@YPD179800 Avatar @YPD179800 MK47

MK47 posts on X about tanzania, bali, kwanza, kama the most. They currently have [------] followers and [---] posts still getting attention that total [------] engagements in the last [--] hours.

Engagements: [------] #

Engagements Line Chart

Mentions: [--] #

Mentions Line Chart

Followers: [------] #

Followers Line Chart

CreatorRank: [-------] #

CreatorRank Line Chart

Social Influence

Social category influence countries travel destinations currencies #4204 finance celebrities

Social topic influence tanzania, bali, kwanza #46, kama, ipo, mambo, cha, nia, kenya, zanzibar

Top accounts mentioned or mentioned by @hechejohn @lifeofmshaba @mwigulunchemba1 @freemanmbowetz @therealjongwe @twahamwaipaya @exmayorubungo @mariastsehai @420cousin @abdulazack @getrudemollel @ikulumawasliano @kapeto98 @rashdazunde @abroadtanzania @mdudechadematz @aduiwayanga @suluhusamia @johnpambalu @comradekawaida

Top assets mentioned Mambo (MAMBO)

Top Social Posts

Top posts by engagements in the last [--] hours

"Hon @mwigulunchemba1 applauds President Samia Suluhu for her visionary leadership & commitment to fostering economic growth. At the 19th #TanzaniaEconomicUpdate he praised her for providing clear direction to welcome the private sector's crucial role in our nation's development"
X Link 2023-09-25T11:59Z [---] followers, [---] engagements

"Karibia Tanzania inaenda kuwaka taa na tatizo la umeme linaenda kutatuliwa"
X Link 2023-11-02T13:32Z [---] followers, [---] engagements

"@SuleimaniAbduli @420Cousin @_abdulazack @Getrude_mollel @ikulumawasliano @kapeto98 @PUR_TZ @RashdaZunde @thinkbig2025 @winharder Samia ni shule ya uongozi"
X Link 2023-11-20T06:54Z [---] followers, [--] engagements

"MIAKA [--] YA UHURU CHINI YA MZALENDO RAIS SAMIA Tarehe 9/12/2023 Tanzania itakuwa imetimiza miaka [--] tangu kupata uhuru wake mwaka [----]. Tunahihitimisha miaka [--] tukiwa chini ya Jemedari mzalendo mwanadiplomasia na mwanamke shupavu Rais Samia tuna mengi ya kujivunia kwake"
X Link 2023-12-07T05:47Z [---] followers, [---] engagements

"WATANZANIA TUNAJIVUNIA RAIS SAMIA Tanzania tumepata bahati ya kuwa na kiongozi ambaye tukipata matatizo tukiumia tukiwa na furaha na hata tukiwa na huzuni na hali ya kukata tamaa huwa yuko pamoja nasi nyakati zote. Moyo wake unasonoke na nyuso zake zinakuwa na huzuni kubwa"
X Link 2023-12-08T05:56Z [---] followers, [---] engagements

"AKILI MBOVU INAYOTEMBEA Hivi ni kweli watanzania tunaweza kumpa nafasi ya kuwa Rais wa Taifa letu kiongozi wa namna hii. Anapambana kuusambaza uongo na kuwadanganya watanzania kwa taarifa za kiunafiki na za upotoshaji mkubwa ambao unazaa taharuki ya sintofahamu kwa watanzania"
X Link 2023-12-10T10:55Z [---] followers, [----] engagements

"SERIKALI YA AWAMU YA SITA NI YA VITENDO KULIKO PROPAGANDA Kipindi vyama vta wahuni na watu wachache wanaopinga maendeleo ya watazania wakipambana kutengeneza taarifa zisizokuwa za ukweli na upotoshaji lakini Serikali ya awamu ya sita ipo kazini inatekeleza majukumu yake"
X Link 2023-12-11T12:38Z [---] followers, [---] engagements

"SEKTA YA VIWANDA TANZANIA INAFANYA VIZURI"
X Link 2023-12-19T09:51Z [---] followers, [--] engagements

"TUNAKUSHUKURU RAIS SAMIA KWA MWAKA WA [----] Ulikuwa ni mwaka wa mafanikio makubwa sana kwa Watanzania na Taifa kiujumla Rais samia alihakikisha maendeleo ya sekta zote. Amelitangaza na kulikuza taifa kimataifa zaidi na kuboresha diplomasia bora na ya maridhiano nje na ndani"
X Link 2023-12-23T07:25Z [---] followers, [---] engagements

"@KayoyoPrince @lifeofmshaba Unaizungumzia demokrasia gani Na unaweza ukaniambia demokrasia ambayo ipo ndani ya chama cha Chadema"
X Link 2024-01-14T18:17Z [---] followers, [--] engagements

"@NchiAhadi @HecheJohn Kijana sijakuuliza kuhusu shule uliyoisoma bali nimeuliza matokeo yako"
X Link 2024-01-19T12:26Z [---] followers, [--] engagements

"@lifeofmshaba Haya mambo tumeshayazoea labda mje na jambo jipya. Hamna hoja za msingi mnakurupuku kweli nyie ni mapoyoyo Mnadhani maandamano mmeanza kuzungumza leo kila siku ndiyo hoja yenu ikifika siku mnapotelea vichakani"
X Link 2024-01-20T11:00Z [--] followers, [--] engagements

"@HecheJohn Mbowe ajiuzulu kwanza ndiyo tutawasikia kama mnaongelea nini maana ni miaka [--] sasa tangu atoe ahadi yake lakini hajaikamilisha Na amalizane na watu wa Hanang kulipa michango yao ambayo walichangiwa na watanzania Hapo sasa tutajua kama mko sahihi"
X Link 2024-01-21T06:42Z [---] followers, [--] engagements

"@HecheJohn Hii ni makao makuu ya ofisi ya chama chenu cha propaganda ama banda la kuku Acheni kukodi kodi ofisi hii ni aibu Sasa kweli mkipewa Nchi mtahudumia watanzania ama mtaanza kukijenga kwanza chama chenu maana hamna chochote zaidi ya kumiliki propaganda potofu"
X Link 2024-01-21T06:44Z [---] followers, [--] engagements

"@ChademaTz Hivi ilikuwaje mpaka leo huyo Mbowe akaendelea kuwa Mwenyekiti Mnahitaji mabadiliko ya katiba ya Nchi wakati ya kwenu inawashinda Anzeni kwanza na mabadiliko ya ndani kwenu ama ndiyo mmiliki wa chama anatakiwa awe kiongozi mpaka kifo"
X Link 2024-01-21T07:21Z [---] followers, [--] engagements

