅😅😅ama kweli naumbuka jiji hili"
X Link 2026-02-08T19:37Z [----] followers, [----] engagements
"@Jaguar_455"
X Link 2026-02-08T19:38Z [----] followers, [--] engagements
"@hereisjames98_ @TravisKitengo_ Sitakufa bali ntaishi😂😅"
X Link 2026-02-08T19:59Z [----] followers, [--] engagements
"Tesha alikua peace keeping kipindi anatoa ile video yake na kulikua na uratibu kuelekea [--] aliaminishwa na manyota kadhaa bahati mbaya manyota wa anapotoka Tesha dk ya mwisho hakukubaliana na wenzie hakuruhusu iruke hata moja kutoa sapoti kama walivyopanga.TESHA HAYUPO TENA"
X Link 2026-02-08T20:09Z [----] followers, 46.8K engagements
"@MagoigaS Tesha hakua tanzania we kichwa nazi😅😅😅 uwe TZ uzungumze vile mbona wenzio wanauza game chap wapande vyeo"
X Link 2026-02-09T03:42Z [----] followers, [----] engagements
"Sitasahau Siku Niliyonunua Malaya kwa Bahati Mbaya Mara Ya kwanza Nilidhani nimepata mchuchu wa ghafla kumbe nimeingia kwenye mkataba wa kibiashara bila kusoma vigezo na masharti😅😭 daah .🧵"
X Link 2026-02-09T04:57Z [----] followers, 19.6K engagements
"@mTusiOriginal Santorini"
X Link 2026-02-09T06:11Z [----] followers, [---] engagements
"Mange ameona nimegusa penyewe kuhusu Tesha akaamua kufuta tweet kimyakimya ili asionekane muongo safi. 😅😅hata kama unahamu ya mabadiliko usiruhusu mtu akutumie kukurisha uongo huko ni kukutake for granted mkali mm ntakua NAWAJUZA tu mengine utaamua mwenyewe😅😅 Tesha alikua peace keeping kipindi anatoa ile video yake na kulikua na uratibu kuelekea [--] aliaminishwa na manyota kadhaa bahati mbaya manyota wa anapotoka Tesha dk ya mwisho hakukubaliana na wenzie hakuruhusu iruke hata moja kutoa sapoti kama walivyopanga.TESHA HAYUPO TENA. Tesha alikua peace keeping kipindi anatoa ile video yake na"
X Link 2026-02-09T06:35Z [----] followers, 37.8K engagements
"@nice_jonas4 🤣🤣🤣ipo"
X Link 2026-02-09T07:01Z [----] followers, [----] engagements
"@fumbokhanJr Mondi ilikuwaje"
X Link 2026-02-09T08:48Z [----] followers, [----] engagements
"Sasa hivi hili Jiji lina kelele kariakoo ya Dar ikasome kila mndali mkinga msafwa mnyakyusa na mmalila mwenye duka ana mspika wa kichina hadi wauza mahindi😅😅😅"
X Link 2026-02-10T06:36Z [----] followers, 13.8K engagements
"@mkemi4mkUu 🤣🤣🤣🤣ilikua personal sana mkali wallah"
X Link 2026-02-10T06:39Z [----] followers, [--] engagements
"@Jaguar_455 Kiaje mkali🤣🤣🤣"
X Link 2026-02-10T18:54Z [----] followers, [---] engagements
"Kwenye Afcon ntandinya demu wa kimisri hii ipo kwenye hansard"
X Link 2026-02-10T19:12Z [----] followers, [----] engagements
"@Jaguar_455 @kishoka_ We subiri"
X Link 2026-02-11T07:19Z [----] followers, [--] engagements
"@MankindUwezo @Jaguar_455 🤣🤣ayaaa"
X Link 2026-02-11T09:05Z [----] followers, [--] engagements
"@Jaguar_455 🤣🤣🤣🤣🤣"
X Link 2026-02-11T09:42Z [----] followers, [--] engagements
"Huyo Najma kubwa jinga tu hako kengine uhuni kashazoea Be Honestly Big ones or Small ones.😍 https://t.co/PAzoOmXzWo Be Honestly Big ones or Small ones.😍 https://t.co/PAzoOmXzWo"
X Link 2026-02-11T09:54Z [----] followers, 12.4K engagements
"Timberland zikivaliwa na mabonge zinakua kama gambuti🤣🤣🤣🤣 Mguu✌ https://t.co/89uGutrsf7 Mguu✌ https://t.co/89uGutrsf7"
