@AbuuSakiinah Twaib MbondeTwaib Mbonde posts on X about tanzania, kwanza, mambo, zanzibar the most. They currently have [------] followers and [--] posts still getting attention that total [---] engagements in the last [--] hours.
Social category influence countries currencies travel destinations finance
Social topic influence tanzania #815, kwanza #180, mambo, zanzibar, in the, peace, mali, ipo, uefa champions, champions league
Top accounts mentioned or mentioned by @shaksprince @danyemufasa @enamalisa @noblyhd @zakayommbaga @nehemiahmasala @georgeambangil @chapo255 @marekamalili @abaanzinza @eastafricatv @bongelaafya @ayubumadenge @kingpablotz @drmayuru @moarsahitopti @footballtimelyn @gaspinho15 @romamkatoliki @njengeyahya
Top assets mentioned Mambo (MAMBO)
Top posts by engagements in the last [--] hours
"@ZakayoMmbaga Ni kweli ila vingi vimeshauzwa so usipokuwa makini waweza uziwa mara mbiliujue wakat wa jakaya kulikuwa na matarajio makubwa yakimaendeleo bagamoyo jambo ambalo liliwavutia watu wengi kuwezekeza kwenye ardhi.Ila mambo yalipokwenda kombo wameyatelekeza hivyo kupelekea kuuzwa tena"
X Link 2023-11-09T17:16Z [--] followers, [--] engagements
"@nehemiah_masala @George_Ambangil Hata wenger amekaa miaka arsenal na hakuwahi kubeba champions league na hakuondoka kwasababu hiyofailures huwa termedhutokana na mahala ulipomatarajiona malengo ya mahala hapo.Umetumia mfano unaofanana lakini hauoani"
X Link 2024-02-16T07:28Z [--] followers, [--] engagements
"@chapo255 Swali amable nimekuwa siku zote nkijiulizakimsingi sikatai kwamba lazima kutakuwa na mutual benefit kwetu sote ila suala la msingi ni kunako madai yao wazanzibar pale wanapoona kama muungano unawabana.Ndo huwa najisemeaga"Kama ningelikuwa rahisi ningeliwaachia zanzibar yao""
X Link 2024-04-24T17:47Z [--] followers, [--] engagements
"@MarekaMalili Huo ndo uhalisiana kwa wenye imaani thabiti ni ngumu kwao wao mambo kuwanyookea kwa asilimia [---] kwan ahadi ya malipo kwa imaan yao sio kengine ni kwamba wale walojikita kwenye imn kweli kwa kweli pia hawaoni thamani ya dunia ynyew ivyo ni rahis kuipuuza"
X Link 2024-05-09T07:56Z [--] followers, [--] engagements
"@enamalisa Mi nmesoma marian tangia pre na siye ndo tuloanzisha marian boy's ila mambo ni chuma.Yaan the worst decision kuifanya ni kusoma marian. Ofkoz ni shule nzuri ila kwa siye ambao watoto wa uswazi bro ni noma.Marian inawandaa watu wakuwa kwenye mfumo wenye watu wa mfumo not fighters"
X Link 2024-05-15T12:40Z [--] followers, [--] engagements
"@enamalisa Kabisaani ngumu kusoma humo alafu ukawa na skills za kutosha kupambana mtaani.Unless upate ajira au uwe na wazee kwa mifumo uandaliwe kuwa kwa wachache kweli wenye viskills vidogo vdoog kuweza kufanya mambo yakaenda kwa kitaa"
X Link 2024-05-15T12:53Z [--] followers, [--] engagements
"@abaanzinza Zinakuja kumbukumbu za Nyererekunifanya nikumbuke azimio la Arusha na operesheni vijiji (pwani)ilivyoua na kuwamaliza watu wa Pwani na mali zao"
X Link 2024-05-24T07:50Z [--] followers, [--] engagements
"@eastafricatv Kupanda kwa vocha wala sio big deal kuijadili.Mana vocha zmepanda kitambo tukama tulikuwa tupata mb [---] na madakk kwa vocha ya [---] ma asa hivi unapata tunanunua kifurushi hucho hicho kwa zaidi ya [----] mana ake vocha imepanda muda tu"
X Link 2024-05-29T13:08Z [--] followers, [--] engagements
"@BongeLaAfya Tena ziada ya ushauri ni kuwa ukiona umepata [--] ya kawaida ni bora uombe vya privatekisha ukishakuwa admitted upambanie kuhama.Jamaa ang alichaguliwa St joseph alipopata admission letter akahamia St fransis huko akasoma mwaka [--] akapambana akahamia UDOM"
X Link 2024-07-19T17:43Z [--] followers, [--] engagements
"@ayubu_madenge Yaani Zanzibar wanalalamikia eneo la makazi alafu eka [--] anapewa mtuaiseee"
X Link 2024-08-02T16:55Z [--] followers, [--] engagements
"@KingPablotz Na account ipo since 2010"
X Link 2024-12-20T20:28Z [--] followers, [---] engagements