"@freemanmbowetz Unajiuzulu ljni ama ndiyo madaraka matamu Kama umeshindwa kutumia demokrasia ndani ya Chama chako Utaweza kuitunza na kulinda Amani ya Tanzania"
X Link 2024-01-22T15:22Z [---] followers, [--] engagements

"@TheRealJongwe Mwambie kaka yako ajiuzulu kwanza Atumie demokrasia ndani ya Chama chenu kabla hajaandamana"
X Link 2024-01-22T15:25Z [---] followers, [--] engagements

"@Twaha_Mwaipaya Hivi nyie akili zenu mnaziwekaga wapi Huu siyo muda wa maandamano bali ni muda wa kuja na ajenda za kimaendeleo mmepewa nafasi za kufanya mikutano ya hadhara na kuishauri serikali lakini mmeshindwa na mnaamua kuja na upotoshaji wa maandamano Nonsense sana nyie"
X Link 2024-02-01T09:05Z [---] followers, [--] engagements

"@ExMayorUbungo Mama alishaifanya Hiyo demokrasia kwa vitendo amewapa nafasi za kufanya miadhara ya majukwaani tena kwa uhuru na muje na ajenda ambazo zinazojenga leo hii mmekuja na ajenda ya kijinga ya maandamano Mmeshindwa kutumia nafasi ya demokrasia ambayo mmepewa bali ndiyo mmeongeza aibu"
X Link 2024-02-01T09:08Z [---] followers, [--] engagements

"@Odoyo06849275 @AbroadTanzania Una uthibitisho wa hilo kama ni kweli amelishwa sumu Hebu tuletee ushahidi kuliko kutumia propaganda za kiupotoshaji"
X Link 2024-02-04T15:07Z [---] followers, [--] engagements

"@HecheJohn Hamna akili hamuwezi kukubali mazungumzo Kwa sababu ya tamaa yenu ya madaraka Hampo kwa ajili ya maslahi ya Watanzania bali mpo kwa maslahi yenu binafsi Hamna akili hata kidogo na hamna chembe ya uzalendo"
X Link 2024-02-04T18:51Z [---] followers, [--] engagements

"@mdudechadematz @ccm_tanzania Acha kuaminisha upotoshaji hii ndiyo taarifa sahihi hiyo uliyoituma ni ya kwako na familia yako"
X Link 2024-02-05T15:44Z [---] followers, [--] engagements

"@420Cousin @Getrude_mollel @kwamekivaisi @Sisimizi3 @kapeto98 @Aduiwayanga @__abdulazack @RashdaZunde Wakiutaka Msiba waandae wa kwao huu wa sasa ni mali ya Serikali ambayo ipo chini ya CCM Waache janja janja waende kwenye maandamano"
X Link 2024-02-14T07:29Z [---] followers, [--] engagements

"@ExMayorUbungo Hongereni kwa Matembezi ya kujenga Afya kikubwa ni swala zuri la kuwasaidia watanzania Kujikinga na Afya zao jambo jema ni kwamba mnaiunga Serikali ya awamu ya Sita katika hali ya Mazoezi ni Afya"
X Link 2024-02-15T09:14Z [---] followers, [--] engagements

"@EduTalkTz @SuluhuSamia Rais anadumisha diplomasia na kutafuta na kuleta fursa ndani ya Taifa kuhusu bajeti yake siyo jambo muhimu kulijua bali kikubwa ni kujua matunda ambayo yanayopatikana kupitia safari zake ukifuatilia safari za Rais na kuzielewa huwezi kuja kuhoji swali la ajabu la namna hii"
X Link 2024-02-23T17:08Z [---] followers, [--] engagements

"@mfa_tanzania Welcome Tanzania among of attractive countries with peace and love"
X Link 2024-02-29T12:30Z [---] followers, [--] engagements

"@TheRealJongwe Mbona mnajiwasha na kujikuna wenyewe mmeshapewa uhuru wa kuandamana kokote pale mnapopataka si mlikuwa mnataka haki ya demokrasia mmepewa mmekuja majukwaani mlivyoona haitoshi mkaja na maandamano alafu hata hamjaguswa endeleeni kutumia uhuru wenu kama mlivyokuwa mnahitaji"
X Link 2024-02-29T13:41Z [---] followers, [--] engagements

"@John_Pambalu Hakuna mawazo mnayobadilishana hapo zaidi ya kupeana ujinga tu hayo majadiliano siyo ya kuijenga Tanzania bali ni Mwendo wa kutaka kuibomoa tu aisee nyie ni wajinga sana"
X Link 2024-02-29T13:43Z [---] followers, [--] engagements

"@ahmed__ally Hahaha mandunduka hamna timu bali mna kikundi cha Wahuni mmejikusanya alafu mkatengeneza kigenge chenu timu ni mbovu kuanzia kwa kipa mpaka wachezaji kwa style hii hamtaona ubingwa wowote ule zaidi ya kuwa waimba taarabu ama wewe jamaa una gundu"
X Link 2024-03-07T10:03Z [---] followers, [--] engagements

"@mdudechadematz Wewe nyumbu jitahidi kipindi unaandika huu ujinga wako uzingatie heshima kumbuka unayemzungumzia hapa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uwe na adabu sidhani kama hii Nchi ungepewa wewe kwa akili yako ya ujinga namna hii ungeweza kufikisha hata hapa ilipofika"
X Link 2024-03-08T19:37Z [---] followers, [--] engagements

"@HecheJohn Kweli hizi ni akili mbovu ulizokuwa nazo kwanza tuanzie hapa mtakuja kuchukua hatamu za uongozi kwenye nchi gani Mnafikiri watanzania ni wajinga kwa kiasi gani wakubali kuwapa hii nchi Pili mkihitaji mkomeshe ufisadi basi mngeanza na Mbowe ambaye alikula pesa za lowasa"
X Link 2024-03-09T06:54Z [---] followers, [--] engagements

"@mobhe_monto Una uhakika kama ni safari ya ovyo Tusaidie safari hata moja ambayo ameifanya kwa ajili ya maslahi yake binafsi Msikurupuke kuzungumza ambacho mnachokisikia bali kwanza hakikisheni kama ni sahihi unachokisema kinadhibitisha kama kweli wewe ni mjinga wa kuelewa"
X Link 2024-03-09T07:20Z [---] followers, [--] engagements

"Tumbaku Uuzaji wa zao la Tumbaku kati ya 2021/22 - 2022/23 umeongezeka kwa 289.05% hiki ni kiwango kikubwa zaidi kuwahi kutokea nchini. Jan [----] Tanzania ilitangwa kuwa nchi ya pili barani Afrika kwa uzalishaji wa Tumbaku nyuma za Zimbabwe inayozalisha tani [---] kwa mwaka"
X Link 2024-03-21T05:38Z [---] followers, [--] engagements

