@Jaguar_455 jaguar 😺jaguar 😺 posts on X about ata, mambo, tanzania, kwanza the most. They currently have [-----] followers and [----] posts still getting attention that total [-----] engagements in the last [--] hours.
Social category influence automotive brands countries currencies travel destinations finance technology brands social networks celebrities premier league la liga
Social topic influence ata, mambo, tanzania #773, kwanza, jaguar #179, zanzibar, ipo, kenya, nini, burundi
Top accounts mentioned or mentioned by @kipanga1986 @mapungo2020 @kigogo2014 @hbcbe2020 @nguchiro47 @abdulazack @mgangajoh @goligani @rwabudugu @zenjiboyznz @zephaniandaki @jejujulius @eddolalika @daktariwayanga @sisimizi3 @zephania_ndaki @zachariageosayi @420cousin @jaguar455 @subycutee
Top assets mentioned Mambo (MAMBO) Polis (POLIS) Nani Coin (NANI) StarLink (STARL) BODA (BODAV2) April (APRIL) Robot Consulting Co., Ltd. (LAWR)
Top posts by engagements in the last [--] hours
"@nyuki_malkia Tanzania sio nchi Yao hao wakatoriki na sio jukumu lao kusemea watu na Wala hiyo sio ligi ndio walikuwa wanataka hivyo acha iwake tuone"
X Link 2023-08-21T11:22Z [----] followers, [---] engagements
"@Enemy_19 Wale jamaa wa video kwa jini ivi wamekosa ata video ya sec [--] kwel"
X Link 2023-08-27T06:20Z [----] followers, [--] engagements
"Yaani Putin na ubabe wake wote kaikubali DP World Huku kwetu Kuna zile Ng'ombe zinanunua unga wa wa ugari tsh1650 ndio zinapinga huu uwekezaji. Kweli mtu akila akishiba anaweza kuongea lolote bila kujua ata umuhimu wa anachokiongea. Serikali msiyumbishwe na wanaharakati uchwara"
X Link 2023-08-29T07:41Z [----] followers, [----] engagements
"Ya M4C na kulikuwa na gari za movement [---] landcruser Leo ziko wapi baada ya kusambaa kwahiyo movement. Ni hao hao walipewa pesa za mzee sabodo za kujenga ofisi kuu ya chama Leo iko wapi hiyo ofisi. Nachotaka kuwaambia ni kuwa hakuna lolote ambalo viongozi wa siasa wataweza"
X Link 2023-09-11T08:28Z [----] followers, [--] engagements
"Kufanya liwe Bora kwenu na lisiwe Bora kwao. Lissu anawaaminisha wamasai kuwa watetezi wenu ni wazungu toka lini wazungu wakatuona sisi Afrika ni bora kwao. Tumeona Niger Gabon kumekuwa na machafuko sababu kubwa ni viongozi wa siasa kutumika na wazungu na kuchukua Mali na kuacha"
X Link 2023-09-11T08:28Z [----] followers, [--] engagements
"@horsemanmonster Watuache kwanza tu enjoy na coca cola"
X Link 2023-09-15T10:49Z [----] followers, [--] engagements
"Tuendeleeni kuilaumu na kuikosoa serikal ila mkubumbuke ata hawa viongozi tunaowapa dhamana ni tatizo kubwa. Hii ni shule alisoma lissu licha ya kuwa mbunge miaka kibao ila ata jiko alitoa ahadi akujenga. Endeleeni kuwajaza uongo wananchi wakati chadema ni wajasiriamali wa siasa"
X Link 2023-10-23T06:42Z [----] followers, 10.2K engagements
"Kumbe mambo ya kawaida tu haya msishangai😂"
X Link 2023-11-05T16:54Z [----] followers, [--] engagements
"@Mapungo2020 Kwanza walisema hawata shiriki hao😂😂"
X Link 2023-11-06T18:40Z [----] followers, [--] engagements
"Katoka BAKARI kaingia BEKA hiyo wizara inaongozwa na watu wa hovyo sana"
X Link 2023-11-13T06:38Z [----] followers, [----] engagements
"Mbowe wewe mwenye umetuibia sana tu na wenzako hapo chadema. Pesa za join the chain pesa za mzee sabodo zilienda wapi. Chama kina miaka [--] hakina mabadiriko isipokuwa wewe. Hizi pesa zilitumiwa vipi Kama sio wizi na kutengeneza mifumo bora kwako. Jitafakari na uandike tena"
X Link 2023-11-16T06:26Z [----] followers, [--] engagements
"Kuna muda huwa naona kama wanachama wa chadema huwa hawatumii akili kufikilia mambo kabisa aisee"
X Link 2023-11-21T21:22Z [----] followers, [---] engagements
"Niache sasa kubeti kwa kuwasikiliza hawa mbwa wataniua na pressure na njaa bure😠"
X Link 2023-11-21T22:15Z [----] followers, [---] engagements
"Nyie semeni yote tu ila jueni tu kuwa Mh Rais Samia panapokuja swala la michezo tena kwenye timu ya TAIFA. Bado ata kuwa ni contents tu tumeona kule Croatia yule Rais wao alikuwa ana safiri mpaka na timu yake ya taifa. Na Kama issue ni yale mabango mseme mapema tu"
X Link 2023-11-22T08:31Z [----] followers, [---] engagements
"@EddyNamiyu48744 Wajinga sana hao yani mambo yanatokea na wako kimya tu wanasubili siku wakiona mwenyewe kupendwa na wengi kafanya ndio wanakuja kuongea ujinga wao"
X Link 2023-11-22T10:40Z [----] followers, [--] engagements
"@Kalikalanje @sheby_yahya @__abdulazack @kigogo2014 Unakenua kwenye mambo ata aya chekeshi mbwa wewe"
X Link 2023-11-22T10:42Z [----] followers, [--] engagements
"@penteman7 @pemb_a @EfmTanzania @jemedarisaid Rais kaibwa kwenye tukio la kitaifa na ni Rais wa taifa husika kunashida gani. Au Rais ni kiongozi wa CCM tu na sio kiongozi wa nchi nzima. Jipambanue kutetea hoja yako ila Rais bado atabaki kuwa content kwenye mambo ya taifa"
X Link 2023-11-22T11:05Z [----] followers, [--] engagements
"@sheby_yahya Nilichogundua Tanzania wengi tunaishi kwa matukio tu"
X Link 2023-11-22T19:51Z [----] followers, [--] engagements
"Kumbe hii habari imenukuliwa upya na ile handline ya (WANATAKA TUBADILI KATIBA NIENDELEEE.) hongera sana @zittokabwe kwa kukataa na kuonyesha msimamo huu wa kudhamini katiba ya chama chako. Chadema acheni kuwa watu wa matukio fatilieni mambo"
X Link 2023-11-23T09:24Z [----] followers, [--] engagements
"Mmepanga kuwa maliza wazee wetu vijijini sio bure. Huu umeme unawaka na kuzima na hizi nyumba za majani inakuaje. Kwanini serikali msitengeze mazingira bora kwa kila mtanzania kama isemavyo sera yenu. Umeme ni muhimu ila ata maisha ya hawa wazee ni muhimu pia🚶"
X Link 2023-11-23T09:32Z [----] followers, [--] engagements
