@rchilumba Avatar @rchilumba Rashid Chilumba

Rashid Chilumba posts on Instagram about ile, sana, hii, eintracht frankfurt the most. They currently have [-----] followers and [--] posts still getting attention that total [-----] engagements in the last [--] hours.

Engagements: [-----] #

Engagements Line Chart

Mentions: [--] #

Mentions Line Chart

Followers: [-----] #

Followers Line Chart

CreatorRank: [-------] #

CreatorRank Line Chart

Social Influence

Social category influence countries champions league #5468 bundesliga #523 currencies

Social topic influence ile, sana, hii, eintracht frankfurt #20, historia, bundesliga, singapore, kwanza, lee, bora

Top Social Posts

Top posts by engagements in the last [--] hours

"Borussia Dortmund ni miongoni mwa vigogo katika ligi ya kandanda ya Ujerumani Bundesliga. Fahari ya BVB ni pamoja na dimba la Signal Iduna mjini Dortmund. #signalidunapark #borrusiadortmund"
Instagram Link 2022-06-17T04:40Z [----] followers, [----] engagements

"Singapore taifa la kusini Mashariki wa Asia lilikuwa njiapanda miaka [--] tu iliyopita. Nchi hii ilikuwa ndiyo kwanza imepata uhuru na miaka michache baadae ikafukuzwa kutoka ndani ya shirikisho na ndugu zao wa asili. Hata hivyo kiongozi mmoja tu mwenye ndoto kubwa na dhamira ya kweli Lee Kuan Yew aliwataka raia wote wafunge mikanda na ndani ya miongo [--] pekee wakafanikiwa kuuzika udhalili na kuwa nchi inayoonewa choyo kote duniani"
Instagram Link 2025-06-09T16:05Z [----] followers, [----] engagements

"Mauaji ya halaiki ya Srebrenica ya Julai [----] ni uthibitisho ulio dhahiri kwamba ubaguzi wa kidini kabila au asili mwisho wake ni mauti. Pale watu wa nchi ile ile wanapoendekeza kutazama zaidi vinavyowatofautisha kuliko vinavyowaunganisha ujue zimwi la uhayawani lipo mlangoni"
Instagram Link 2025-11-21T07:46Z [----] followers, [----] engagements

"Mimi bado nasherehekea miaka [--] ya utumishi wa mtangazaji bora kabisa wa lugha ya Kiswahili. Mniache kidogo πŸ˜‚πŸ€£. #Oumilkheir"
Instagram Link 2020-02-08T16:38Z [----] followers, [----] engagements

"Podgorica mji mkuu wa Montenegro ni kituo cha mwisho cha safari yangu ya miaka miwili ya kuzitembelea nchi zote sita zilizounda Yugoslavia. Slovenia Macedonia Serbia Croatia Bosnia Herzegovina na Montenegro na bila kusahau Kosovo iliyokuwa wakati huo jimbo la Serbia kabla ya kupata uhuru mwaka [----]. Kwenye miji yote mikuu ya nchi hizo nimevuna maarifa yasiyo kipimo na kujionea mengi kwa macho katika kanda hiyo tete barani Ulaya"
Instagram Link 2025-11-25T19:25Z [----] followers, [----] engagements

"Jina la Mwanafalsafa Karl Marx linafahamika na karibu kila mmoja duniani. Baba wa Ukomunisti aliyezaliwa kwenye taifa lililostawi kutokana na Ubepari. Upinzani wake dhidi ya mfumo uliomlea ulifanya apokonywe uraia wa kila nchi alikokimbilia. Aliaga dunia akiwa mpweke kabisa lakini akiacha nyuma yake vuguvugu lililokuja kuutikisa ulimwengu"
Instagram Link 2026-02-05T18:59Z [----] followers, [----] engagements

"Baada ya miaka [--] na DW Oumilkheir Hamidou amestaafu rasmi. Sauti na mtindo wake wa masimulizi ni mashuhuri sana. Heshima kubwa kuchota ujuzi kutoka kwake"
Instagram Link 2020-02-06T19:03Z [----] followers, [----] engagements

