@destiny_dreamfate Miss Wanda GordonMiss Wanda Gordon posts on TikTok about hii, kwanza, leo, bond the most. They currently have [------] followers and [--] posts still getting attention that total [------] engagements in the last [--] hours.
Social category influence finance currencies social networks technology brands countries
Social topic influence hii, kwanza, leo, bond, kura, tiktok, bora, zone, the most, award
Top posts by engagements in the last [--] hours
"Hii ni ya muhimu sana kwa wawekezaji kwenye bonds yani hatifungani eidha za serikali (government bonds) au za kampuni (corporate bonds) Hii video itakusaidia kufahamu namba ambavyo utaweza kupata Faida kubwa zaidi kupitia uwekezaji wako wa bonds. Sikiliza video hii hadi mwisho ili uweze kujifunza zaidi. #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo REINVESTMENT OF BOND COUPONS REINVESTMENT OF BOND COUPONS"
TikTok Link 2026-02-16T13:25Z 40.3K followers, [----] engagements
"Mimi namiliki makampuni [--] kimataifa na hata siringi π€π€π€ #fyp #foryou #foryoupage #viral #viraltiktok NAMILIKI MAKAMPUNI [--] YA KIMATAIFA π₯π₯ NAMILIKI MAKAMPUNI [--] YA KIMATAIFA π₯π₯"
TikTok Link 2025-12-14T17:22Z 40.3K followers, 84.6K engagements
"Kabla hujanijia juu kwa sababu ya kichwa cha habari Sikiliza kwanza video hii hadi mwisho. Inamaana kubwa sana na ukiitilia maanani kwa umuhimu wake itakusaidia sana. π #fyp #viral #tiktokviral #foryoupage #foruyou LIQUIDATE YOUR FIXED ASSETS LIQUIDATE YOUR FIXED ASSETS"
TikTok Link 2025-10-25T08:45Z 40.3K followers, 143.3K engagements
"Huu ujumbe unapaswa kuusikiliza kwa uelewa sio kwa hisia ndio utauelewa zaidi. Kama kijana ambaye bado unajitafuta kimaisha hakikisha vipaumbele vyako vya Maisha umevielekezea kutafuta pesa zaidi na kukuza kipato chako zaidi. Sikiliza video hii hadi mwisho kuelewa zaidi. #foryou #foryoupage #viral #tiktok KUJENGA NYUMBA YA FAMILIA π€ KUJENGA NYUMBA YA FAMILIA π€"
TikTok Link 2025-11-15T08:08Z 40.3K followers, 147.6K engagements
"Hii ni ya muhimu sana kwa wawekezaji kwenye bonds yani hatifungani eidha za serikali (government bonds) au za kampuni (corporate bonds) Hii video itakusaidia kufahamu namba ambavyo utaweza kupata Faida kubwa zaidi kupitia uwekezaji wako wa bonds. Sikiliza video hii hadi mwisho ili uweze kujifunza zaidi. #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo REINVESTMENT OF BOND COUPONS REINVESTMENT OF BOND COUPONS"
TikTok Link 2026-02-16T13:25Z 40.3K followers, [----] engagements
"Ni muhimu sana kutambua kwanza uwekezaji unahitaji muda ili uweze kupata faida kubwa zaidi . Uwekezaji sii ubashiri. Uwekezaji sii uchuuzi. Uwekezaji ni uwekezaji. #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo"
TikTok Link 2026-02-15T16:51Z 40.3K followers, [----] engagements
"Sikiliza huu ujumbe hadi mwisho. Utakusaidia. π #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo"
TikTok Link 2026-02-15T16:34Z 40.3K followers, [----] engagements
"Leo naomba nikutafakarishe tofauti kati ya mshahara na pesa kwa kusema kwamba kama unaona mshahara ni bora kuliko pesa basi unapswa kujitafakari kwa upya na kuchukua hatua. Sikiliza video hii hadi mwisho ili uweze kuelewa zaidi. #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo MSHAHARA NI BORA KULIKO PESA MSHAHARA NI BORA KULIKO PESA"
TikTok Link 2026-02-15T03:34Z 40.3K followers, 11.3K engagements