"🥑 Ndani ya mwaka mmoja mauzo ya Parachichi nje yamepaa kwa 51.57%. Tanzania huuza 85% za Parachichi zake nje: Uholanzi Uingereza Kenya Zambia Afrika Kusini China Japan Hong Kong Saudi Arabia na Qatar"
X Link 2024-03-22T05:24Z [---] followers, [--] engagements

"Afya ni utajiri wa kweli na vijana wanapaswa kutilia maanani. Mazoezi lishe bora na kupumzika vya kutosha ni msingi wa afya njema. Kujali afya yako sasa kunaweza kuimarisha mustakabali wako"
X Link 2024-04-28T08:27Z [---] followers, [--] engagements

"Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na baadhi ya Watanzania waliofika kumpokea Jijini Nairobi baada ya kuwasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa [--] wa IDA"
X Link 2024-04-28T20:18Z [---] followers, [--] engagements

"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa Wimbo wa Taifa wa Kenya pamoja na ule wa Umoja wa Afrika (AU) ukiimbwa kabla ya kuanza Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika"
X Link 2024-04-29T08:07Z [---] followers, [--] engagements

"SAUTI YA MAMA "Mama huyu ni Mtanzania atafanya kila analoweza kufanya Tanzania iende mbele. Tanzania ni moja haigawanyiki wala haiuziki" - Rais Samia #TeamhamasishaTanzania"
X Link 2024-04-30T05:11Z [---] followers, [--] engagements

"Rais Samia anatimiza ahadi ya kuwaunganisha Watanzania na kusonga mbele kwa pamoja. Ni wakati wa kujenga mustakabali bora kwa kizazi kijacho. #UongoziWaSamia #Maendeleo #TeamhamasishaTanzania"
X Link 2024-04-30T09:52Z [---] followers, [--] engagements

"Nia ya kugawanya Muungano wa Tanzania inaweza kuleta mgawanyiko na kuvuruga umoja wetu. Ni wakati wa kusisitiza umoja badala ya kufanya mabadiliko yanayoweza kuhatarisha amani na ustawi wa taifa letu"
X Link 2024-04-30T10:21Z [---] followers, [--] engagements

"@lifeofmshaba Hoja ya Lissu inashindwa kuzingatia usawa kati ya idadi ya watu na uwakilishi wa majimbo. Ingawa Zanzibar ina majimbo mengi kuliko Dar es Salaam idadi ya watu inaathiri uwakilishi. Hii inaweza kuwa na athari hasi kwa upatikanaji wa fursa sawa kwa Wazanzibari"
X Link 2024-04-30T10:38Z [---] followers, [--] engagements

"Kuweka utendaji wa Samia Suluhu Hassan dhidi ya asili yake ni kosa la mantiki. Badala yake unapaswa kumhukumu kama kiongozi kulingana na utendaji wake na mafanikio yake katika kutekeleza majukumu yake kama Makamu wa Rais na sasa Rais wa Tanzania"
X Link 2024-04-30T10:45Z [---] followers, [--] engagements

"Kusema kwamba Zanzibar inapendelewa katika suala la uwakilishi haitoi picha kamili ya hali. Muundo wa Muungano na uwakilishi wa kisiasa unapaswa kuzingatia maeneo yote ya nchi sio tu Zanzibar au Tanganyika. Kufanya hivyo kunahakikisha kwamba pande zote zinapata uwakilishi sahihi"
X Link 2024-04-30T10:47Z [---] followers, [--] engagements

"Kero ya Maji Jijini kwanza sasa imekwisha #YaKujivuniaNiTele #TeamhamasishaTanzania"
X Link 2024-05-13T16:42Z [---] followers, [--] engagements

"@cuty_lighty Njoo kwanza inbox tujadili"
X Link 2024-05-20T07:33Z [---] followers, [--] engagements

"RAIS SAMIA NI KIPENZI CHA WASANII NCHINI TANZANIA Amekuwa akionyesha msaada wake kwa wasanii kwa njia mbalimbali ikiwemo kuhudhuria matukio yao kuzungumza nao na kuwapa fursa za kushiriki katika matukio ya kitaifa. Utayari wake wa kuwasikiliza na kuwasaidia katika sekta ya"
X Link 2024-05-27T05:14Z [---] followers, [--] engagements

"sanaa umewafanya wasanii wengi kumheshimu na kumthamini sana. Hii imesaidia sana kukuza sanaa na utamaduni nchini Tanzania pamoja na kuleta umoja kati ya wasanii na serikali"
X Link 2024-05-27T05:14Z [---] followers, [--] engagements

"@mangekimambi Kama kweli wewe ni mkweli na upo kwa ajili ya kusema ukweli kama unavyosema kwanini unaogopa kurudi Tanzania Hii inathibitisha wazi huna cha maana unachokisema zaidi ya kutengeneza propaganda ambazo hazina tija. Kazi yako ni kupiga kelele tu kama Mbwa na kutengeneza scandal"
X Link 2024-05-31T19:39Z [---] followers, [--] engagements

"@ComradeKawaida Hzii ni dalili za wapiga puli au mashoga Inawezekana haujakamilika"
X Link 2024-06-15T10:06Z [---] followers, [--] engagements

"@ComradeKawaida @abdulnondo2 wewe jamaa umekosea na huna mawazo kwenye hili kubali kama haukuwa sahihi na mambo mengine yasonge. Kuendelea kukomaa na hili jambo kwa mawazo yako ya kipuuzi huku ni kuidharirisha UVCCM na serikali kiujumla. Kiongozi mbovu kuwahi kutokea kwenye taasisi na ni aibu"
X Link 2024-06-15T12:36Z [---] followers, [--] engagements

"@Jaguar_455 Haha dah"
X Link 2024-06-29T08:31Z [---] followers, [--] engagements

"@lifeofmshaba Wewe jamaa una matatizo ya utindio wa ubongo kama mataifa makubwa yanakopa ili kuendeleza na kufanya vitu vingine muhimu kwa ajili ya maslahi ya mataifa yao. Sasa unashangaa nini na kipi unachojiuliza kuhusu Tanzania kukopa Au Unafikiri maendeleo yanakuja kwa namna gani"
X Link 2024-06-29T12:50Z [---] followers, [--] engagements

"@SuphianJuma Kabisa na ikibidi aende hata bila kuaga tuna mambo mengi ya kufanya"
X Link 2024-06-30T08:37Z [---] followers, [--] engagements