X Link 2026-02-11T09:59Z [----] followers, [----] engagements
"@Jaguar_455 Majanja hawaheshimu kuwa nina nishani ya NDC😅😅"
X Link 2026-02-11T10:29Z [----] followers, [---] engagements
"@Jaguar_455 🤣🤣🤣nilikua sijaona"
X Link 2026-02-11T15:25Z [----] followers, [--] engagements
"@Jaguar_455 Alafu silingi wala nn"
X Link 2026-02-11T15:27Z [----] followers, [---] engagements
"@Jaguar_455 Aura [--] bonge😅😅"
X Link 2026-02-11T15:31Z [----] followers, [--] engagements
"Jamaa alitakaga kukimbia ngerengere 🤣🤣🤣🤣alafu sio story wakali SPECIAL FORCE🔥✍ https://t.co/x6O6nNtrEO SPECIAL FORCE🔥✍ https://t.co/x6O6nNtrEO"
X Link 2026-02-11T15:56Z [----] followers, [----] engagements
"Nimekufuata bila ajizi mkali🤣🤣🤣 Hela ya Valentine🤲🏿🤲🏿♥♥♥ https://t.co/IJ0DAL7ouj Hela ya Valentine🤲🏿🤲🏿♥♥♥ https://t.co/IJ0DAL7ouj"
X Link 2026-02-11T18:41Z [----] followers, [----] engagements
"TikTok kuna mbwa anacheza masong ya piano ananimada ajabu🤣🤣🤣"
X Link 2026-02-11T19:23Z [----] followers, [---] engagements
"Ile sijui mistake sijui planned ila hata isahau Kimchemchezo hivi Twitter imemtema kadinali Pengo Hii mitaa hapana aisee😎😎 Kimchemchezo hivi Twitter imemtema kadinali Pengo Hii mitaa hapana aisee😎😎"
X Link 2026-02-12T02:55Z [----] followers, [----] engagements
"@yulerichbrazaa @MrB_Official04 Yes yeye ndiye cc @Jaguar_455"
X Link 2026-02-12T08:29Z [----] followers, [--] engagements
"Kwa sisi mkali tunaojua mifumo ya mahabusu hakuna mahabusu anayekula akiwa mahakamani. Ni utaratibu wa usalama kuzuia hatari za sumu/hujuma. Kila anayetoka gerezani chakula chake kinatengwa gerezani na anakikuta akirudi mbowe hakuwahi kula pia nashangaa kwa nn imekua hv @HecheJohn Kwani Yeye Chakula Chake Kipo Mahakamani naomba kuuliza @HecheJohn Kwani Yeye Chakula Chake Kipo Mahakamani naomba kuuliza"
X Link 2026-02-12T16:29Z [----] followers, 11.1K engagements
"Maldives penyewe kubaya 🚮 Maldives https://t.co/jkijdONLnI Maldives https://t.co/jkijdONLnI"
X Link 2026-02-12T16:31Z [----] followers, [---] engagements
"@kishoka_ 😅😅😅mkali mm navaa chepe 24/7 ndo maana"
X Link 2026-02-12T17:12Z [----] followers, [---] engagements
"@Eggle_Vuvu Mfano wenye hila wakimpa sumu mahabusu lawama zitaangukia kwa nani"
X Link 2026-02-12T17:13Z [----] followers, [----] engagements
"Wale wanajulikana mbona na wenyewe ndo walioomba iwe vile ili kuwakwepesha na aibu ya umma walipokua wana bargain na jamhuri kuhusu usalama wao na hadhi zao kama watatoa ushahidi hapo ndipo wataaalamu wakachomekea kuwa "wasijali kutakua na ushahidi wa siri" @Maestrowafact Nimekupata mkali wade- Bado hujapata za ndani - aliyekua anatoa ushahidi kwenye kizimba 😂. Au hakuna thread kijasusi au- itadetect system @Maestrowafact Nimekupata mkali wade- Bado hujapata za ndani - aliyekua anatoa ushahidi kwenye kizimba 😂. Au hakuna thread kijasusi au- itadetect system"
X Link 2026-02-12T17:52Z [----] followers, [----] engagements
"@traviture27 @IamGabby_01 Acha machepele we dogo utaratibu uko hivi waulize wenzio waliowahi kukaa mahabusu ya ngome kama wakienda kizimban hua wanakula Mbowe alikaa five months muulize kama alikula au Heche muulize kama walikua wanakula kizimbani"
