@hechejohn John Heche.John Heche. posts on Instagram about john, image, february, tanzania the most. They currently have [-------] followers and [--] posts still getting attention that total [-------] engagements in the last [--] hours.
Social category influence countries 16.22% currencies 2.7%
Social topic influence john #87, image 18.92%, february 18.92%, tanzania 16.22%, hii #12, kama #6, cha 8.11%, sana 5.41%, jambo 5.41%, wala 5.41%
Top accounts mentioned or mentioned by @twahamwaipaya @pmsigwa @deogratiusmahinyila @kitilamkumbo @therealjongwe @jamesolemillyaofficial @cfmtanzania
Top posts by engagements in the last [--] hours
"Kitendo cha Mwenyekiti wetu kunyimwa chakula ni Kitendo cha kinyama sana. Hakuna mtu unyama unaovuka huu ni kinyume cha haki za binadamu. Mtu anaekunyima chakula anataka ufe Ccm na serikali yake ni dhalimu na hatari"
Instagram Link 2026-02-12T13:26Z 792.6K followers, 59.6K engagements
"Sisi sio chama cha mfukoni cha kuongozwa kwa remote control ya watu dhalimu Muachieni Mwenyekiti wetu achieni chama chetu tukutane uwanjani mtu kwa mtu"
Instagram Link 2026-02-12T17:22Z 792.6K followers, 77.4K engagements
"No shortcuts No blackmailing"
Instagram Link 2026-02-13T14:30Z 792.6K followers, 48.5K engagements
"Inaonekana kuna unyanyasaji mkubwa sana wanafanyiwa wananchi na hawa watu dhalimu Mtu mwenye duka analipa TBS Kwanini"
Instagram Link 2026-02-13T17:54Z 792.6K followers, [----] engagements
"Kwenye Nchi hii kila mtu ni mateka wa kikundi hiki dhalimu. Hapa tunatakiwa kuunganisha nguvu kupigania uhuru wetu sote"
Instagram Link 2026-02-16T09:56Z 793.7K followers, [----] engagements
"No wonder hawa watu wanajivunia mauaji na damu za watu Huyu anaongea nini Yaani mmeua maelfu ya watu mmeiba kura na unasema ni jambo dogo"
Instagram Link 2026-02-16T11:31Z 793.7K followers, [----] engagements
"Kila siku ni siku"
Instagram Link 2026-02-16T15:16Z 793.7K followers, 48.5K engagements
"Wakati wote ni muhimu tukakumbuka haya. Impunity is not security mfumo wa kidkteta hugeuka na kuumiza yeyote wakati wowote"
Instagram Link 2026-02-17T09:03Z 793.7K followers, 15.6K engagements
"Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of one or more people and text. Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of one or more people and text. Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of one or more people and text"
Instagram Link 2026-02-17T09:47Z 793.7K followers, [--] engagements
"Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of one or more people people standing suit and text. Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of one or more people people standing suit and text. Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of one or more people people standing suit and text"
Instagram Link 2026-02-17T09:47Z 793.7K followers, [--] engagements
"Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of one or more people and text. Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of one or more people and text. Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of one or more people and text"
Instagram Link 2026-02-17T09:47Z 793.7K followers, [--] engagements
"Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of one or more people and text. Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of one or more people and text. Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of one or more people and text"
Instagram Link 2026-02-17T09:47Z 793.7K followers, [--] engagements
"Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of one or more people dais and text. Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of one or more people dais and text. Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of one or more people dais and text"
Instagram Link 2026-02-17T09:47Z 793.7K followers, [--] engagements
"Mdogo wangu Wakili @deogratiusmahinyila ambae pia ni Mwenyekiti wa Bavicha Akinipa msimamo wa vijana kuhusiana na Mashauri haya fake kwa Mwenyekiti wetu Tundu Lissu"
Instagram Link 2026-02-17T09:48Z 793.7K followers, [----] engagements
"Safari yetu imekua ya mda mrefu lakini tutashinda"
Instagram Link 2026-02-14T13:48Z 793.7K followers, 24.1K engagements
"Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of text that says 'Jina: Shule ya Msingi Amani Mahali: Mkata Handeni Idadi ya Wanafunzi: 1000'. Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of text that says 'Jina: Shule ya Msingi Amani Mahali: Mkata Handeni Idadi ya Wanafunzi: 1000'. Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of text that says 'Jina: Shule ya Msingi Amani Mahali: Mkata Handeni Idadi ya Wanafunzi: 1000'"
Instagram Link 2026-02-15T03:13Z 793.7K followers, [--] engagements
"Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of wheel sedan limousine and text that says 'W HUSM'. Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of wheel sedan limousine and text that says 'W HUSM'. Photo by John Heche. on February [--] [----]. May be an image of wheel sedan limousine and text that says 'W HUSM'"
Instagram Link 2026-02-15T03:13Z 793.7K followers, [--] engagements
"Kwenye Nchi Kama hii inaonesha ujambazj unalipa kuliko kufanya kazi kwa bidii na kwa nidhamu Walipa kodi watoto wao wanasomea hapo. Hiyo ni shule imepigwa picha jana huko Tanga. ukiacha tu ubora wa hiyo Elimu yenyewe angalia mahali wanaposomea yaani mazingira ya kufundishia na kujifunzia Wakati mtoto wa mlipa kodi anasomea hapo kuna eti kiongozi wa serikali anatumia gari ya thamani ya [---] bilioni ukimwambia atoe maelezo ya namna alivyopata pesa ya kununua gari hiyo hawezi kusema Hawa ndio wako tayari kuua maelfu ya watu ili kulinda uchafu huu wako tayari kuteka na kupoteza kila anaehoji kwa"
Instagram Link 2026-02-15T03:22Z 793.7K followers, 10.4K engagements
"Hii imegusa sana moyo wangu Natuma salamu za upendo kwa mama zetu wote Duniani Madaktari nyie ni watu special nawaombea kila jema kwa Mungu hongera sana Dr Njagi"
Instagram Link 2026-02-15T06:48Z 793.7K followers, 146.6K engagements
"Wahaini wala rushwa mafisadi na majizi wako mtaani wanalindwa na kupigiwa saluti Mwenyekiti wetu mtu mwema mpigania haki na Mzalendo yuko gerezani. Inakuaje huyu mtetezi wa Watanzania anaumizwa na waovu na sisi tuko kimya Kila Mtanzania anapaswa kutimiza wajibu"
Instagram Link 2026-02-15T07:27Z 793.7K followers, 79.6K engagements
"Respect is earned mahakama itaheshimika kwa matendo yake sio kwa vitisho Kama mnafanya matukio na matendo ya kuonea watu hakuna atakaewaheshimu"
Instagram Link 2026-02-16T06:32Z 793.7K followers, 38.5K engagements
"Majibu yangu kwa @kitilamkumbo kuhusu Chadema kukutana na rais kujaribu kutafuta muafaka wa kitaifa"
Instagram Link 2022-05-25T09:04Z 793.7K followers, 34.9K engagements
"Pamoja na jamaa mwenye mic kuongea mapoint sana. Mimi nimemsikiliza huyo jamaa wa pembeni amempa sapoti ya kiwango cha juu mzungumzaji mkuu. Imenikumbusha siku moja Bungeni @pmsigwa_ na @therealjongwe wakati mwingine ni muhimu sana"