"SWALA LA MUDA TU CHADEMA YOTE NI CCM KARIBUNI NYUMBANI Hiki kikombe cha kurudi Nyumbani siyo cha Mch. Peter Msigwa au Upendo bali ni cha kila Mwanachadema Kwa sababu wote ni mamluki wa Chama chenye itikadi za upendo na undugu wa kudumu na ni CCM. Wote mtarudi na wakati bado"
X Link 2024-06-30T13:14Z [---] followers, [--] engagements

"@Aduiwayanga Na bado waendelee kujifunza siasa siyo mchezo wa matusi bali akili nyingi"
X Link 2024-06-30T13:34Z [---] followers, [--] engagements

"@Eric__Bernard Muda bado upo nafasi ya Kufanya maamuzi bado ipo. Karibu sana Jangwani😂"
X Link 2024-07-01T05:52Z [---] followers, [--] engagements

"@MiriamMkanaka @Nkololotz @THRDCOALITION Rais Samia ni kiongozi mwenye upendo sana na mwepesi kufikika kusikiliza na kutoa maamuzi. Hata hao uliowataja wamebeba hayo matibabu na hata wewe lazima uheshimu na kupokea maelekezo ya Mhe Rais na amesema wazi atagharamia hayo matibabu hiyo imeisha hakuna kuhoji zaidi"
X Link 2024-07-02T10:01Z [---] followers, [--] engagements

"@ExMayorUbungo Kwahiyo mlitaka nani aje achunguze Mbona mna akili pumba sana tangu ulivyoanza kueleza mpaka mwisho inaoneka wazi mnataka kutengeneza sintofahamu kupitia hili"
X Link 2024-07-02T10:15Z [---] followers, [--] engagements

"@Twaha_Mwaipaya Huna akili wewe tume huru ya nini hiyo Acha kuipelekesha serikali Kwanza unahitajika ufarijike kwa namna ya kipekee kwa ajili ya upendo na uteyari wa Mhe Rais Samia kwa kujitoa kwenye hili. Kwa ufupi kijana atatibiwa kwa gharama zake mpaka awe sawa huu ni upendo mkubwa sana"
X Link 2024-07-02T11:26Z [---] followers, [--] engagements

"@bvrbvra Kwanza kuhusu Simba mmeshamaliza Maana huu upande inaonekana ni mgumu sana kwa sababu hakuna propaganda na mafumbo huku kwenye siasa"
X Link 2024-07-03T09:15Z [---] followers, [--] engagements

"@fumbokhanJr Acha kujidanganya hamna pesa za kumlipa"
X Link 2024-07-03T13:21Z [---] followers, [--] engagements

"@JamiiForums Hakika serikali ipo imara sana katika kuwajali na kuwa teyari kujitoa kwa ajili ya Watanzania na inafanya kazi kwa vitendo"
X Link 2024-07-03T16:36Z [---] followers, [--] engagements

"@Liberatus80 Mbona haina hata wewe pia na familia yako mnakaribishwa. CCM siyo Chama cha mtu mmoja na wala siyo Chama cha michango na ajenda za kuvunja amani ubaguzi na hata ubinafsi. Bali ni chama cha ujamaa na cha Watanzania wote"
X Link 2024-07-04T05:41Z [---] followers, [--] engagements

"@JamesMbowe4 Inaonekana wewe ndiye mrithi unayefuata kwenye chama chenu cha familia. Maana mnavyoishi ni kama kwenye nchi za kifalme Mwendo wa kurithishana nafasi tu lakini pia Hongereni kwa kuendelea kunenepa kwa kupitia michango ya Watanzania wanyonge kwa kujivisha mwamvuli wa wanaharakati"
X Link 2024-07-04T06:54Z [---] followers, [--] engagements

"@hilarymbowe_ @Twaha_Mwaipaya Vijana kwenye hili mnaenda kupotea mnapush ajenda ambazo hazitawasaidia tunasema kwa sababu tunawaonea huruma na mwisho wake tunaujua"
X Link 2024-07-05T04:54Z [---] followers, [--] engagements

"@AbroadTanzania Hamjachangia kitu wapuuzi nyie na hamkuchanga kwa ajili ya mgonjwa bali mlichanga kwa ajili ya baadhi ya watu kushibisha matumbo yao. Na ndiyo maana mlikuwa mnarudisha pesa za watu ambao mlihisi watawasumbua kama michango yao isingefika😂 Rais Samia kamaliza kila kitu"
X Link 2024-07-05T06:22Z [---] followers, [--] engagements

"📍Zinjibar Kilele cha Maadhimisho ya mwaka mpya wa Kiislamu (Dhul - Hijjah 1446-H) yatakayofanyika msikiti wa Jamiu Zinjibar tarehe: [--] Julai [----]. Mgeni Rasmi atakuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj. Dk. Hussein Ali Mwinyi"
X Link 2024-07-05T22:05Z [---] followers, [--] engagements

"Kumbe hawa jamaa ni wapuuzi namna hii Nani kawaroga hawa watu Hivi kweli kuna baadhi ya Watanzania wapo pamoja na kuwasikia hawa watu Hivi kweli hawa ndiyo wa kuwapa dola kuiongoza Ama kweli tutaiuza hii nchi hapa hakuna watu bali ni matatizo tu"
X Link 2024-07-06T07:39Z [---] followers, [--] engagements

"@Thereal_taivina Aliyepigwa risasi ya kichwa na kupita kwenye taya leo hii anachati na kuongea na simu na kujibu maswali. Lakini sawa acha twende"
X Link 2024-07-06T07:44Z [---] followers, [--] engagements

"@Thereal_taivina Usikaze fuvu wewe"
X Link 2024-07-06T08:15Z [---] followers, [--] engagements

"@JamesMbowe4 @SimbaSCTanzania Kauli ya nini Kuna mtu analazimishwa upande wa kuwepo Achana na haya mambo hayatawasaidia😂"
X Link 2024-07-06T15:16Z [---] followers, [--] engagements

"Kwa sababu akili zao haziko Sawa kutokana na matumizi ya bangi na mapombe hawatokubali huu ukweli zaidi ya kuanza kutukana tu na wala siyo kukubaliana na ukweli. Lakini kiukweli kwenye tathimini ya kisiasa hiki chama cha kurithishana hakuna kitu. Hawana sera wala ajenda"
X Link 2024-07-08T05:47Z [---] followers, [--] engagements

"KARIBU MKOANI KATAVI KIPENZI CHETU RAIS SAMIA Katavi ni kati ya Mikoa ambayo ipo katika sehemu ya magharibi mwa Tanzania na umeanzishwa rasmi mwaka [----] baada ya kugawanywa kutoka Mkoa wa Rukwa. Ni kati ya mikoa ambayo zimeboreshwa huduma za kijamii miundombinu na vitu vingi"
X Link 2024-07-10T04:52Z [---] followers, [--] engagements