X Link 2026-02-12T18:27Z [----] followers, [--] engagements
"@TurgutiBey Kuiondoa dola dhalimu inahitaji akili kuliko hisia za kijinga kama zako ukiwa unaweka hisia hovyo hovyo hata sehemu inayohitaji technical reasoning unakua sio mpambanaji bali mpuuzi mmoja mwenye hasira"
X Link 2026-02-12T18:38Z [----] followers, [---] engagements
"Yaani kwa akili ya kawaida tu haiji fwele mwenyewe anakupania kifo halafu anakuachia mlango wazi uende ukaandike nyuzi Twitterkuna mawili ni aidha anacheza game la mapoti au ashasaini kenya mda utasema. @Maestrowafact Tatizo mkali unapenda kuwakadilia watu sana @fbuyobe uyo bro kunavitu anavijua sio ww Wewe njoo tabora marando hapa tuendelee kugida komoni na mbege za kukopa @Maestrowafact Tatizo mkali unapenda kuwakadilia watu sana @fbuyobe uyo bro kunavitu anavijua sio ww Wewe njoo tabora marando hapa tuendelee kugida komoni na mbege za kukopa"
X Link 2026-02-13T08:40Z [----] followers, [----] engagements
"@Mkali26Og 😅😅huku napajua kweli sio siri ila Buyobe wenu labda kama moja ya sharti la kuripoti polisi ni kuwanasa wengine tofauti na hapo safari ya kenya imekaribia"
X Link 2026-02-13T08:42Z [----] followers, [---] engagements
"Nani anataka Circuit ya TV Samsung Curve inch [--] kioo kimezingua kinawaka weupe ila circuit nzima"
X Link 2026-02-13T15:56Z [----] followers, [----] engagements
"Anayeuza account anicheki [----------] pesa ipo mbele mbele kama tai ya mhashamu"
X Link 2026-02-13T17:56Z [----] followers, [----] engagements
"We mkali @Jaguar_455 majanja walinirudisha umecheki"
X Link 2026-02-13T18:55Z [----] followers, [---] engagements
"@Jaguar_455 Hapana kwenye wagonga ulimbo"
X Link 2026-02-13T19:25Z [----] followers, [--] engagements
"@Jaguar_455 Wamenirudisha mkali leo nimejikuta ndani🤣🤣"
X Link 2026-02-13T19:27Z [----] followers, [--] engagements
"Nimesikitika kinoma yule mwana peace kishenz ila ndo hivyo madogo humu hawana adabu Wewe nae Kuma tu wapuuzi mkiishiwaga hoja mkakosa na agenda yakumuangushia mtu mnaamua kuita watu mashoga yule jamaa Hana shida na mtu wewe unachuki zako zakisenge tu Wewe nae Kuma tu wapuuzi mkiishiwaga hoja mkakosa na agenda yakumuangushia mtu mnaamua kuita watu mashoga yule jamaa Hana shida na mtu wewe unachuki zako zakisenge tu"
X Link 2026-02-13T19:40Z [----] followers, [---] engagements
"@Jaguar_455 @AllyAssed13070 🤣🤣"
X Link 2026-02-14T11:59Z [----] followers, [--] engagements
"Unajipanga uvute s25 ultra gafla samsung ana release [--] ultra😅😅😅"
X Link 2026-02-16T05:22Z [----] followers, [----] engagements
"mkataba huo wa Julai [--] 2011sehemu yake ME.013/PF/2011.12/G/30 [--] Kampuni ya Lugumi Enterprises ilipewa zabuni ya kufunga mashine hizo kwa gharama ya Sh bilioni [--] ingawa haikuweza kukamilisha kazi hiyo pamoja na kwamba sehemu kubwa ya fedha hizo zilikuwa zimelipwa"
X Link 2026-02-08T07:10Z [----] followers, [----] engagements
"kampuni ya Lugumi ilipokea tshs bilioni [--] sawa na asilimia [--] ya fedha zote huku ikiwa imefunga mashine chache katika jiji la Dar es Salaam na kwamba baadhi ya vifaa hivyo vilikuwa havijaanza kufanya kazi kwa maelezo kwamba havikuwa na ubora ulitakiwa"