"@Drmayuru @MoarSahitoPTI According to Standard treatment guidelines based on Tanzania they said that it is enough safer and used According to current research done though it was once contraindicated"
X Link 2025-10-12T20:53Z [--] followers, [--] engagements
"@FootballTimelyn Neymarhe made it reach the UEFA Champions League final in modern erahe was at its best and so he atleast inspired any other to play there"
X Link 2025-11-29T11:34Z [--] followers, [---] engagements
"@Gaspinho15 Sometimes ni ngumu ila kiukweli wanawake wenye mashaka huwa tunawajuwa kabisa.Yaani sometimes unaona kabisa hapa hakuna mke nkioa atansumbuani vile Tu tunajitia hamnazo kutanguliza matamanio yetu kwa matarajio kuwa mambo yatakaa sawa"
X Link 2026-02-12T04:12Z [--] followers, [---] engagements
"@NoblyHD @Roma_Mkatoliki Hakuna ajira rasmi na hakuna mazingira wezeshi na rafiki kufanya shughuli zisizokuwa rasmi"
X Link 2026-02-12T06:15Z [--] followers, [--] engagements
"@NjengeYahya Mbappe hata uwezo Thierry Henry hajafika Tu sikwambii Ronaldo.Issue sio unatoa nn bali kuna impact gan kwa unachokifanyaMi siku zote nasema watu wa era tofauti kuwalinganisha kwa Yale waliyoyafanya kwa era zao haiko sawa.Hii haiko kwa mpira Tu bali kwenye kila kitu"
X Link 2026-02-06T19:36Z [--] followers, [---] engagements
"@shaks_prince @DanyeMufasa Jan [--] [----] #1 [--]. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga [----]. [--]. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga [----] (Tanga Old School). [--]. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania [----] - Tanga Magila Muheza. [--]. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza Ubwari 1949"
X Link 2026-02-16T12:31Z [--] followers, [---] engagements
"@shaks_prince @DanyeMufasa [--]. Hospitali ya Kwanza (1st Modern Hospital) - Tanga Cliff Block [----] [--]. Hoteli ya Kwanza ya Kisasa Tanzania - Tanga Kaiserhof Hotel [----]. [--]. Upandaji wa Mkonge wa Kwanza Afrika - Tanga Pangani 1900"
X Link 2026-02-16T12:32Z [--] followers, [---] engagements
"@shaks_prince @DanyeMufasa [--]. Nembo ya Benki Kuu ya Tanzania ni msukumo kutoka kwa Kiwanda cha Mkonge Tanga kwani kilichangia zaidi ya asilimia [--] ya Pato la Taifa. [--]. Tanga lilikuwa jiji la kwanza kuwa Manispaa mwaka [----]. [--]. Tanga ilikuwa na Soko la kwanza la kisasa nchini Tanzania - uzunguni"
X Link 2026-02-16T12:33Z [--] followers, [---] engagements
"@shaks_prince @DanyeMufasa [--]. Risasi ya kwanza ya Vita Kuu ya Kwanza ya Afrika ilipigwa Tanga - Novemba [----]. [--]. Tanga ilikuwa na kanisa la kwanza Tanzania - Magila Msalabani Muheza - 1840s. [--]. Tanga ilitoa padre mzaliwa wa kwanza (Mlutheri) nchini Tanzania Jacob Lumwe (1880 - 1970)"
X Link 2026-02-16T12:33Z [--] followers, [---] engagements
"@shaks_prince @DanyeMufasa [--]. Zaidi ya 95% ya Kata za Jiji la Tanga zina maji ya kutosha hivyo kuwa jiji pekee nchini. [--]. Tanga ina mfumo wa maji taka kongwe na unaofanya kazi Afrika Mashariki. [--]. Tanga inashikilia rekodi ya jiji lenye mpangilio mzuri zaidi Afrika Mashariki"
X Link 2026-02-16T12:33Z [--] followers, [---] engagements
"@shaks_prince @DanyeMufasa [--]. Tanga inashikilia rekodi ya kuwa na maktaba ya kwanza ya umma nchini Tanzania miaka ya [----]. [--]. Tanga ina mtambo wa kwanza wa kufua umeme nchini Tanzania tangu mwaka [----] huko Muheza Amani"
X Link 2026-02-16T12:34Z [--] followers, [---] engagements
"@shaks_prince @DanyeMufasa [--]. Bandari ya Tanga ndiyo bandari inayohudumu kwa muda mrefu zaidi Afrika Mashariki (Rejelea Mtandao wa Bandari ya Tanga). [--]. Tanga ina mnara wa saa kongwe zaidi nchini Tanzania (pengine Afrika) [----] Kweli Tanga kila kitu kimekufa maendeleo mi mpango wa serikali sio watu tu"
X Link 2026-02-16T12:36Z [--] followers, [---] engagements
"No X-ray. No history This posture tells you everything What dislocation is it"
X Link 2025-11-19T15:27Z 50.3K followers, 106.4K engagements
"Stop calling homsexuality a mental illness; its a sin. Mental illness patients are not accountable for their behavior but these weirdos are"
X Link 2025-02-27T05:03Z 78.5K followers, 53.4K engagements