"@millardayo Huyu atafia uwanjani😂 umri hautaki tena haya mambo bora angeenda tu kufanya biashara zingine"
X Link 2024-07-10T10:49Z [---] followers, [--] engagements

"@HecheJohn Mbona kama kikao cha familia Maana Watoto ni wengi kuliko watu wazima ama ni sikukuu ya kipaimara Aisee kweli hiki chama kimekosa mvuto kabisa Watanzania hawakielewi ndiyo maana kila muda watu wanainua mikono kama show ya wasanii. Bora mngekuwa mnaweka na kiingilio tu😂"
X Link 2024-07-10T13:00Z [---] followers, [--] engagements

"@PMadeleka Kwahiyo ulitaka polisi wawe Adui na raia ama. Mbona unapenda sana uchonganishi wewe Mbona hii Nchi kutrend inawezekana bila kuchonganisha"
X Link 2024-07-11T14:09Z [---] followers, [--] engagements

"@freemanmbowetz Mnatakiwa kumshukuru sana Rais Samia kwa kukuza demokrasia na uchumi wa taifa hili isingekuwa hivi leo hii msingeweza kupata uhuru wa kujieleza na hata kuendesha maisha yenu Samia mitano tena"
X Link 2024-07-12T07:02Z [---] followers, [--] engagements

"@BoniphaceEdwa11 @freemanmbowetz Kenya demokrasia haipo kikatiba Mbona hakuna amani na utulivu kama wa Tanzania"
X Link 2024-07-12T08:09Z [---] followers, [--] engagements

"@ze_mandevu Timu ya wananchi timu yenye uhakika na furaha zaidi nchini Tanzania na ukanda wa Afrika"
X Link 2024-07-13T13:45Z [---] followers, [--] engagements

"@MsomiKhan18 Yanga ni timu bora ndani ya Tanzania na Kanda ya Afrika Mashariki. Please follow me back"
X Link 2024-07-13T13:52Z [---] followers, [--] engagements

"@Jaguar_455 Mbona uchaguzi umeshaisha usione wamejishika tama matokeo wameshayajua hao wanawachosha tu"
X Link 2024-07-13T19:31Z [---] followers, [--] engagements

"@OfficialTchetc1 @John_Pambalu Huyu ni kiongozi anapaswa kuwa na taarifa sahihi kabla hajatoa taarifa yoyote ile hususani ya umma kama hii. Alipaswa kutafuta ukweli kabla ya kukurupuka alikuwa anawahi wapi Hii inaonyesha hata juu ya majukwaa taarifa wanazozitoa ni fake"
X Link 2024-07-22T10:25Z [---] followers, [--] engagements

"@SuluhuSamia Kazi iendelee Mhe Rais na tuna imani kubwa na uongozi wako. Cha kukuomba zaidi endelea kufukuza Kunguru tunahitaji serikali imara na yenye kila tija kwa watanzania. Tutolee wale viongozi wenye tamaa ubinafsi na wanafiki kubwa zaidi na wale wapuuzi ili tuijenge Tanzania yetu"
X Link 2024-07-25T10:17Z [---] followers, [--] engagements

"@Labella_Mafia95 Can i get it"
X Link 2024-08-21T04:32Z [----] followers, [--] engagements

"@Labella_Mafia95 It is not available in Tanzania 😂"
X Link 2024-08-21T04:43Z [----] followers, [--] engagements

"This claim deliberately ignores critical facts and distorts both the law and the events. First the Prime Minister is constitutionally appointed not unelected as clearly provided for under the Tanzanian Constitution. Mislabelling lawful offices is itself a tactic to delegitimize institutions rather than address facts. Second the Constitution guarantees the right to peaceful assembly not violent riots arson looting or attacks on other citizens and public property. The events in question were not purely peaceful protests but escalated into violence and serious security threats. When unrest"
X Link 2025-12-18T05:30Z [----] followers, [--] engagements

"This claim deliberately ignores critical facts and distorts both the law and the events. First the Prime Minister is constitutionally appointed not unelected as clearly provided for under the Tanzanian Constitution. Mislabelling lawful offices is itself a tactic to delegitimize institutions rather than address facts. Second the Constitution guarantees the right to peaceful assembly not violent riots arson looting or attacks on other citizens and public property. The events in question were not purely peaceful protests but escalated into violence and serious security threats. When unrest"
X Link 2025-12-18T05:31Z [----] followers, [--] engagements

"When exactly did the Prime Minister say this and where Please provide the date location speech interview or official statement in which he supposedly said we murdered your brothers and sisters to protect our grip on power. Without a direct quote and verifiable reference these are words you are attributing to him not words he actually said. Continuing to label the Prime Minister as unelected is also a misrepresentation of the Constitution which clearly provides for the Prime Minister to be lawfully appointed by an elected President. Moreover blaming the CCM regime since [----] for every"
X Link 2025-12-18T05:34Z [----] followers, [--] engagements

"@Baradhuli2 @AfricaFactsZone 😂😂😂"
X Link 2026-01-26T12:49Z [----] followers, [--] engagements

"Under President Samias leadership investment is about sustainable growth and inclusive development. Uwekezaji unaovutia leo ni msingi wa ajira huduma bora na uchumi imara wa kesho. Visionary leadership in action. Tanzania ya Samia: Uwekezaji Maendeleo na Uongozi Bora Kwa chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan Tanzania inashuhudia mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kijamii. Sera bora uwazi na ushirikiano wa kimataifa vimejenga mazingira ya https://t.co/HX6FCeML1M Tanzania ya Samia: Uwekezaji Maendeleo na Uongozi Bora Kwa chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan Tanzania inashuhudia"
X Link 2026-01-28T12:25Z [----] followers, [--] engagements

"Safari ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenda United Arab Emirates (UAE) na ushiriki wa Tanzania kwenye World Government Summit (WGS 2026) pamoja na Global Africa Investment Summit (GAIS) ni hatua ya kimkakati yenye umuhimu mkubwa kwa maendeleo ya taifa. Safari hii inaonesha utekelezaji wa DIRA ya Maendeleo [----] na Sera Mpya ya Mambo ya Nje zinazolenga kuitumia diplomasia ya kiuchumi kama chombo cha kuvutia mitaji teknolojia na masoko ya kimataifa kwa manufaa ya Tanzania. Kupitia WGS [----] Tanzania inapata fursa ya kushiriki katika jukwaa la kimataifa la uundaji wa sera linalowakutanisha"
X Link 2026-02-02T11:55Z [----] followers, [---] engagements