X Link 2026-02-08T07:10Z [----] followers, [----] engagements
"(nikajisemea hawa wananitaka mimi kwasababu sijui kupeleka pipe au hahahaha) Basi nikachukua namba ya yule mwingine niliyemla kwa ahadi kwamba nitamrudia"
X Link 2026-02-09T04:57Z [----] followers, [----] engagements
"Ila sasa kufika home nikawa na mawazo sana ile condom kupasuka ilinichanganya sana nikasema hapa nishaukwaaa Vile nilikuwa kijana nikajiona mimi fala kweli yaani starehe ya dakika chache imeniponza"
X Link 2026-02-09T04:58Z [----] followers, [----] engagements
"@kishoka_ 😅😅😅yukoje mkali anafanana na kitengo"
X Link 2026-02-15T17:12Z [----] followers, [----] engagements
"@takadini_23 S23 ultra mkali"
X Link 2026-02-16T09:56Z [----] followers, [---] engagements
"@thomas_yona_ Hatari sana hawa majamaa"
X Link 2026-02-16T09:57Z [----] followers, [---] engagements
"@shaks_prince We mshua upo kuna wakati ulipotea kimtindo"
X Link 2026-02-16T10:14Z [----] followers, [--] engagements
"Mtaalamu Einstein ndo bingwa wa honeytrap dunian.Ilikua ukikanyaga tu kisiwani kula maisha unakuwa umetoa rehani uhuru wako. Ukizingua tu mkali alikua anatishia kuachia picha au video yako mtandaoni kawablack mail viongozi wa dunia kama watoto yani😅"
X Link 2026-02-06T07:53Z [----] followers, 16.2K engagements
"Atapita kurasini pale diplomasia atapigwa msasa alafu tunaruka pale kwenye nchi inayotengeneza bia sawa na Heineken 😅😅😅 Rais Samia Suluhu Hassan amesema Balozi Marco Gaguti atapangiwa kituo baada ya kupatiwa mafunzo kuhusu ubalozi. https://t.co/tyZT3dWEpO Rais Samia Suluhu Hassan amesema Balozi Marco Gaguti atapangiwa kituo baada ya kupatiwa mafunzo kuhusu ubalozi. https://t.co/tyZT3dWEpO"
X Link 2026-02-10T05:57Z [----] followers, 11.5K engagements
"80+ [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [--------] Come out and Identify yourselves with your beautiful pic pls let u please❤. don't air me add your pic and year if yours is not here [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [----] [--------] Come out and Identify yourselves with your beautiful pic pls let u please❤. don't air me add your pic and year if yours is not here"
X Link 2026-02-13T17:05Z [----] followers, [----] engagements
"@itskamami_f We bibi hujui kitu"
X Link 2026-02-14T10:58Z [----] followers, [--] engagements
"Wakali hata yale mafuta ya kujipaka ya nazi yale yanayoitwa parachute ndio yale mnayotumia kudinyana hayo hayo aisee ukipikia samaki anatoka mtamu sijapata ona😅😅😅"
X Link 2026-02-15T07:01Z [----] followers, [----] engagements
"@Jaguar_455 🤣🤣🤣"
X Link 2026-02-16T04:10Z [----] followers, [--] engagements
"@blazadadee1 @Wesmile15 Ukitoka NCOs unakuja maafisa juniors ambapo kuna usuluteni na kepteni baada ya hapa wanakuja maafisa wa juu wa medan mejaluten kanal na kanal alafu maafisa wa juu wa maamuzi bgmg LG na G"
X Link 2026-02-16T05:19Z [----] followers, [--] engagements
"@Jaguar_455 🤣🤣🤣mkali kwenye huu uwanda sina utani"
X Link 2026-02-16T12:15Z [----] followers, [--] engagements