"Do not engage oneselves into revolutions yaa people of Sudanbe patience Allah will protect you"
X Link 2019-04-16T06:27Z [--] followers, [--] engagements
"Al Bashir ameondokaJe ni nan atayeongoza au kuzuia hali ya wanaSudan May Allah protect Sudan and his family"
X Link 2019-06-10T19:29Z [--] followers, [--] engagements
"Banana leaves treat 🌿erectile dysfunction 🌿stomach ulcer 🌿coughcold sore throat 🌿skin rashes 🌿diabetes 🌿prostate enlargement 🌿low immunity 🌿prostate cancer Apply fresh paste on skin rashes. Use two tablespoons as tea and drink twice daily. Nature heals. Retweet 🔁"
X Link 2024-01-30T15:25Z 420.9K followers, 633.2K engagements
"Happiness and peace dont come from what you do but from how you do it and how you approach life"
X Link 2023-10-18T18:24Z [--] followers, [---] engagements
"Preserve the Heart O' Student of Knowledge"
X Link 2023-09-27T21:09Z [----] followers, [----] engagements
"Learn I dont knowbecause when you say I dont know they will teach you until you do and if you say I know they will ask you until you dont"
X Link 2022-07-12T16:00Z [--] followers, [--] engagements
"Nothing changes if nothing changes"
X Link 2022-06-13T16:56Z [--] followers, [--] engagements
"If people are not calling you crazy If people are not criticizing your actions If people are not mocking your dreams Then that means you are playing it too safe. REMEMBER: No risk No story"
X Link 2021-10-17T12:56Z 79.8K followers, [---] engagements
"#Tanganyika NEGLECTED Bagamoyo until it was nothing but ruins. The Government of #Zanzibar is learning from the BEST. Is turning #StoneTown into a RUIN one way of cementing the revolution and erasing the Sultanate in the minds of the insecure"
X Link 2020-12-26T17:10Z 1.2M followers, [---] engagements
"Tunaenda shule kuondoa ujinga na kuepukana na ajira zisizo rasmi Tunakuzwa kwenye mfumo rasmi Tunamaliza vyuo tunarudi mtaani tunakuta milango ya ajira rasmi imewekwa vitasa vipya. Acha tuendelee kufokeana"
X Link 2020-08-07T06:56Z [----] followers, [---] engagements
"Do not let your love be obsessive and do not let your hatred be destructive. When you love do not go to a level of obsession as a child does with the things he loves and when you hate do not hate in such way that you want your opponent to be destroyed and doomed"
X Link 2019-12-28T12:19Z [--] followers, [--] engagements
"It is reported that Al b. Al-usayn b. Al b.Ab lib Allh have mercy on him said: No man speaks well about another while not knowing it to be true except that he is also likely to speak badly about him without knowing it to be true"
X Link 2019-12-17T13:49Z [--] followers, [--] engagements
""Vaa utakacho na kula upendacho ikiwa tu utayaweza masharti mawili"Kutokuwa na kiburi na kutochupa mipaka yaan kutokuwa mlafi"
X Link 2019-12-17T13:42Z [--] followers, [--] engagements
""Development and peace are conjoined and can never be separated""
X Link 2019-10-03T12:02Z [--] followers, [--] engagements
"Tangu mkutano utangazwe nimesikiliza na kusoma historia inayorudiwa rudiwa sana kuhusu #siri kuanzishwa #SADC. Nauliza why we are so trapped in the glory of yesterday na sio the possibility of tomorrow& i could be wrong but i see the same with Mwalimu Nyerere legacy & #Kagera war"
X Link 2019-08-10T08:30Z [----] followers, [--] engagements
""Na yule alitakaye jambo liwe kabla ya muda wake kufika basi huadhibiwa kwa kulikosa.""
X Link 2019-07-27T18:21Z [--] followers, [--] engagements
"Miongoni mwa aa'mali yaan matendo yalo magumu "Kuwa mkarimu na subra wakati unacho kidogokumuogopa muumba wako unapokuwa kwenye usirina kuongea ukweli mbele ya yule ambaye wategemea kupata msaada wa dunia au adhabu kutoka kwake""
X Link 2019-06-29T03:57Z [--] followers, [--] engagements
"Personal opinion has no place in the arena of truth. @_resist_persist https://link.medium.com/j0neOYFYxX https://link.medium.com/j0neOYFYxX"
X Link 2019-06-15T18:59Z [--] followers, [--] engagements
Limited data mode. Full metrics available with subscription: lunarcrush.com/pricing