"Ya kwangu ni simulizi ilyojaa tumaini Imani na uthubutu. Kama ungeniambia kwamba nitakuja kushinda tuzo wakati ule nimetoka kufukuzwa kazi pengine nisingekuamini ila kwa sababu alinikusudia mema haya ilinipasa nitoke kwenye comfort zone na kuanza kujitafuta kwa upya. Nilitumia changamoto yangu kama chachu ya mafanikio yangu and Look at me now Tuzo mbili kwa mpigo ππ Mara nyingine hata mimi nabaki tu kushangaa viwango ambavyo Mungu ameniinua. Ila cha muhimu ninachofahamu nitoke kwenye comfort kwamba utii na kunyenyekea humuinua mnyonge na kumketisha pamoja na wakuu. Bila kusahau kwamba huu"
TikTok Link 2026-02-14T17:09Z 40.3K followers, [----] engagements
"Natumai nimewawhi kabla hamjayatindinganya. Na msiseme sikuwaambia. ππ½ββ‘ππ½ββ‘ππ½ββ‘ #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo Tukio la siku moja lisikupe gharama za kudumu. Tukio la siku moja lisikupe gharama za kudumu"
TikTok Link 2026-02-14T07:46Z 40.3K followers, [----] engagements
"I manifested this and it came to pass ππ½ Glory to the most High God ππΎππΎππΎ #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo Wait for the transition ππ½ Wait for the transition ππ½"
TikTok Link 2026-02-14T05:53Z 40.3K followers, 11K engagements
"Utukufu kwa Mungu juu mbinguni ππΎππΎππΎ And the award goes to Miss Wanda Gordon π₯³π₯³π₯³ Hii ni alama ya uthubutu bidii juhudi ubunifu na uendelevu. Ni alama ya kuaminika kukubalika kueleweka na kuheshimika. lla zaidi sana ni alama ya ukuu wa Mungu maishani mwangu ππΎππΎ Asanteni sanakwa kura zenu. Asanteni sana kwa kuendelea kukubali kujifunza pamoja nami. Asanteni kwa kunitunuku tuzo ya heshima kiasi hiki. Hii ni yetu sote. Mungu akazidishe hekima na maarifa yake ndani yangu ili niendelee kuwapa maarifa sawa sawa na yale anayoachilia kwangu kila siku kupitia Roho wake Mtakatifu. Utukufu"
TikTok Link 2026-02-13T18:02Z 40.3K followers, [----] engagements
"Namshukuru sana Mungu kwa kuniwezesha kushida tuzo ya Tanzania Creators awards π₯°π₯°π Asanteni sana kwa kura zenu na Upendo wenu kwangu. ππΎ #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo A girl with GOD ALWAYS wins π A girl with GOD ALWAYS wins π"
TikTok Link 2026-02-13T08:56Z 40.3K followers, [----] engagements
"Natamani Leo tu pata wasaa wa kujikumbusha malengo yetu ya kifedha hususani kupitia uwekezaji. Unawekeza ili upate hela ila ikitokea umeshaipata ile hela unayoitamani uipate utaifanyia niniπ€ #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo Ikitokea umepata kiasi cha pesa unachotamani kupata utazifanyia nini Ikitokea umepata kiasi cha pesa unachotamani kupata utazifanyia nini"
TikTok Link 2026-02-11T17:48Z 40.3K followers, [----] engagements
"Akili mtu wangu ππ€πΎ #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo Inawezekana wewe unagusa akiba yako ili kumsaidia mtu ambaye hataki kugusa yake. Inawezekana wewe unagusa akiba yako ili kumsaidia mtu ambaye hataki kugusa yake"
TikTok Link 2026-02-11T15:58Z 40.3K followers, 39.8K engagements
"Replying to @monga musa Hivi hadi leo bado kuna watu wanawaza kwamba uwekezaji ni utapeli π³ππΎβ Hii inaonesha ni kwa kiasi gani hadi tunahitaji kutoa elimu ya Fedha na uwekezaji kwenye jamii zetu. π€¦πΎβ Mifuko yote ya uwekezaji wa pamoja inaratibiwa na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana kwa kingereza ni Central Market Securities Authority (CMSA) Hii ndiyo Mamlaka rasmi inayohusika na kuhakikisha usalama wa pesa za wawekezaji na kwamba mifuko yote unatoa Faida stahiki ya kwanzia 12% kwa mwaka kwa mfumo wa riba limbikizi. Mifuko yote iwe ya serikali au ya taasisi binafsi IPO SALAMA maana"