"Kufikia mwaka [----] Tanzania inalenga kuzalisha asilimia [--] ya dawa ndani ya nchi. Hili si jambo dogo na wala si kauli ya kawaida ni mapinduzi ya kimkakati katika sekta ya afya uchumi na usalama wa Taifa. Uamuzi huu unaiondoa Tanzania kwenye utegemezi wa dawa za nje na unaimarisha uhakika wa upatikanaji wa dawa pamoja na kunapunguza gharama kwa wananchi na unaijengea nchi uwezo wa kujilinda kiafya hata wakati wa majanga ya kimataifa. Huu ni uthibitisho wa uongozi unaoona mbali na unaojenga mifumo badala ya kutegemea misaada. Kuzalisha dawa ndani ya nchi ni kujenga ajira kuimarisha viwanda vya"
X Link 2026-02-09T10:42Z [----] followers, [---] engagements

"Kufikia mwaka [----] Tanzania inalenga kuzalisha megawati [----] za umeme. Hili si lengo la kawaida ni msingi wa mapinduzi ya kiuchumi na viwanda. Umeme wa uhakika na wa kutosha ni uti wa mgongo wa maendeleo ya Taifa viwanda vinahitaji nguvu kazi hii biashara zinaihitaji huduma za jamii zinaihitaji na maisha ya wananchi yanategemea upatikanaji wake. Kuzalisha megawati [----] kunamaanisha Tanzania inajiandaa kwa uchumi wa viwanda ajira kwa vijana ongezeko la uwekezaji wa ndani na nje na ushindani wa kweli katika soko la kikanda. Ni hatua ya kuondoa vikwazo vya ukuaji na kuifanya nchi ijisimamie kwa"
X Link 2026-02-09T13:59Z [----] followers, [---] engagements

"SHERIA HAIENDESHWI KWA MACHOZI BALI INAENDESHWA KWA KATIBA NA USHAHIDI Kabla ya kesi ya uhaini inayomkabili Lissu kendelea kusikilizwa hapo jana viongozi na wanaharakati wa CHADEMA walipiga kelele na kudai Watu wajitokeze mahakamani kwa wingi wapate darasa la sheria. Mahakama ikaonekana kama jukwaa la siasa na sheria wakadhani ni maigizo. Lakini kilichotokea baada ya kesi kuahirishwa kinazua maswali mazito. Tukashuhudia ghafla darasa lao la sheria likageuka kuwa kilio cha huruma na Machozi yakachukua nafasi ya hoja. Na awali walikuwa wanadai kuwa hawamtambui Rais na wala Serikali yake"
X Link 2026-02-10T07:28Z [----] followers, [----] engagements

"@EsirEid Wanaharakati uchwara hawana akili hata kidogo yaani mtu ambaye hana hata imani leo hii awe mtawala wetu. Aisee kuna watu akili zao zipo miguuni"
X Link 2026-02-10T08:10Z [----] followers, [---] engagements

"Watanzania hatuwezi tena kuendelea kudanganywa na watu wa aina hii Wanaojijiita wanasheria lakini ukweli ni kwamba wanatudanganya kwa sababu hatufuatilii taratibu za kisheria na hatujui baadhi ya mambo muhimu ya kisheria. Ukweli upo wazi tena wazi kabisa na kila kitu kimefafanuliwa kwa mujibu wa sheria. Sasa ni wakati wa kuamka na kuona mambo kwa macho yetu na kutambua ni nani anayeishi kwa uongo na ni nani anayetetea haki. Kisheria matamshi kama tutaipindua serikali na tutakinukisha yanachukuliwa moja kwa moja kuwa ni kosa la uhaini chini ya Sheria ya Jinai ya Tanzania Cap.16. Sheria"
X Link 2026-02-10T08:58Z [----] followers, [----] engagements

"@dr_msomi Njoo na wewe uzichukue hizo elfu ishirini"
X Link 2026-02-11T06:46Z [----] followers, [---] engagements

"Hao watu ambao mmewalipa ili kushangilia hivyo ni wachahe sana kwa makadirio ni [--] mpaka [--] na hawatoshi kabisa kumpa Urais huyo Mhaini maana Watanzania wapo zaidi ya Milioni [--]. Labda awe Rais wa Wahaini Tanzania hapo kwa idadi ya wahaini wenzake inatosha kabisa akawa na hiyo nafasi. Shangwe la kumlaki Mwenyekiti CHADEMA Mh Tundu Lissu akiingia katika ukumbi wa Mahakama Kuu leo 11.02.2026. Raisi Raisi Raisi. https://t.co/teMqUoQhKg Shangwe la kumlaki Mwenyekiti CHADEMA Mh Tundu Lissu akiingia katika ukumbi wa Mahakama Kuu leo 11.02.2026. Raisi Raisi Raisi. https://t.co/teMqUoQhKg"
X Link 2026-02-11T09:25Z [----] followers, [---] engagements

"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha aliposhiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika (AU) na Serikali kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (CAHOSCC) Jijini Addis Ababa Nchini Ethiopia leo February [--] 2026"
X Link 2026-02-13T15:03Z [----] followers, [---] engagements

"Mnakuwaga wepesi sana kuwa keyboard warriors ila mkianza kushikwa Makende na sheria zikafuata mkondo wake kwa hizi kauli zenu za ajabu ambazo hazina staha mnaanza kutafuta huruma. Kuhoji na kukosoa ni haki ya kikatiba lakini si kwa kuvuka mipaka namna hii na kuonyesha wazi kabisa huna maadili na akili pia. Kuiheshimu Mamlaka si jambo la ombi bali ni lazima kila mmoja anapswa kufanya hivyo Mitandao comments na hizo likes zisikudanganye likitokea la kutokea watakukimbia hao"
X Link 2026-02-16T07:03Z [----] followers, [----] engagements

"Je Heche na Wenzake Wanamsukuma Lissu Kwenye Kitanzi Ili Wapate Viti Vya Enzi Katika hali ya kawaida ungetegemea viongozi wa chama kcha CHADEMA kuwa mstari wa mbele kulinda maslahi ya mwenzao hasa anapokabiliwa na kesi nzito ya Uhaini. Lakini kwa kinachoendelea sasa dhidi ya Tundu Lissu picha inayoanza kujichora ni ya kutisha na inatia shaka kubwa. Wakati Mahakama ikiendelea na mchakato wake kwa utulivu ili kutenda haki bila shinikizo tunawaona viongozi wa CHADEMA kama John Heche wakipiga kelele mahakama itoe hukumu haraka huku wakijua kabisa ushahidi wa kesi ya Lissu ya uhaini ipo wazi na"
X Link 2026-02-11T06:10Z [----] followers, [----] engagements