"@__abdulazack @MalemboLE Nimekumbuka interview yako ulisema umekula ugari kwa harufu ya samaki wakati uko Burundi nilichoka kabisa😂😂"
X Link 2023-11-23T13:26Z [----] followers, [--] engagements
"@Kipanga1986 @__abdulazack @MalemboLE Bado anapesa zake za kuuza samaki kule Burundi hawezi kukupa huyo😂😂"
X Link 2023-11-23T13:54Z [----] followers, [--] engagements
"@__abdulazack @Kipanga1986 @MalemboLE Hayo mambo ndio maana @Kipanga1986 anasema umemnyima namba ya pisi 😂😂"
X Link 2023-11-23T14:10Z [----] followers, [--] engagements
"@__abdulazack @Kipanga1986 @MalemboLE Mimi sitaki kabisa kuchanganya siasa na mambo yoyote😂😂"
X Link 2023-11-23T14:29Z [----] followers, [--] engagements
"@Mapungo2020 Tunaviongozi wa hovyo sana imagine huyo ndio kiongozi wa sheria nchini anafanya hayo hizi pimbi zingine zitakuwa na tabia gani. Hii nchi haya mambo ya kuchagua viongozi kwa kujuana ndio shida hii kiongozi wa sheria kumbe mwendawazimu tu"
X Link 2023-11-24T18:12Z [----] followers, [---] engagements
"@BinMtanzania Walah mambo ya hovyo kabisa haya"
X Link 2023-11-24T18:38Z [----] followers, [--] engagements
"Huyu sio Naibu waziri ni mshenzi tu Sheria gani hiyo anaisimamia kama yeye ndio mtu wa kwanza kuivunja hiyo sheria Hawa viongozi naona wanataka kuturudisha ule wakati wa zile kauli za unanitujua Mimi Ni nani"
X Link 2023-11-24T18:56Z [----] followers, [--] engagements
"Bro umefika mbali sana kunywa maji ya baridi kwanza 😂😂"
X Link 2023-11-24T19:07Z [----] followers, [----] engagements
"@arusha_icon @Julius_MZA Wanacheza na mtibwa wanavimba haya sasa mambo ndio hayo yanaanza😂😂"
X Link 2023-11-25T07:28Z [----] followers, [--] engagements
"@Julius_MZA @arusha_icon Sasa mbona hivyo vi [--] mmeshindwa kuwapa hao jamaa basi ata ki [--] basi"
X Link 2023-11-25T07:55Z [----] followers, [--] engagements
"@JayleenRickie Huyo ni mjasiri na mali changamoto kwenye kazi ni kitu cha kawaida kwake"
X Link 2023-11-25T08:02Z [----] followers, [---] engagements
"@Julius_MZA @arusha_icon Uliompata anaupiga mwingi sio Siri umenawili magoli mashaallah kampe hongera zake bato siwezi amekuzidi vingi kapuku lala njaa ujaweza level zake. Kumbuka vizur Simba na yanga kufungana hizo goal sio Leo Wala jana"
X Link 2023-11-25T08:19Z [----] followers, [--] engagements
"@jeju_julius Aisee yani mpaka Sasa huyu mama namuona Kama shetani elimu zenyewe ni pesa za wananchi leo wananchi ndio wanafanyiwa ushenzi baada ya kuwapa elimu"
X Link 2023-11-25T20:01Z [----] followers, [--] engagements
"@__abdulazack @bajabiri Bilion [--] zimetengwa haya matumizi Sasa yaani ni matumizi ya bilion [--] ni sawa na kununua chakula cha kufuturisha siku ya kwanza ya mwezi wa Ramadan 😂"
X Link 2023-11-27T16:06Z [----] followers, [---] engagements
"Duniani Kuna mambo Leo nimekutana na bubu anaitwa maneno 😂😂 Ila chongolo hii dushelele aiseeee aneway ccm Sasa mnafikao vya nidhamu kwa watu wawili chongolo na Pauline 🧐"
X Link 2023-11-27T20:55Z [----] followers, [---] engagements
"@Hb_cbe_2020 Ummy angewasaidia sana watu kwenye mambo ya maendeleo maana ndio sehemu yake ya kazi huko kwenye afya wamemfoji tu"
X Link 2023-11-28T08:30Z [----] followers, [--] engagements
"@Hb_cbe_2020 Ummy kabla ya kuwa mwanasiasa alijihusisha sana na mambo ya utelezi wa jamii. Nadhani angekuwa huko angefanya vizur sana. Ila hapo kwenye mjenda kuwa waziri wa fweza HB kuwa serious bhana 😂😂"
X Link 2023-11-28T08:35Z [----] followers, [--] engagements
"@RasAzov @ExMayorUbungo Imechapishwa haijaandikwa"
X Link 2023-11-28T11:05Z [----] followers, [--] engagements
"Kumbe mwafrika ndio mtu wa kwanza Sasa mbona nchi zetu bado ni makoloni ya new generation (White man)🧐"
X Link 2023-11-28T13:02Z [----] followers, [---] engagements
"Nakuelewa sana ata na mimi kaka vyama hivi bila matukio kutoa CCM hakuna lolote wanaweza kufanya kwa wananchi wao. Ni vile tu ccm Wana viongozi mapepe sanaila Kama wangekuwa na akili tunge sahau upinzani Tanzania"
X Link 2023-11-28T16:08Z [----] followers, [---] engagements
"Ona huyu nae wamesahau kabisa matendo yao. Alimrubuni Adam kula tunda si nyie hapo wanawake. Aliyemkata nywele Samson na kuwa mtumishi si nyie wanawake. Tuacheni kwanza wanaume tuna Mambo mengi🧐😂"
X Link 2023-11-29T13:12Z [----] followers, [---] engagements
"@jeju_julius Niue 😂😂🚶"
X Link 2023-11-29T13:23Z [----] followers, [--] engagements
"Vile mashabiki wa Manchester United tunaangalia habari ya kufungiwa kwa man United kwenye page ya @kigogo2014 😂😂"
X Link 2023-11-29T21:00Z [----] followers, [--] engagements
"@mgangajoh We acha onana Sasa 😂😂"
X Link 2023-11-29T21:37Z [----] followers, [--] engagements
"Ila huyu Onana kudadeki zake tangu aliambiwa huwa ana Trending basi tutakoma aisee😂😂"
X Link 2023-11-29T21:40Z [----] followers, [--] engagements
"@emadZanjibar Jiulize kwanz Kama ni Private huku social media zimekujaje simu ya chongolo inatumiwa na watu wangapi"
X Link 2023-11-30T14:00Z [----] followers, [--] engagements
"@Chezalive Mpaka Onana kudadeki"
X Link 2023-11-30T16:09Z [----] followers, [--] engagements
"@Mapungo2020 @AliKamwe Dogo anatumia nafasi yake kipumbavu sana. Huwezi kuwa na maamuz yako kwenye mambo ya msingi timu ina menagement yeye anatumia hisia zake kufanya Jambo"
X Link 2023-12-01T13:38Z [----] followers, [--] engagements
"MAGANGA ni nani kwenye hili taifa mpaka anavunja sheria na hakuna lolote linafanyika dhidi yake. CWT kuweni serious Kama mnaona Kuna wizi kafanya mpelekeni polis akajibu. Hizi spece huku X ni upumbavu"
X Link 2023-12-01T13:45Z [----] followers, [--] engagements
"@zachariageosayi Tena wapumbavu kwel kwel yani maana huwezi kuwa una lalamika na sehemu ya kupata haki yako ipo na hauendi"
X Link 2023-12-01T14:38Z [----] followers, [--] engagements