"Mkali DPP hawezi kamwe kumfutia Lissu mashtaka si kwa sababu ya matakwa ya sheria bali ni kwa sababu ya muundo wetu wa utawala. DPP hawezi kuwa huru 100% kwa mzito aliyemteua. Kufuta kesi za kubumba ni kukiri makosa ya dola jambo ambalo mfumo wetu haujazoea kufanya kirahisi. DPP mfutie Tundulisu kesi ni uwonevu #FreeTunduLissu #MsiogopeTumeshinda https://t.co/6uY9vYUJGv DPP mfutie Tundulisu kesi ni uwonevu #FreeTunduLissu #MsiogopeTumeshinda https://t.co/6uY9vYUJGv"
X Link 2026-02-14T16:54Z [----] followers, [----] engagements
"Lens lipo viable hivyo utapiwa ufe Mko Wapi https://t.co/z31JDeDw5P Mko Wapi https://t.co/z31JDeDw5P"
X Link 2026-02-14T17:02Z [----] followers, [---] engagements
"@Jaguar_455 Alafu akikuangukia ww ndo unaomba samahani🤣🤣"
X Link 2026-02-14T17:29Z [----] followers, [--] engagements
"Ndo huyu Mabena petrol stations au majina tu alafu harusi za wanene hua hawavai military official attires Alikuwa mtu wa fedha jeshini tokea yupo Lt usu paka kufikia brigedia akaamiahwa jamaaa paka wakubwa walio mzidi vyeo jeshini wanamuogopa Kwa pesa alio kuwa nayo bendi nyingi mjini wanamuita pedeshee mabenaa.akuna askali yeyote JWTZ anamfikia Kwa Hela @Maestrowafact @nguchiro4 https://t.co/u8gN0e7c3a Alikuwa mtu wa fedha jeshini tokea yupo Lt usu paka kufikia brigedia akaamiahwa jamaaa paka wakubwa walio mzidi vyeo jeshini wanamuogopa Kwa pesa alio kuwa nayo bendi nyingi mjini wanamuita"
X Link 2026-02-15T16:04Z [----] followers, 23K engagements
"@mwanza_rockcity Hivi DC wa serengeti ni nani"
X Link 2026-02-15T18:10Z [----] followers, [---] engagements
"@MagoigaS Acha ujuaji dada wa Z sisi tunamjua hata kabla hajaanza kukaa Nyakato tangu anatoka na tajiri wa vinywaji hadi anahongwa Ile Rav [--] we kaa hapo hapo na ujuaji wako"
X Link 2026-02-15T19:48Z [----] followers, [----] engagements
"@Excess300 Bonge la jinga naomba ngoma kumi kali za kompa na Bongo fleva nipakue"
X Link 2026-02-16T11:28Z [----] followers, [--] engagements
"@Excess300 Ok "Bonge la jinga" ni jina lako kama alivyo Bonge la dada kilichofuata nimewasilisha ombi Unitajie ngoma zako [--] za kompa(geto zouk) na ngoma [--] za bongo fleva nipakue"
X Link 2026-02-16T11:32Z [----] followers, [--] engagements
"Hii intellejensia mwitu yangu ina macho mengi kuliko mnavyodhani.Mlinikejeli nilipowapa huu uzi lakini leo technolojia ya Grok imethibitisha kile nilichokiona mapema. Kazi yangu si kulazimisha muamini ni kuwapa mijuzo halali. Mtanikubali mdogo mdogo.😅 https://x.com/i/status/2019717650667221441 @BillyTronix1 @official_kauzu @JackRthythm If JackRthythm is interested in the Epstein files' Tanzania mentions they involve [----] Miss Universe discussions with African contestants. No direct trafficking proof but part of broader allegations. More details https://x.com/i/status/2019717650667221441"
X Link 2026-02-15T17:46Z [----] followers, [---] engagements
"@Bigsyke20 Labda warudishe curve screen"
X Link 2026-02-16T09:56Z [----] followers, [---] engagements