"Kwanza kabisa ni muhimu kuelewa kwamba mkutano wa African Union (AU) hufuata utaratibu maalum wa itifaki unaokubalika kimataifa. Sio kila kiongozi hutambulishwa kwa mtindo au kwa namna ileile katika kila kikao kwa sababu utambulisho hutegemea ajenda ya mkutano hadhi maalum ya washiriki na mazingira ya wakati husika. Mara nyingi hutambulishwa marais wapya walioapishwa hivi karibuni mwenyekiti mpya wa AU wageni maalumu au viongozi waliopangiwa kutoa hotuba rasmi. Hivyo basi kama marais wa Gabon Seychelles na Namibia walikuwa wameingia madarakani karibuni ni jambo la kawaida kabisa kutambulishwa"
X Link 2026-02-16T06:54Z [----] followers, [----] engagements

"Kwanza kabisa ni muhimu kuelewa kwamba mkutano wa African Union (AU) hufuata utaratibu maalum wa itifaki unaokubalika kimataifa. Sio kila kiongozi hutambulishwa kwa mtindo au kwa namna ileile katika kila kikao kwa sababu utambulisho hutegemea ajenda ya mkutano hadhi maalum ya washiriki na mazingira ya wakati husika. Mara nyingi hutambulishwa marais wapya walioapishwa hivi karibuni mwenyekiti mpya wa AU wageni maalumu au viongozi waliopangiwa kutoa hotuba rasmi. Hivyo basi kama marais wa Gabon Seychelles na Namibia walikuwa wameingia madarakani karibuni ni jambo la kawaida kabisa kutambulishwa"
X Link 2026-02-16T07:04Z [----] followers, [----] engagements

"@ShemasJimmy @TheRealJongwe @ikulumawasliano Unayajua maoni hayo unaweza kuyaita maoni ama matusi"
X Link 2026-02-16T07:19Z [----] followers, [---] engagements

"Hatimaye ukweli kuhusu @MariaSTsehai uhusika wake kwenye Epstein Files umetambulika rasmi"
X Link 2026-02-16T09:14Z [----] followers, [---] engagements

"Mroho wa Madaraka mpuuzi huyu. Hakuna Demokrasia ambayo wapo nayo majambazi hawa. Kuweka neno Demokrasia ni kuwakosea wanachama wao. Mtu yupo madarakani miaka [--] kwenye nafasi moja sasa kuna demokrasia gani hapo Tunapotezeana muda tu. Wanatekana alafu wanasumbua watu 🚮"
X Link 2024-08-22T10:05Z [----] followers, 34.3K engagements

"Wanaharakati uchwara wakina bambucha wanarukia rukia mambo wasiyoyajua Kuhusu Fireside Chat ya Marais Wanawake wa Afrika ni kweli Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alikuwa amealikwa kushiriki. Hata hivyo ratiba hiyo iliingiliana na kikao rasmi cha Committee of African Heads of State and Government on Climate Change (CAHOSCC). CAHOSCC ni jukwaa la juu linalowakutanisha Wakuu wa Nchi na Serikali za Afrika kujadili na kuweka msimamo wa pamoja kuhusu mabadiliko ya tabianchi. Rais Samia alikuwa na nafasi ya kuzungumza katika kikao hicho hivyo ilikuwa ni wajibu wake kulipa kipaumbele. Uongozi bora ni"
X Link 2026-02-17T09:04Z 20.3K followers, [--] engagements

"Wanaharakati wanatengeneza hoja zisizo na msingi mara nyingi lakini ukweli ni tofauti. Kuhusu fireside chat ya African Female Presidents Rais Samia alialikwa rasmi. Hata hivyo muda huo ulikuwa unaingiliana na kikao muhimu cha CAHOSCC (Committee of African Heads of State and Government on Climate Change) jukwaa la juu linaloratibu msimamo wa pamoja wa nchi za Afrika kuhusu masuala ya mabadiliko ya tabianchi. Katika kikao hicho Rais Samia alikuwa na nafasi rasmi ya kuzungumza (speaking role) jambo lililomlazimisha kuhudhuria kikao cha CAHOSCC. Kwa hivyo hakuweza kuhudhuria fireside chat bila"
X Link 2026-02-17T08:59Z [----] followers, [---] engagements

"Rais Samia Suluhu Hassan ni mfano wa uongozi wa hekima na ustaarabu katika diplomasia ya kimataifa. Amejenga taswira ya kiongozi anayesimamia mazungumzo kwa utulivu hoja zenye mashiko na maamuzi yanayolenga maslahi mapana ya taifa. Katika medani ya kimataifa ameonesha uwezo mkubwa wa kuimarisha mahusiano ya kirafiki na ya kimkakati akifungua milango ya ushirikiano wa kiuchumi uwekezaji na maendeleo endelevu. Uongozi wake umejikita katika kujenga madaraja badala ya kuta kuimarisha imani ya washirika wa kimataifa na kuiweka Tanzania katika nafasi ya kuheshimika kuaminika na kusikilizwa kwa"
X Link 2026-02-17T06:45Z [----] followers, [--] engagements

"Mataifa mengi yanaonesha nia ya kujifunza kutokana na uzoefu wa Rais Samia katika kupunguza vifo vya wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka mitano. Mafanikio haya yameiweka Tanzania katika nafasi ya kutazamwa kama mfano wa kuigwa katika juhudi za kuimarisha afya ya mama na mtoto. Juhudi hizo zimepata kutambuliwa kimataifa; dunia inatambua mchango wake na Afrika inamwona kama kiongozi wa mfano katika ajenda ya afya ya mama na mtoto. Samia ni Maternal Health Champion kwa vitendo si kwa jina tu. https://twitter.com/i/web/status/2023401360511717509"
X Link 2026-02-16T14:17Z 19.7K followers, [---] engagements

"Mataifa mengi yanaonesha nia ya kujifunza kutokana na uzoefu wa Rais Samia katika kupunguza vifo vya wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka mitano. Mafanikio haya yameiweka Tanzania katika nafasi ya kutazamwa kama mfano wa kuigwa katika juhudi za kuimarisha afya ya mama na mtoto. Juhudi hizo zimepata kutambuliwa kimataifa; dunia inatambua mchango wake na Afrika inamwona kama kiongozi wa mfano katika ajenda ya afya ya mama na mtoto. Samia ni Maternal Health Champion kwa vitendo si kwa jina tu. https://twitter.com/i/web/status/2023392005653471400"
X Link 2026-02-16T13:40Z 19.7K followers, [---] engagements