TikTok Link 2026-02-10T20:25Z 40.3K followers, [----] engagements
"Siku ya tarehe [--] Januari nilipata mualiko wa uzinduzi wa mfuko mpya wa Ziada Fund kutoka APeF. Mfuko huu unakianzio cha TZS [-----] TU ila pia una kupa bima ta maisha yani life insurance kwa kianzio cha TZS [------] TU Ili kuweza kupata bima ya maisha utapaswa kukatwa 0.25% kwa mwaka ya kiasi cha pesa unachowekeza LAKINI Ukiwekeza wakati huu wa IPO utapata bima ya maisha BURE bila makato yoyote Ili kuwekeza download app yao ta APeF iliyopo appstore na playstore ili kujisajili na kuanza kuwekeza. IPO hii ilifunguliwa rasmi tarehe [--] January na itafungwa tarehe [--] February. Tuwekeze huku"
TikTok Link 2026-02-10T16:22Z 40.3K followers, 27.4K engagements
"Kwa kweli hii ni aibu kubwa sana πππΎβ Yani Unakosaje application ya DSE Hisa Kiganjani kwenye simu yako Yani how Yani kivipi yani Yani kwamba wewe hapo ulipo hauna Hisa ya kampuni walau moja Kabisa Na unahema vizuri kabisa Binafsi nisingeweza π©π©π© Hakuna watu mzuri wa kuwekeza kwenye Soko la Hisa kama huo ulionao kama kijana. Skarak tunatofautiana risk appetite ila uzuri ni kwamba kwenye hisa risk unaiamua wewe kwa kuuza #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo Aibubu bwana kaaah π³π© AibuuuuuuππΎβππΎβππΎβ Aibuuuuuu π€¦πΎβ Tena sio ndogo π©ππΎβ Aibuuuuuuuπ©π© Aibuuuuuu π©ππΎβ"
TikTok Link 2026-02-10T12:55Z 40.3K followers, [----] engagements
"Je una malengo gani ya kifedha uliyojiwekea na unataka kuyatimiza baada ya muda gani Ukishafahamh jawabu la hili swali basi pia utafahamu ukubwa wa jitihada unazopaswa kuweka kwenye kutunza akiba na kuwekeza. Sikiliza video hii hadi mwisho ili uweze kuelewa zaidi. #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo Malengo yako ya kifedha ndiyo yataamua tabia yako ya kifedha. Malengo yako ya kifedha ndiyo yataamua tabia yako ya kifedha"
TikTok Link 2026-02-09T16:44Z 40.3K followers, [----] engagements
"Naona dada zangu mmeamua kujiongeza. Hela ya saluni itumwe kwenye control number mambo yasiwe mengi π€£π€£ππΎππΎ Msimu huu wa Valentines juongeze ukiulizwa Zawadi tuma control number. Maua achia nyuki π€£ Unalilia maua na hauna portfolio ππΎβππ½ββ‘ Usikae kizembe dadangu π #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo Valentine hii Maua achia nyuki Omba Zawadi ya Hisaππ½ππ½ππ½ Naona dada zangu mmeamua kujiongezaπ€£ππΎ Valentine hii Maua achia nyuki Omba Zawadi ya Hisaππ½ππ½ππ½ Naona dada zangu mmeamua kujiongezaπ€£ππΎ"
TikTok Link 2026-02-09T10:58Z 40.3K followers, 19.3K engagements
"Kabla haujatafuta akili ya kifedha kwa mtu mwengine jiulize kwanza wewe unayo hiyo akili ya kifedha Kama jibu lako ni hapana hadi hakikisha unaitafuta ndani yako kwanza kabla ya kwenda kuitafuta kwa mtu mwengine maana hata yeye pia atahitaji mtu aliyenayo. π #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo WEWE UNAYO HIYO AKILI YA KIFEDHA WEWE UNAYO HIYO AKILI YA KIFEDHA"
TikTok Link 2026-02-08T16:26Z 40.3K followers, [----] engagements
Limited data mode. Full metrics available with subscription: lunarcrush.com/pricing