"Diplomasia ina lugha yake. Wale waliotambulishwa walikuwa wanatoa hotuba ya kwanza kabisa (maiden speech). Manyota SASHA ni mkongwe wa AU(2022) hawezi tambulishwa kama novice tena. Kutotambulishwa ni ishara ya ukongwe na utambuzi wa kudumu siyo kusahaulika. Kasome rule [--] ya AU BREAKING: Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya aibu akiwa mjini Addiss-Ababa kwenye mkutano wa viongozi wa AU Rais Samia hakutambuliwa kokote kama rais. Gabon Seychelles na Namibia wenye Marais wapya waliochaguliwa hivi karibuni walitambulishwa lakini siyo Samia. https://t.co/5T13899Mhl BREAKING: Katika hali"
X Link 2026-02-16T10:28Z [----] followers, 10.4K engagements
"Rumion ni corrola ila ina bichwa baya Rumion ni IST copy & Paste vp ikushinde kuitunza. Hakuna Toyota inazingua Rumion ni IST copy & Paste vp ikushinde kuitunza. Hakuna Toyota inazingua"
X Link 2026-02-16T11:06Z [----] followers, [----] engagements
"😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 "Viongozi walioruhusiwa kuzungumza mkutano wa AU ni wale walioingia mara ya kwanza." Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Mahmoud Kombo akitoa ufafanuzi juu ya madai ya Rais Samia Suluhu Hassan kutopewa nafasi ya kuzungumza kama Rais mpya. https://t.co/JGkpEXw3UL "Viongozi walioruhusiwa kuzungumza mkutano wa AU ni wale walioingia mara ya kwanza." Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Mahmoud Kombo akitoa ufafanuzi juu ya madai ya Rais Samia Suluhu Hassan kutopewa nafasi ya kuzungumza kama Rais mpya. https://t.co/JGkpEXw3UL"
X Link 2026-02-16T12:12Z [----] followers, [---] engagements
"Mamayo Unaambiwa watu wote wanaohusika na ujenzi wa majengo ya ikulu wakikamilisha project hudedishwa ili wasije kuuza ramani kwa mabeberu.😎 Kuna ukweli hapa. https://t.co/geFY16CxWb Unaambiwa watu wote wanaohusika na ujenzi wa majengo ya ikulu wakikamilisha project hudedishwa ili wasije kuuza ramani kwa mabeberu.😎 Kuna ukweli hapa. https://t.co/geFY16CxWb"
X Link 2026-02-16T12:13Z [----] followers, [---] engagements
"Aya. X wajuaji msaada huyu ni nani na ako na cheo gani hapa nchini 👇 https://t.co/rL14hMRvEb X wajuaji msaada huyu ni nani na ako na cheo gani hapa nchini 👇 https://t.co/rL14hMRvEb"
X Link 2026-02-16T12:15Z [----] followers, [---] engagements
"RT @hereisjames98_: Unejitolea kuelimisha rika🫡 Go go kaka mkubwa"
X Link 2026-02-16T12:23Z [----] followers, [--] engagements
"Mkali wa Rita anisaidie mm huyu mwanamke nimeishi naye miaka saba na tuna watoto wawili nataka nisajili ndoa naomba muongozo na msaada wazito"
X Link 2026-02-16T12:27Z [----] followers, [----] engagements
"Huyu mama sijui anachanganyikiwa au anapotosha tu makusudi mm sina shida na bifu lake na Sasha watajua wenyewe ila asipotoshe kuhusu itifaki Newly elected kwenye itifaki za AU inamaanisha kiongozi anayehudhuria mkutano wa wakuu wa nchi kwa mara ya kwanza tangu ashike madaraka"
X Link 2026-02-16T15:01Z [----] followers, [---] engagements
"Manyota SASHA alitoa maiden speech yake na kutambulishwa rasmi Februari [----] kwenye mkutano wa [--]. Itifaki ya assembly hairudii kumtambulisha Rais yuleyule kila anapoanza muhula mpya kama tayari ni mjumbe wa assembly"
X Link 2026-02-16T15:01Z [----] followers, [---] engagements
"Alafu Kusema uchaguzi haukutambuliwa na AU ndiyo maana marais walimkimbia kupiga picha ni hoja ya kijinga AU haiwezi kumwalika Rais na kumpa nafasi ya kushiriki losed sessions za kistratejia kama haimtambui. Picha za grupu hufuata ratiba na SASHA ni sehemu ya AU Bureau"