"Kigoma mmeshindwa sana na watu wa Mbeya. Wenzenu mbeya wanalitumia baridi lao vizuri na ndio maana kwenye mambo ya Ukimwi utawakuta wako mbele. Kigoma mmeshindwa vipi kulitumia hilo vumbi lenu hapo kasuru"
X Link 2023-12-01T15:12Z [----] followers, [--] engagements
"@Hb_cbe_2020 @Caamil8 @__abdulazack @rwabudugu @Kipanga1986 @kigogo2014 @zachariageosayi @mgangajoh @EddyNamiyu48744 @ngaso6_ngaso 😂😂 subili kwanza kesho bro usije kukimbia hii tweet yako @Mapungo2020 kakutunzia ujue😂😂"
X Link 2023-12-01T16:25Z [----] followers, [--] engagements
"@__abdulazack Utakuwa umetisha bro au nije DM 😂"
X Link 2023-12-01T16:31Z [----] followers, [--] engagements
"@Hb_cbe_2020 @Caamil8 @__abdulazack @rwabudugu @Kipanga1986 @kigogo2014 @zachariageosayi @mgangajoh @EddyNamiyu48744 @ngaso6_ngaso @Mapungo2020 Makundi tena sio kuchukua ubingwa😂😂 mbona timu yako kubwa sana hiyo"
X Link 2023-12-01T16:33Z [----] followers, [--] engagements
"@Kipanga1986 @__abdulazack @rwabudugu @mgangajoh @Hb_cbe_2020 @Caamil8 @kigogo2014 @zachariageosayi @EddyNamiyu48744 @ngaso6_ngaso @Mapungo2020 Mdomo utawaponza nyie 🐸🐸😂"
X Link 2023-12-01T17:43Z [----] followers, [--] engagements
"TANZANIA NA MALAWI WASAINI MKATABA KUBORESHA SEKTA YA USAFIRISHAJI Lengo la mkataba huo ni kusaidia bei za bidhaa kuwa nafuu zaidi kwani zitaweza kusafirishwa kwa urahisi na nafuu zaidi kupitia Bandari ya Dar es Salaam na hatimaye kuongeza kipato kwa nchi hizo. @Sisi_Tumekubali"
X Link 2023-12-01T18:10Z [----] followers, [--] engagements
"@Kipanga1986 @YoungAfricansSC @Hb_cbe_2020 @Sisimizi3 @__abdulazack @Mapungo2020 @rwabudugu @mgangajoh Nilisema Jana kuwa mnakitu cha kujifunza kwa Simba"
X Link 2023-12-02T18:15Z [----] followers, [--] engagements
"Huwa najiuliza sana ivi Maria Sarungi ni mwanaharakati karne ya ngapi au yeye bado ni mwanaharakati wa enzi la mitume huko. Ivi anaichukuliaje nafasi ya Urais huyu mwadhirika wa UKIMWI mpeni rist ya vice president KAMALA HARRIS kwenye (COP 28). Pressure iongezeke afe na UKIMWI"
X Link 2023-12-03T05:36Z [----] followers, [----] engagements
"@bajabiri Naungana na wewe ticha hizo ni propaganda tu na hakuna lolote litafanyika miaka yote hilo wazo lilikuwa wapi. Mbona wakipita wao hakijawahi tokea ajal za kijinga Kama hizo tusikie kwanza gari ya msafara wa waziri gari imegonga tren"
X Link 2023-12-03T07:12Z [----] followers, [--] engagements
"@Skyfly_gains Kwahyo tulivyopinga tozo pale kariakoo na tukaacha kufungua maduka mpaka waziri mkuu akaja sie sio wananchi. Jaman Aya njoo uchukue nauli uende huko Zimbabwe😂"
X Link 2023-12-03T07:20Z [----] followers, [--] engagements
"@HarryGodfirst Sema hii nchi kun wapumbavu sana aisee. Ivi huyo Samia atakuwa Rais kwa miaka yote eti. Haya sawa hiyo nitanzania twende huku kwa mnawaona hawana utani. Huwa mnaonekana hamna akili kabisa kwenye mambo Kama haya"
X Link 2023-12-03T09:47Z [----] followers, [--] engagements
"Chadema yani mpaka kwenye mambo madogo Kama haya bado mnadanganya watu. Kulikuwa na haja gani kumuweka mnyika kwenye poster ya mkutano na mnajua hayupo. Hivi huwa hamkai na mkapanga ni viongozi wangapi mtakuwepo kwenye mkutano. Hizi propaganda politics mnafanya ni hovyo sana"
X Link 2023-12-03T11:49Z [----] followers, [---] engagements
"@Mapungo2020 @arusha_icon Na pia huwa vinaifadhi mavuzi Kama mwanamke ata nyoa akiwa rodge"
X Link 2023-12-05T07:34Z [----] followers, [--] engagements
"@Hb_cbe_2020 @Kipanga1986 @rwabudugu @MichaelBwoma @AlexSamoja @tibaasili3 @jjmnyika @__abdulazack @kigogo2014 @zachariageosayi @mgangajoh @EddyNamiyu48744 @dsm_wa @KolnerioO Nmeitafuta sijui kwa kuwa kanblock ila issue aliongelea mambo ya follow. Ndio Nika reply baada ya mgombea binafsi kuandika kitu ikawa shida"
X Link 2023-12-05T18:27Z [----] followers, [--] engagements
"@Hb_cbe_2020 @zachariageosayi @freemanmbowetz @TunduALissu @jjmnyika @godbless_lema @ChademaTz @ccm_tanzania @__abdulazack @Mapungo2020 @zittokabwe @abdulnondo2 Bora ata ningeblokiwa tu ila na matus juu jaman😂😂"
X Link 2023-12-07T08:29Z [----] followers, [--] engagements
"@Mapungo2020 Ufipa ni laana kubwa sana 😂 kama wao hawaelewani nani ata waelewa😂😂"
X Link 2023-12-07T10:28Z [----] followers, [--] engagements
"@ExMayorUbungo Chadema Kuna muda mjiongeze na mjue nafasi ya Rais ni ipi na nyie ni watu gani kwenye jamii. Viongozi wa chadema ni wananchi Kama wengine tu sehemu atakuwepo Rais haikupaswa kutolewa kinyonge hivyo saiz inge sound good Kama mbowe wangemvunja mguu. Maana mnapenda kujipa umuhimu"
X Link 2023-12-07T14:39Z [----] followers, [---] engagements
"Sema NDUGAY alikuwa fata mkumbo sana. Wakati anasema nchi hii itauzwa alitoa wapi ujasiri huo. Mbona wakati tunaambiwa nchi ipo uchumi wa kati na JPM hakusema lolote Kama ni uongo. Mh Rais Samia Suluhu anajua sana kuwaumbua wajinga Kama ndugay. Imf imetoa nchi zinamadeni ❌"
X Link 2023-12-08T10:06Z [----] followers, [--] engagements
"@YerickoNyerereT Sema vipindi vya matukio ndio mnaonekana weupe Jina hili la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lilibadilishwa baadae mnamo tarehe [--] Oktoba [----] na kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitia Sheria ya Jamhuri ya Muungano Sheria namba [--] ya mwaka 1964"
X Link 2023-12-09T08:59Z [----] followers, [--] engagements
"@ZongoZungu_ Waseme kwanza pesa zimeenda wapi"
X Link 2023-12-10T10:24Z [----] followers, [--] engagements
"@rwabudugu @thinkbig2025 Wasije kusema sie wambea tukiona sehemu nyingine 😂😂"
X Link 2023-12-10T10:36Z [----] followers, [--] engagements
"Chadema nawakumbusha kuwa kule Hanang ofisi yenu inahali mbaya sana nilitegemea kwenda kwenu basi Kuna kitu mgefanya ila hamkujua ata Kama mna ofisi huko. Mko bize kusubili matukio ya CCM mpate kuongea Mara vifo. Chama gani kinaendeshwa kwa matukio na malalamiko. #Mjitafakari"