"Eintracht Frankfurt ilikuwa na miadi na vijana wa Bayer Leverkusen hapa mjini Frankfurt. #bundesliga #eintrachtfrankfurt #bayerleverkusen"
Instagram Link 2021-12-12T18:44Z [----] followers, [----] engagements

"Unapopewa jukumu la kueleza kinachoendelea duniani πŸ˜„πŸ•ΊπŸ½"
Instagram Link 2022-07-14T17:00Z [----] followers, [----] engagements

"Kuala Lumpur mji mkuu wa Malaysia ni alama ya mafanikio makubwa ya kiuchumi yaliyoshuhudiwa miongo minne iliyopita kwenye nchi hii ya kanda ya kusini mashariki mwa Asia. Mzalishaji mkubwa wa zao la Mpira hadi mwisho mwa karne ya [--] Malaysia sasa hivi inajifaharisha kwa sekta kubwa ya mafuta ya mawese viwanda vya kutengeneza bidhaa teknolojia mamboleo na utalii. Zao moja tu la Chikichi liliipatia nchi hii dola bilioni [--] mwaka uliopita. πŸ™Œ"
Instagram Link 2025-06-14T18:03Z [----] followers, [----] engagements

"Mji mkuu wa Slovakia Bratislava si miongoni mwa ile inayotajwa sana midomoni mwa watu duniani. Na pengine ni wachache wamewahi hata kuusikia. Lakini mji wenyewe na kwa hakika Slovakia nzima imesheheni historia pana. Tofauti na maeneo mengine Waslavi wenyewe hawana vitimbi vya kila wakati"
Instagram Link 2025-05-24T16:22Z [----] followers, [----] engagements

"Innalilah Waina Ilahyi Rajiuun. Buriani Mohammed Abdul-Rahman. Kifo cha Mzee Abdul-Rahman kinahitimisha enzi nyingine ya moja ya waandishi habari vigogo wa kimataifa. Mtu muungwana na mwenye maarifa yasiyo kipimo. Sauti yako itaendelea kubakia masikioni mwetu dahari dawamu. Nitakukumbuka kwa malezi ushauri na imani yako kwangu. Allah akupe pepo kwa rehma zake. 😒😒"
Instagram Link 2025-07-16T05:28Z [----] followers, [---] engagements

"Sarajevo mji mkuu wa Bosnia Herzegovina ni miongoni mwa ile yenye nafasi ya pekee katika historia ya ulimwengu. Alama ya maingiliano ya watu wenye tamaduni na imani tofauti za dini. Ikiwa hujawahi kusikia jina la mji huo yumkini hupendi historia"
Instagram Link 2025-11-22T19:59Z [----] followers, 50.6K engagements

"Bonn ulipata kuwa mji mashuhuri sana ulimwenguni mnamo karne ya [--]. Ulikuwa mji mkuu wa Ujerumani Magharibi taifa lililokuwa ukuta ukiitenganisha dunia ya Kibepari na ile ya Kisoshalisti barani Ulaya. Baada ya kuungana tena kwa Ujerumani mbili na serikali kurejea mjini Berlin mji wa Bonn unajifaharisha zaidi na Ludwig Beethoven kuliko hata hadhi ilokuwa nayo kati ya 1949-1990"
Instagram Link 2026-01-23T20:32Z [----] followers, [----] engagements

"Wajamaa mamboleo. πŸ˜…πŸ˜…"
Instagram Link 2026-01-09T09:46Z [----] followers, [---] engagements

"Zama za kati za mawe. Tushagombania sana maji kisima Mwanga. 🀣🀣🀣🀣 #temporarypost"
Instagram Link 2026-02-01T15:00Z [----] followers, [---] engagements

"Mji wa Frankfurt ndio kitovu cha shughuli za biashara na uchumi barani Ulaya. Majengo ya roshani yapo kila kona lakini kwenye vichochoro vyake watu wanajidunga madawa mchana kweupe. Siyo kila mtu anakula unga hapa wengine uraibu wao ni soka na timu ya Eintracht Frankfurt hutuliza mioyo yao"
Instagram Link 2026-02-14T19:41Z [----] followers, 12.8K engagements

Limited data mode. Full metrics available with subscription: lunarcrush.com/pricing