X Link 2026-02-16T15:01Z [----] followers, [---] engagements
"Tinder hapa chunya haizoom manzi yoyote🤣🤣🤣🤣"
X Link 2026-02-16T15:42Z [----] followers, [----] engagements
"RT @itskamami_f: Watu wenye blutiki Bana🚮🚮 Ww ni pedophl ukamatwe mara moja"
X Link 2026-02-16T15:44Z [----] followers, [--] engagements
"🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbeya watu wanakaa makundi makundi kujadili escalator ya kabwe https://t.co/OsHAp6bLEw Mbeya watu wanakaa makundi makundi kujadili escalator ya kabwe https://t.co/OsHAp6bLEw"
X Link 2026-02-16T15:44Z [----] followers, [---] engagements
"Kuna mmoja nilimwambia aniongeze nyama aliniangalia vibaya utadhani mimi ndo nimemuua yule marehemu😔 Sita kaa nisahau ile sura ya yule mama kwenye msiba mwaka jana alisema "Huyu kaka tiyari ashakula". Na ni msiba huwezi bishana hujala Sita kaa nisahau ile sura ya yule mama kwenye msiba mwaka jana alisema "Huyu kaka tiyari ashakula". Na ni msiba huwezi bishana hujala"
X Link 2026-02-16T15:47Z [----] followers, [---] engagements
"Huo mfumo siutaki na sijawahi kuuota tena nimeuishi kabla wewe hujaujua Nachofanya sasa ni penance ya toba jiweke karibu na MUNGU tunapita Umeua kaka mkubwa Sasa umeanza kuja kwenye mfumo tuendelee hivihivi Umeua kaka mkubwa Sasa umeanza kuja kwenye mfumo tuendelee hivihivi"
X Link 2026-02-16T15:49Z [----] followers, [---] engagements
"RT @ictsoln25: Yes Elimu elimu"
X Link 2026-02-16T15:50Z [----] followers, [--] engagements
"RT @blazadadee1: Huyo mwanamke kajichanganya pakubwa"
X Link 2026-02-16T17:19Z [----] followers, [--] engagements
"Hivi dogo SouthWest aliendaga wapi"
X Link 2026-02-16T18:17Z [----] followers, [---] engagements
"Kwenye barua pepe iliyonaswa (Encrypted Mail ID: 77-Alpha-X) The white butterfly anamuhakikishia mmoja wa waratibu wa Einstein kuwa "The targets are ready they are young naive and have no family ties perfect for the program". Huu ni ukatili uliopitiliza😭"
X Link 2026-02-06T10:20Z [----] followers, [----] engagements
"@JayRogath Maldives we fala"
X Link 2026-02-07T17:22Z [----] followers, [--] engagements
"@Jizzlewantandu @TravisKitengo_ @blazadadee1 🤣🤣🤣msukuma smart n magufuli na mm"
X Link 2026-02-08T07:18Z [----] followers, [--] engagements
"WAWEKEZAJI WA REAL ESTATES NAWAPA MALI HII ENEO LA UFUKWENI LINAUZWA MAHALI: Mwanza Tanzania Ilemela. UKUBWA:Hekari [---] SIFA ZA ZIADA:Eneo lipo mita [---] kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwanza BEI: [---------] tsh (nego) MAW: [----------] [----------] 👇👇 WAWEKEZAJI WA REAL ESTATES NAWAPA MALI HII ENEO LA UFUKWENI LINAUZWA MAHALI: Mwanza Tanzania Ilemela. UKUBWA:Hekari [---] SIFA ZA ZIADA:Eneo lipo mita [---] kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwanza BEI: [---------] tsh (negotiable) MAW: [----------] https://t.co/666B6e32TE WAWEKEZAJI WA REAL ESTATES NAWAPA MALI HII ENEO LA UFUKWENI LINAUZWA"
X Link 2025-12-10T08:41Z [----] followers, 58.4K engagements
Limited data mode. Full metrics available with subscription: lunarcrush.com/pricing