Instagram Link 2022-06-17T11:00Z 793.7K followers, 47K engagements
"Nimeona wabunge na maseneta wa jamii ya Kimasai kutoka Kenya wamesema na kulaani kinachoendelea Loliondo. Nashangaa wabunge wa ccm kutoka Masai land hapa Tanzania wasomi na wataalamu walivyojificha na kufunga midomo kwenye jambo hili kubwa na baya.Utafikiri hawajasikia Ndugu yangu @jamesolemillya_official uko wapi"
Instagram Link 2022-06-12T08:22Z 793.7K followers, 27.9K engagements
"Kila siku tunajifunza majani ya Brachiaria nimetbelea shamba la rafiki yangu na kujifunza namna ya kumwagilia kwa kutumia njia za kisasa. Kwa bei rahisi kabisa mfumo wote huo unaweza kumwagilia eka [--] kwa shilingi milioni [--] tu"
Instagram Link 2022-06-14T15:52Z 793.7K followers, 19.5K engagements
"Kwa miaka [--] ya Uhuru wa Tanzania bado tunaagiza chakula kama ngano kwa asilimia [--] kutoka nje Hizo ajira kwa vijana utazipata wapi Hizi pesa za kigeni zinazotumika kuagiza ngano na mafuta ya kula mara sukari zinegetumika kutengeneza ajira ya vijana wetu hapa nchini. Badala yake ajira kwa vijana wetu imekua ni kufanya betting hii ni hatari na haikubaliki. Sisi Tanzania tuna ardhi nzuri inatolimika zaidi ya hekta million [--]. Ccm ni janga kwa nchi yetu. Ili kutoka hapo lazima fedha zaidi iwekezwe kwenye kilimo vijana wetu wapewe mitaji ujuzi na masoko hakutakua na umasikini wala betting kama"
Instagram Link 2022-07-19T11:03Z 793.7K followers, 26.3K engagements
"Kama maisha ni Magumu mtaani lazima iwe hivyo mpaka kwa viongozi sio kwa walipa kodi tu"
Instagram Link 2022-07-21T11:25Z 793.7K followers, 20.3K engagements
"Mtu aliesema hataki kuona watu wanabambikiziwa kesi anamteua Kingai kuwa DCI. Tunataka #katibampya"
Instagram Link 2022-07-23T08:09Z 793.7K followers, 27.8K engagements
"Wakati Pokuase interchange ya Ghana imejengwa mwaka [----] na kukamilika [----] imegharimu kiasi cha usd [--] million sawa na billion [---] za Tanzania. Ubungo interchange ambayo ni ndogo kwa kila kitu kulinganisha na Pokuase ya Ghana yenyewe imejengwa kwa tsh billion [-----] Tanzania kuna tatizo kubwa sana"
Instagram Link 2022-07-27T20:03Z 793.7K followers, 30.9K engagements
"Oganaizesheni ya Chama makini. Hapa ni Njombe tuko kila kona maandalizi ya Chama tayari kwa kazi kubwa ya kuhakikisha tunaondoa wakoloni weusi na kuwapa Watanzania maisha ya staha. Kumbuka hakuna usaidizi wa dola wala ruzuku. @pmsigwa_ hongera wewe na viongozi wenzako wa kanda.#katibampyanisasa"
Instagram Link 2022-07-31T11:42Z 793.7K followers, 10.1K engagements
"One love kutoka Njombe Tanzania. Sisi ndio Chadema"
Instagram Link 2022-07-31T15:36Z 793.7K followers, [----] engagements
"Hii ni Karatu kwenye kongamano la katiba mpya jana. Tunakupenda Tanzania ndio maana tuko tayari kukulinda kwa nguvu zetu zote"
Instagram Link 2022-07-31T15:58Z 793.7K followers, [----] engagements
"Mambo ya kijinga kama haya yalifanywa na polisi wa kikoloni dhidi ya watu weusi walifanya hivi makaburu dhidi ya watu weusi wakati wa ubaguzi wa rangi. Ajabu ujinga huu unafanywa leo miaka [--] Tanzania ambayo tunaambiwa ni Nchi huru. Polisi Tanzani wamejigeuza kuwa kitengo cha CCM na wanategemea kupata heshima. OCDS wajinga kama huyu wanaharibu taswira na kufedhehesha polisi Tanzania wajifunze kwamba hawana uwezo wa kuua Chadema wazoee watuache tufanye wajibu wetu"
Instagram Link 2022-08-01T11:25Z 793.7K followers, 16.2K engagements
Limited data mode. Full metrics available with subscription: lunarcrush.com/pricing