"Leo ukitembea katika mitaa ya Las Vegas utakuta majumba ya starehe na makazi ya kifahari yakiwa kimya kuliko ilivyokuwa zamani. Si kwamba hakuna mtaji au wateja la hasha bali zama zimebadilika. Anasa na kelele na kuparty kupindukia na ile hamu ya kuonekana hadharani zimepungua. Kizazi kipya hususan hawa Gen Z wamehashia kasino na betting katika mifumo ya kidijitali. Kamari sasa imeingia mfukoni inafanyika kimya kimya kwa urahisi na kwa faragha. Yeyote yule atakayependekeza leo kupiga marufuku betting kwa hoja ya kulinda nguvu kazi atapaswa kutambua kuwa muktadha umebadilika. Tatizo si uwepo"
X Link 2026-02-16T11:54Z 19.7K followers, [----] engagements

"Mataifa mengi yanaonesha nia ya kujifunza kutokana na uzoefu wa Rais Samia katika kupunguza vifo vya wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka mitano. Mafanikio haya yameiweka Tanzania katika nafasi ya kutazamwa kama mfano wa kuigwa katika juhudi za kuimarisha afya ya mama na mtoto. Juhudi hizo zimepata kutambuliwa kimataifa; dunia inatambua mchango wake na Afrika inamwona kama kiongozi wa mfano katika ajenda ya afya ya mama na mtoto. Samia ni Maternal Health Champion kwa vitendo si kwa jina tu. https://twitter.com/i/web/status/2023401410688159746"
X Link 2026-02-16T14:17Z 19.7K followers, [----] engagements

"Mataifa mengi yanaonesha nia ya kujifunza kutokana na uzoefu wa Rais Samia katika kupunguza vifo vya wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka mitano. Mafanikio haya yameiweka Tanzania katika nafasi ya kutazamwa kama mfano wa kuigwa katika juhudi za kuimarisha afya ya mama na mtoto. Juhudi hizo zimepata kutambuliwa kimataifa; dunia inatambua mchango wake na Afrika inamwona kama kiongozi wa mfano katika ajenda ya afya ya mama na mtoto. Samia ni Maternal Health Champion kwa vitendo si kwa jina tu. https://twitter.com/i/web/status/2023401333844316217"
X Link 2026-02-16T14:17Z 19.7K followers, [---] engagements

"Wapuuzi kabisa nyie kama kuna vitu hamvijui na hamana uwezo navyo ama maarifa nayo muulize ili muelekezwe"
X Link 2026-02-16T11:35Z [----] followers, [--] engagements

"Tanzania imepata nyongeza kubwa katika sekta ya viwanda baada ya kampuni ya kimataifa ya Portwest kuanzisha kiwanda cha kisasa cha kutengeneza vifaa vya kujikinga kazini (PPE) chenye thamani ya dola milioni 8.8"
X Link 2026-02-16T11:02Z [----] followers, [---] engagements

"Tanzania imepata nyongeza kubwa katika sekta ya viwanda baada ya kampuni ya kimataifa ya Portwest kuanzisha kiwanda cha kisasa cha kutengeneza vifaa vya kujikinga kazini (PPE) chenye thamani ya dola milioni [---]. Kiwanda hicho kimejengwa jijini Dar es Salaam na kinatarajiwa kuzalisha mavazi na vifaa mbalimbali vya usalama kazini vinavyokidhi viwango vya kimataifa vikiwemo mavazi ya viwandani yanayozuia moto na vifaa vya kujikinga kwa wafanyakazi wa sekta tofauti. Uwekezaji huu unaifanya Tanzania kupunguza utegemezi wa kuagiza bidhaa kama hizo kutoka nje huku ukifungua ajira mpya kwa Watanzania"
X Link 2026-02-16T10:45Z [----] followers, [--] engagements

"Kutoka Tanzania hadi duniani kimataifa Tanzania ina heshima kubwa kimataifa tunasimama kwa misingi ya amani na utu chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassani"
X Link 2026-02-16T10:05Z 20.3K followers, [---] engagements

"CHADEMA wanacheza mchezo wa kuigiza usio na mwisho. Wanadai serikali ya CCM haiko madarakani kihalali lakini kila siku wanapiga hodi milango ya serikali hiyo hiyo. Huwezi kukataa uhalali wa mti huku ukingojea kivuli chake. Huenda huu ni mkakati wa kutafuta huruma ya wananchi tu. #ChademaNaMaridhiano #SiasaZaBongo"
X Link 2026-02-16T10:37Z 93.2K followers, [----] engagements

"UPOTOSHAJI WA MAKUSUDI - SASA PATA UKWELI 👇🏿 katika Mkutano wa African Union (au) Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hawezi kutambulishwa kama rais mpya kama ilivyofanywa kwa marais wa Gabon Namibia na Seychelles kwa sababu wao ni viongozi wapya waliochaguliwa na si anayeendelea na muhula wa pili. Kwa upande wa Rais Samia tayari alishawahi kutambulishwa katika mkutano uliopita baada ya kuapishwa na kupokea kijiti cha uongozi kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli (JPM). hivyo si sahihi kumtambulisha tena kama Rais mpya katika mkutano huu wakati yeye anaendelea na Muhula"
X Link 2026-02-16T09:36Z 93.2K followers, [----] engagements

"RT @kigogo2014: Wanaharakati bwana 📌 Si mlisema AU haitambui sijui ushindi wa CCM mara hawamtambui Rais Samia na blah blah nyingi sana. M"
X Link 2026-02-16T09:31Z [----] followers, [--] engagements

"Wanaharakati bwana 📌 Si mlisema AU haitambui sijui ushindi wa CCM mara hawamtambui Rais Samia na blah blah nyingi sana. Mara sijui ripoti ya waangalizi blah blah . Haya sasa AU wamemtambua na kumsifia kwelikweli kama kinara wa Afya barani Afrika. Mna lolote la kusema Tunajua maumivu yenu ni makali sana lakini tunataka kuwafunza kuwa siasa ni sayansi. Na mwisho kabisa tunataka mjue hamjui chochote na hamna akili . #KigogoMediaUpdates"
X Link 2026-02-16T07:30Z 1.5M followers, [----] engagements

"Grok huwa kanyooka sana. @MariaSTsehai utajisafishaje kwenye hili"
X Link 2026-02-16T07:53Z [----] followers, 14.6K engagements

"Hatimaye ukweli kuhusu @MariaSTsehai uhusika wake kwenye Epstein Files umetambulika rasmi"
X Link 2026-02-16T09:14Z [----] followers, [---] engagements

Limited data mode. Full metrics available with subscription: lunarcrush.com/pricing