X Link 2023-12-10T11:11Z [----] followers, [--] engagements
"@chrissymar24 Kwenye chama kina wapumbavu na mazuzu basi chadema ni namba moja kaa chini ujitafakari kwanza"
X Link 2023-12-10T16:54Z [----] followers, [--] engagements
"Kitendawili natega natega kitendawili tegueni bila uoga nasubili kwa hisani. "Kuna kijungu cha pwaga bila ya Moto jikoni Sasa sijui kita Pwaga vipi hakina Moto" Ndio kitendawili naomba mtegue. NB Kuongea bila kuwa na dola ni sawa na pwaga kuchemka bila moto"
X Link 2023-12-11T05:49Z [----] followers, [---] engagements
"@goligani Huyu sina uhakika Kama ni BACKBENCHA kabisa😂"
X Link 2023-12-11T05:51Z [----] followers, [---] engagements
"@goligani BACKBENCHA gani muongo muongo😂"
X Link 2023-12-11T05:56Z [----] followers, [--] engagements
"@MISS__YANGA Una uhakika Kama ni dada huyo"
X Link 2023-12-11T05:57Z [----] followers, [--] engagements
"@Mapungo2020 Walimpa matango poli huyo"
X Link 2023-12-11T06:19Z [----] followers, [--] engagements
""Sisi hapa Tanzania tumeamua kuizingatia misingi hiyo (haki) na nataka niwahakikishie kwamba tutajitahidi kuijenga Tanzania yenye Haki Demokrasia Usawa na Mafanikio. Na ndio maana katika kipindi hiki tumekuja na idea ya zile 4R's". - Rais Samia Suluhu Medium short📸"
X Link 2023-12-11T08:25Z [----] followers, [---] engagements
"Licha ya kunipa block ila bado ni mzigo kwangu kwa kweli. Nape amekuwa maarufa baada ya kumshambulia Sumaye na Lowasa ili kuwa haipaswi kufika huko umefika na Tanzania ina mabalozi karibu nchi zote sikuona sababu ya balozi wa south Korea kuwa kimya kwenye sakata hili la Mpango"
X Link 2023-12-11T13:24Z [----] followers, [--] engagements
"Kwahiyo huyu mama ikionekana hana kosa anarudi kwenye nafasi yake au inakuaje. @PMadeleka Najua wapo watabisha ila mkumbeke yule afande tuliona mpaka video zake ila Kiko wapi 🤷 Aneway acha tusubili haki itendeke tu ila huuyu alambwe shingo moja kwa moja jera"
X Link 2023-12-11T17:25Z [----] followers, [--] engagements
"IMF IMETOA IDADI YA NCHI [--] ZENYE MADENI ILA TANZANIA HAIPO Niseme tu tanzania ina siasa za ajabu na ndio chanzo cha kuwa maskini mpaka sasa. Ukiangalia katika nchi tajil afrika ni hawa wanaongoza madeni IMF. Sasa tz yenye uchumi kiduchu why mnaogopa kukopa. #Mwiguru why"
X Link 2023-12-12T07:37Z [----] followers, [---] engagements
"@BinKombo3 Heeeh oneni hili shekhe choko ivi unadhani bila demokrasia huyo mtume kuna mtu angemfata na kumuamini. Soma vitu kuhusu viongozi ni watu gani kutoka enzi za mitume. Huyu shekhe niseme tu kuwa ni tapel na wala hujui lolote kuhusu ata huyo muumba unamtaka wewe. Tapel mkubwa wewe"
X Link 2023-12-12T08:03Z [----] followers, [--] engagements
"@BinKombo3 Wewe ndio haujui kipi unaongelea una aamini vitabu vilivyoandikwa na watu kama wewe na unataka kila mtu aamini. Mfumo unatumika sasa ndio huo huo ulitumika wakati wa hiyo demokrasia unaisema wewe ni yuda alimsaliti yesu na kujinyonga mtini Haina tofauti na chongolo ccm kujiuzul"
X Link 2023-12-12T11:04Z [----] followers, [--] engagements
"@BinKombo3 unaongelea chanzo gani hasa hoja yangu imejikita tanzania njoo na yako tuizungumzie kenya sasa"
X Link 2023-12-12T11:08Z [----] followers, [--] engagements
"@BinKombo3 Hehehe naiongelea tanzania elewa hizo chanzo cha nchi hizo [--] ni hoja nyingine ambayo jnaitaka wewe. Sasa tweet na wewe afu watu wa X wata changia ila mim nimeelekeza tanzania shekhe kilaza huyu"
X Link 2023-12-12T11:16Z [----] followers, [--] engagements
"Ni Jambo jema ila huko mbele ndio huwa tatizo baada ya kufika kwa watumiaji Mh Rais SSH baada ya uchaguzi kuisha hili coaster ukaulize liko wap. Ufatiliaji utasaidia sana watu kulinda mali hizi. Maana walimu Kama wakina bajabiri linaweza kuwa gari la delivery ya viatu😂🚶"
X Link 2023-12-12T16:40Z [----] followers, [--] engagements
"@AbroadTanzania @HecheJohn Nape kaongea vizuri sana ni wewe na ubumunda wako ndio utaki kuelewa. Kuishi kwa kukariri ndio tatizo kubwa na mizizi ya ushatani unatokea Kama wewe hapo"
X Link 2023-12-12T18:27Z [----] followers, [--] engagements
"@UchafuziM Kwa maelezo yake Nape hapo sioni Kama anakosa kajibu sahihi labda Kama Kuna person attack dhidi yake"
X Link 2023-12-12T18:47Z [----] followers, [--] engagements
"@Enemy_19 Tuko pamoja Kaka mkubwa mungu akupe miaka mingi Kama token za ruku😂🙏"
X Link 2023-12-12T18:51Z [----] followers, [--] engagements
"@EddoLalika @Enemy_19 @Julius_MZA @mswahili___ @Mzungu_pori1 @Lizzie36021 @Ireneigora @GiftApril @Jizzlewantandu @Big0047 Oyaa😂😂"
X Link 2023-12-12T18:52Z [----] followers, [--] engagements
"@Miss_msimbazi Nko hap mkaka mweuse kwani unatakaje"
X Link 2023-12-12T19:00Z [----] followers, [--] engagements
"@FunyoJm Tabia unaiona waoi kinachonekana ni tako na mambo mengine"
X Link 2023-12-12T19:11Z [----] followers, [--] engagements
"@ExMayorUbungo Unaangaika na kusoma ili hali watu wanafanya maisha yao na hawajasoma hii nayo kali. CR7 leo mpka kijijin kwenu wanamjua wapi daimond pia hamna elimu mimi naona hiyo hoja ya elimu sio hoja ni viroja tu. Njooni tuongee yuko sahihi alichokisema au laaah. Mambo kusoma hamn"
X Link 2023-12-12T21:17Z [----] followers, [---] engagements
"@mgangajoh Hili jamaa naona kama mwanamke ujue amechangua angle ambayo kila siku inasemwa humu hakuna mbora kama elimu yako hauta ifanya kuwa pesa. Ni vijana wangap wako na maisha saf bila elimu hiyo anaitaka yeye. Afu hiyo sio hoja ya msingi kwanin asije na hoja kile alikisema nape"
X Link 2023-12-12T21:28Z [----] followers, [--] engagements
"@iFrankeys @ExMayorUbungo Kwani katiba yetu inasemaje kuhusu kuwa kiongozi. Kule kigoma baba levo alikuwa duwani alisoma mpaka wapi ivi mbona akili zenu bado ziko kimihemko sana nyie mbwaaa. Yani kuna mambo mengine mpaka nchi jirani wanatuona kama wajinga aisee. Cr7 Mond ndio ni watumishi wa umma"
X Link 2023-12-12T21:33Z [----] followers, [--] engagements
"@Mimi_mgaya @ExMayorUbungo Msukuma yuko bungeni anatoa hoja za msingi sana zenye ticha na nchii hii vipi kuhusu elimu yake. Achana na mambo ya elimu hiyo unaitaka wewe angalia je huyu mtu anauelewa na hili jambo. Tunawasomi wangapi kwenye sekta ya umeme mbona unakata. Hoja ni Nape amekosea wapi basi"
X Link 2023-12-12T21:56Z [----] followers, [--] engagements
"@Mimi_mgaya @ExMayorUbungo Sio kama elimu sio kitu hapana. Ujuzi na ufahamu wa hilo jambo unao tuacheane na hizi elimu za mwenye makaratasi now tuingie kwenye real practical. Tusiongee mengi je imagine mpango angekuwa mzazi wako watu wamezusha amekufa ungejiskiaje"
X Link 2023-12-12T22:11Z [----] followers, [--] engagements
"Tanzania ni nchi imebarikiwa watu wapenda kujua mambo hii inapendeza sana. Image kama ExMayorUbungo anavyo hoji kuhusu Nape angekuwa anahoji zile pesa za join the chain za mzee sabodo mix michango alikula mbowe na lissu chadema ngekuwa mbali sana. Anyway ndio siasa za bongo"
X Link 2023-12-14T07:21Z [----] followers, [---] engagements
"@ExMayorUbungo @godbless_lema Siasa kweli akili nguvu mnaitumia kama mngekuwa mkihoji pesa zimeliwa hapo chadema mngekuwa mbali sana"
X Link 2023-12-14T07:24Z [----] followers, [---] engagements
"@goligani Uko sahihi mkuu na ukiachana ata kuringa na gpa zao pia ata kichwani huwa waeupe leo hii kuna dogo wa diploma ya journalism. Yuko hapa anatoa elimu kwa watu wa degree kutumia adobe premium adobe photoshop yaani kifupi adobe zote dogo anawafundisha"
X Link 2023-12-14T07:40Z [----] followers, [---] engagements
"@hamisi_mikonzi @goligani Ndio watu wa mass communication"
X Link 2023-12-14T11:19Z [----] followers, [--] engagements
"@bajabiri Kukata umeme tu ndio wanaweza"
X Link 2023-12-14T11:21Z [----] followers, [--] engagements
"@ExMayorUbungo 🤣🤣🤣hii vita ya spatacus noma"
X Link 2023-12-14T11:31Z [----] followers, [--] engagements
"@trinhezron Ndio washasema ata ukinuna shauri yako😀😀"
X Link 2023-12-14T12:28Z [----] followers, [--] engagements
"Kihistoria CHADEMA ndio chama cha kwanza tanzania kuanzisha jambo na mwishoe kubaki wakilalamika tu kama wamama wanasubili pesa kwa maniga jue tu hiyo sio siasa. Kamwe hamta kuja fanikiwa kama hamtajua mchawi ni nani chadema. Form za hao wabunge mliwapa nyie na ruzuku zao mnakula"
X Link 2023-12-15T15:08Z [----] followers, [--] engagements
"@le_mrema @mokertz__ 🤣🤣oyaaa kazi ngumu hiyo"
X Link 2023-12-15T16:26Z [----] followers, [--] engagements
"@iFrankeys Imf imetoa nchi kumi zina madeni na kenya ipo hayo pia ni maendeleo"
X Link 2023-12-15T21:40Z [----] followers, [--] engagements
"@JoelHamisMsuya Wewe dogo kumbe kuna muda huwa unakuwa mjinga mtu anakwambia vingine na wewe unaongea vingine ndio politics mnafunzwa huko🤣🤣 sasa nahusikaje kwenye hayo unasema mdg acha umapepe tuliza akili kile unaulizwa ndio ujbu na sio kuleta mambo hayo KILAZA WEWE🤣🤣"
X Link 2023-12-16T11:48Z [----] followers, [--] engagements
"@MunishiMes59159 Hapo hapo"
X Link 2023-12-17T09:37Z [----] followers, [--] engagements
"@Hb_cbe_2020 @__abdulazack @ChademaTz @dsm_wa @EddyNamiyu48744 @rwabudugu @Kipanga1986 @kigogo2014 @mgangajoh @zachariageosayi @Mapungo2020 Hakuna chama hapo bila kupewa content na ccm wao kama wao hawana hoja wala ajenda. Wanataka kushindana na Rais kule hanang kumbe ata chama chao mizizi hakuna tena. Ufipa wamechoka vibaya sana wajipange kupigwa kama ngoma 2025🤣🤣"
X Link 2023-12-17T13:54Z [----] followers, [--] engagements
"@SheilaMchamba @DavidinEliwangu @TheRealEkiswaga Kheee 😀😀 kumbe mkubwa niliitunza hiyo picha ukiwa bado mdogo"
X Link 2023-12-17T17:25Z [----] followers, [--] engagements
"@SheilaMchamba @DavidinEliwangu @TheRealEkiswaga Bas nimechanganya"
X Link 2023-12-17T17:58Z [----] followers, [--] engagements
"@zenze_hipoliti @Hb_cbe_2020 @__abdulazack @ChademaTz @dsm_wa @EddyNamiyu48744 @rwabudugu @Kipanga1986 @kigogo2014 @mgangajoh @zachariageosayi @Mapungo2020 Unazungumzia wizi gani nani sio mwizi kwa upande huo upo wewe labda taunzie hapo kwanza. Msingi wa hoja ukujibu bali umeingia kwa mtu unaambiwa unaleta mambo ya wizi. Kwamba kuna mtu ajui kama ata huko kwa wavaa kaki hakuna wizi"
X Link 2023-12-17T19:34Z [----] followers, [--] engagements
"@BinKombo3 @AbuTwalha4 @Kipanga1986 @Nnauye_Nape Ndio maana huwana shekh mshenzi na tapeli kama ungekuwa unamjua huyo mtume wakati anapambana makafir kuwa waislamu hakuweza kumtusi yeyote ila wewe mwenye kikofia kama mtoza ushuru na sijda kama chapati unatusi watu. Wewe ni tapeli tu dili huwezi na nenda tena ukasoma"
X Link 2023-12-17T20:22Z [----] followers, [--] engagements
"@zenze_hipoliti @Hb_cbe_2020 @__abdulazack @ChademaTz @dsm_wa @EddyNamiyu48744 @rwabudugu @Kipanga1986 @kigogo2014 @mgangajoh @zachariageosayi @Mapungo2020 🤣🤣hoja yako yako mbona simple tu iko hivi tanzania ni nchi ya demokrasia nchi inaongozwa na katiba nambie kitu kipi kinafanywa kwenye uchanguzi kipo nje ya sheria. Je wale wote wanakuaga kwenye mchakato wa uchanguzi wako nyuma ya sheria. Yani ni sawa mbowe kuwa M/kit 30+years"
X Link 2023-12-17T20:31Z [----] followers, [--] engagements
"@zenze_hipoliti @Hb_cbe_2020 @__abdulazack @ChademaTz @dsm_wa @EddyNamiyu48744 @rwabudugu @Kipanga1986 @kigogo2014 @mgangajoh @zachariageosayi @Mapungo2020 Ni hiyo hiyo katiba kama chadema leo hii ingekuwa madarakani ingeifuata na majukumu wangetoa kupitia katiba hiyo hiyo unaisema wewe sio demokrasia. Najua unaiona sio bora kwa kuwa huitumii wewe ila yote hayo unayasema yako kwenye katiba na rais anaisimamia so nakushangaa tu"
X Link 2023-12-17T20:53Z [--] followers, [--] engagements
"@zenze_hipoliti @Hb_cbe_2020 @__abdulazack @ChademaTz @dsm_wa @EddyNamiyu48744 @rwabudugu @Kipanga1986 @kigogo2014 @mgangajoh @zachariageosayi @Mapungo2020 Hoja yako mbona nimekujibu ndugu MC kingine kipi tena"
X Link 2023-12-17T21:16Z [----] followers, [--] engagements
"@zenze_hipoliti @robb200000 @Hb_cbe_2020 @__abdulazack @ChademaTz @dsm_wa @EddyNamiyu48744 @rwabudugu @Kipanga1986 @kigogo2014 @mgangajoh @zachariageosayi @Mapungo2020 🤣🤣 nitumie video hiyo rais akisema wasimamizi wote niliyowachangua akija mtu sio chadema asipige kura. Nacho jua kuwa rais huwa anajinadi kama mkombea hayo mengine umezusha wewe MC"
X Link 2023-12-17T21:38Z [----] followers, [--] engagements
"@zenze_hipoliti @Hb_cbe_2020 @__abdulazack @ChademaTz @dsm_wa @EddyNamiyu48744 @rwabudugu @Kipanga1986 @kigogo2014 @mgangajoh @zachariageosayi @Mapungo2020 Kam ni kwenye ripot ya CAG hilo nimekwambia na nimekujibu kuwa tinaitaji chama kitakuja kufanya haya mabadiliko ila chadema haiwezi kwani moja ya jambo linaweza kuleta mabadlko ni mpango na hoja. Sasa ufipa mipango inapanga wapi ata ofis haina. Ukaambiwa JENGEN CHAMA"
X Link 2023-12-17T21:43Z [----] followers, [--] engagements
"@zenze_hipoliti @mgangajoh @Hb_cbe_2020 @__abdulazack @ChademaTz @dsm_wa @EddyNamiyu48744 @rwabudugu @Kipanga1986 @kigogo2014 @zachariageosayi @Mapungo2020 Si mko kwenye maridhiano ya yote hayo afu usipeleke lawama zote kwa sisiem ambayo inakila aina ya kiongoz hayo mambo ya mikutano ni mtu alisema kwa matakwa yake yeye. Na sijawah sifia ule ujinga uzur wangu sifumbii macho ujinga na sifichi kama kitu kimefanywa kw ubora ntasema"
X Link 2023-12-17T23:22Z [----] followers, [--] engagements
"@ummymwalimu Ummy kuna hili jambo la hii hospital ni tanzania au ni nchi gani tuambieni. Na Mh unaupiga mwingi ila ufanyi ziara unaletewa picha na maelekezo ofis tu hicho kituo mbona ni IGOMA"
X Link 2023-12-18T11:07Z [----] followers, [---] engagements
"@Rydx_017 @abdulazack @athanas_pius @babalao @Balyx_ @JayleenRickie @KamigakikuMbise @kapeto98 @MijuLee_Tz @MiriamMkanaka Kuna watangazaji wengine ni hovyo kabisa swali kwenye mahojiano unahoji umefikaje hapa wasafi. Na nyie ndio mmemualika"
X Link 2023-12-18T17:05Z [----] followers, [---] engagements
"Chadema ina makundi mawili ambayo yanaitafuna mpaka sasa. Kundi namba [--] ni mdude wambuksi na Dr slaa hili kundi mbowe halipendi sababu na wao wanataka kupita kwenye mstari wa kupokea pesa. Wamekuwa wakichangisha pesa za mikutano na hazifiki kwa mbowe muda sio mref wanafukuzwa"
X Link 2023-12-18T17:28Z [----] followers, [---] engagements
"Mdude aliposema ana matatizo kwenye fuvu lake hapo ndipo niliona ata akili yake ilipatashida pia. Msikilize alichokisema hapa usipocheka niko palee🤣"
X Link 2023-12-19T05:54Z [----] followers, [--] engagements
"@zachariageosayi @mwigulunchemba1 @SuluhuSamia Ndio maana nakwambia kwa hili ccm wameweka pamba masikioni tu ila hawatendi haki pia ata akikatiba wanapaswa kujihusisha na siasa sio hawa watoto wanawasema wao huo uchipukizi umetoka wapi. Hawana wanalojua ata moja kama sio kutengeneza chain ya ufisad ni nin hapo"
X Link 2023-12-19T07:24Z [----] followers, [--] engagements
"@zachariageosayi @mwigulunchemba1 @SuluhuSamia Mto wa nyoka ni nyoka na hawezi kuwa kenge mkuu hilo jambo ni kutengeneza tu njia ya watoto wao kupata nafasi huko mbele. Mbona huko vijijin hakuna hizi mambo kama kweli wanataka machipukizi waende na huko sasa ila hili la hapa twon ni ubabaishaji tu"
X Link 2023-12-19T07:50Z [----] followers, [--] engagements
"@zachariageosayi @SuluhuSamia Hili liko wazi kuwa tanzania ni nchi ambayo boss wa kiongozi ni yule anaemuongoza huyo kiongozi na sio mwananchi alimpaka kura kiongozi wake hili utaliona kwa jpm alikataza mikutano na hakuna kiongozi alipewa dhaman na wananchi kuongelea hili Na wanajua sheria na wao wako bungen"
X Link 2023-12-19T07:59Z [----] followers, [--] engagements
"@Mapungo2020 Mwambie @__abdulazack hiki kipindi wanafanyakaz tunataka kupumzika aje mambo yake ya kutukata mishahara🤣🤣"
X Link 2023-12-19T08:01Z [----] followers, [--] engagements
"@ZongoZungu_ @msouth_Tupac @Paul_Sweezy1 @mkuuJr5 @freemanmbowetz @SuluhuSamia @Exquisite_255 @diamondplatnumz Yote hiyo inaletwa na viongozi kujiwekea malalamiko mbele na sio hoja za msingi huwezi kuwa mtu wa kulslamika kila jambo na ukiona mtu wa namna hiyo basi jua kashaona hawezi mapambano bali ni mlalamikaj tu"
X Link 2023-12-19T15:46Z [----] followers, [--] engagements
"@ZongoZungu_ @msouth_Tupac @Paul_Sweezy1 @mkuuJr5 @freemanmbowetz @SuluhuSamia @Exquisite_255 @diamondplatnumz Wamesahau mpaka kila mtu ana uhuru wa kuongea ila hii nchi noma🤣🤣 ila ndio huwa iko hivyo kama utajiwekea mazingira ya kuwa kila jambo unaonewa utakuwa mtu wa kulalamika tu"
X Link 2023-12-19T16:20Z [----] followers, [--] engagements
"@Paul_Sweezy1 @ZongoZungu_ @msouth_Tupac @mkuuJr5 @freemanmbowetz @SuluhuSamia @Exquisite_255 @diamondplatnumz Ndio maana ukasema ni huruka ya mtu hiyo ni binafs yake. Sasa una judge maisha ya mtu tena mkuu"
X Link 2023-12-19T16:22Z [----] followers, [--] engagements
"@ZongoZungu_ @msouth_Tupac @Paul_Sweezy1 @mkuuJr5 @freemanmbowetz @SuluhuSamia @Exquisite_255 @diamondplatnumz Chadema washituke sasa siasa haoitaji malalamiko tumemuona zitto amekuwa mara nyingi ana simama kwenye misingi yake na hao hao chadema wana mwita ni msaliti na mtu mwenye maslahi binafs lakin baadae huwa anakuwa mshindi kikubwa ni msimamo tu"
X Link 2023-12-19T16:25Z [----] followers, [--] engagements
"@ZongoZungu_ @msouth_Tupac @Paul_Sweezy1 @mkuuJr5 @freemanmbowetz @SuluhuSamia @Exquisite_255 @diamondplatnumz 🤣🤣"
X Link 2023-12-19T16:30Z [----] followers, [--] engagements
"@ZongoZungu_ @Paul_Sweezy1 @msouth_Tupac @mkuuJr5 @freemanmbowetz @SuluhuSamia @Exquisite_255 @diamondplatnumz 🤣🤣"
X Link 2023-12-19T16:30Z [----] followers, [--] engagements
"@ZongoZungu_ @msouth_Tupac @Paul_Sweezy1 @mkuuJr5 @freemanmbowetz @SuluhuSamia @Exquisite_255 @diamondplatnumz Hilo umrongea ni sahihi zitto katoka chadema kanzisha chama akiwa kama kiongoz bara kapata ubunge hii inaonyesha kabisa huyu ni mtu muhimu leo hii chama chake kimekuwa ni better kwenye kui challenge serikal na hilo ndio tunataka wananchi"
X Link 2023-12-19T16:40Z [----] followers, [--] engagements
"J. MAKAMBA NA H. BASHE UKWELI NI UPI. 👉Bashe ulisema hawa vijana [---] wako Israel kusoma kilimo Bashe ukweli unaujua. 👉Jmakamba wazaz wa huyu kijana israel wanaenda kufanya nini toka lini familia ikifata mwili. Njoni mtuambie kama mnajeshi lenu tunajua jmakamba unautaka Urais"
X Link 2023-12-20T04:57Z [----] followers, [----] engagements
"@Enemy_19 Kishandu 🤣"
X Link 2023-12-20T04:58Z [----] followers, [--] engagements
"@EddyNamiyu48744 Umeme hamna"
X Link 2023-12-20T05:02Z [----] followers, [--] engagements
"@__abdulazack Bora kujichanga tu wahaya wapande ndege tu"
X Link 2023-12-20T05:03Z [----] followers, [--] engagements
"@goligani Hii ilikuwa trayol nzuri sana kwa mimi kujua kama naweza kuuwa 🤣🤣"
X Link 2023-12-20T05:07Z [----] followers, [--] engagements
"@jeju_julius Nikae kmy et"
X Link 2023-12-20T05:08Z [----] followers, [---] engagements
"Hapa Madenge anajitetea tu ila hapa yeye na Ben kazi ni moja ila mazingira ndio tofauti🤣 👉Madege ni masoko gani unayafanya kwenye biashara mbovu maana yake watz tutapeliwe afu unasema ni ubunifu au sio ukipewa ile project ya NIULIZE MIMI unafanya licha unasema watu wanapigwa"
X Link 2023-12-20T05:26Z [----] followers, [---] engagements
"@muniydrik Oyaa🤣"
X Link 2023-12-20T05:27Z [----] followers, [---] engagements
"@EddyNamiyu48744 🤣🤣"
X Link 2023-12-20T05:27Z [----] followers, [--] engagements
"@hassan_graig Alisema january makamba hizo taarifa ni zipi wakati anakufa yule kijana clement msenga mbona familia yake haikubiwa kupelekwa huko israel"
X Link 2023-12-20T05:38Z [----] followers, [---] engagements
"@mhabukat Tutajua tu"
X Link 2023-12-20T05:39Z [----] followers, [---] engagements
"@HamadHamis @tzDiscovery I hope ata huyu mzungu walikuwa awajui anasema nini"
X Link 2023-12-20T05:42Z [----] followers, [---] engagements
"@Kusekwa1307 Wote hao miongoni mwa [---] wakulima"
X Link 2023-12-20T05:43Z [----] followers, [--] engagements
"Tuna watanzania [---] wako huko Israel kujifunza kilimo cha mboga mboga😎"
X Link 2023-12-20T05:58Z [----] followers, [---] engagements
"@mkandamizaji Njoo Backbencher mwenzangu kingereza kilitukataa😎"
X Link 2023-12-20T06:01Z [----] followers, [--] engagements
"@goligani Amphibia kaongea kwa uchungu sana ilipaswa na sisi tumuonyeshe userious ata kumtoa kucha na masikio"
X Link 2023-12-20T06:10Z [----] followers, [--] engagements
"@zachariageosayi Hicho ndio chama sasa kinachojua nini kina fanya na nini wanaitaji kupata hawa wengine Cuf chadema ni wagaigai tu"
X Link 2023-12-20T07:03Z [----] followers, [--] engagements
"@jeju_julius Mbona wanaume tuko poa sana siku hizi"
X Link 2023-12-21T04:18Z [----] followers, [--] engagements
"H. BASHE NA JMAKAMBA HILI NI LENU. 👉kwanini taarifa za hao vijana kuhusu vifo vyao zimekuja kimafungu magungu na wote walitekwa oktoba [--] 👉kwanin taarifa ya Joshua ndio iwe kubwa wakat wote ni watanzani na wamefia huko. 👉Kwanin Hamas mpaka sasa haijakil kuuwa hao wabongo"
X Link 2023-12-21T04:40Z [----] followers, [--] engagements
"@jeju_julius Unasema hapana na ndio kamalizia cha asubuhi saiz wadanganye wengine🤣"
X Link 2023-12-21T04:44Z [----] followers, [--] engagements
"@manofpeople18 Uko sahihi"
X Link 2023-12-21T04:47Z [----] followers, [--] engagements
"@jeju_julius Naweza shukuru san aisee🤣"
X Link 2023-12-21T08:05Z [----] followers, [--] engagements
"@jeju_julius Sahihi"
X Link 2023-12-21T09:41Z [----] followers, [--] engagements
"@Hb_cbe_2020 @__abdulazack @420Cousin @thinkbig2025 @rwabudugu @EddyNamiyu48744 @Kipanga1986 @zachariageosayi @mgangajoh @kigogo2014 @Mapungo2020 Sisi chadema tunaandaa viongoz wanaojua kulalamika na kutukana matus mitandaon ✝"
X Link 2023-12-21T09:42Z [----] followers, [--] engagements
"Kama kuna sehemu niwahi sema huyu dada sio mrembo ili kuwa sio akili yangu jamani ni pombe🥰🌹"
X Link 2023-12-21T09:44Z [----] followers, [---] engagements
"Mh Rais Samia viongozi wako ndio hao sasa watu wakihoji tunaambiwa ni kampeni chafu. Kisa tu kuna vijana wabeba ajenda ya kila kitu hili ni tatizo waambie waajili wako kuwa collective responsibilitie sio uchafu wanaitaji kuyapokea kama wanavyopewa pongezi Ahsante✝"
X Link 2023-12-21T09:51Z [----] followers, [--] engagements
"@Hb_cbe_2020 @__abdulazack @420Cousin @thinkbig2025 @rwabudugu @EddyNamiyu48744 @Kipanga1986 @zachariageosayi @mgangajoh @kigogo2014 @Mapungo2020 Oyaa kwahiyo sie mamantilie au sio🤣🤣"
X Link 2023-12-21T09:52Z [----] followers, [--] engagements
"@JsLutufyo Tuanze na urembo hapo mkuu then umalizie na matunzo"
X Link 2023-12-21T10:00Z [----] followers, [--] engagements
"@MtanganyikaRic4 @Hb_cbe_2020 @__abdulazack @420Cousin @thinkbig2025 @rwabudugu @EddyNamiyu48744 @Kipanga1986 @zachariageosayi @mgangajoh @kigogo2014 @Mapungo2020 Wewe choko ndio ulivyoambiwa uje kunijb hivyo"
X Link 2023-12-21T13:22Z [----] followers, [--] engagements
"@goligani Watoto wadogo sana hao yani backbencha tufananishwe na watoto wasijua kufunga ata bomba la maji"
X Link 2023-12-21T17:22Z [----] followers, [--] engagements
"Hii ya chipukizi ikoje wasomi kwa mujibu wa sheria vyama vya siasa sifa ya kuwa mwanachama ni kuwa na miaka [--]. Lakini pia sifa za kuwa kiongoz wa chama ni miaka [--] na hii ni kwa mujibu wa kifungu cha [--] na 10A cha sheria ya vyama vya siasa. Najiuliza hii imekaaje kwa sisemu"
X Link 2023-12-22T05:41Z [----] followers, [--] engagements
"@Rydx_017 @_abdulazack @athanas_pius @Balyx @JayleenRickie @KamigakikuMbise @kapeto98 @MijuLee_Tz @MiriamMkanaka @MissChelsea1221 Mwanangu Aziz k akikaza kidogo huyo dem wa manara anabutua"
X Link 2023-12-22T05:43Z [----] followers, [---] engagements
"@jeju_julius Na bado utasikia yanalipwa 🤣"
X Link 2023-12-22T05:45Z [----] followers, [--] engagements
"@jeju_julius Noma sana"
X Link 2023-12-22T05:48Z [----] followers, [--] engagements
"@Twaha_Mwaipaya Hii ya chipukizi ikoje wasomi kwa mujibu wa sheria vyama vya siasa sifa ya kuwa mwanachama ni kuwa na miaka [--]. Lakini pia sifa za kuwa kiongoz wa chama ni miaka [--] na hii ni kwa mujibu wa kifungu cha [--] na 10A cha sheria ya vyama vya siasa"
X Link 2023-12-22T05:55Z [----] followers, [--] engagements
"@Hb_cbe_2020 Safi mkuu watoto siasa wanazifanya wapi hao tunawaona hapo ni chipukiz wa ccm kama katiba inazuia kuwa mwanachama inakuaje hapo. Kwa mujibu wa sheria za vyama vya siasa ili uwe na sifa ya kuwa kiongozi ni miaka [--] je hao wanayo. Siasa zinaruhusiwa ni kam zile za shuleni mkuu"
X Link 2023-12-22T06:03Z [----] followers, [--] engagements
"Familia ya kamanda wetu kova imetoa kachipukizi🤣"
X Link 2023-12-22T09:03Z [----] followers, [---] engagements
"@bajabiri Morogoro yote ni stand ya mabasi ya abood ticha"
X Link 2023-12-22T09:54Z [----] followers, [---] engagements
"@rollymsouth @Eric__Bernard Kwa namna nilvyomuelewa madenge ni kwamba mic ni Ben ananunuliwa sekta ya afya afu hao views ni wananchi hawanunuliwi. Ni akili yangu jamani"
X Link 2023-12-22T10:01Z [----] followers, [---] engagements
"@bajabiri Iitwe Moro stand bus Abood"
X Link 2023-12-22T10:02Z [----] followers, [--] engagements
"@JoelHamisMsuya @Eric__Bernard @jjmnyika Je kuhusu ofisi nyie mnazungumzia wapi juu ya mwembe"
X Link 2023-12-22T10:13Z [----] followers, [--] engagements
"@Mzungu_pori1 @Its__ZayNab Ata sijui alitaka kusema nini huyu"
X Link 2023-12-22T12:05Z [----] followers, [--] engagements
"Twende wote ticha Tuliani wali wa jero unakula na unapata wa kubeba wa chai asubuhi🤣"
X Link 2023-12-22T12:20Z [----] followers, [--] engagements
"@Mapungo2020 🤣🤣"
X Link 2023-12-22T13:01Z [----] followers, [--] engagements
"@JoelHamisMsuya @DEUSDEDITHSOKA @MariaSTsehai @lifeofmshaba @NamdiAzikiwe @HildaNewton21 @TzGiza @LIldephonce @KomboChadematz @KolnerioO @WisemanNtele Mbowe ndio anaongoza chadema ushawah muuliza pesa za mzee sabodo zilienda wapi au join the chain. Anatokea mtu ana hoji kuhusu mapungufu ya sekta husika wewe unaumia nyambavu kabisa wewe"
X Link 2023-12-22T13:04Z [----] followers, [--] engagements
"@Jigwidi Alikuwa field huyo kashamliza now anapeleka riport"
X Link 2023-12-22T13:15Z [----] followers, [--] engagements
"@bajabiri Nimeshaangaa sana baada ya kusoma kumbe ni"
X Link 2023-12-22T13:17Z [----] followers, [--] engagements
"@Mapungo2020 🤣🤣huyu ana jambo lake"
X Link 2023-12-22T13:22Z [----] followers, [--] engagements
"@Mapungo2020 🤣🤣oyaaa"
X Link 2023-12-22T13:22Z [----] followers, [--] engagements
"@EddyNamiyu48744 Chadema ni wadau wa siasa mpwa"
X Link 2023-12-22T13:31Z [----] followers, [--] engagements
"@FunyoJm @Jaguar_455"
X Link 2023-12-22T13:36Z [----] followers, [--] engagements
"@EddyNamiyu48744 Ndio wadau hao"
X Link 2023-12-22T13:38Z [----] followers, [--] engagements
"@Miss_msimbazi @tanescoyetutz @TatuUtamu Uchumi wa kati alienda nao mwendazake"
X Link 2023-12-22T13:57Z [----] followers, [--] engagements
"@AbdulkarimNadry @bajabiri Walimu hawataki kusemwa 🤣"
X Link 2023-12-23T05:37Z [----] followers, [--] engagements
"@Mwanahalisitz Hili zee kama juha"
X Link 2023-12-23T16:35Z [----] followers, [---] engagements
"@Kipanga1986 @__abdulazack @Mapungo2020 @Hb_cbe_2020 @rwabudugu @Sisimizi3 Yuko sahih kabisa hapo kaongea kama mchambuz😀😀"
X Link 2023-12-24T08:13Z [----] followers, [--] engagements
"@Mapungo2020 Mjinga kabisa huyo"
X Link 2023-12-24T08:18Z [----] followers, [--] engagements
"Waziri wa ardhi umenikera sana hii tabia ya kuacha pesa viongozi wa kiafrika mmeanza lini Utakufa maskini shaur yako ukumbuke hauna wazazi wewe😇"
X Link 2023-12-24T08:20Z [----] followers, [--] engagements
"@Hb_cbe_2020 Ana mbwembwe za uongoz hamna lolote alishindwa kuwapeleka takukuru hao watoa rushwa"
X Link 2023-12-24T08:32Z [----] followers, [--] engagements
"@rwabudugu @Hb_cbe_2020 Kanaonekana tu kaswahili"
X Link 2023-12-24T08:46Z [----] followers, [--] engagements
"@Hb_cbe_2020 Ukishawaelewa tu hawakupi shida"
X Link 2023-12-24T08:46Z [----] followers, [--] engagements
"@Twaha_Mwaipaya @ExMayorUbungo @HecheJohn @HildaNewton21 @MariaSTsehai @mdudechadematz Watu lazima waishi tu hakuna nchi haina watu wa namna hiyo. Iwe ni sababu ya serikali au wao wenyewe. Chakufanya watu wafanye kazi ata huyo lengo lake ni kupata pesa kama ulivyo wewe kwenye siasa hiyo ndio target yako ya kupata pesa na hapo yuko kazi"
X Link 2023-12-24T10:17Z [----] followers, [--] engagements
"@MohdFua86571212 @Mwanahalisitz Kabisa an"
X Link 2023-12-24T10:17Z [----] followers, [--] engagements
"@Mofey203 @johaness_kyai Pasipo na maumivu hakuna mafanikio"
X Link 2023-12-24T10:19Z [----] followers, [--] engagements
Limited data mode. Full metrics available with subscription: lunarcrush.com/pricing